BAADHI YA MASWALI YALIYO ULIZWA NA ABUU MUHAMMADI TABLIIGH/SHEYKH ABUU KHAWLAH MBWANA ABD

  Рет қаралды 3,827

Sabiilassalaf

Sabiilassalaf

Күн бұрын

Пікірлер: 99
@umuuhafswa9414
@umuuhafswa9414 2 жыл бұрын
Mashaa Allah Allah akuifadhi sheikh watu Allahuma AMIYN
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 2 жыл бұрын
Allah azidi kukuongoza
@munyanezaismail7642
@munyanezaismail7642 2 жыл бұрын
جزاكم الله خيرا
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Jazakallah khaillah shehe
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 2 жыл бұрын
Napata raha sana
@masawangandomondo185
@masawangandomondo185 2 жыл бұрын
Naam
@yahayaallytv2852
@yahayaallytv2852 2 жыл бұрын
Kimsingi tablig wako sahihi maana shehk hapa kabainisha vizur ila huenda hawapend kukosa busaraaa
@abiabi9353
@abiabi9353 2 жыл бұрын
YahyaAlly nakuunga mkono kabisa
@abuuuyaynah698
@abuuuyaynah698 2 жыл бұрын
Mhhhh
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 2 жыл бұрын
Elimu ni bahari kama mwajua balagha ndio nishasema elimu ni bahari basi kila Mvuvi na uwezo wake wa kuvua katika kina kipi cha maji atakaa ili avuwe.
@husseinabdul7948
@husseinabdul7948 2 жыл бұрын
Kwery elimu bahari ukifanya masikhara waweza zama ukafa maji
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela Жыл бұрын
Unachuki na daawa Ya Ahli Tabligh bc ndo nlichogundua kwa kinywa chako
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela Жыл бұрын
Abuu khaula mche Allaah acha kishikiwa akili yaan wapambana nawatu wanaowaingiza watu msktini acha chuki binafs et ni elim hata huyo anaekuja kusoma alikuja bila kuskia chochote kuhusu mtume au aliota tu akaja automatically Anta ajhalunnas
@husseinabdul7948
@husseinabdul7948 2 жыл бұрын
Ushauri wangu acha kuongea mambo ambayo yawezi kugarimu siku ya hesabu chukua elimu ksha ndo ujb
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 2 жыл бұрын
Msikilize sheikh
@saidabdallah5448
@saidabdallah5448 2 жыл бұрын
Sheikh unajibu swali au unamshambulia mtuu . Mbona nyinyi mnaojiita masalaf Hanna hekma ya kulingania watu mtume s.a.w angekua hivyo watu wangemkimbia
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Ulitaka akufate nyumbani kwako akuweke Sawa haponikwawote sikiliza jilekebishe basi inatosha
@husseinabdul7948
@husseinabdul7948 2 жыл бұрын
@@hanifatanzania7258 kweri elimu bahari mnakaribia kuzama ALLAH awafahamishe kwanza mi naona hya nyinyi salafi majadida eti kuwaita salafi iko cheo hamja fikia ndo maana mwavimba vichwa eti salafi unazani hyo sifa inapatikana ktk Mitandao ya kijami km hv
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 2 жыл бұрын
Kwaiyo kwa kua Imaam Maalik hakutoka nje ya Madina na mimi ndio nisitoke nje ya Mji wangu kwenda kulingani? Khooooo!Khooooo! Mjomba weeeee! Njoo Pemba utembee kwanza ule Masheli sheli.
@abdulkarimwajadi1759
@abdulkarimwajadi1759 2 жыл бұрын
shekhe anamaanisha kwamba jamaat tabligh wanasema "sisi tunawafuata waislamu tunatoka nyinyi mmekaa tu misikikitini" akajibu kwamba mtume na watu wema waliopita walitumia njia nyingi kufikisha daawa kuna wakati walitoka na kuna wakati walibakia walipo kwa kadri ya haja ww umechukua hilo la Imama Malik
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 2 жыл бұрын
Kwako umeshalingania mpaka uende nje
@husseinabdul7948
@husseinabdul7948 2 жыл бұрын
@@mussamsuya8595 rejea ktk tarekhe Mtume swallallahu gharahi wasalama makka walipo zd ktk utata alifanya ijira kuelkea madina ndo utasikia muajirina & Answar wa madina
@husseinabdul7948
@husseinabdul7948 2 жыл бұрын
Wye jibu maswaali acha jaziba jb kisomi kwanza wye usha sema mwanafunzi so ktk uwanja wa wasomi watafuta nn ndo maana unatumia jaziba kjb ujamsikia shekh Kasimu akizuia watu kuanzisha mambo ambayo hawana elimu nayo .
@abdulkarimwajadi1759
@abdulkarimwajadi1759 2 жыл бұрын
Mswali yanajibiwa kielimu au husikiii mtu anaongea anatoa dalili, ushahidi, maneno na mifano kutoka kwa wanawachuoni ww wataka nini sasa
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 2 жыл бұрын
Hamna jazba ndo saut yake
@muhamadberhe
@muhamadberhe Жыл бұрын
من لم يجعل الله له نورا فما له من نور
@muhamadberhe
@muhamadberhe Жыл бұрын
yaani wamtaja vipi shekh kasimu na wewe huwakubali masalafiy , lakini twajua nyinyi wazushi mwapenda kujificha nyuma ya baadhi ya masheikh ili Mambo yenu yawe,
@muhamadberhe
@muhamadberhe Жыл бұрын
sisi hatuna wasiwasi na majibu hayo, lakini tangu lini kiziwi akasikia
@fiqratulmuhhibonlinetv2370
@fiqratulmuhhibonlinetv2370 2 жыл бұрын
Yaani salafi me hata si waelewi wanakili gani
@abiabi9353
@abiabi9353 2 жыл бұрын
Fiqratul muhhib.hata mimi mawahabi siwaelewi
@saidmakame8867
@saidmakame8867 2 жыл бұрын
Fatilieni zaidi duruus za masalafi..... mtaelewa, na hamtajuta kuelewa. Mtakuja kunishkuru.
@abiabi9353
@abiabi9353 2 жыл бұрын
@@saidmakame8867 yani tushawafatilia sana lkn hamna hoja unajazba na ubabaishaji.utasikia wao kila kitu ni bidaa, ni shirki mara ni kufru lkn ukijaukiwatazama sana hata hiyo maana ya bidas,shirki na kufru hawajui maskini maana yake.sasa mimi huwa nawasikiliza kama comedi tu
@saidmakame8867
@saidmakame8867 2 жыл бұрын
@@abiabi9353 km hutojali ningekuomba nikutumie darsa 1 ya Shkh Kassim akifafanua maana ya SALAF, na ni kina hao MASALAF, na umuhimu wa kufuata njia ya MASALAF... Halaf kutoka hapo utasema unavopenda juu ya masalaf
@abiabi9353
@abiabi9353 2 жыл бұрын
@@saidmakame8867 Nishamsikiza kassim Mafuta lkn pia tushapambana akiwa Dodoma.lkn kama anajipya nitumie hizo lecture zake
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 2 жыл бұрын
Mawahabbi na hawa jamaa wanjiita Masalafi wanashiiiiiida Wallahi. Kwanza hawawezi kuongea kwa busara halafu wao kwao kiiila kitu ni haraaaam,bidaaa,shirki. Someni kwanza nyinyiiiii.
@husseinabdul7948
@husseinabdul7948 2 жыл бұрын
@@lameckraphael3743 tunamashaka ni hi juhudi ya salafi jadida so Lameck Raphael na uislam wapi na wapi isije ikawa nyuma kuna mgongo wa mayaudi?!!mwataka tualibia uislam .Tabligh mpaka tunavyo pigizana mikelele ktk Mitandao ziko jamati mapolini uko mashamban wako ktk dawa wanalingania ktk tawhidi watu wanasilim alafu unasemaje kwa mf?!!!...
@jumamustafa820
@jumamustafa820 Жыл бұрын
Hawa kbla ya kuwa mawahabi walikua ni masuf pia kwa hiyo umesoma wakaelewa na mpaka sasa ndo hawa mnaowaita mawahabi kwa ufaham wenu
@amiriushanga1128
@amiriushanga1128 2 жыл бұрын
Hivi wewe kishantera cha kiwahabi hivi kweli mishipa ya shingo imekutokaa macho umekodoaa povu lamdomo lakitokaa kwa upuuzi huu? Mawahabi nyinyi sibure mna matatizo yaakili
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 2 жыл бұрын
Anaongea kwel..,mm nishatoka tabligh....ni uongo na hakuna sifa sita .ni uzushi na ndoto za maulana elyasi.....waabudu makaburi
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Limeko choma na we umo nini sikiliza kwanza hatakama limekugusa iliusakimike jilekebishe
@azizimasenga3893
@azizimasenga3893 2 жыл бұрын
Anasema mtume swalalahu aleiyh wasala,alitoka nje kuwalingania watu,tabuligh wanafanyaje,acha uongo shekhe mwanzo umesema vizuri,kadri unvyoendelea unahamahama,dawa yamuongo hujulikana mapema tu.
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 2 жыл бұрын
Haya
@muhamadberhe
@muhamadberhe Жыл бұрын
Na kawaida sisi hatuwahi kulisikia jina mawahabi isipokuwa kutoka vinywa vya wazushi hususan masufi, tuliza akili upate acha kubebwa na hasira na hisia zisizo na faida
@nassirmohd2851
@nassirmohd2851 2 жыл бұрын
Jibu masuali usilete stori za uongo sikweli uongo unaosema
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 2 жыл бұрын
Kwan kwa tabligh hakuna sifa sita....?????
@muhamadberhe
@muhamadberhe Жыл бұрын
hayo matusi kwa masheikh ndio mnayoweza , alafu mkiongea sijui hawana hekma, Sasa uongo ulikuwa wapi hapo ? Jihurumie nafsi yako
@muhamadberhe
@muhamadberhe Жыл бұрын
Alafu hivi wewe unaemuita shekh muongo , waweza kutoa ushahidi wa kutosheleza au ni matamanio ya nafsi yamekukalia?
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 2 жыл бұрын
Haki imedhiri...tabligh ni waongo..,mm nimetoka ...ni usufi....na ujinga........ni ndoto za maulana ilyasa...
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Allhamdulillah
@nasibuabasi4701
@nasibuabasi4701 2 жыл бұрын
Umetoka muda gani
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 2 жыл бұрын
Najua ....na fadhail amaal...sifa sita ...jawla......taaalimu.....ikram muslimeen....zoote nazijua....HUU NI UONGO WA MAULANA ILYAS NA WAZEE WA INDIA.....NA BANGLADESH.......HIII TABLIGH CY HAKI
@nasibuabasi4701
@nasibuabasi4701 2 жыл бұрын
@@SameerMdumbemalongo nimekuuliza swali umetoka nao muda gani?
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 2 жыл бұрын
@@nasibuabasi4701 zinakaribia siku40
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
KATIKA MISINGI YA DA'WA YETU | SHEIKH ABUL QASSIM BIN MAFUTA -Allaah amhifadhi
3:57
Mirathi ya Wajawema Online
Рет қаралды 1,1 М.
أسامة الأزهري والبلطجة العلمية
22:30
بالعقل مع حسام عبد العزيز
Рет қаралды 172 М.
Ghurabaa ni Nani Abu Khawlah Mbwana Abdi - 2
1:48:02
Abu Musw'ab
Рет қаралды 1,2 М.
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН