Sioend mareka hiyo ya hovyo sanaa bora niende rusia
@abdulismail607238 минут бұрын
Yan tasnia ya habar inamsiba mkubwa mpumbavu kama huyu mic zimejaa mezan
@MultiMbongo32 минут бұрын
Babu levo story za marekani sasa basi utaonekana kituko,dunia ya sasa ni kama kijiji watu hawajafika huko na wanajua kila kitu
@shabasticmwana74254 сағат бұрын
Number one
@section8ight174Сағат бұрын
UPUUZI MTUPU!! MAREKANI SIO MBINGUNI BWANA WEE. TENGENEZENI MAREKANI HAPA HAPA BONGONYOSOO, HIZI AKILI ZA KIUTUMWA FLANI BADO HAJAKOMAA AU HANA EXPOSURE!!!
@innocentkyungai113821 минут бұрын
Mbiguni unapajua
@Bmsecret3 сағат бұрын
Baba levo akili zake ndogo sana Usa/canada Hizi nchi zinaitaji watu Wanacho taka uwe ni muhamiaji halal Kuna ufafanuzi mwingi vigumu kueka hapa lkn babalevo anaongea pumba tupu
@saidimega96152 сағат бұрын
Mbwiga uyu anaongea vitu asivo vijua vizuri
@FahadAbubakari-y3fСағат бұрын
Mshamba sana huyu jomba kaka marekani wiki basi anajifanya kamaliza marekani yote 😂😂 acha awahadithie wajomba wenzie wandewa tunamuenjoy tu
@DesertTears3 сағат бұрын
Aulizwe alikutana na machawa wangapi huko😂😂
@JPSERIESArusha4 сағат бұрын
kumb unawezaga kuongea dk moja bila kueka comedy,,,