NJE YA ULINGO | Mwakinyo afunguka mikasa ya safari yake ya ngumi na alichoteta na Terrence Crawford

  Рет қаралды 19,299

Azam TV

Azam TV

Ай бұрын

Bondia Hassan Mwakinyo amezungumzia safari yake ya ngumi huku akitaja mikasa aliyowahi kukutana nayo kwenye safari yake ya ngumi ikiwemo kuwahi kupimwa haja ndogo akihisiwa kutumia dawa za kusisimua misuli.
Mwakinyo pia amefunguka kila kitu jinsi alivyokutana na Bondia wa Marekani, Terrence Crawford na kila kitu walichozungumza na kukubaliana.
Ni kupitia kipindi cha Nje ya Ulingo akiwa na Aidan Mlimila.

Пікірлер: 46
@saidbakari2408
@saidbakari2408 Ай бұрын
Champion champez Kinyo boe home boe be blessed kaka
@GodfreyNefary-mq5gr
@GodfreyNefary-mq5gr Ай бұрын
Hata watu waongee juu ya mwakinyo mabaya yake lakin mee kwangu ndiye bondia bora wa muda wote
@shabanlue7253
@shabanlue7253 Ай бұрын
Masumbwi🔥🔥🔥
@VisionVibes360-yi3rr
@VisionVibes360-yi3rr Ай бұрын
Hakuna bondia ninae mkubalia duniani kama huyu jamaa(champez one time) 💪💪💪
@MuhinaCharse-gt7og
@MuhinaCharse-gt7og Ай бұрын
Ebana Leo kipindi kimekua kifupi Sana Mana tumepata mtu anaeijua ngumi na kuifatilia kuliko chochote kwenye maisha yake champez mtata mtatuzi mwamba kabisa
@Basagamp4
@Basagamp4 Ай бұрын
Sema mwakinyo anajitambua saaana. Binafsi nampenda sana
@ulamaaworiaa8879
@ulamaaworiaa8879 Ай бұрын
Safi sana champion
@hancykajanjathelimitmusic427
@hancykajanjathelimitmusic427 Ай бұрын
Huyu ndo namba moja Tanzania
@JohanesboymsaniiMsanii
@JohanesboymsaniiMsanii Ай бұрын
🇹🇿🇹🇿Naitwa JohanesBoy kishanda nimeachia❤nyimbo mpya ( JohanesBoy kishanda nakupenda official video❤❤❤❤ musicnaomba like zangu za JohanesBoy kishanda video)
@MrishoRajabu-rx8zp
@MrishoRajabu-rx8zp Ай бұрын
Aliyekuambia hapa tunatangaza movie nan
@user-hs9hk7ox3y
@user-hs9hk7ox3y Ай бұрын
Mwamba unajuwa sana kaza sana kaka utafkambali sana duniani
@mustafaosman1838
@mustafaosman1838 Ай бұрын
Caption ❤
@sadunabdallah7303
@sadunabdallah7303 Ай бұрын
Champenz one time ❤❤❤
@nekashash2190
@nekashash2190 Ай бұрын
Aidan...Hamis Mwakinyo Boxing Gym... Pro Boxing Player Hassan Mwakinyo Champez...God Bless ndg yangu..
@mohammedramadhan5547
@mohammedramadhan5547 Ай бұрын
🥊
@AbilahSalumu-qx1cb
@AbilahSalumu-qx1cb Ай бұрын
Aminiy Mwakinyo Mpekazi Konde boy Iriatambue Apakazi
@AwadhiAlfani-bd5pj
@AwadhiAlfani-bd5pj Ай бұрын
washikishe adabu. kaka wakome
@mliwakhatib9457
@mliwakhatib9457 Ай бұрын
Mwamba anajua kujieleza na anajua nn anaongea ni mfuatiaji wa ngumi ukiachana nayy kua bondia
@YusuphIbrahim-yf7jn
@YusuphIbrahim-yf7jn Ай бұрын
Maamuz Yako ni muhim zaid
@endrewnicolaus3819
@endrewnicolaus3819 Ай бұрын
🥊🥊🥊🥊🥊🥊
@florinndeki8465
@florinndeki8465 Ай бұрын
Aisee huyu jamaa ni bondia aliyekamilika sana,ata maneno yake ya shombo ambayo wengine wanamsema hayajaja Kwa bahati mbaya anajua maneno na ngumi ,akiwa ulingoni anabadirika chap kama kinyonga ,tumuache tu kama hatukubali Sanaa yake na ubora alionao"mabondia wengine wa TZ wamuige tu Wala siyo zambi kuiga Kwa anayejua.
@enamo1889
@enamo1889 Ай бұрын
Isee ,Kweli kabisa broo zilobaki ni jealous tu na ushabiki wa kipinzani
@kafirsantana8631
@kafirsantana8631 Ай бұрын
Mdigo kama Mdigo
@mindicarrashid3131
@mindicarrashid3131 Ай бұрын
Boxing trending
@saidyhusseinarsenal6795
@saidyhusseinarsenal6795 Ай бұрын
@iddbakari7627
@iddbakari7627 Ай бұрын
Champeezzz
@Jailosmagulu
@Jailosmagulu Ай бұрын
Hassani kwenye SOUTHPAW na vile anavyokua ana dance duuh,,anavutia sana kutazama. Kama Terence Bud Crawford vileee
@fj8317
@fj8317 Ай бұрын
Halafu Crawford ndo role model wake
@mohamediabdalah7650
@mohamediabdalah7650 Ай бұрын
Kwani kachaguliwa na kamision ya ngumi au kachagua yeyemwenyewe??
@user-ul1jm5bo6f
@user-ul1jm5bo6f Ай бұрын
Champenz
@saididuri3518
@saididuri3518 Ай бұрын
mmeamin km huyu ni aina ya watoto waliolelewa na mama pekee pasipo baba anavoweza kukosa umakin anawezaje kupigana na mtu ambae cyo mpiganaji??
@Salumramadhankitori
@Salumramadhankitori Ай бұрын
Wadunde ili wakuheshim
@mohamedshemshindo2922
@mohamedshemshindo2922 Ай бұрын
Likes wasena wangu
@WilliamNathan-hm7nk
@WilliamNathan-hm7nk Ай бұрын
Champez one time
@autoimmunesecurity2140
@autoimmunesecurity2140 Ай бұрын
Ila huyu jamaa anaongea du.
@user-bn6we3nj6t
@user-bn6we3nj6t Ай бұрын
Anajua
@mohamediabdalah7650
@mohamediabdalah7650 Ай бұрын
Wenzako huwa hawaongei sana . Wesubiriupigwe uone watuwakucheke, sikuhizi mabondia wa ulaya wanacheza hata na mabondia wa viwango vya chini . , bora kibunda kiingie.
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 Ай бұрын
Mwakivyo NGUMI BADO. huyo PATRCK ni bindia NYANYA. mapambano mengi kashindwa. Na sio kweli kuwa pambano gumu.uwongo mtupu.
@abduryjumbe7447
@abduryjumbe7447 Ай бұрын
Weee patrick ni bondia mzuri sana.
@yasiniselemani8672
@yasiniselemani8672 Ай бұрын
​@@abduryjumbe7447alikuwa mzur zamani kwa Sasa ni nyanya tu Kama alivyo sema huyo huyo jamaa hapo juu
@user-rp1ly4xc8k
@user-rp1ly4xc8k Ай бұрын
N​@@abduryjumbe7447 Patrick ni mwepesi wa kukata tamaa Hana uvumilivu kabisa mwakinyo atajipigia tu
@ricklandennis
@ricklandennis Ай бұрын
Mwakinyo ngumi bado ww ulietayari mbona hatukujui? Ngumi zimebadilika siku hizi sio kupigana tu ni technic, ona Floyd Mayweather wanamdiss ila anashinda, ni km mpira unaweza ukachagua mfumo wako thn ukaumaster, ona Tank Davis alivyopigana na Ryan Garcia angesema arushiane ngumi angepigwa ila alimwacha ampige huku anavizia body punch alivyoipata ndipo alipomazizia pambano, mwakinyo Yuko sawa ana njia anataka kuipita na nyendo zake sio mbaya
@sports007tv4
@sports007tv4 Ай бұрын
Nenda kapigane nae ww
PART 1: UTASHANGAZWA NA UWEKEZAJI HUU/ NG'OMBE ANAUZWA MILIONI 30
31:59
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 4,6 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 7 МЛН
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
A pack of chips with a surprise 🤣😍❤️ #demariki
00:14
Demariki
Рет қаралды 54 МЛН
HARMONIZE AMRARUA MWAKINYO BILA UOGA/ POSH QUEEN, PENZI MOTO MOTO
1:47
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 33 М.
Ronaldo vs Mbappe vs Robot vs Casimero 🔥⚽👑
0:18
Nobsfootball
Рет қаралды 2,8 МЛН