Yanga SC 3-2 Mashujaa FC | Magoli | NBC Premier League - 19/12/2024

  Рет қаралды 15,543

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 188
@fatmaally7252
@fatmaally7252 20 минут бұрын
Mungu ni mwema sana Alhamdulilah
@KaungaDory
@KaungaDory 2 сағат бұрын
Hakika dube imemlilia sana Mungu kwaajili yako Mungu kajibu🎉🎉❤❤
@JabeliMusa
@JabeliMusa 27 минут бұрын
Asante sana yanga juu juu zaid 😅😅
@mtumishivictormwamsaku6161
@mtumishivictormwamsaku6161 2 сағат бұрын
Yanga bingwaaa✅
@jumamangombe6493
@jumamangombe6493 Сағат бұрын
Kamdomo
@jumamangombe6493
@jumamangombe6493 Сағат бұрын
Kamdomo
@patrickndizeye2190
@patrickndizeye2190 14 минут бұрын
Dube uyo😂😂😂🎉🎉🎉❤
@Munshid_Rajab
@Munshid_Rajab 11 минут бұрын
heee..huyu kipa mzima kweli..huo mpira wa kukamata kifuani kweli...Aiiii nishammisi Diarra😢😢😢
@paulkennedy5728
@paulkennedy5728 2 сағат бұрын
Wakwanza ku view jamani nipeni maua yangu😂😂
@MohamedSalum-kr6nz
@MohamedSalum-kr6nz 2 минут бұрын
Kwen umeyawek wap😅
@chrisantusdavid358
@chrisantusdavid358 Сағат бұрын
Yanga ni kama Arsenal jana dhidi ya Crystal Palace.. 3-2 Na Dube ni G.Jesus.. Daima mbele nyuma mwiko
@joshuameshack3902
@joshuameshack3902 24 минут бұрын
Hata alikamwe angekaa golini asingefungwa hayo magoli
@insidezenith
@insidezenith Сағат бұрын
Prince dube had a nice day😊
@HamisSaidi-h3u
@HamisSaidi-h3u 2 сағат бұрын
Magoli tulio fungwa wana Nchi Tatzo kwa golikipa
@paul-d7f4x
@paul-d7f4x 54 минут бұрын
Yanga kipa bora hata kindoki arudii
@EGM-TZ
@EGM-TZ Сағат бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians haikuwa siku nzuri kazini kwa golikipa |
@sahiltvontheline5560
@sahiltvontheline5560 Сағат бұрын
Kipa hatuna😂 jamani
@Tassyomy
@Tassyomy 2 сағат бұрын
Kipa Ametufelisha Sana..Mipira Yote Aliyofungwa Ni Ya Kisenge..Msituwekee Tena Huyo Kipa..🤪
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 2 сағат бұрын
Huu ushindi sio mzuri. Wanaruhusu magoli kilahisi
@jumajames1767
@jumajames1767 Сағат бұрын
Kweli momo ni ustadhi Yani kaapa kwenye kipindi na yamefanyika kweli
@MhabeshiMaluja
@MhabeshiMaluja Сағат бұрын
Khomeni ni kipa mzuri leo tuh hajaamka vizuri wananchi tusimlaum sanaa atakaa sawa inshaallah na tunamuombea diara apone inshaallah arudi kwake...
@rebekazakayo-e3s
@rebekazakayo-e3s 55 минут бұрын
Azzi ki akaombewe na yeye
@SalaNdunguru-e9o
@SalaNdunguru-e9o 6 минут бұрын
🎉🎉
@hidnakirungi6546
@hidnakirungi6546 56 минут бұрын
Tunaombq km msheri haumwi hana majeraha akae gorn ili shpa!!
@GodfreyKarino
@GodfreyKarino 2 сағат бұрын
Ila Khomeni Ali taka kutuharibia mechi kipa bovu xana
@WakiliHaule
@WakiliHaule 54 минут бұрын
Yanga uyu kipa amna kitu bora hata msheri
@PudensianaMtui
@PudensianaMtui 31 минут бұрын
Huyu ni hatariiii😮
@Ashrey82
@Ashrey82 Сағат бұрын
Dube alilogwa kabisa Vijana wa YANGA nendeni mkaombewe jamani🙏
@UwezoJephraim-e9h
@UwezoJephraim-e9h 25 минут бұрын
Lala mama lala hatar hiyo
@Nazareth8119
@Nazareth8119 25 минут бұрын
Golikipa..,
@rogerdeprezzo8648
@rogerdeprezzo8648 2 сағат бұрын
Cool
@rahimtz_04
@rahimtz_04 4 минут бұрын
Huyu padri aliyemuombea ni hatari mabeki wanakuwa hawamuoni
@michaelpetershoo1885
@michaelpetershoo1885 Сағат бұрын
Makolo kunyweni mbege kwa Mangi nakuja kulipa.Wamefungwa Mashujaa lakini makolo wameumia😮😮😮
@fredrickedward975
@fredrickedward975 26 минут бұрын
Hili kolo linashangilia niliongo sana aisee 😅😅
@hamadmakame6040
@hamadmakame6040 59 минут бұрын
YANGA HAPO HAMNA KIPA
@MohamedAbdallah-dd2dm
@MohamedAbdallah-dd2dm 32 минут бұрын
Huyu kipa tuwauzieni makolo
@MachomachoTegh
@MachomachoTegh 2 сағат бұрын
❤❤❤❤ mwendooooo mdundooooooooo😮💪💪💪💪💪💪🤝
@ShomariAthumani
@ShomariAthumani Сағат бұрын
Kipa wetu vipi turia mungu yupo nawewe inshalaah
@amijei.7gamingtz777
@amijei.7gamingtz777 2 сағат бұрын
Yanga hoyeee
@wazirimlingi8302
@wazirimlingi8302 50 минут бұрын
Mechi ya wasio jua,magoli matano mechi moja
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Сағат бұрын
Hart trik
@HussenErick-k4k
@HussenErick-k4k Сағат бұрын
Huyo kipa ni mgawa utamu tunamuomba kwenye dabi
@mwanangusana
@mwanangusana 27 минут бұрын
@@HussenErick-k4k kamdomo ako ... Utauponza 🤣🤣
@dullamuwise4802
@dullamuwise4802 2 сағат бұрын
Yanga bingwa🔰🇹🇿
@jumamangombe6493
@jumamangombe6493 Сағат бұрын
Kamdomo😂
@jennyodeni
@jennyodeni 2 сағат бұрын
kiwango bado hakijaridhisha cha yanga
@SalomeSilas-k2e
@SalomeSilas-k2e 2 сағат бұрын
hatali❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@kisaraweparalegals
@kisaraweparalegals 50 минут бұрын
😂😂😂😊
@Babady-q2m
@Babady-q2m 2 сағат бұрын
Yanga noma sana
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Сағат бұрын
Maskini kweli prince alilogwa jamani 😢😢
@HamzaBilal-f1f
@HamzaBilal-f1f 2 сағат бұрын
Komeni Hamna kipa hapo Bora Mshery
@wihalefelix4629
@wihalefelix4629 39 минут бұрын
Huyu kipa ana kitu atafika mbali
@PeterJoseph-p9f
@PeterJoseph-p9f Сағат бұрын
Hatuna kipa hapa
@AminaTanzania
@AminaTanzania 2 сағат бұрын
Ngorikipa mpumbavutuu diara apone haraka baba etu
@NyukiBoe-q2e
@NyukiBoe-q2e Сағат бұрын
Hamna kipa hapa😂😂😂
@BarakaSererya-r5v
@BarakaSererya-r5v 16 минут бұрын
Waende kwa mwamposa🤣ila msimi huuu Simba mkali asikwambie mtu
@eloitz17
@eloitz17 2 сағат бұрын
👏👏👏🎉
@joelsanka-o1s
@joelsanka-o1s 44 минут бұрын
kipaaa au pazia
@abubakarbajun3503
@abubakarbajun3503 Сағат бұрын
Yanga mbovuuu innafungikaa😂😂😂
@meddyroshan74
@meddyroshan74 Сағат бұрын
🤣🤣🤣🤣 Mashujaaa wangejitahd kdg2 wangeondka point 3
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 Сағат бұрын
Hata ungechezwa hadi kesho matokeo ndio yangelikua hayohayo tu.
@adamkanyamala9358
@adamkanyamala9358 Сағат бұрын
Hapo ndo wamejitahidi mpaka mwisho, na makolo wamechangia tumefumua malinda mtu na dadaake shenzi
@Jumaayyuub
@Jumaayyuub 14 минут бұрын
Mm ni simba ila dube kufunga leo nimefurahi atawafanya mastricker wengine wajitume pia
@blessthegreat6210
@blessthegreat6210 41 минут бұрын
kutuwekea golikipa Khomeni komeni 😎
@kelvinmachalina9809
@kelvinmachalina9809 42 минут бұрын
Sasa uyo kipa alitokea nn golini na mpira unarushwa daaaah hapo kipa kazingua 😢
@BarakaNgwila
@BarakaNgwila 58 минут бұрын
kweli hapa kipa atuna
@SalumMusa-f5l
@SalumMusa-f5l 2 сағат бұрын
Dube uchawi wote pululuuu😂😂
@mshewetv
@mshewetv Сағат бұрын
Upako wa Mwamposa ni hatarii daa huyu jamaaa nilimuona anaombewa na mwamposa ofisini daa kweli yule mtu ni hatarii
@DAUDILUGUSI-db9vs
@DAUDILUGUSI-db9vs Сағат бұрын
Sio mwamposa
@chacha-255
@chacha-255 41 минут бұрын
Mechi zijazo sub ya Diarra awe Msheri, Kipa Khomeini amepewa nafasi wote tumeona hajafikia kiwango cha kubaki Yanga
@mussangalawa2403
@mussangalawa2403 Сағат бұрын
Baraka mpenja unatumia nguvu kubwa sana unapoitangaza yanga
@Lucashunter-sr3qn
@Lucashunter-sr3qn Сағат бұрын
😂😂😂 malalamikooooooh
@RechoMpare-yz7nh
@RechoMpare-yz7nh Сағат бұрын
💚💛💚💛
@InnocentHenerco
@InnocentHenerco Сағат бұрын
𝐓𝐮𝐦𝐞𝐰𝐚𝐬𝐡𝐞𝐧𝐲𝐞𝐧𝐭𝐚😂
@TshakazuluHassan-s8s
@TshakazuluHassan-s8s 2 сағат бұрын
Safi xana
@MajeleNtumbo-zl4bi
@MajeleNtumbo-zl4bi 2 сағат бұрын
Kipa Hamna kitu huyo mpeni msheri nafasi
@BillyNyantuu
@BillyNyantuu Сағат бұрын
Kwani wachezaji wa mashujaa walikua wamefungwa Kamba mbona hawachezi vile tunawajua 😂😂😂😂
@ABUUSHURAIM
@ABUUSHURAIM 2 сағат бұрын
Msher ni mzur kuliko komein komein hamna kitu kaniboa
@ElipidiusMatheuskamala
@ElipidiusMatheuskamala 2 сағат бұрын
Ogera saaaan yanga
@mission_impossible_chadomasta
@mission_impossible_chadomasta 20 минут бұрын
Chado masta
@Papaa.adekesi
@Papaa.adekesi 13 минут бұрын
Tamarind kaka
@Papaa.adekesi
@Papaa.adekesi 13 минут бұрын
Tayari kak
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 58 минут бұрын
AZam tv huduma mbovu camera mbovu hatuoni.Alaf Yanga hili kipa ni pazia😂
@AmosMabeja
@AmosMabeja Сағат бұрын
Hunishawishii kushabikia yan😢
@KalicKaguz
@KalicKaguz Сағат бұрын
Sasa kama shabiki wa Simba utaishangilia vp yanga au nyie ndo mnafata upepo mapenzi yko moyoni
@ferdinandimani1517
@ferdinandimani1517 Сағат бұрын
Congrats dube
@GodfreyKarino
@GodfreyKarino 2 сағат бұрын
Kipa Khomeni ni mafi matupu
@eng.lazarongoro
@eng.lazarongoro 2 сағат бұрын
Huyo ni kipa au kinyesi
@richardyusuphmsongolomakat2049
@richardyusuphmsongolomakat2049 Сағат бұрын
Kipa hamna humuuuu
@brianerence1217
@brianerence1217 Сағат бұрын
why as Africans do we still use astro 😭😭
@jayman7865
@jayman7865 59 минут бұрын
Kazi kuibia tu kujituma ahaaa
@RobertKolako
@RobertKolako 2 сағат бұрын
Mwendo Wa kutoa utamu tu😅😅😅😅😅
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 Сағат бұрын
Nukta tu mpira mnazi
@dullahbaba
@dullahbaba 2 сағат бұрын
Nyie yanga huyu kipa kweli au chakula Cha bata
@LucksonReuben-s2o
@LucksonReuben-s2o 2 сағат бұрын
Dahhh kwakwel hatuna kipa
@LinusOfficial-w6q
@LinusOfficial-w6q Сағат бұрын
Amna kitu
@khamissehel-jr1cs
@khamissehel-jr1cs Сағат бұрын
chakula cha bata tena hata kiwango cha kindoki hajafikia bwege huyo
@TheReporter-A47
@TheReporter-A47 Сағат бұрын
Mpeni nafasi mshery huyu sio kipa ni pazia la mgahawani
@JabiryMboma
@JabiryMboma Сағат бұрын
Yanga hatuna tim bwan
@ashamkesa979
@ashamkesa979 2 сағат бұрын
Kipa anatuchanganya tu bora msheri
@abdulatifumfimba
@abdulatifumfimba 56 минут бұрын
Ila huyu kipa boraaaa mshery
@stephenamos-pb6qr
@stephenamos-pb6qr Сағат бұрын
yan game ya Bongo raha sana anafungwa mwingne simba ndo anaumia
@AbdulshakulHamza
@AbdulshakulHamza Сағат бұрын
Komueni anagawa utam😂😂
@JosephSaidJikolo
@JosephSaidJikolo 2 сағат бұрын
Dube walimchawia
@LinusOfficial-w6q
@LinusOfficial-w6q Сағат бұрын
Comeni mna kitu
@MeshackLacha-xx4gt
@MeshackLacha-xx4gt 2 сағат бұрын
Yanga yupo kipa c makipa ukimtoa diara hakuna mwingine
@AISHAANDREA-o3g
@AISHAANDREA-o3g Сағат бұрын
Nimbovu. Ila haifungi magili yapenati kama Simba Hadi mpate penati zauongo
@Ellyeliud
@Ellyeliud 2 сағат бұрын
hmna bahn huyu sio kipa mashuti madogo yanamshinda
@KhalidAhmed-r8b
@KhalidAhmed-r8b 2 сағат бұрын
Sawa Ila kina hamna apo
@JonasAthanas-m5n
@JonasAthanas-m5n Сағат бұрын
Mimi naomba kocha ajirekebishe hivi sasa Mzinze.na pacome dawa ya timu zinazocheza kwa kudifens unawatoa lengo lako nini pia kipa.kafanya utumbo mno hasa goli la.pili.naomba.wampe nafasi.Msheri yule ni kipa bora lkn sijuoi kwa nini.wanamuweka.bench.wakati wa Nabi mwanzoni alimuweka bench lkn baadaye majeraha.yalimuathiri naomba.wampe.nafasi
@SalumPambangu
@SalumPambangu 2 сағат бұрын
Hivi huyu komeen wanini .hafai kudakia timuza ligi kuu hata kengold yanga tagteni msaidizi wa diara
@ramadhanimwijage7677
@ramadhanimwijage7677 Сағат бұрын
Duh magori ya ajabu ajabu! Unasikia himo!.
@suwedwakil4392
@suwedwakil4392 Сағат бұрын
La kwanza ni clear offside
@naomisambala4041
@naomisambala4041 Сағат бұрын
Oof side ipi wakati ametoka nyuma
@issarwambo4355
@issarwambo4355 56 минут бұрын
@@naomisambala4041simba huyo😂
@MahafudhiSalum-y2z
@MahafudhiSalum-y2z 6 минут бұрын
Umepg wabovu weziyo
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
AHMED ALLY AFUNGA MAZITO BUKOBA/TAZAMA  ALICHOSEMA KUHUSU MPANZU.
12:36
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН