Рет қаралды 4,112,838
SIMBA 4-1 YANGA: Hivi ndivyo Simba ilivyoichapa Yanga magoli 4-1 katika mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Wafungaji wa magoli ya Simba ni Gerson Fraga, Clatous Chama, Luis Miquissone na Mzamiru Yassin
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz