.Baadhi ya waumini KKKT Usharika wa Ruanda wasusia ibada

  Рет қаралды 9,356

MbeyaYetuOnlineTV

MbeyaYetuOnlineTV

Күн бұрын

Пікірлер: 78
@williamlulale8791
@williamlulale8791 2 жыл бұрын
Ameshukur wote Lakini SI Mungu , sababu Mungu hajausika hata kidogo haya makampuni ya watu .
@samluku4014
@samluku4014 2 жыл бұрын
Haya ndiyo matokeo ya Phd za kichungaji.
@jimonmwakalebela9470
@jimonmwakalebela9470 2 жыл бұрын
Mungu amefanya kazi yake, ngano na magugu vimetengana , agugu yameonekana
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 2 жыл бұрын
🙏
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 2 жыл бұрын
Fanyeni kama mulowo walivyofanya wameanzisha la kwao na bahasha mpelekee mwaikali kabisa waachieni kkkt kanisa lao
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 2 жыл бұрын
Akili ya huyo dada anayedhani kuondoa na bahasha ni kulikomoa Kanisa nadhani ni chenga na unafiki Tu.Kwanza anaonekana ni mamluki wa uasi ndani ya Kanisa,lakini meisho wake ni kulaaniwa.
@barakakings
@barakakings 2 жыл бұрын
Mwasharika wa Ruanda mnacho shindwa kuelewa ni kitu kidogo sana. KKKT Tanzania ni moja tu,hizo dayosisi ni dhamana tu za kusimamia,mimi ni KKKT na nina sali popote napo jisikia na nina sharika2 huko nina Bahasha. Jumapili ijayo nakuja Ruanda kusali. Mbarikiwe
@philbertcelestin7057
@philbertcelestin7057 2 жыл бұрын
Kimsingi unaweza kusali popote lakni huwezi kuwa msharika wa sharika mbili katika eneo Moja
@julianambilinyi3341
@julianambilinyi3341 2 жыл бұрын
Walio ndani na nje wote niwatoto wa Yezeberi mama wa makahaba na ndio maana dini imeungana serikali watoto Rumi
@nurdinally3451
@nurdinally3451 2 жыл бұрын
Mzee juzi kaongea ukweli mnashangilia leo mwataka ibada gani wakati kanisa limebadilika
@jeshimbilinyi5017
@jeshimbilinyi5017 2 жыл бұрын
Nyinyi laana inawatafuna
@issotv1736
@issotv1736 2 жыл бұрын
Siasa ya dini kanisani sio jengo Bali nimtu binafsi mazoea nimabaya usiende kanisani kumuabudu mungu Bali mungu huabudiwa moyoni
@christinamshua4895
@christinamshua4895 2 жыл бұрын
Mungu mwema
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 2 жыл бұрын
Akufukuzae hakuambii toka. Ndiyo mmefukuzwa Hivyo. Hamtakiwi.
@whitemwakabanje3748
@whitemwakabanje3748 2 жыл бұрын
Inaonekana mnasali kwa wanadamu sio kwa Mungu aliye mbinguni,hata ucporudi wewe kusali watakuja 10 wengine waliokuwa wanakuona unawazuia kuingia
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 2 жыл бұрын
♥️
@atuganilengomba7121
@atuganilengomba7121 2 жыл бұрын
Mmmh
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 2 жыл бұрын
Nyie mnao hojiwa waongo mbona mwakanyamale mbona yupo nimwenyeji nendeni mkaanzishe kanisa lenu Hilo kanisa halina mwenyeji
@martinmhina608
@martinmhina608 2 жыл бұрын
Ibilisi kaupiga mwingi kwa baadhi ya hawa viumbe. Hii ni aibu.
@selemanmoses1310
@selemanmoses1310 2 жыл бұрын
Pumbavu sana nyie, kwani hao waumini mliowakuta niwaroma..? Hilo ni kanisa la KKKT maana yake mtanzania popote unaabudu, endeleeni kuwaabudu wanadamu..
@tumainimwakyaka2775
@tumainimwakyaka2775 2 жыл бұрын
Yaan n wapumbav hawa wkt hao n wagen waumin wenzao sasa hilo kanisa n Lao ama la MUNGU
@davisshao9158
@davisshao9158 2 жыл бұрын
Kanisa Ni la Mungu sio la mtu mkisusa kanisa na kazi ya Mungu itafanyika tu.
@kingmageuzi7488
@kingmageuzi7488 2 жыл бұрын
😂😂😂yani wanabeba watu kutoka mbali ili kuonesha kwamba watu walikuwa wengi wakumbuke uhuni una mwisho yani wanabeba watu daaaa
@williamlulale8791
@williamlulale8791 2 жыл бұрын
Ni siasa jengoni
@nurumbilinyi53
@nurumbilinyi53 2 жыл бұрын
Jamani vipi kwani KKAM hawana majengo? mmetangaza kuhama mnafuata nini hapo? nyie siyo waumini wa K.K.K.T
@rehemageofrey1246
@rehemageofrey1246 2 жыл бұрын
Jimbo ndo limechukuliwa hakuna kuhoji
@rehemageofrey1246
@rehemageofrey1246 2 жыл бұрын
Mungu kainua wengine haijalishi wametoka wapi
@tumainimwakyaka2775
@tumainimwakyaka2775 2 жыл бұрын
Kweli Luanda hamna akil yaan nyie mnafuata mtu ama MUNGU ama ibada pia taarifa ya wagen anapokuja kwako lazima taarifa?ndio maana umesema mgen yaan nyie ovyo kabisaaaaa
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 2 жыл бұрын
Siamini kama KKKT Ruanda hawana akili kiasi hicho viongozi wameshafukuzwa Huyu mama nail mpumbavu wa mwisho waondoke hivi wanafikiri kanisa linaendeshwa na pesa ba si roho mtakatifu? Hawa kwani Hawajui kabisa la Afrika Mashariki lilipo
@bumimsojo5359
@bumimsojo5359 2 жыл бұрын
Kwasababu mnamtegemea mwanadamu mnahaki ya kutoka.huo ni usharika wa kkkt nendeni mlikohamia.mbona mnaumia roho tuacheni na kkkt yetu
@rehemamangi2899
@rehemamangi2899 2 жыл бұрын
Wamuondoe huyo shoo na huyo askofu wao waliombandika huku konde hatumtakiiiiiiiii
@tumainimwakyaka2775
@tumainimwakyaka2775 2 жыл бұрын
We dada sio kanisan kwenu hilo n kanisa la MUNGU c lenu
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 2 жыл бұрын
Inatakiwa mtu ambaye hataki kuingia kanisani aondoke mojakwamoja ni mchochezi hatakiwi mtu yeyote kusimama nje ya kanisa
@yohanamsongole4930
@yohanamsongole4930 2 жыл бұрын
Niwasaidie wale ambao Wana mufuata muchungaji mwambola siwamufuate mwambola alafu hao wametengenenzwa sisi tumepokea matangazo kuwa kutakuwa naugeni alafu waseme hawakusikia tuache ushabiki ssmakanisayetu tunahamisha wachungaji Sasa useme unamwamini muchungaji
@tumainimwakyaka2775
@tumainimwakyaka2775 2 жыл бұрын
Hiv nyie waumini wa Luanda mbona wapumbav sna hiyo n nyumba ya MUNGU yeyote anaingia awe ametoka wap ama wap wote n wana wa MUNGU
@oliverkyara8232
@oliverkyara8232 2 жыл бұрын
Mwambola.kashavuliwa Uchungaji mnamtakia nn kama sio fujooo
@tumainimwakyaka2775
@tumainimwakyaka2775 2 жыл бұрын
Nyie mnamtumikia MUNGU ama mwanadam?
@amaniamani6391
@amaniamani6391 2 жыл бұрын
Waenndelee kukaa nje ibada ikimalizika wataondoka msijali waumini wenye utulivu wamo ndani ibada ikimalizika wataondoka in haki yao pia kukaa na kuwepo eneo LA.Manisa lkn sii lzm kusali
@kicheko1252
@kicheko1252 2 жыл бұрын
Umesema vema
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 2 жыл бұрын
Wewe ndiyo chanzo ulishauri dayosisi kiti kiende Ruanda Leo unageuka
@smwansasu8605
@smwansasu8605 2 жыл бұрын
Kama mnamsupprt mwaikali na mwangomola nendeni naye huko alikohamia. Mnachofanya ni kuendeleza fujo ambazo hazitakiwai maana Daysisi ina Askfu mpya. Nyinyi hamumtambui basi hameni na askofu wenu. Mbna wenzenu mlowo wamehama tu na hawakubaki kufanya vurugu!!! Mtakaa nje hadi lini?
@precioussilungwe7365
@precioussilungwe7365 2 жыл бұрын
Ila shetani khaaaa.....mbona umeingia mpaka kulipiga kanisa😖
@jeshimbilinyi5017
@jeshimbilinyi5017 2 жыл бұрын
Mbabe no mwaikali
@annangondya8460
@annangondya8460 2 жыл бұрын
Kwani nyie hamuwapendi wageni? Na kingine unafikiro usipotoa wewe sadaka zako Mungu anaweza kutetereka? Na kingine unasali kwa Mwaikali au kwa Mungu, na Kama hutaki kusali hapo Cha kubaki kujisemesha hapo ni nini? Jieendee nyumbani Mama kapumzike.
@bishoptvalbert4112
@bishoptvalbert4112 2 жыл бұрын
Huyo anatumika bila kujua ,UNATAKA KUABUDU MTU NA SIO MUNGU.
@ericmwankenja2050
@ericmwankenja2050 2 жыл бұрын
Kaniza ni la mungu
@eldasylyavala9622
@eldasylyavala9622 2 жыл бұрын
Kweli kuwa uyaone mmmh
@rehemageofrey1246
@rehemageofrey1246 2 жыл бұрын
Sasa si muondoke, kwani mnamwabudu mtu, suluhisho limekwisha
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Mmmmh hizi Ni siku za mwisho tunaabudu NN hapa AAA na MUNGU ATUSAIDIE SS WENYE dhambI
@richardhosea8827
@richardhosea8827 2 жыл бұрын
Mawe yatainuliwa
@ulimbagakipole7154
@ulimbagakipole7154 2 жыл бұрын
Hawa watu wakooje?. Mtu wao alipotangaza kuhamia Kanisa la Kilutheri la Afrika Mashariki. Walishangilia sana, halafu wanataka kusali tena kwenye Kanisa la KKKT. Hawakujua kuwa Kanisa Jipya haliwezi kutumia majengo ya Kanisa lingine?. Kumbe nimeanza kujua kwamba Kuna watu ni mbumbumbu kwenye mgogoro huuu. Ati Mwambola na Mwambulo na wainjilisti hao ni waumini wa Kanisa gani?. MUMELIKOROGA TU, MKUBALI YAISHE.
@jeshimbilinyi5017
@jeshimbilinyi5017 2 жыл бұрын
Shetani amejinoma
@jimonmwakalebela9470
@jimonmwakalebela9470 2 жыл бұрын
Mbona tulikuwa wengi
@edwardmalila5230
@edwardmalila5230 2 жыл бұрын
Hao waumini washamba wanaenda kanisa ni kumwabudu mtu kweli kiroho wamepotea
@rehemageofrey1246
@rehemageofrey1246 2 жыл бұрын
Hawajitambui hata
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 2 жыл бұрын
Mbona kama wenzenu wameanzisha kanisa lao? Hamjui kwamba kuna uongozi mwingine? Mbona kama Hamna adabu, yaani ningekuwa niko uko mngekoma
@markmwandu6358
@markmwandu6358 2 жыл бұрын
Fomi fankatia nompya norohara danana,
@whitemwakabanje3748
@whitemwakabanje3748 2 жыл бұрын
Inaonekana mmetongozwa na hao akina mwambola na mwambulo,maana ninyi ni Malaya tu wa mafyati
@obedlwinga9194
@obedlwinga9194 2 жыл бұрын
Pen Punguza ukali wa maneno kumbuka kuna siku ya kutoa hesabu ya maneno unayoongea
@agyjackkalwela6377
@agyjackkalwela6377 2 жыл бұрын
Umri huo unaogopa police?
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 жыл бұрын
Wapumbavu kabisa si muende mkafungue kanisa lenu
@okokatweve9235
@okokatweve9235 2 жыл бұрын
SASA NINYI BUSOKELO MNAKUJAJE NA POLISI KANISANI KWANI KUNA NINI?
@nkingwageorge7644
@nkingwageorge7644 2 жыл бұрын
Kasali bedheli
@geofreymkoko2567
@geofreymkoko2567 2 жыл бұрын
Kanisa ni mali ya Mungu Mwambola sio mchungaji kwa mujibu wa mkutano mkuu.Isitoshe mwambulo ni KKAM hapo abaki kwa lipi wapendwa tutumie akili vema si ushabiki.
@lucyenock542
@lucyenock542 2 жыл бұрын
Acheni uchochezi wapendwa hao mnaowataka wameshahamia kanisa lingine hapo kwa Sasa hapawahusu waulizeni wapo wapi ili muwafuate.
@lucyenock542
@lucyenock542 2 жыл бұрын
Mbona wenzenu wengi tu wamo ndani ????
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 2 жыл бұрын
.
@danielndam5997
@danielndam5997 2 жыл бұрын
Ondokene nyie kuondoka kwenu sio mwisho waibada
@lucyenock542
@lucyenock542 2 жыл бұрын
Msiposali nyie wengine watasali acheni kuturudisha nyuma jamani hivi nyie mnaopingana na Uongozi ni akina nani? Mwaikali mwenyewe kakubali na keshakabidhi baadhi ya vitu na trh 22 atakabidhi vilivyobaki.Kwa hiyo msituchoshe na vurugu zenu
@imanuelimwakisu2130
@imanuelimwakisu2130 2 жыл бұрын
Mtafuteni Mungu acheni kuangaika na watumishi wahasi
@ahazinelson6351
@ahazinelson6351 2 жыл бұрын
Watoto wa ndoa wako ndani wa uzinzi wako nje.
@rechomengo2923
@rechomengo2923 2 жыл бұрын
Imebidi nicheke unamaanisha watoto wa ndani ya ndoa wanaendelea kula mema
@daudimichael7338
@daudimichael7338 2 жыл бұрын
Kwani nyie si mmehamia Lutheran Afrika Mashariki, sasa mmeenda kufanya nini KKKT Dayosis ya konde usharika wa Ruanda? Au ni mapepo yanawasumbua? Sasa mtajua hamjui.
@bumimsojo5359
@bumimsojo5359 2 жыл бұрын
Umenena mtu wa Mungu.jana tulisali kwa Amani sana watu walifurahia sana ibada ilikuwa na upako wa roho mtakatifu.
@ericmwankenja2050
@ericmwankenja2050 2 жыл бұрын
Hama. Kama ujalizika
Israeli settlers make West Bank olive groves a battleground
6:10
Channel 4 News
Рет қаралды 94 М.
ТЫ В ДЕТСТВЕ КОГДА ВЫПАЛ ЗУБ😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 4 МЛН
МЕНЯ УКУСИЛ ПАУК #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,5 МЛН
Vurugu Zaibuka Kanisa KKKT Tukuyu Ibada Yavunjika,Waumini Wamzomea Askofu
7:53
KWAYA YA HALAIKI KINGEREKA   WIMBO ULIOSHINDA, JIMBO NA DAYOSISI
10:37
ELCT - ND, KingerekaParish TV
Рет қаралды 7 М.
IBADA YA JUMAPILI TAREHE 09/07/2023 K.K.K.T. DK. USHARIKA WA KINGEREKA
15:19
ELCT - ND, KingerekaParish TV
Рет қаралды 603
Meet The Lawmaker Changing Lives!
13:15
Adeola Fayehun
Рет қаралды 56 М.
ENGLISH SPEECH | PALKI SHARMA: India's Right Path (English Subtitles)
14:44
English Speeches
Рет қаралды 1 МЛН