Naombeni dhambi za SHERIA NGOWI zoooooteeeeeee Apewe Mo Dewji🙌🔥😂
@GladyWilly2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@rukiakyaka18272 ай бұрын
Mashaallah kweli kwenye Haki Neema upatikana Allah tuzidishie Kheir Inshaallah
@AllyAmanzi-y8i2 ай бұрын
Uzi Umetulia Uzi Uko Good Uzi Amazing Uzi Umetisha ❤❤❤❤
@galatonetz2 ай бұрын
Nambari 1 nipeni like zangu 😅😅
@Mohamed-k1c7s2 ай бұрын
Leo wa kwanza mm Ila siombi like Wala comments zenu wananchi Ila mkitaka mnipee any way yanga bingwa😅😊
@AleemaAleemaoman2 ай бұрын
Yang inanipa lah San umutuuh😅😅😅
@KamonaKintu-or2gs2 ай бұрын
Chuma Kiko sawa sana
@SalumMrisho-pr1fg2 ай бұрын
Jzy Kari sana
@HamisiMashango2 ай бұрын
Uzi mkali sanaa,kongole kwa Sheria Ngowi , ametutendea haki Wananchi , hassa wale walioko nje ya nchi, unajua unapokuwa Tawi la YANGA USA,ua SOUTH AFRICA na kwengineko Duniani wataenjoy sanaa
@pambaboniface11992 ай бұрын
Mambo Moto Moto....safi sana
@BoazKimisha-i5l2 ай бұрын
Viva young africans 💚💚
@DoreenMlay-e8g2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 GSM
@Dopa7MC2 ай бұрын
Uzi ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@MwazambaMicrofinance2 ай бұрын
Nakupenda sana YANGA💚💛💚
@KS-iw7qv2 ай бұрын
Mbona kule upande wa pili hatujaona Foleni mpaka Usiku.... watu kutaka jezi zao😅
@mrfinisherFinishing2 ай бұрын
yan dahh hadi raha
@mwajumampokileomckapela75412 ай бұрын
Jersey nzuri sana
@shaffihsiraji31412 ай бұрын
Sheria ngoi🫡🫡🔥
@NuruMbongo2 ай бұрын
Jezi mzuri Sana Asante
@MichaelBituro2 ай бұрын
mimi wa kwanza naomba likes zangu😂😂😂
@ShukraniSadock2 ай бұрын
Dhambi zote za GSM apewe mudi
@Jackxon_tz12 ай бұрын
Jezi zinazidi kuweka rekodi
@samweledward76642 ай бұрын
Yanga Bingwa kwa kila idara
@ibrahimmwasamila64122 ай бұрын
Wananchi hatuna kazi mbovu kwani huogopi🎉🎉🎉
@magrethyeremia22792 ай бұрын
Hadi rahaaaa yanga tamuuu
@DoreenMlay-e8g2 ай бұрын
kilimanjaro uyo
@PauloFelician2 ай бұрын
Wananchiiiiiiiii
@EdsonMartin-e3k2 ай бұрын
Hiiiii team waandishii wa habarii iacheniii hivihivi
@Adje2442 ай бұрын
Mamae mmeuza bana🖐 mimi nyeusi imenivuruga kichwa na ya njano
@omarymtotela37512 ай бұрын
Nawakubali sana
@FRANKNDEGE-i1n2 ай бұрын
Nambari 2 kuview kutoka Kumamoto JAPAN
@kisinza60772 ай бұрын
Nilimuona Ah. Aly SANDA ilimvaa, ila ngowi fundi sana duuh😂
@RamsoPedro2 ай бұрын
Yanga wametisha upande wa jessy
@Kuminamoja19952 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 Nakubali
@magidalenarauya42862 ай бұрын
Bora hiyo ya njano,hiyo kijani na nyeupe sio haina mwonekano wa yanga
@josephjulius33272 ай бұрын
Yanga ni kubwaa🎉🎉🎉
@EdsonMartin-e3k2 ай бұрын
Young sc ni level nyingine jamaa, makolo cheni ushambaa aiseee ,mjipangee tunawakanda tena ,...nipo iringa jez 40,000
@IddiyNasoro2 ай бұрын
Yanga ni noma
@TwahirMohammed-x2h2 ай бұрын
Hizi jezi kweli sio zile sanda
@HamisiMashango2 ай бұрын
Ila nilitamani sana jezi ya Golikipa nayo iwe na Viwango vya juu kabisa
@omarymtotela37512 ай бұрын
Aliekuambia haina ubora nani
@radhiamussa16292 ай бұрын
Sasa baada ya Uzi mzuri tunahitaji furaha siku ya ngao ya jamii kombe tunalitaka kujizima sanda Yao kabisa na ubaya ubwela uwarudie wenyewe😂
@yasrikomba78742 ай бұрын
Uzi mzuri sana
@YahayaZiro2 ай бұрын
N uzi hata sisi simba tunaona gere
@sosomacharles99202 ай бұрын
Wenye sanda vip
@Shebe_traLove2 ай бұрын
Hakika tume jua ku eshimisha timu letu tuna Itajiii furaha yetu naleo iendeleee kwa kuja nakombe kutoka kwa madiba
@filemonkwaja61812 ай бұрын
Yanga bingwa tena
@marymoshi5722 ай бұрын
😮
@ntanilanjema042 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@radhiamussa16292 ай бұрын
Nyie hamuogopi yajayo yanafurahisha 🤣🖐️
@fahadrashid97542 ай бұрын
Nyeusi nzuri lkn kwnn nyeusi?
@faidha232 ай бұрын
Uzi mweusi ni umekaa poa
@emanuelyngoi44402 ай бұрын
Good
@thuwaibamkana96912 ай бұрын
💛💚🖤
@JumaMusa-q4y2 ай бұрын
Jezi zote kali jamaa apewe maua yake
@danielbenard90532 ай бұрын
❤❤❤
@KihigaMasoud2 ай бұрын
Woow
@selemanAbdallah-tg1ib2 ай бұрын
Hatunaga jambo dogo#wananch
@Mohd-nv3ki2 ай бұрын
❤
@gsplundi13272 ай бұрын
Kuna Jessy arf ndo eti Kuna sanda😂😂😂
@JosephKazungu-b7h2 ай бұрын
Weeeeeeeer😅😊😅😊😊😅
@mzuhatngambwa34972 ай бұрын
Komasava
@RajabuBojo-j2l2 ай бұрын
Mabingwa
@shedadiabdul6542 ай бұрын
💚💛💚💛💚💛🏅🏆💪💪💪🤲🤲🤲☝️☝️☝️
@KS-iw7qv2 ай бұрын
Mbona kule upande wa pili hatujaona Foleni mpaka Usiku.... watu kutaka jezi zao😅