BABA LEVO na DIAMOND walivyoshindana kuimba GIDI kwenye Sound check

  Рет қаралды 25,033

Bongo Touch

Bongo Touch

2 жыл бұрын

Пікірлер: 25
@denisdavid5476
@denisdavid5476 2 жыл бұрын
Kama unakubal baba levo uchawa unampendeza gonga like apa✌️
@chawavip4615
@chawavip4615 2 жыл бұрын
B levo mtalam fund mje ngo vp broo
@josephmollel4526
@josephmollel4526 2 жыл бұрын
Wapi like za diamond platnamuz simba baba lao
@shauboe_tz5713
@shauboe_tz5713 2 жыл бұрын
B levo chawa mwenye furaha kuliko woote
@celebritygossiptv6958
@celebritygossiptv6958 2 жыл бұрын
Gidigidi one of my best song in FOA
@farajibuteta6258
@farajibuteta6258 2 жыл бұрын
Niligundua b levo baa wasafi Ana Kazi Kubwa sana ni zaidi ya uchawa
@ahmedanwar1210
@ahmedanwar1210 2 жыл бұрын
Baba levo ndio anamjulia diamond kuliko chawa wotee anajua Kula na kipofu
@zuberizr8505
@zuberizr8505 2 жыл бұрын
Simba na Gitaa ya Base nakubaliiiii
@mannash05
@mannash05 2 жыл бұрын
Mondi hatari kuliko woteee
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 2 жыл бұрын
Baba levo Fanya mazoezi ILO likitambi🤣
@vanessa-vavandikumwenayo2757
@vanessa-vavandikumwenayo2757 2 жыл бұрын
Simba haeleweki kbs👌👌 Love from🇧🇮🇧🇮
@stellah3844
@stellah3844 2 жыл бұрын
B levo baa🤣🤣🤣🤣💕💕💕💕💕💕
@ashamohamed1461
@ashamohamed1461 2 жыл бұрын
❤️❤️
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 2 жыл бұрын
Baba levo chizi 😂
@benjaminulanga6749
@benjaminulanga6749 2 жыл бұрын
Fundi
@issmuking3987
@issmuking3987 2 жыл бұрын
Najikuta naenda ngoe😀
@jumaamartin7929
@jumaamartin7929 2 жыл бұрын
Kwastaili hii simba anazidi kupaaa juu mana si kwa mapigo haya ya kifalii ipupa hapo hakuna atakae mkaribia atawaacha mbali kimatafa zaidi.mliosema hana sauti hiyo je huyo ni chiriku simba anajua anajua tena
@denismigayi8513
@denismigayi8513 2 жыл бұрын
Harmonize dawa yake
@whitelove_og369
@whitelove_og369 2 жыл бұрын
WAHUNI SIYO WATU KWELI TAZAMA HAPA kzbin.info/www/bejne/jnW0nZSDesqhY8k
@denisntinabo4018
@denisntinabo4018 2 жыл бұрын
Iv uyo babu tale kwenye Jimbo lake anafanya kazi saa ngap make naona kila daimond anako kwenda nae yupo anasikiliza sangap matatizo ya wananchi wake?
@elizabethfaustine5299
@elizabethfaustine5299 2 жыл бұрын
Wananchi wake hawajalalamika wew unaumia nini au ndo chuki
@marysiasawaki3698
@marysiasawaki3698 2 жыл бұрын
Lazima awepo maaana yeye ni manager na pia siku zote anakuwepo naye huwa siku zingine anawapa wananchi wake nafasi maana bila kufanya hivyo kazi haziendi na kwenye utafutaji lazima ujue kujigawa hilo ndilo la msingi so yeye anacheza na muda wake kama Manager wa diamond
@amosjuma4536
@amosjuma4536 2 жыл бұрын
Ukifatilia yawatu utalala murango Waz au utacherewa kufanya yako wao wapiga pesa
@salumumrishohamiss1588
@salumumrishohamiss1588 2 жыл бұрын
Fundi
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 861 М.
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 476 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 19 МЛН
Diamond Platnumz Outstanding dance performance in Oberhausen, Germany
1:55
Afromatic Generation
Рет қаралды 644 М.
Baba Levo ft Diamond Platnumz - Amen (Official Video)
3:15
Baba Levo
Рет қаралды 1,7 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 861 М.