Baada Ya Kuzaa Watoto Watano Bwanangu Alioa Mke Mwingine Na Kututenga

  Рет қаралды 23,666

Radio Jambo KENYA

Radio Jambo KENYA

Күн бұрын

Пікірлер: 96
@marymary4357
@marymary4357 7 жыл бұрын
Wewe siku moja utawakunbuka hao wasichana sisi tumefanya mambo makumbwa kuliko wanaume heshima kwa bibi wa kwaza
@periswarish7022
@periswarish7022 7 жыл бұрын
Wanaume jifuzeni eee mwanamke asipo zaa bala akiza wake bala toshekeni na kile umepewa na mungu
@myshylysh3554
@myshylysh3554 7 жыл бұрын
Tena 2018 ntaambia wazazi ntaolewa next yr😂Kama Hawa ndo wanaume
@aggycherry9400
@aggycherry9400 6 жыл бұрын
Mwanaume jingatype
@dxbfd8156
@dxbfd8156 7 жыл бұрын
Ifeel it ma Florence,don't mind abt this libaba, ni mjinga xana, Wewe lea watoi wako ata kama unalimia watu, ata mama yetu ametulia hivyo, sai tunamsaidia per now am working in Bahrain na sina haraka ya kuolewa, ijst need to uplift ma mam
@bantuvoicemuchaikinuthia2536
@bantuvoicemuchaikinuthia2536 6 жыл бұрын
You made me shade a tear...... Why lie..😥
@mwimbimiheso5513
@mwimbimiheso5513 7 жыл бұрын
Waaa mambo ya wake wawili ni noma.
@gracendungu5860
@gracendungu5860 7 жыл бұрын
Marrying another wife is not a problem😂😂😂the problem ni huyu mwanaume anapanda mbegu na hataki kutek responsibility 😂😂You are agemates with my dad so jipe heshima baba😂😂am dead vyenye Florence ameitika Hehehe 😂😂😂
@conniechrist9260
@conniechrist9260 7 жыл бұрын
Aki Gidi hapo kwa hesabu wewe ni 👍
@teddmulatya3362
@teddmulatya3362 4 жыл бұрын
Gidi na ghost ur wisdom is on point, I love ma flo,n wen he was broke she stood by him wen he was broke n still insist that he is going to get 3rd wife, if the 2 wife doesn't agree,kris ur a wicked man for real,hao vijana umekimbiza nao wen they grow up they will not have tym 4 u coz their mum's will tell them what you did to counting ur blood line of boy child, those girls u dispice so much will value u much than those boy's,wait till their grow up n have wives ndio utajua haujui,wen they came n ask 4 inheritance n ur very old n their want to support their beloved families,real life experience haha Kris yawa.patanisho life YOLO
@saisafaith7412
@saisafaith7412 3 жыл бұрын
Gidi is just awesome. Yeye hutumia logic ku advice watu, ukweli tu.lakini niulize, watu bado kuskiza hizo story za kuzaa vijana wengi? Hata hawa Watano hajui ku maintain
@mwendapoleee
@mwendapoleee 7 жыл бұрын
Bibi jina lake nii darling ama sweetmtima! !!!!
@madamboss348
@madamboss348 7 жыл бұрын
Exactly my mom's life 😭😭uzuri baba hakuchapa mom. Sisi tulikuwa warembo 5 kijana moja nitapenda mamangu mpka dakika ya mwisho. Upto to now our dad hatujui penye ako na ako na almost 60yrs umalaya ndio zake
@bantuvoicemuchaikinuthia2536
@bantuvoicemuchaikinuthia2536 6 жыл бұрын
Sexy lady.... You comment everywhere...😂but...I like you I follow you
@loisegitau4897
@loisegitau4897 5 жыл бұрын
Huyo bwana ni mkumbavu sana, utajua bibi wa kwanza ni Mzuri. kaa na bibi yako na watoto watano ambao MUNGU akikupea.
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 4 жыл бұрын
corona 2020
@shizzlemreal1811
@shizzlemreal1811 7 жыл бұрын
Wanaumme Kam Hawa ndo wanafanya sisi tuogope kuolewa nktt
@myshylysh3554
@myshylysh3554 7 жыл бұрын
Shizzle mreal twin 😂
@maggiealf4474
@maggiealf4474 6 жыл бұрын
Kweli kabisa
@nancyruoruo1025
@nancyruoruo1025 6 жыл бұрын
Aki kweli
@fidemuchu9349
@fidemuchu9349 7 жыл бұрын
nikifanya hesabu yangu naona nikaa nitaendelea kuishi single mmi
@natashaly940
@natashaly940 7 жыл бұрын
Fide Muchu kuwa single ni poa no stress my dear
@housekeeping977
@housekeeping977 5 жыл бұрын
Mother's in laws ndio wanaharibu ndoa za watoto wao
@oopswouw756
@oopswouw756 7 жыл бұрын
Giddy tafuta time zaidi ju hii story ilikuwa taamu eti cjui kichwa yako ilikuwa cjui😂😂😂😂😂umekatiza utamu
@tdddfdt6226
@tdddfdt6226 6 жыл бұрын
Usimrudie-huyo-mwanaume-fanya-kazi-mama-ule-watoto-wako-mimi-nina-miaka-39-watoto-watano-bwana-alinitupa-sasa-natengeza-pesa-saudi-arabia
@edithnjagi5847
@edithnjagi5847 5 жыл бұрын
waluhya mlikosea wapi jamani?😏😏😏😏
@missblessedbellablessed
@missblessedbellablessed 5 жыл бұрын
This man😠eeh....ati unakataa nikuje kukutembelea 🙌🤣😂i will land there like nobody's business
@eatiopiaethiopia3173
@eatiopiaethiopia3173 7 жыл бұрын
Heri nikwamilie huku kwa waarabu tu maana hizi ndoa majanga tu
@natashaly940
@natashaly940 7 жыл бұрын
Eatiopia Ethiopia hahaha kuwa single ni poa
@janeselineselinejane4377
@janeselineselinejane4377 4 жыл бұрын
Nyumba ziko na maneno
@joysorewitindi8542
@joysorewitindi8542 4 жыл бұрын
Huyo Bibi wa pili amekuaja ng'oo ndio unarudi kwa wa kwanza
@missblessedbellablessed
@missblessedbellablessed 5 жыл бұрын
Miezi 6....hata mtoto wa baby class can affirm ulikuwa na mshikaji huko....🙄
@ahmedalminshad1211
@ahmedalminshad1211 7 жыл бұрын
Eeeeh, Gidi wee mkali kweli waaah
@faithkiio385
@faithkiio385 7 жыл бұрын
Huyu mzee ata kujieleza ni shida 49yrs na bado unaanya bibi yako respect your family acha ujinga mzeee
@andrewmuhia2345
@andrewmuhia2345 5 жыл бұрын
Mwanaume jinga huyo
@marthaitira3966
@marthaitira3966 6 жыл бұрын
Wanaume wakioa wanashau mke wa kwanza
@beatriceomino7321
@beatriceomino7321 7 жыл бұрын
Hahahahaha huyo bwana kichwa yake si poa
@violetclara9728
@violetclara9728 6 жыл бұрын
Kiddy ambia huyo mzee mjinga kwamba mwanamme ndio anabeba xy chromosome na mwanamke ni xx so mama atatoa wapi kijana Kama hikio kidume hakijatoa y akwende huko Ni mzee nahana akili
@tdddfdt6226
@tdddfdt6226 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂-mbavu-zangu-mimi-gidi-waniuwa
@missblessedbellablessed
@missblessedbellablessed 5 жыл бұрын
😂😂😂nani alikuambia ukuje kwa radio
@oopswouw756
@oopswouw756 7 жыл бұрын
Jeheheheee nasikiza nikicoment Hata jina hajui
@trusilangolo9032
@trusilangolo9032 4 жыл бұрын
Mama enda tafutia watoto wako Nairobi achana na huyu Mzee hajielewi
@everlynemiheso5144
@everlynemiheso5144 7 жыл бұрын
You people love you kudos.nawapata loud end clear streaming online
@anthonymuskox2595
@anthonymuskox2595 7 жыл бұрын
Everlyne Miheso !!!!naomba tujuane!!!
@everlynemiheso5144
@everlynemiheso5144 7 жыл бұрын
Anthony Muskox ...well am akenyan...shabiki wa radio jambo.wife end mother of two.end what about you?
@anthonymuskox2595
@anthonymuskox2595 7 жыл бұрын
Everlyne Miheso am akenyan too !!!thought ur single but once ur married nisawa !!!! Tunaeza kua marafiki lkn?
@everlynemiheso5144
@everlynemiheso5144 7 жыл бұрын
Anthony Muskox .fine
@everlynemiheso5144
@everlynemiheso5144 7 жыл бұрын
Anthony Muskox .Noo.its better to say the truth.am nolonger single.am married.thanks alot
@serodaflorans9249
@serodaflorans9249 7 жыл бұрын
Kuwa na kichana moja si powa ..this man will not kill me ...kwani watoto munapeleka kwa show
@eunicenyawir229
@eunicenyawir229 3 жыл бұрын
"Even fools grow old"Huyu mbaba is sickening,nkt
@mumbibabzy6983
@mumbibabzy6983 7 жыл бұрын
Maisha ya ndoa mimi zii🙌🙌🙌
@manyamiracountyKemy2027
@manyamiracountyKemy2027 6 жыл бұрын
This man is a wasted chromosomes
@rexhavanilli7041
@rexhavanilli7041 5 жыл бұрын
Mwanaume suruali,mwanaume bonge la nyau jinga
@miriamnjoroge9984
@miriamnjoroge9984 7 жыл бұрын
Mapenzi nowadays wacha 2
@faithwangari9446
@faithwangari9446 7 жыл бұрын
Hahaha ngidi huyo mzee sinwaminifu kabisa anahanda bibi kabisa mimi mnoma hatuwezi kaa wawili !!
@mkenyahalisi6551
@mkenyahalisi6551 7 жыл бұрын
mwanaume msenge.at 40 stl behaving like a kid
@marynjeri4942
@marynjeri4942 7 жыл бұрын
nitajua aji niukimwi ako nae heeeeheeee
@tdddfdt6226
@tdddfdt6226 6 жыл бұрын
Gidi-mpe-ukweli-wake-huyo-mzee-wamiaka-49-mjinga
@johnmuhammad8393
@johnmuhammad8393 3 жыл бұрын
Wewe mjinga mzee
@anglefhatz9363
@anglefhatz9363 7 жыл бұрын
Huoni anaweza zaa wengine 5 bado Mungu ampe wasichana akose huyo kijana unaropoka. ... mzee hujielewi
@tdddfdt6226
@tdddfdt6226 6 жыл бұрын
Gidi-na-ghost-ngojeni-nigasi-mawein-alafu-nikule-maguluba-mwanamme-suruali-sitaki-alinizalisha-watoto-kisha-akaoa-tukaachana-sasa-niko-hail-saudi-arabia-nakunywa-laban-na-shai-nana
@blessdmum.7380
@blessdmum.7380 7 жыл бұрын
Stupid traditional.mimi niolewa nikazaa two boys na nikatupwa Macao and sio ati niko na shida ya kuza,mwenye aliolewa alikuja na vijana watatu wakubwa kuliko wangu na akaja akazaa dame I'm kiuk.now gost na gidi how can we call this.?
@bantuvoicemuchaikinuthia2536
@bantuvoicemuchaikinuthia2536 6 жыл бұрын
Madness.... lakini...What's your story... Maybe you provocked him
@everlynemulinya4233
@everlynemulinya4233 7 жыл бұрын
49 na hata huna msimamo wanaume mtatufanya mambo
@janewambui6391
@janewambui6391 6 жыл бұрын
WOOW
@oopswouw756
@oopswouw756 7 жыл бұрын
😂😂😂😂eti amezaa wametosha...saitan....pwahahahaaa
@missblessedbellablessed
@missblessedbellablessed 5 жыл бұрын
This nonesense of boy child! Its God who gives babies ! And men actually determine the sex of the baby ! Utaoa wanawake 100 but if God amesa no boy child....there will be no boy child
@anglefhatz9363
@anglefhatz9363 7 жыл бұрын
49 mzee nahuja komaa. .. ajabu na kweli mtu akuletee mke mwingine kwa nyumba loooo siku izi wanawake hatwezeki shika adhabu mzee
@washingtoneonyango1976
@washingtoneonyango1976 6 жыл бұрын
Eti wazazi walisema,nkt. Shame on you!
@ggghhbbhh7819
@ggghhbbhh7819 7 жыл бұрын
Wacha nkae single mpaka the end... jibaba jitu zima mambo yaksenge unaacha mke wako na watto tano unaenda unaenda ng'ang'ania mzee
@samueljr9105
@samueljr9105 7 жыл бұрын
Gidi muulize sasa vile kazi iliisha mamake mbona hakumpa pesa hadi sasa kijana wa pili alipelekwa kwao?
@samueljr9105
@samueljr9105 7 жыл бұрын
Yani mke mkubwa ana watoto tano na yule mwingine ana mtoto moja lakini wanagawanywa pesa swa ww mama jipe shugli huyo mzee wacha akae na mkewe na kijana wao MUJINGA HUYO
@sheillahchisika8414
@sheillahchisika8414 6 жыл бұрын
Kicheko ya ghost nayo
@TerryClarice
@TerryClarice 5 жыл бұрын
Huyu kijana anaangalia ndio atavuta bagi akunywe pombe akuje alilie hawa wasichana
@سالمالسعدي-ز9ج
@سالمالسعدي-ز9ج 7 жыл бұрын
Uyo mzee ni jeuri awache ujinga
@glorialuvandwa3256
@glorialuvandwa3256 5 жыл бұрын
waluhya wenzangu vanee😒
@agnesandalo6936
@agnesandalo6936 6 жыл бұрын
Yaani gutu gunaoa mabibi zaidi ya mmoja ammeshinda kutunza....shame on him.mjaa laana
@everlynemiheso5144
@everlynemiheso5144 7 жыл бұрын
What if uyo second wife angezaa msichana
@robbieglo7155
@robbieglo7155 5 жыл бұрын
Mwanaume mjinga uyu, kwani unajali watoto ama mabib...i eti unasimamisha pesaaaa, Chris wewe ni kondoo sana.
@missblessedbellablessed
@missblessedbellablessed 5 жыл бұрын
This man is so small minded....😇I don't care if he is an elder.....The fact is he is very small minded...Shughulikia watoto ama sasa upelekwe kotini!! Simple....the next lady to accept you ni wazimu tu ju ataachwa tena
@sweetmumwake9729
@sweetmumwake9729 7 жыл бұрын
Wewe mzee acha Ujinga yakuzikiza awazi naunateza bibi ya kwanza..Shame u baba wa 49 badilika life nigumu
@evelynelatsiah6136
@evelynelatsiah6136 6 жыл бұрын
Primitive
@anglefhatz9363
@anglefhatz9363 7 жыл бұрын
49 respect your age acha utoto Sasa family yako wana kubebaje. ... bibi wa kando unamleta amtandike mama watoi nonsense
@mirajamal3767
@mirajamal3767 5 жыл бұрын
Huyu mume ni debe tu
@mercywanjikunjoki9444
@mercywanjikunjoki9444 4 жыл бұрын
Wacha unjinga shugurikia watoto wako kubafu wwe
@mkenyahalisi6551
@mkenyahalisi6551 7 жыл бұрын
mother in law frm hell.how can you advice your son to marry another woman.kumamayo
@marthaitira3966
@marthaitira3966 6 жыл бұрын
Wanaume wakioa wanashau mke wa kwanza
Bwanangu Ana Watoto Watano Na Kila Mtoto Ana Mama Tofauti
19:46
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 30 М.
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
Lion n Mbusii wako TITI na Lipalikes
2:01
Lipalikes
Рет қаралды 1,3 М.
Lion & Mbusii Stori Za Jaba
2:24
Lipalikes
Рет қаралды 2,3 М.
PATANISHO: 10th March 2015
22:20
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 11 М.
LIVE: Education CS Ogamba releases 2024 KCSE results
1:41:42
40 Qiso┇40 Qiso Ee Ygu Saameynta Badan 2023ᴴᴰ┇► Sheekh Musdhafa Xaji Ismaciil
3:26:03
PATANISHO: Hata Akifa Mazishi Yake Nisialikwe
23:38
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 38 М.