BABA LEVO AMTOLEA KHADIJA KOPA SABABU DIAMOND HATIKI KUMUOA ZUCHU/NINA NYUMZA KUMZIDI MWIJAKU NA ... #babalevo #zuchu #khadijakopa #diamondplatnamz
Пікірлер: 34
@AmosIgulubi2 ай бұрын
Nakubali Muha wa touwn
@Keddyboom2 ай бұрын
I enjoy the interview wallah
@RehemaKatana-m6l2 ай бұрын
Baba levo bana😂😂
@MargaretOmondi-pf3uz2 ай бұрын
Zuchu ni mwerevu nampongeza tena sana. Kama ni kuzaa, azae wakishaoana.
@aidaharuna55492 ай бұрын
Baba levo unasema una kazi kazi ya kuongelea wenzio vibaya kukandia maisha ya mwenzio ww umepanga na Mungu unanafikia wenzio ambao awakukosea unawasema eti ww chawa chawa manage nini haswa unafi kuchonganisha watu
@AhishakiyeAsha2 ай бұрын
Mungu akupe maisha malefu❤❤
@neemayatosha16182 ай бұрын
Sasa hii press, ilikua kuhusu Diamond au hao the Voice hebu nisaidieni........😂😂
@mjanthony48642 ай бұрын
Si unaona umewajua the Voice..
@FantanaIsmail2 ай бұрын
😂😂uyo ndio b levo baa fundi majumba 😂😂😂❤
@Jassmin-media-official2 ай бұрын
Mwijaku analamba viatu vya mwanaume mwenzie kweli mnategemea ashinde tuzo na tz tunapinga ushoga anajishusha sana mwijaku
@JenniferjloTz2 ай бұрын
Apo chacha
@Aminah-i9p2 ай бұрын
Ndio ajira iliyobaki sasa,tuongea vitu havina maana eti nyumba ndio nn
@ashaali71542 ай бұрын
Huyu akiambiwa aolewe na Diamond atafurahi kweli mmh wazazi wake wamepata hasara huyu.
@josephatSwai2 ай бұрын
Ata madale ana nyumba kumii zipo ndanii ya fesii kweli
@Aminah-i9p2 ай бұрын
Eti naenda marekani kwani ukienda ndio nn sasa, mmmh kazi ipo
@ManzabaySalim2 ай бұрын
Dada levo shoga nimetembea nchi kibao sijawahi kuona mashoga kama hawa makenge
@josephatSwai2 ай бұрын
Wandishii wetuu mmesau kulisa shoo pou amjui diamond
@janetymatola66392 ай бұрын
Fahari nasi vyote mmiliki Subuhana sisi ni wasafiri tu tunamiliki msjumba kwa muda tu
@suntzu89592 ай бұрын
mmmmmmmh milioni??????
@rubbymusa19712 ай бұрын
Mwongo huyu😢
@michelinemapendo66522 ай бұрын
Khaaaaaaa😂😂😂😂 muongo pumbavu uyu baba
@Aziza-tx4jx2 ай бұрын
@@michelinemapendo6652😂😂😂😂😂😂
@neemayatosha16182 ай бұрын
Mi nimekwama hapo kwenye swimming pools 13 na wanaume elfu ngapi wanaomtaka Zuchu😂😂😂
@OmarKalita-le9uo2 ай бұрын
Huyu jamaa kumbe ni mwehi😂😂😂😂
@speciosermusika20092 ай бұрын
Kumbe ulikuwa hujui Jamaa chizi😂😂
@FaridaHamisi-t4jАй бұрын
Huyu mbona muongo kama si mtu mzima
@JeminAbraham-f1o2 ай бұрын
Sema kabila nalo linachangia
@MsAggie52 ай бұрын
Sana
@mamsalmin67172 ай бұрын
😅😅😅
@ManzabaySalim2 ай бұрын
Unasifia mke wa pdidy ni mashoga wote
@HUpendo2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🙆🙆🙆🙆
@husnamohamed92452 ай бұрын
Naomba number ya mchoraji wa ramani ya nyumba
@speciosermusika20092 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@JeminAbraham-f1o2 ай бұрын
Yan wewe n mkristo..uñgekuwa Muslim ningekukosea unamsjudia mtu kiasi iki.