Aaaaaasiihhh gidi ana sauti nzuri💃😎👅😍inani jazz yani #masteam.
@consolataakwabi73217 жыл бұрын
Hahaaa Wanawake mnatulet down pooow....unafuata Mtu na ako na watoi tano 😅😅😅😅😅
@marienizigiyimana67377 жыл бұрын
mtazaniya ngasheshe
@kenyanniggar3575 жыл бұрын
@@marienizigiyimana6737 kuna shida jameni?
@carolmamakebritney52667 жыл бұрын
Pole sana purity huyo mwanaume atajutia siku moja na hao watoto anakana atawatamani Kwa sasa anajiona hawaezi msaidia kesho atawahitaji
@lucywamboi8187 жыл бұрын
Sam mjinga kweli na anakiburi hehehe the father of my kid alikuwa hivyo but saizi nko stress free
@hebbytheo99192 ай бұрын
How is he now
@gracendungu58607 жыл бұрын
Tafadhalini ladies acheni kutuangusha haswa sisi wenye tunajitafutia riziki yetu........Purity open your eyes mummy........ikiwa huyu Samson ana ubaya ivyo na mko long distance je na mkiwa kwa nyumba? ????yaani hata hana adabu nikurusha tu kimdomo.............tafuta job na utasucceed bila mwanaume.....may God help you and help us single ladies 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@salmahakoth10217 жыл бұрын
Grace Ndung'u Amen
@khamisimbaji30765 жыл бұрын
kimburi cha muda
@nimuhsteve10795 жыл бұрын
Waaaah purity you are so be witched you can remain in nai na ufanye kazi pliz...ulee mtoi bona wee ushinde kulilia mwanaume tena ni jinga dume...fanya kazi
@rodahayuma2634 жыл бұрын
Shukuru mungu ni mtoto mmoja mimi ninalea watatu pekee yangu bila msaada wowote na anabonda raha akijigamba watoto watamtafuta wakiwa wakubwa mwana mke ni kujiamini
@bantuvoicemuchaikinuthia25366 жыл бұрын
Samson... Strong man...Only one month mama analia...He has his reasons
@carolinewangui68037 жыл бұрын
watoto watano bado wangu wafike sita,,,,,,stress free piteni na like washa tufue chupi za warabu
@catherinegachii67467 жыл бұрын
Caroline Wangui hizi ndoa zinaboo
@nooproblem91717 жыл бұрын
Caroline Wangui you're right dea
@carolinewangui68037 жыл бұрын
Grace Kim inabindi ukifikilia mambo ya ndoa
@emmahnjigai10157 жыл бұрын
Hapo hakuna upendo jipange dada umeanguka kweli
@mwendapoleee5 жыл бұрын
Oosha chupi mimi nasugua choo za wakaburu!😍💪👍💋💋💋💋😘😎🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Mungu atujalie na watoto wetu!
@faithkiio3857 жыл бұрын
jameni mimi sielewi kiswahili lakini hii ni noma sana purity take heart mungu atakupiganie
@serodaflorans92497 жыл бұрын
Faith Kiio !!!Amen
@yvonne42446 жыл бұрын
Faith Kiio surely this lady his every funny always unasemanga ujui Kiswahili na unacommet Kiswahili wewe faith kiio wewe ni kuma sana
@everlinenyabokenyantika33967 жыл бұрын
Nashukuru Mungu juu amenipa nguvu za kuosha choo za waarabu, sitegemei kijibaba chenye nimezaa nacho.
@nooproblem91717 жыл бұрын
Everline Nyaboke Nyantika ee gaki nainche nachi nkonagosibi
Everytime men and women please! Leave alone your differences and both of you to focus only on innocent kids jamani 😌😌😌 be merciful always please.Kids never know what you are going through 😌😌😌. You Men? Learn how to stay like Americans and God will bless you always.Wanaume mnanibo!!!Si mshughulikieni watoi wenu tu hata mkituacha sisi wamamao?😏😏😏😏😏Nsuuuuu kwendeni huko.Live in Qatar bye
@carolinetalam58326 жыл бұрын
So heartbreaking 😭 😭 this man ako na kiburi sana
@Quilant7497 жыл бұрын
Shaghala mpo?????? Tuoshe hamam beautiful women tuachane na watu kama Sam, eti alininunulia gari y 450k....sasa machozi2
@ayadddd60407 жыл бұрын
chichi back apo mum
@carolinewangui68037 жыл бұрын
chichi back tupo
@Quilant7497 жыл бұрын
Nafurai kuwaona mpo warembo wasiotegemea gari za watu😘😘😘😘😘😘😘😘penda nyinyi sana sugueni stears kabisa ....kwanza huyo mwanamke jamani eti ww ni wangapi baado anapita kwa corner eti mtoto wangu ni wa nne baadala ajibu2 mm ni wanne aache kusumbua giddy.
@cellaakeyo89125 жыл бұрын
Heeeee team hamam☝☝☝
@eunnyjanes14407 жыл бұрын
Acha kiburi Samson! !!!
@mdajhare17487 жыл бұрын
Huyo ako na wanawake mob ata siwezi tena ,amka purity n kubaya fanya kazi mtoto apate maisha mzuri mama
@mariyanegoodone1727 жыл бұрын
Noma sana..Mwanadada plzz songa mbele
@margaretkimani11377 жыл бұрын
Niwengi masingles na tunajiamini,mm niko na mtoto namaisha inaendelea.kuja gulf tupige kazi
@joanakinyi99776 жыл бұрын
Waaaaah Mimi nko tu kwa mwarabu ,,kulia ntalilia pesa tu
@hillaryogoro22185 жыл бұрын
Joan Akinyi chapa kazi mummy
@madamboss3487 жыл бұрын
Sam jua God is watching u
@kajennykandagu15757 жыл бұрын
aki I pitty that lady..may God intervene
@millicentakaranga94407 жыл бұрын
Wooi Acha nibaki single
@wakiama96095 жыл бұрын
Mwanamke bomba😃😃
@JeaneTerees7 жыл бұрын
Hi Gidi Jameni dunia Ina mambo huyo Mama awachane na huyo simba watanzania niwabaya sana wanasema wanawake wa Kenya wana maringo hapa wanauwa wanawake wakenya sana huyo Mama akicheza atajionea.gidi i Hop You treat your wife vile unavio takikana🙏🙏🙏
@alicekimani59347 жыл бұрын
You still love him n the way he is talk shit of you.....wachana na yeye kwani iko nini.....purity sema ata MTU hukufa na kuacha dunia iko nini
@alicekimani59347 жыл бұрын
Grace Kim 😂😂😂😂😂Ajipe shugli kwani iko nini ata mzazi wa mtu hukufa ama mtoto 🙄🙄🙄aaii mapenzi kitu gani....life has to go on
@lilianundisa34347 жыл бұрын
Duh hii ni Kali
@kajennykandagu15757 жыл бұрын
hahahaha gidi acha kuniua..ati mkulima wa mbegu
@minjiminjiyakahiga21187 жыл бұрын
purity mjinga ww unamfuata nn huyo.hta wa Sita Samson ako naye
@angelinekemboi10202 жыл бұрын
We don't know what happened but the man has a lot of pride.
@morinejoron83227 жыл бұрын
Mmmmg huyu Samson ni shetani hao ni binadam .aki mungu uliye juu saidia huyo mwana dada.
@mwendapoleee7 жыл бұрын
Father of the fatherless and defender for the widows is God in HIS HOLY DWELLING🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💛🎵🎶🎼🎻🎵🎶🎼🎻🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ashaali71543 жыл бұрын
Baby maker! Kweli love is blind. Jeuri sana huyu hafai hata kuongea nae mpuuzi kabisa. Purity kaa mbali na huyu mjinga.
@evaevemayamei68747 жыл бұрын
Purity take heart mungu ako nawe.love ya sam utubilie mbali juu yeye hana roho ya binadamu kabisa
@kgjffjvkhg42727 жыл бұрын
Watu wa saudia mpo? tuchape kazi kwa bidii hata gasil hammam malesh mafi mushkila riyals koyes mashalla ..mimi nmesonga hatua isay kashamba nmrpata nashkuru mungu.ok iwonder hawa hupiga simu radio jambo mostly are very young below 30 years can these yoing ladies stop forcing themselves kwa wanaume ati mapenzi mtu skikutema amekutema kama ni womanizer is areal womanizer like huyu wa purity
@fanicelutta94887 жыл бұрын
Kgjff Jvkhg @ kabisa
@Janet_xd-rj5ec7 жыл бұрын
Kgjff Jvkhg tupo
@anglefhatz93637 жыл бұрын
Tupo bado tuna osha Haman tress free
@rashidsimba36387 жыл бұрын
Dah! Huyu Jamaa ana madharau kishenzi Bali anaweza juta mbeleni xana hawezi amini kwahizo jeuri alizoleta.
@catherinegachii67467 жыл бұрын
purity jifunge kamba kiunoni utafutie mtoi pia sisi tuliachwa na watoi na tuko tu...WELCOME TO +966.. TUPIGE JOB
@carolinewangui68037 жыл бұрын
Catherine Gachii mwambie
@catherinegachii67467 жыл бұрын
Caro siku hizi hakuna kutegemea mwanaume strong woman nikujiami
@clairecalvince41667 жыл бұрын
Yes Catherine
@aishadaudy98096 жыл бұрын
Claire Calvince mammy nami nitafutie kazi uko plz
@berniceonegbmusic23244 жыл бұрын
Kuja dammam tusugue masufuria dada
@loisegitau48975 жыл бұрын
hii ni Nini? hide and sick game. Nani Mzuri hapo sasa? purity huyo mzee sio Mzuri, ni mlaghai na anapenda wanawake na uongo.
@periswairimu22557 жыл бұрын
Wacha nioshee choo zawarabu kuliko hanyo olololol mmm kazi ipo kwamhaba niko bahrini tunawapata safi
@sheillahchisika84147 жыл бұрын
Gidi leo mme pata bangi 😂😃😂😂😂😂 .
@wsamnvc99277 жыл бұрын
purty the trees a so may nomater what piga moyo konde nauendelee na maisha yeye c Mungu
@maggiealf44747 жыл бұрын
Huyu mwanaume ako na madharau sana na Mungu atamwatibu cha kutosha . Anaona yeye nikitombi kuzaa na kuwacha watoto wanawake wakiteseka nao
@fidemuchu93497 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭kwani huyo Samson ako na nni bcz ako na malingo hivi ngai anaonge vibya
@dxbfd81567 жыл бұрын
purity don't beg love plz,omba mungu utapata mwanaume, very sad,wacha nikae single woiye, Samsom utapata kichapo kutoka kwa mungu kabsa, purity Mimi pia nilifanyiwa hivyo before sai nakaa na mtoi wangu bila support kutoka kwa babake, purity kubali tu siz usilie woiye
@saidahj25437 жыл бұрын
My dear sista who bewitched yu fr real..huyo sio mwanaume ni mzalishaji huyo...dont be desperate fr man..Gidi saidieni purity to trace that tz luhya ashughulikie mtoi
@stecybeib80307 жыл бұрын
U stil luv him.tupia io luv umbwa eiish
@janekavere3 жыл бұрын
Mwana dada kuja saudi 🇸🇦 job wachana na story ya wanaume gulf ndio kiboko ya watukutu kaa hawa
@lucynduati95717 жыл бұрын
Ole wako Caroline ..but ushauli wangu ni usiwai penda mwanaume juu yaa pesa yake tafuta yako juu huyo sio kakako aweza akakuwacha any time kua mtu wa plan..then wasema wewe ni wa nne ile day ungejua kwamba huyo mwanaume ni wa kuzalisha kuwacha ungemuepuka kitambo na utaona akikufutwa ,tena dadangu usiwai jipendekeza kwa mwanaume tafuta kazi na maisha yaendelee ni wengi sana waolewa na watoto
@anastasianjorge49277 жыл бұрын
Lucy Nduati Lebanon tuko ndani , tukijitafutia riziki Wanaume most of them is stress kwanza akijua wampeda, alafu hizi mila ati huwezi peleka mtoy kwenu atakufa , go for deliverance n your kid will still survive in Jesus name
@chesiretsiret26387 жыл бұрын
watu waenda kuzaa na watz za nini jamani haya ndio masaibu nasikia kwenye intagram ya watz aki ana mdomo jamani mtanzinia ana mavuzio za uke uko kisundu woiyooooooooooo
@camiwanyama13307 жыл бұрын
waah, MUNGU saidia
@susannyambura36032 жыл бұрын
Akhiii hyu mwanaume wewe dada jipeeshughuli akhiiii hyu mwanaume ni pesa ziinamsumbua
@njeshkaris89576 жыл бұрын
Wah Dada jipe shuguli aki mwaume huyo ni kichwa ngumu
@magareevans58907 жыл бұрын
So who is saying the truth ,,, Mungu saidia
@kenyanniggar3575 жыл бұрын
bushuru?wanga wa TZ
@carolmwendwa98286 жыл бұрын
Love is nice when ur with the right person.
@goldminestelemovies1817 жыл бұрын
Woi it's about love haki
@wakiama96095 жыл бұрын
Wanawake wa Kenya kujikozea heshima kila mwanaume mtoto wa naigeria wamejaa muranga😃😃😃
@samueljr91057 жыл бұрын
Before you LOVE make sure you PHOTOCOPY YOUR HEART AND kip the original at hm just incase purity mtoto mmoja hawezi kukushibda unless uwe lazy
@gettywanjohi71627 жыл бұрын
kungekuwa na emoji za kucheka aki ningezijaza hapa....wuuiiii hii ni kali
@samueljr91057 жыл бұрын
😁😁😁😂😂😂😂
@annemmbone83267 жыл бұрын
poleni gidi na ghost MNA kazi mwanaume ana madharau
@fidewanjiku59976 жыл бұрын
Mwanaume kiburi
@joemacantony40517 жыл бұрын
purity am a man but do away with that man yeye ni A I
@mariamsuu65343 жыл бұрын
True
@ggghhbbhh78197 жыл бұрын
Wacha nsugue hamam ninunue yaplastik iwe yangu kabsa stak shida na mtu
@kenyanniggar3575 жыл бұрын
purity ni bure unatupa mtoto
@ayadddd60407 жыл бұрын
hahah sam ety ulilia na ww n noma
@kenyanniggar3575 жыл бұрын
Gidi nashuku kuna kitu mnamumunya hapo stdioniii!!
@kenyanniggar3575 жыл бұрын
unalialia ndo?uhurumiwe?
@maggiealf44747 жыл бұрын
Heri wako watano , wangu 9 na hazaidii mtoto yeyote .
@rosemanga68177 жыл бұрын
Huyu mwanaume mjinga Sana
@alimaalima60167 жыл бұрын
Haya mambo yalinifika hata sitak tena kuyasikia mapenzi shikamoo
@blesdgal3797 жыл бұрын
Huyo mwanaume ako n madharau phweeeeeeeeeeeeeew
@magmag46487 жыл бұрын
Put yourself single is better than having enjoy your life alone then ukipenda mwanamme atakuchezea work hard to help your baby future plz !!!! Purity sorry God help you
@kelvinnyagah24947 жыл бұрын
Aiiiiiii luhya wa Tz wololololo Sam uko Kenya kaa pole
@stecybeib80307 жыл бұрын
kevoh robben tuko apa maskio tu
@kelvinnyagah24947 жыл бұрын
Nakwambia luhya wa Tz maneno kwa mdomo mungu alimpatia waaa
@fredrickonchoka71527 жыл бұрын
Hizi mila achana nazo,don't beg to b loved
@kenyanniggar3575 жыл бұрын
KISWAHILI YA TZ IKAISHAA?
@lillianndanu48437 жыл бұрын
this guy is freaking rude..........mimi nikitafuta bwana watanzania noooooooooooooooooooooooooooo
@everlynemulinya42337 жыл бұрын
samson God is watching yu
@anngacheruh89116 жыл бұрын
Pesa inakusubua bt rem pesa huisha samsooon....
@marymary43577 жыл бұрын
Sam kunja kwangu ununue gari uende
@esthernzisa62844 жыл бұрын
Mama take care of your child
@nooproblem91717 жыл бұрын
Samson utakipata hivi karibuni
@mohamedomar40375 жыл бұрын
Huyu mwanaume mkatili sana inatakiwa kujua mtu kabla mshenzi sana huyu mtu rong man
@hasygucci27213 жыл бұрын
Pekee huyo jamaa kwa law
@queenlisa12867 жыл бұрын
kiherehere mwanaume thohhhhhhh
@betty5413 жыл бұрын
Jesus!
@ruthmidundo4 жыл бұрын
Heri ungewekea mtoi hizo pesa mamii
@blessdmum6507 жыл бұрын
Huyu mwanaume nimjinga sana,nasio mwanaume kamili.may God help those kids to grow well so that they may be able to depend for themselves without that bitch precence
@nooproblem91717 жыл бұрын
blessd mum amen
@kenyanniggar3575 жыл бұрын
wanawake mnalialia baada ya kufanya madhambi mhurumiwe
@عبودالرايز-ل1ل7 жыл бұрын
kwani gidi ww n mtumishi
@fidemuchu93497 жыл бұрын
😈😈😈😈😈nikio dainga reke kuhika gwikare😠😠😠😠😠
@babradomenic75647 жыл бұрын
Yaani wanawake watano mnandinywa na dick moja???????????? YUCK
@aishaelias9867 жыл бұрын
Babra Domenic yuck 🤗
@veronicahkim25477 жыл бұрын
Hao ni wenye anajua.na wenye ajui ni wangapi.4get that idiot plz
@jensbraendl87143 жыл бұрын
Huyo jamaa arudishwe kwao🤮 Jamaa kiburi
@chesiretsiret26387 жыл бұрын
nawambieni wtz ni wabya
@joyritamwende64497 жыл бұрын
Jesus Christ kinajisikia sana purity mtoi ckilema my dea wachana na yeye atapata dawa yake to malipo ni hapa hapa nkt
@aishaelias9867 жыл бұрын
i need Radio jambos number
@carolmwendwa98287 жыл бұрын
Sorry purity God akusaidie, but huyo jamaa ni malaya na hana zako.
@alicekimani59347 жыл бұрын
kweli
@favouredblessed26317 жыл бұрын
Carol Mwendwa i dated such a guy Gosh i almost became an alcoholic nilimuacha nikamaliza uni saa hizi i have good paying job married and expectant of twins nakuambia huyo jamaa calls me everyday begging me to back to him i just sit n watch karma eating him there is God in heaven
@marymary10597 жыл бұрын
ushaakua shida
@kenyanniggar3574 жыл бұрын
sioni shida ya kua na watoto hata kumi kwa mama tofauti!