Jaman naomben like nipate mtaji nifungue genge wanayanga wenzangu
@Jose-dy2sb18 күн бұрын
Tafta hela weww😂
@HamimOmary18 күн бұрын
@@Jose-dy2sb 😄 🤣
@user-kk5hq4sk5d18 күн бұрын
😂😂😂😂😂 ivi nyinyi like mnafanyiaga nn😢😢
@HamimOmary17 күн бұрын
@@user-kk5hq4sk5d mtaji ndugu
@Hgd-jk6lh17 күн бұрын
@@HamimOmary nitumie nambar yako dm kama kweli unataka mtaji nitakupa laki moja ila ukidaganya dhambi juu yako
@yohananikolaus544318 күн бұрын
Na mimi ni yanga 💚💚💛💛like nyingi kwangu
@_kidayyo18 күн бұрын
Hela aliyosajiliwa Aziz Ki imeludi kupitia Yanga App 🔥🔥🔥👏
@Abuu-gs1yi18 күн бұрын
For sure
@bongodata18 күн бұрын
Jamani njooni tuangalie bongo data..kwa taarifa zote za bongo na nje ya bongo..sisi ni data
@dataduel10018 күн бұрын
unajua sana jamaa video kzli na data za uhakika
@nuhu_adams18 күн бұрын
@bongodata uko vizuri....nifundishe kutengeneza video kama zako
@cuteagnestz18 күн бұрын
🙂🙂🙂🙂🙂
@JamesMusic-lw7ky18 күн бұрын
bongo dataaa
@Morgana3D-sh1yf18 күн бұрын
bongo data nimesubscribe sas hivi
@ngassakissimba564018 күн бұрын
Engenier Hersi Mungu akutunze mpiganaji wetu maadui ni wengi mno 🤲🤲🙏🙏🙏
@aronyhussein854518 күн бұрын
Azizi k wote tunao na tunatamba nao ❤❤❤❤❤
@muddymuzungu435717 күн бұрын
Kuna kutanguliza PESA NA MAPENZI NA TIMU MWAMBA ANA MAPENZI NA WANANCHI Merci Merci Aziz
@ceciliadaudi163218 күн бұрын
Oooh My God 🙏🙏🙏 Injinia Ubarikiwe saan kazi nzuri 💚🙌 Mungu awalinde wachezaji na majeraha na Husda za wapinzani na watu wengine kiujumla tunapojiandaa na msimu ujao ukawe msimu mzuri kwetu 💚 Kuwahi tokea tukakusanye Alama 3+ kila mchezo tukachukue kila kikombe kilicho mbele yetu Amina 🔰🔰🔰🙏🙏🙏
@TitoSmart-g3c18 күн бұрын
Naipenda timu yangu na viongozi wangu watu wamana sana 💚💚💚💛
@Adje24418 күн бұрын
Mnaakili sana mbwa nyie watu tumelala juujuu leo 😂❤
@Hgd-jk6lh18 күн бұрын
😂😂😂😂😂yangaaa mmejua kucheza na akili za mijitu😅😅😅
@FirdausyAbubakary-bl2wo17 күн бұрын
Cjui mnawazaga nn yanga duuh..everything is Unique wallahi nawakubaali saana💚💛💛💚💛💚💛💚💛
@AsiaHarouna17 күн бұрын
Kuna wachang'ombe walijifanya wao ndio wanavyanzo vya kuaminika wakasema Aziz ansondoka Tena Hadi wajua Hadi tarehe atakayotambulishwa kwenye clabu Moya leo wameumbuka . Naipenda yang mm💚💛💚💛💚
@ZachariaPetro-gn8qc18 күн бұрын
Najua makolo yameumia sana kusikia mbaya wao Bado yupo sanaaa😅😅😅😅😅😅😅
@HusseinJumahussein-lf1xk17 күн бұрын
Welcome Aziz ki. Asante Kiongoz GSM 💪💪💪🙏🙏🙏💚🏆💚🏆🤝🤝🤲
@user-dx7jj9up1b18 күн бұрын
Asante Aziz Ki, asante GSM YANGA daima mbele nyuma mwiko
@user-qt7yd2ws9u18 күн бұрын
Tabu iko palepale 😂😂😂😂 murch love yanga Africa 💚💚💛💛💛💛💛
@user-zw9oj6ej9v18 күн бұрын
Idala ya habari hongereni sana mmeitumia vema sana hii taarifa ya azizi ki kuongeza wafatiliaji kwenye kulasa zenu.
@mohammedsalamata756418 күн бұрын
Kwanza siamin jaman maana haikuwa rahc asant Allah🙏🙏
@user-ox3ij7ki3t18 күн бұрын
Kwahyo ile ofa ya mudy ya dola laki5 ndo smikataa na ile ofa ya waharabu tulio wpigaga goli4-0 nayo kaikataa baasi aziz anapenda sana yanga tumpeni maua yake hapa wanayanga🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@Maryc2G17 күн бұрын
Good azizi key 🔑 much love to you and yanga as larger. 💚💚💚💛💛🇹🇿
@FatmaJumawazir18 күн бұрын
Wakwanza yamani like zangu
@user-nx5mu8df3g18 күн бұрын
Master 🔑🔥🔥🔥
@marymoshi57218 күн бұрын
Kwa creativity nyie people ni wa baya sana salute
@user-hy3en6vk5f18 күн бұрын
Daaaah alhamdulilah 💚🟡💚Eng.huna baya safi sana
@JeniphaRobert18 күн бұрын
😂😂😂 mwambieni mzee saidi jini limebaki
@selemanimbwambo566217 күн бұрын
Ila wachambuzi wabongoo duuuh inabidi muwe professional katika kazi zenu vinginevyo tutawaita wachang'ombe mlijua kutupatia pressure khaaa Welcome back @stephan
@Mudathir-tx1md18 күн бұрын
Hakuna team Tanzania inaweza kuafford kuwa na Aziz ki na Mwamba wa Lusaka😂😂😂😂😂🏃🏃 limewashuka
@victoriabayo770418 күн бұрын
Tunakupenda sana wananchi karibu sana sana wananchi tupo pamoja nawe
@kingmsukuma123818 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤yangaaa
@user-ee8jo3qt4h17 күн бұрын
jamani Kuna banda la mpira na fungua nipeni like mtaji huo
@MajaliwaJuma-c5g17 күн бұрын
Yanga bingwa 2025 makolo watanyoka 2
@GodfreyLipumba-ds6jl17 күн бұрын
Tuko pamoja mpaka Simba ishuke daraja 💚
@user-xr2vr1rm3q17 күн бұрын
Kelele zimeisha sasa....🎉🎉🎉
@terrence947718 күн бұрын
Yaani Aziz umejua kunifurahishaa, sina hata cha kusema