No video

Askofu Mwaikali na wafuasi wake Wajitenga rasmi KKKT Dayosisi ya Konde wajiunga na Lutheran E.A

  Рет қаралды 20,777

MbeyaYetuOnlineTV

MbeyaYetuOnlineTV

Күн бұрын

#MbeyaYetuTv

Пікірлер: 73
@atupelemwitiki
@atupelemwitiki 2 жыл бұрын
Heri kukimbia Shari kuliko Shari kamili asante.
@venustomsombe9708
@venustomsombe9708 2 жыл бұрын
Historia huwa haidanganyi, uasi umeanza muda sana, tangu Martin Lutha.Huenda hali itakuwa mbaya zaidi kuliko hapa. Na shida ya watu hawa ni moja tu, nayo ni kupenda madaraka. Hebu angalia Muundo na utaratibu walionao Wakatoliki, ndiyo maana hawawezi kugombana hata wafikie khali kama hii.
@gaspermatee3970
@gaspermatee3970 2 жыл бұрын
Hamna kkkt africa mashariki mnahangaika tu imekula kwenu
@vailethmwakalengela1342
@vailethmwakalengela1342 2 жыл бұрын
Wapuuzi Sana hawa wanatuletea mgawanyiko usio na maana Ila wenye kkkt yetu hatuhami ng'o waache wayumbe tu wakichoka watatulia
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 2 жыл бұрын
Kkkkkkkkk mzee huyu anaonekana anapenda hela
@heriethmwamgema8785
@heriethmwamgema8785 2 жыл бұрын
Mpuuzi mmoja huyu mzee akajenge kanisa lake, anaendeshwa na Mwambola pole yake. Hapo hana chake.
@deokessy6596
@deokessy6596 2 жыл бұрын
Watu wenye lichwa cha stile hyo hawaga akili....
@atukuzwelameck4869
@atukuzwelameck4869 2 жыл бұрын
Hawa ndo wakuwatenganisha viwiliwili awa😥 shenzi sana
@tumainimwakyaka2775
@tumainimwakyaka2775 2 жыл бұрын
Kweli MUNGU awasamehe hamjui mlitendalo Mwaikali anawaongoza wote jehanam kwa tamaa za uongoz
@tumainimwakyaka2775
@tumainimwakyaka2775 2 жыл бұрын
Ila Mwaikali Mwaikali kweli pepo aliyekuingia MUNGU akuponye acha KKKT ikae km mwanzo ww kajenge lakwako kwa jina lako
@user-jl5zh6qi2w
@user-jl5zh6qi2w 3 ай бұрын
Huyu askofu anamdomo mkubwa Sana kama chai jaba
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 2 жыл бұрын
TATIZO PESA NDIYO ILIOWAITA WACHUNGAJI WENGI LEO,WENGI HATA MUNGU AWAJUI
@charlesnurumwasha7834
@charlesnurumwasha7834 2 жыл бұрын
Naomba kujua Tofauti kati ya KKAM na KKKT ipo wapi ? Wanasimamia wapi?
@williamchaula7091
@williamchaula7091 2 жыл бұрын
Njaa itakuua mwaikali na mwenzio Mwambola hamna lolote akili yote Iko kwenye sadaka
@israeleliah7163
@israeleliah7163 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@laitonsawala4323
@laitonsawala4323 2 жыл бұрын
Ni jambo jema Bali Mali za kkkt zirudishwe kkkt kwani wengi hujitenga Ila hujenga makanisa yao
@praygodmtera9907
@praygodmtera9907 2 жыл бұрын
sina mengi nilichogundua ulichokipanda ndicho utakacho vuna.Mwaikali aliwafukuza wachungaji zaidi ya 16 kazi means watafute pa kwenda mwisho wa siku yeye ndo anatafuta kwa kwenda.🙏🙏
@philbertcelestin7057
@philbertcelestin7057 2 жыл бұрын
Na amepata pa kwenda
@edinamwakitalu6115
@edinamwakitalu6115 2 жыл бұрын
Watu hamjui ukweli kazi yenu kushadadia ujinga amewaachia majengo yao na madaraka yao mnateseka mkiwa wapi
@omarinyahegs4539
@omarinyahegs4539 2 жыл бұрын
Sahizi naona mpo Afrika mashariki mngeungana pia malawi
@jonisiamdulingwamdulingwa3336
@jonisiamdulingwamdulingwa3336 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣njaa hizi acha tu
@edinamwakitalu6115
@edinamwakitalu6115 2 жыл бұрын
Mungu atamsimamia mpaka hapa alipofika ni neema
@majaliwapili7310
@majaliwapili7310 2 жыл бұрын
Mimi ushauri wangu kwenu wachungaji kama mmeitwa na Mungu hubirini habari njema watu wapone waende mbinguni ila kama mnataka pesa nendeni kwenye siasa muwaache wachungaji walio itwa na Mungu kweli sio wa mshahara kama nanyi
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 2 жыл бұрын
That's it's a meaning of religion
@danielasangalwisye6203
@danielasangalwisye6203 2 жыл бұрын
Waumini liacheni kanisa nendeni majumbani kwa kina Mwambola mkafanye ibada
@agnessjackson2743
@agnessjackson2743 2 жыл бұрын
MUNGU awatangulie mmetuchafuria sana kanisa letu mkajenge makanisa yenu muyaache hayo niya kkkt,unapatawapi ujajiri wa kutangaza kanisa ndani ya kanisa linguine tena ulilolihasi MUNGU akuponye.
@gaspermatee3970
@gaspermatee3970 2 жыл бұрын
Kkkt imemeguka sana mnaleta eti kkkt africa mashariki mnajidanya tu kwa nini isiwe kkkt mwaikali
@yunislemnge5558
@yunislemnge5558 2 жыл бұрын
Walutheri jamani anaelekea wapi huko mbeya .Mungu awalinde maana mnahitaji sana Mungu kwa hilo.
@maflowerpatrick4573
@maflowerpatrick4573 2 жыл бұрын
Kwa kweli Hali Ni mbaya
@reubenismail3672
@reubenismail3672 2 жыл бұрын
Mwaikali kaonewa Sana Ila mwakihaba uchu wa madaraka!simameni kwenye haki
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 2 жыл бұрын
Kajionea mwenyewe na kusikiliza ushauri wakijnga anaitwa kujadili mgogoro hawasomei waumini . Yamemkuta
@annangondya8460
@annangondya8460 2 жыл бұрын
Kwani mwaikali ulisaini kufanya kazi wapi? Na mjini unatafuta nini? Na kama we ni mpenda haki mbona hukutaka kukaa mkasuruhishana mapema we ukakimbilia mahakamani kufanya Nini?
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 жыл бұрын
Mpuuzi mmoja kajenge jengo la kanisa lako sio unang'ang'ania Ruanda,unajitenga unaanza na vya kwako angalia mifano ya wenzio akina kakobe n.k acha kuchonganisha wakristo kwa manufaa yako!
@heriethmwamgema8785
@heriethmwamgema8785 2 жыл бұрын
Mwambola unawadanganya watuu ukwende zako usivuruge amani hapo. Kanisa umelikuta hilo kajenge lako
@rehemageofrey1246
@rehemageofrey1246 2 жыл бұрын
Kweli tutaangamia kwa kukosa maarifa
@godmgimba8126
@godmgimba8126 2 жыл бұрын
Mwambola mwbola tamaa mbaya
@traudkamugisha8051
@traudkamugisha8051 2 жыл бұрын
kweli hawa ni wachunga mashetani
@aggreyprince3983
@aggreyprince3983 2 жыл бұрын
Ajiunge lakini Majengo ni mali ya KKKT la sivyo anataka kunyoka kama Rula jitu gani linang'ang'ania kiti
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z 11 ай бұрын
KKKT ilishajenga kanisa wapi?,makanisa wanajenga washarika,KKKT msipo acha siasa kanisani litavunjika lote.Leo kuna mkuu wa kanisani aliemaliza muda wake karudi tena kanakwamba hakuna watu wengine.
@mwasomolarehema3689
@mwasomolarehema3689 2 жыл бұрын
Hee! Nitike kolkusulo naloli mwee banyalumuli nanu mwebakatobe.
@akberyuda5950
@akberyuda5950 2 жыл бұрын
MBEGU YA UASI INAENDELEA KUWATESA
@tusekilesakilali2750
@tusekilesakilali2750 2 жыл бұрын
Mnaharibu kanisa nyie mnakeraaa sanaaaa
@tusekilesakilali2750
@tusekilesakilali2750 2 жыл бұрын
Yaan kusoma hamuwez anapicha hamuoni amkeni ninyi acheni kuharibu kanisa
@jeanmusamba3253
@jeanmusamba3253 Жыл бұрын
alisema kweli Bwana Yesu palipo na mzoga ndipo watakapo kusanyika tai
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 2 жыл бұрын
Huyu askofu mmmh
@charlesmwakajinga1248
@charlesmwakajinga1248 2 жыл бұрын
Nemdeni namapepo yenu munatamaa
@juliethkipeja4791
@juliethkipeja4791 2 жыл бұрын
Achen upuuzi Hamkatwazi kuama mmmewaiga wenzenu et
@zabronijoseph728
@zabronijoseph728 2 жыл бұрын
Kaanisa mtuachie jengeni la kwenu
@Expedito2512
@Expedito2512 2 жыл бұрын
Kama ugovi wa madaraka tu
@kambanimwanyulu7570
@kambanimwanyulu7570 2 жыл бұрын
Ameanza kuligawa kanisa
@williamchaula7091
@williamchaula7091 2 жыл бұрын
Njaa ni mbaya sana na ubinafsi ni kitu kibaya sana anapigania tumbo lake
@ramseyngwejela499
@ramseyngwejela499 2 жыл бұрын
Mbele ya safari mtagundua mlikosea Sana kupambana Kimwili.
@williamchaula7091
@williamchaula7091 2 жыл бұрын
@@ramseyngwejela499 nafikiri wanaozingatia mwili zaidi wanajulikana kwa kung'ang'ania uaskofu na kuwa tayari kuligawa kanisa ili wao wabaki na umiliki wa sadaka na tutauona huo Mwisho
@wamzimedia
@wamzimedia 2 жыл бұрын
Vita bado mbichi hii😆😆😆😂
@zabronijoseph728
@zabronijoseph728 2 жыл бұрын
Mnapotea nyie
@rehemamdoro5165
@rehemamdoro5165 2 жыл бұрын
Acheni kumfuata mtu
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 2 жыл бұрын
.
@safinashamshama4198
@safinashamshama4198 2 жыл бұрын
HAPO NDIPO MJUWE UKRISTO SIYO DINI YA MUNGU NI DINI YA WATU
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 2 жыл бұрын
Nawe kojoa ulale nyie na mapanga na mabomu
@jamesmaneno8261
@jamesmaneno8261 2 жыл бұрын
Dini yenu mbaya eti mpaka ujue lugha hiyo Moja tu ndiyo uende peponi ukijuia kiswahili huendi, kihaya huendi
@milkatweve4474
@milkatweve4474 2 жыл бұрын
Mungu awasaidie wachungaji..
@laitonsawala4323
@laitonsawala4323 2 жыл бұрын
Ni jambo jema Bali Mali za kkkt zirudishwe kkkt kwani wengi hujitenga Ila hujenga makanisa yao
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 жыл бұрын
Kabisa mpendwa
@danielasangalwisye6203
@danielasangalwisye6203 2 жыл бұрын
Waumini liacheni kanisa nendeni majumbani kwa kina Mwambola mkafanye ibada
@atupelemwitiki
@atupelemwitiki 2 жыл бұрын
Kanisa ni watu siyo vyombo,na vyombo vimetafutwa na waumini,hapo Mungu mwenyewe alitengeneze kanisa KKKT TANZANIA.
@danielasangalwisye6203
@danielasangalwisye6203 2 жыл бұрын
@@atupelemwitiki Amina japo nimemaanisha eneo la kuabudia wawaachie walio tayari kuendelea kumuabudu Mungu wao wafuatane na hao watu wao huko majumbani mwao
@atupelemwitiki
@atupelemwitiki 2 жыл бұрын
Tatizo ni uelewa tunaposema waumini waache kanisa tukaetukijua kuwa ni michango yao,Tena waumini wananguvu ya kufanyachochote kuliko wachungaji na maaskofu tunaowashabikia,Kwasababu waumini watasema ni michango yetu utajibu nini?Kikubwa Mungu atulize upepo huh mbaya ambao unapita katika kanisa.
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 2 жыл бұрын
Msidanyanyike mali zote hizo ni mali ya KKKT siyo Africa mashariki. Huo ni uhuni wizi utapeli na upumbavu. Tafuteni vyenu muanzishe hilo kanisa lenu . Hapa TANZANIA TUNA KKKT TU
@danielasangalwisye6203
@danielasangalwisye6203 2 жыл бұрын
@@godfreymasele8853 yaani hapo Mwaikali na genge lake wameonesha nia yao halisi ya kuharibu kanisa!! Uzuri wameshindwa
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 7 МЛН
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 30 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 45 МЛН
MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA.
41:29
Mwaikali akamilisha makabidhiano mali za KKKT Dayosisi ya Konde
8:07
MbeyaYetuOnlineTV
Рет қаралды 9 М.