Utaratibu mpya wa mikopo ya Halmashauri kutangazwa

  Рет қаралды 3,064

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Serikali inatarajiwa kutangaza utaratibu mpya wa utoaji wa mikopo na urejeshaji wa fedha zitokanazo na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri iliyokuwa imesitishwa, ili kuweka utaratibu mpya wa kuwezesha serikali kupata mrejesho wa mikopo hiyo kama inavyopaswa.

Пікірлер: 4
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
Wakati tunasubiri utaratibu mpia wa mkopo mkumbuke tulifungua Akaunt za vikundi Na Akaunt hizo zinaweza kufungwa mda wowote. Kutokana na kwamba hazitumiki Na tulizifungua Kwa garama Na mchakato wa kufungua Akaunt Ya kikundi sio rahisi ni mrefu sana. Hivyo tunaomba utaratibu usichelewe sana mpaka Akaunti zikafungwa. Na pia ni viema mtufikue walengwa mtuchukue maoni. Mnashauriana Na watu wanaokaa ofisini wakati ndio hao hao wanaotu. kandamiza sisi wakopaji. Kazi iendelee
@julianasaikoon8694
@julianasaikoon8694 Жыл бұрын
Upatikanaji wa mikopo bado ni migumu haiwafikii walengwa
@user-zk4kv4rg9s
@user-zk4kv4rg9s 11 ай бұрын
Baba kassim tukumbuke sisi wamama na wanyonge utusaidie tupate mkopo
@julianamaganga
@julianamaganga Жыл бұрын
Sawa baba
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 33 МЛН
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 5 МЛН
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 42 МЛН
Mikopo 'Kausha Damu' yamuinua Mwigulu Singida
9:58
Mwananchi Digital
Рет қаралды 709
Nondo za Dk Tulia baada ya kushinda urais wa Umoja wa Mabunge Duniani
10:38
Ushauri wa MO kwa Watu Wasio Na Mtaji | Mohammed Dewji
3:28
TAHADHARI YA MIKOPO INAYOTOLEWA MITANDAONI
6:32
USALAMA TV
Рет қаралды 7 М.
Rais Samia atoa ya moyoni sakata la mkopo
6:51
Mwananchi Digital
Рет қаралды 3,8 М.
MAJALIWA KUTOA MIKOPO KWA VIJANA NCHINI
4:19
Daily News Digital
Рет қаралды 154