BABU WA TIK TOK AONGEA KW MARA YA KWANZA KUHUSU VIDEO YAKE NA MREMBO HUYU

  Рет қаралды 18,352

Bongo Touch

Bongo Touch

Күн бұрын

Пікірлер: 61
@SeverinoLuis-j1h
@SeverinoLuis-j1h Ай бұрын
Babu kijana napenda sana waache washambs
@SharifaDadi-o6u
@SharifaDadi-o6u 2 ай бұрын
Mmekazana mtu mzima mlitaka awe kipande? Kilamtu ataubeba mzigo wake mwenyewe angalieni maisha yenu kilamtu nazambi zake
@feisalboy6702
@feisalboy6702 Ай бұрын
Yaani huyu mzee kakaa km ana style za uchoko uchoko hv
@ZariaAbdullah-r5t
@ZariaAbdullah-r5t 2 ай бұрын
Nawaambieni huyu nishetani anajiona. Yupo sahihi anajiona kaya patia lani jaribu kumfuatilia ndipo utamgundaaa kwa undani sana
@umranim5854
@umranim5854 2 ай бұрын
SUBHANALLAH KAISHA VUKA MIPAKA YA DINI ANASHAURIWA YA KHERI BADO ANAJIONA HANA MAKOSA JIDHAMINI KWANZA WEWE LAANA ZA WATU UNAVO LAANIWA HUPENDEZI JITU KUBWA HOVO MUNGU AKUHID AIBU KUBWA KWA FAMILIA YAKO 😏
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 2 ай бұрын
Astaghfirullah ,aibu kwa babu mana kikwetu hiyo ni tayari wajukuuzake tayari wameshazaa ,nakm hutaki uzee nakwahayo uyafanyayo , jiandae namambomengi ,iwapo unatenda mambo hayo tuyaonayo
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 ай бұрын
Aaaah kufurahi na maisha mtu hakatazwi lakini hiki kisichana ndio mtihani mkubwa si kwa msuguo huo na mzee mbele za Umma? dohh 😮😮
@Oman-m8r
@Oman-m8r Ай бұрын
ukisha lanika kutoka shida looh!
@YunisJerald
@YunisJerald 2 ай бұрын
Babu wewe 😢😢😢 unafanya nini na kitukuu.
@shadyamohamed4094
@shadyamohamed4094 2 ай бұрын
Astaghfirullah kama kituku chake dah
@MbarakSoud
@MbarakSoud 2 ай бұрын
Huyoooo anazini naaaaeeeee siyoooo bureeeee hapo ni ushahidi mkubwa hapo huyooo siyoooo mtoto anakatika kushinda ata mtu mkubwa huo ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana
@ndoanirahaonlinetv5031
@ndoanirahaonlinetv5031 2 ай бұрын
Unafundisha nini jamiii,MFANO MTOTO WAKO anaona hivyo
@user-MIO5pu1iv7o
@user-MIO5pu1iv7o 2 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢nahisi maumivu ya tumbo la uzazi Jamani huyu babu alaaniwe nini hiki??? Tuungane wote kuomboleza kwa hili pepo la kuzimu.mtoto nae awe na waangalizi jamani wazazi ama walezi dahhhhhhh😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@samwa9496
@samwa9496 2 ай бұрын
Watoto wenyewe nao washenzi
@DavidDavid-wf5ug
@DavidDavid-wf5ug 2 ай бұрын
Huyo ni mtoto KWELI kama kafungiwa Kwa hilo Duuh
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 2 ай бұрын
Jitu zima hovyooo
@JosefuSwai
@JosefuSwai 2 ай бұрын
Ovyo wake uko wapi
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 2 ай бұрын
@@JosefuSwai Na ww ndio wale wale kwahyo huwez kuona tatzo liko wap
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 2 ай бұрын
Tena liovyoooo Kam halina raz, wenziwe makamu Hayo wanatubu yy ndokwanzaaa!! anaendekez Dunia bado
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Ай бұрын
Yuko kazini asilaumiwe​@@JosefuSwai
@AbdulahiHaji-o5o
@AbdulahiHaji-o5o 2 ай бұрын
Umbwa Wewe kwani hiyo mtoto hana mzazi,unava kuuliwa
@harithwhite589
@harithwhite589 2 ай бұрын
Mbona hamuongelei kuhusu kibinti chenu
@user-MIO5pu1iv7o
@user-MIO5pu1iv7o 2 ай бұрын
Na huyu mtoto mbona kakubuhu 😢😢
@WahidaAlharthi
@WahidaAlharthi 2 ай бұрын
HASBIYA LLAHU WA NEEMA LWAKIL HASBIYA LLAHU WA NEEMA LWAKIL HUNA HAYA HUNA HAYA HUELEWI UTA. YAKUTA LAANA. ITAKUPATA
@salumazan822
@salumazan822 2 ай бұрын
Nchi ya ajabu sana hiii age fanja mtu mwengine igekuwa tatizo Mungu atamuo na wote wanamsapot
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 2 ай бұрын
Mtu mzima hasidi wewe, hukijui ata unachokiongea nyoo!! Ovyoo!! looooh
@SaidaAlly-n4i
@SaidaAlly-n4i 2 ай бұрын
Huyu babu haliombi hata siku mwisho mwema
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 2 ай бұрын
Lahovyo kwelikweli
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 ай бұрын
Laana ikishamla mtu haoni kosa ameshakufa ganzi kila jambo ovu hulisifia sana
@user-MIO5pu1iv7o
@user-MIO5pu1iv7o 2 ай бұрын
Huyu babu ni agent wa shetani
@HaroubAbdallah
@HaroubAbdallah 2 ай бұрын
Mzee nikweli mdomo ninyumba ya maneno lakini jitathmin maneno yako, umri wako na hatma yako hizi pumzi sio ujanja wetu na safari ni fupi sana anaekuambia anakupenda
@KamiliyaHamis
@KamiliyaHamis 2 ай бұрын
Huyu babu ni laana bora alivyofungiwa mtu mzima ovyo
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 ай бұрын
Hii mizee mingine haifai ilishahalibika akili kabisa ni ya kuiepuka na kukaa mbali futi mia
@chany9950
@chany9950 2 ай бұрын
Duuuh kwenda jela we shetani👺👺👺
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 2 ай бұрын
Hyuu mzee hata anafaa kufungwa kwan hyoo mzee hana watoto
@omarylucas97
@omarylucas97 2 ай бұрын
alicho manisha uludi kwa mola wako uache hayo unayo yafanya yanakwenda kinyume nadini yetu ya uwisilam
@saidgawawa8519
@saidgawawa8519 2 ай бұрын
Ujana wake yuaeza kuwa alikuwa mtu wa maana sasa uzeeni ana revenge, Allah atunusuru!
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 2 ай бұрын
Kwenye ujana alikua balaa?
@rajababdallah9239
@rajababdallah9239 2 ай бұрын
Mwanadamu akifika mahala anaona uovu wowote anaoufanya hajali na hata akiambiwa hasikii na huku mambo yake ya kidunia yamemnyookea,ki ukweli ni stage mbaya sana,ni dalili ya kuangamia. Allah atuhifadhi.na tahadhari lazima ichukuliwe.
@nicolauselias9084
@nicolauselias9084 2 ай бұрын
Chuki ni mbaya sana .katika hii dunia nimapito tu Haina haja ya kumtukana mtu kwa sababu ya starehe zake huo ndio ulevi wake kwanini mumutukane Babu wawatuuu?
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 2 ай бұрын
Zee zima kama hili ambalo limeshindwa kujitambua,eti nalenyewe linawashabiki wapumbavu wenzake.
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 2 ай бұрын
Huyu mzee kwenye ujana wake kuna stage ameiruka sasahivi kwenye uzee inamretea tabu nakujidhalilisha kwajamii
@khadi-z4o
@khadi-z4o 2 ай бұрын
MSHENZITU HUYU MZEE HAJITAMBUWI. HAWO VIJANA HAWAFANYI UJINGA KAMA HUU ,VEREJE YEYE MSHENZITU!!
@irfaanhasham1346
@irfaanhasham1346 2 ай бұрын
Mzee badilika lidi kwa allah umri huo ni wa siye vijana kukufata utupe ushauri na mawazo mambo hayo siyo sawa ingawa siyo yanayo ni husu bali we ni mzazi kama wazazi wengine ila ambadilishae allah pekee yake
@SharifaDadi-o6u
@SharifaDadi-o6u 2 ай бұрын
Mtu mzima kamzaa mama malia nyerere?
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 2 ай бұрын
Acha upuuz ww ingekua baba Yako huyo ungejiskiajee
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 2 ай бұрын
Kiukweli Kama Mzee Huyo Haya Aliyafanya Haya Ataachiwa Basi Nawengine Wasije Wakalaumiwa Maana Kiukweli Huyu Mzee Sirikali Haitakuwa Kumuaacha Huyu Mzee Nje..Kuwafanya Watu Kuzidi Kufanya Machafu Kwa Watoto N.K..Nakadhalika Awekwe Jela Mojakwamoja Maisha Yake...Nahawa Watoto Wakao Onekana Kufanya Kama Hivi Jela Myika..10/Bilakupita Mahkamani Hasbillah Waneemalwakiyl..Allah Akupe Lakumpa Yarabiy...
@hadijauledi6995
@hadijauledi6995 2 ай бұрын
Mtu mzima ovyo jiheshimu fyuzi zako ndiyo zimeunguwa😅
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 2 ай бұрын
Mjukuu wake
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 2 ай бұрын
huyu Mzee aende jela
@HamidMuhammed-go2sk
@HamidMuhammed-go2sk 2 ай бұрын
Mwamtakia mini anawakera mini karaka msada kwenu kawaeleza shida mumsaidie lakini mbona wajinga sana kumtukana mtu kwa starehe zake nyi!yo tayari mmejilewa mshafika mnakokwenda acheni usenge jamani sip vizuri ujinga wingi fikira hamna mwacheni msimfatilie maisha yake tazameni yenu wapumbavu nyinyi waovyo kabisa choyo tu na roho mbayaa looooo.
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 2 ай бұрын
Uyu mzee mshezi Tena hanazaririsha wanawake na uyo kitoto,,,iv nyie watto wa erufu mbiri mbon mnajizaririsha sana mbwaa nyieee,,,
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 2 ай бұрын
Babu anaharibu bint mdogo huyo ,na hajachukuliwa hatua??
@MejumaaKinono
@MejumaaKinono 2 ай бұрын
Anaaribu ama mtoto ndo kaaribika jamani mana Yule mtoto amezowea iyo Tabia mungu tu amuondolee lile balaaa jamani
@ZariaAbdullah-r5t
@ZariaAbdullah-r5t 2 ай бұрын
Mtu mwenye laana kila analo lifanya yeye anaona nisawa na ukimkosowa atakuona wa ajabusana na nakuona wewe ilie mkosowa hujielewi
@SaidAbdala-f7p
@SaidAbdala-f7p 2 ай бұрын
Kaburini kuna nyoka. Kila nasi itonja mauti.
@kiatu
@kiatu 2 ай бұрын
Unamtishia nyoka?-halafu akiwa amekufa
@Hadiharoun-w1w
@Hadiharoun-w1w 2 ай бұрын
Mungu akulaani
@SalmaSheha
@SalmaSheha 2 ай бұрын
Babu shetan bada kumrudia mung wew ndokwazaa unaduniya litizame lilvo jiso mavi ushapigw laaana hujiheshim
@salimkinabo5897
@salimkinabo5897 2 ай бұрын
Mtu asiyeudhika kwa kuudhiwa anakuwa ni punda
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 2 ай бұрын
Hivi nikwei hii
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,9 МЛН
NEW/MABUYU YA BIASHARA MATAMU NA YENYE FAIDA KUBWA SANA #mabuyu
5:08
WALIMDHARAU KWASABABU YA KINYAGO KUMBE NI MTOTO WA MFALME | MOVIE KWA KISWAHILI
28:46
PROF KABUDI ASHANGAZA WENGI KWA HOTUBA YAKE
37:31
Ngasa Tv
Рет қаралды 189 М.
BabuWaTikTok : INCREDIBLY INTERVIEW si ya kukosa
49:25
babloom kisauji
Рет қаралды 29 М.
'Watu hawaamini kwamba mimi ninaimba' Babu wa TikTok Tanzania
50:41
BBC News Swahili
Рет қаралды 8 М.
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24