Yaani hilo janaume kama x hasband wangu shenzi zake alikua mbinafsi baba yule loh bora sasa nina maisha yangu yaani mtu anakuona upo kwenye maisha mazuri lakini husaidii ndugu
@paulabelleghe451Сағат бұрын
huyo bwana atakua utajir wake kunanamna sio bure lazma anamashart pole kwa yote na hongera kwaushujaa
@evakessy3282Сағат бұрын
Pole sana Dada... Ila nimegundua hauko sawa kiakili mamy😢jitahd usikae peke yako jichanganye na watu ambao unahisi Amani kuwa nao.. UNAHALI YA KUSAHAU SAHAU HAPO KWA HAPO
@Deekambeautyclinic73040 минут бұрын
Nimetoka kujifungua hivyo ni kawaida kwa mzazi mpya.
@Tommaxer33 минут бұрын
Na nina msiba wa mtoto wangu bado mapema siwezi kuwa sawa dear.
@BintRasheed19992 сағат бұрын
Hatar
@kazungu-x2b2 сағат бұрын
Pole blaza taz mm mwenyewe fundi wako miliwekwa ndadi ilatu niliachiwa ntakucha
@paulabelleghe4512 сағат бұрын
mtangazaji mzuri anafanania kutangaza kam mina ally homgera sana mdogoangu utafika mbali
@jasiminihamisi55662 сағат бұрын
Nimeipenda sana my dear sister
@rojarajabu-j7y2 сағат бұрын
Nakukubali mwanangu uko poa good
@AbisnaRashidi3 сағат бұрын
Mbona nataka kuoalewa wa pili
@jideysamytz3 сағат бұрын
Nilishakuwa na mwanaume wa namna iyo mwisho wa siku yakanishinda nikaamua Bora nideal na maisha yangu mpaka Leo mtoto anamiaka mitano ajui ata mwanae anakula nini
@mariasalomemelchiorkaigaru1974Сағат бұрын
pole
@jideysamytzСағат бұрын
Kikubwa tupo na furaha sanaaa
@RitbayRitbay17 минут бұрын
Hyo asubir akue ana kikaz atakuja mwanangu tumeyaoan kwa wengi snaa
@KabenderaTijara-e9o3 сағат бұрын
Saa ingine una hakili sa ingine siioni upo vizuri bado kidogoooo
@EnjibetSamwel3 сағат бұрын
Achen jamaa kaokota huko et
@AsmaRobert3 сағат бұрын
Clam naomba ela na mm😅
@kassimrajabu78054 сағат бұрын
Zee linapenda sifa hili
@user-to6up4hg2w4 сағат бұрын
Masha Allah you're beautiful ❤❤❤❤
@ZeynabAlly-c2m4 сағат бұрын
Maneno yako ni mazuri na yanafundisha sana
@KhadijaDija-ir2hq4 сағат бұрын
Part 2 plz😢
@msowamhokole50284 сағат бұрын
Maambwa bwana mmn
@simaisalim1085 сағат бұрын
Dah kiatu chako kilikua cha zege hakivaliki
@mwachumumwachumu61166 сағат бұрын
Anza upya tu na hata ss tumetoka huko na ilikuwa hivyo mwisho tumezoea tu
@evancemsosa43796 сағат бұрын
Binti mpambanaji ila hakupata mtu sahihi,
@JokhaSaid-e1c6 сағат бұрын
Fundisho hapa kwa mabint wadogo kabla ya kuolewa mumchunguze mwanaume na khasa akiwa age go. Na uchunguzi uwe kupitia mke mkubwa kupitia hata rafiki zake
@SAFIAFOMAR45 минут бұрын
Sio mabinti wadogo tu hata sisi wakubwa tuchunguze wanaume kupitia mke, ndugu zake wakaribu, marafiki zake kabla kuingia kwenye ndoa
@JokhaSaid-e1c6 сағат бұрын
Hi ni unyanyasaji pro max
@VicentDeograsi-u1w6 сағат бұрын
Mh atari sana😢
@uwezawamungumkuu.amaniafrika7 сағат бұрын
Izo stori za shetani acheni. Wanawake wengi ndiyo chanzo cha uovu ndani ya ndoa. Alafu Wanaume wakijibu ndiyo wanaonekana wabaya na awafai, wakati ninyi ni tatizo kubwa sana kwenye maisha ya ndoa. Ukizingatia wanawake wengi awajui wanacho taka kwenye maisha yao na wanatafuta makuu yasiyo yaweza katika maisha. Ninyi wanawake, Mbinguni aliko Mungu mkuu amtaiona kwa matendo yenu juu ya Wanaume waliyo waoa.
@ndayushimiyerungarunga87127 сағат бұрын
Uaribike uwe kama Mama yako
@ndayushimiyerungarunga87127 сағат бұрын
Eti uwe munene uaribike kama Mama yako🤣🤣🤣
@MeshackPaschal-l1t8 сағат бұрын
⁸
@Itambu8 сағат бұрын
Mungu asimame na awaabishe wanao muunga shetani mkono.
@Itambu8 сағат бұрын
kwa message ndy nn?? hubiri injili ya kweli acheni mbwembwe Mungu ni Mungu tanieni ipo siku mtajuta.
@franciskajessy44688 сағат бұрын
Pole sana dada
@ErcadulleDulle9 сағат бұрын
Bora kusikiliza na kuacha kama yalivyo sina macho ya rohoni kujua nani kat yao mkweli ni kuomba mungu tu sihukumu mtu
@MontyrDfyo10 сағат бұрын
Kwani huyu nani
@RashidiHassani-b6z12 сағат бұрын
Kwan hili kanisa wanaabudi au nikanisa la kiki tu ,,mm silielewi miyayusho tu
@SabrinaBakari-p1f13 сағат бұрын
Jamani wanawake tunapitia mengi ila tunajifunza nakupenda sana mama dee
@esperanceregine2013 сағат бұрын
Kwakweli benlee unacheza viziri
@msaniiezekielkamoyani13 сағат бұрын
❤❤🎉🎉 natazama all the way from Bungoma county Kenya sihami nitanena badae 😂😂😂
@omarymwenebatu13 сағат бұрын
Hiyo ndoshida yakupenda maisha raisi na kuwapenda ambao wameshafanikiwa bila kujua wamefanikiweje badala yakumpenda ambae mtaanzamaisha yakujipanga pamoja.
@zaytunhijja677110 сағат бұрын
Looh wanaume utachuma nao vizur wakishafanikiwa tu wanatafute wakutumia nao
@EliachimSulle14 сағат бұрын
Anayejua ukweli mwenyez MUNGU
@pascalndimurwanko205114 сағат бұрын
Nimemkubalihatamimipiya
@Isayahekima15 сағат бұрын
Nawakubali sana MBENGOTV namna mnavyomhoji Mtu hadi Raha🤝
@Isayahekima15 сағат бұрын
Huyu Dada Yuko sahihi
@HalimaHassan-b7h16 сағат бұрын
Dah! Najma Yani unajina kamalakeangu ilatu,Mimi sinakipaji kama chakwako shogayangu
@Haarun-h4q17 сағат бұрын
@ Mariejo 123..hujui kitu na huna elimu juu ya mambo haya.Gozbert alipopiga magoti baada ya kupewa gari na Devi kumuwekea mikono began, pale bahati yake ndio imeondoka.