BABA NA MAMA WAMENIKATAA |NILIKUWA SIVAI CHUPI SHULENI |NAVULIWA KILA SIKU |NIBAKI UCHI WANANICHEKA

  Рет қаралды 33,640

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
kwa Mfano
1 - WENYE MARADHI
2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
4 - UBAKAJI
5 - MATUKIO YA KIKATILI
6 - AJALI
7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
8 - WAZEE NA WATOTO
___________________________________________________________________________________
KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.

Пікірлер: 128
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 Жыл бұрын
Pole sana. Ili upone , samehe. Usiposamehe utatembea na uchungu maisha yako yote.
@mayaproducts5294
@mayaproducts5294 Жыл бұрын
Ni kweli nami nilipitia maisha haya, ila nilipo muomba MUNGU anijaalie neema ya kusamehe sasa hivi naishi kwa Amani.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Maisha ni safari,kila hatua ina changamoto ..pole sana,wewe ni mtu mzima sasa,sahau mapito,focus on the future..there is something for everyone,God is good
@Lillian-bu3ik
@Lillian-bu3ik Жыл бұрын
Dunia hii haina huruma 😭😭😭😭 Pole sana dada wanaokuzarau kunasiku watakuheshim😭
@BarnabasAbel
@BarnabasAbel Жыл бұрын
Mimi naona kusema nilikuw sivai chupi ni sahihi kabisa,huo ni ukatili wa aina yake.Enyi wazazi mnaonyanyasa watoto wenu Mungu anawaona,Huyu dada anahitaji uponyaji,Kwa sababu amekiri kabisa kuwa hawapendi ndugu zake.Dada tafuta kiongozi wa kiroho atakusaidia.Pole kwa yote.Mimi nilipita lakini shida ilikuwa umaskini wa famoliya
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
Kila mtu ana mapito yake, MUNGU AZIDI kutusaidia amen 🙏🏾🙏🏾
@rahmahussein2020
@rahmahussein2020 Жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi inauma sana ishinde nafsi ubadilishe maisha moyo wako umeumizwa sana lakini mitihani ni sehemu ya maisha utapita mtihani mungu yuko nawe atakusaidia jitahidi ukae mbali na wazazi wao ndio maumivu yako sidhani kama una dhambi kimbia uepuke mauti
@mariachalamila4894
@mariachalamila4894 Жыл бұрын
​@@rahmahussein2020😊a
@AdelinaKiwope-tt4de
@AdelinaKiwope-tt4de Жыл бұрын
Pole sana Mungu bado yupo nawe ndo maana aliupoteza ule mto bado anakusudi nawe amini atakufanyia kitu Mungu ni wawanyonge na watu wote wanaoteseka
@IjumaaMwinyihamis
@IjumaaMwinyihamis Жыл бұрын
Kwakweri watu wa mara mtakiwa muishi kwenye hifazi ya wanyama wakati ndoo mtawezana
@upendeleomolel1494
@upendeleomolel1494 Жыл бұрын
Binti pole, lakini ninalo neno Moja to kwako leo, futa machozi inuka uanze Safari Wala usilie Tena iko njia na uko mlango wa kutokea tayari bwana ameshaufanya usikate tamaa. Jipe Moto mkuu Ingawa inauma kwasababu nimama amekutebdea.poke
@vickystellah3194
@vickystellah3194 Жыл бұрын
Pole sana bint.. Nenda Kimara Temboni kwa Kuhani Musa. Utapona nafsi na milango itafunguka! Utasoma.
@victaboy7273
@victaboy7273 10 ай бұрын
Kuhani mussa ni nani? Ni mungu?
@sarahmwaluko2480
@sarahmwaluko2480 5 ай бұрын
Khaaa we nawe😢
@AdelinaKiwope-tt4de
@AdelinaKiwope-tt4de Жыл бұрын
Kwa kweli huyo bint amepata shida ambayo Mungu tuu anaweza kuwa mfariji wake maana mpito aiyopita ni makubwa kupita umri alionao ande kanisan au msikitini atafute Amani kwan akibaki hivo atabaki anateseka ndo maana analia bado Amani inahitajika
@shamzone388
@shamzone388 Жыл бұрын
Subhana allah huyo mama alikuwa katili sana Allah asitujalie kuwa na roho chafu mbaya kama hiyo
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 9 ай бұрын
Punguza kukumbuka yakale 2- usiamini imani za watu maaana maisha yako ni imani tosha kuwa Mungu yupo 3- jiepushe kufikiri mabaya juu yako wewe ni wa pekee tena mteule wa Mungu jikane tenda yaliyomema nawe utaishi kwa furaha
@hopekrish5433
@hopekrish5433 Жыл бұрын
Watu wa musoma wengi ndiyo wako ivyo mm nimelelewa na bibi yangu ni mkwaya mtu wa musoma jaman Maisha niliyo ishi Mungu ndiyo anajua 😢😢😢ni wakatili si wanawake wala wanaume watu wa musoma
@annajoseph9955
@annajoseph9955 Жыл бұрын
Wakwaya hilo kabila Lina kila baya aisee ,,,roho mbaya wao,,,ushirikina wao,,,wivu wa maendeleo wao,,kuiba waume za watu kwa madawa wao,,midomo waooo,,,,,,,,mengi tu
@JacklineManyama
@JacklineManyama Жыл бұрын
Uwiiiiiii mbn ivoooo
@waheedaw1953
@waheedaw1953 Жыл бұрын
Ooooh huruma sana Ah uyu mama Hana imani?? Mtoto wakike ndio Lulu
@AW-vt9pw
@AW-vt9pw Жыл бұрын
@khamisjina8833
@khamisjina8833 Жыл бұрын
Ni mtihani kwa kweli, huyo mama angetengwa angemuona huyo baba, na huyo baba asingetunzwa mama angeowa wapi, watu wenye tabia hizo waache kwa kweli
@gemazaabu1205
@gemazaabu1205 Жыл бұрын
Pole maisha ya utotoni yana changamoto kama mm nimezipitia hadi nikikumbuka atakama nipo barabani Majikuta nalia
@alhabsi6430
@alhabsi6430 Жыл бұрын
Maskini
@carolineachieng6156
@carolineachieng6156 Жыл бұрын
Kwani nyi watanzania mko aj e hiyo ilikuwa Hali ya wakati huo,hata nasi hapa Kenya hivyo ndivyo ilivyo hata hapa Kenya mnatoka shule mnateka maji,mnachuna mbaga,mnatafuta Kuni,na hiyo ni jioni mmetoka shule na sahii uko na home work na taa ni koroboi inaisha mafuta taa,lakini hayo yote tulikuwa tukifanya tukijua sisi ni watoto nanilazima tuifanye na tunaifanya Kwa upendo,niili mlichukuwa kama child a buse ndio maana unaichukuwa Kwa uzito.mungu akusaidie uweze kuwasamehe wote walio kukosea.
@mayaproducts5294
@mayaproducts5294 Жыл бұрын
@@carolineachieng6156 na kukatwa mapanga nako ni kawaida?
@carolineachieng6156
@carolineachieng6156 Жыл бұрын
@@mayaproducts5294 hapa na kukatwa ,hiyo sasa hata sio mateso,sioni mauji sasa lakini hata hivyo umsamehe ndio moyo wako huwe huru dadangu
@SamwelPaul-lm3zw
@SamwelPaul-lm3zw 9 ай бұрын
@@carolineachieng6156 to
@fredrickfabian7550
@fredrickfabian7550 Жыл бұрын
Mungu uwasamehe wazaz wetu nilijua haya maumivu ni mm na ndgu zangu kumbe tupo weng
@felistertesha6042
@felistertesha6042 Жыл бұрын
Mtafute Mungu akusaidie
@jeffyjerry8129
@jeffyjerry8129 11 ай бұрын
Story nime isikiliza yote lakini kuna sehemu zingine zina rushwa rushwa haiyeleweki
@SamwelPaul-lm3zw
@SamwelPaul-lm3zw Жыл бұрын
Pole sana Kwa kweli inaumiza Sana
@secyliasimon3334
@secyliasimon3334 Жыл бұрын
Mh, tumepitia mengi utazani si wazazi wa kutuzaa, wengine tulisamehe nasasa ndo wanatutegemea
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
ila wazazi wa zamani wengine hawakupenda kusomesha watoto wa kike pole sana dada wasamehe tu wazazi wako
@HayronSalmin
@HayronSalmin Жыл бұрын
Usife moyo wasamehe wazazi na wote walio kukosea ndio baraka kwako sababu hao ni wazazi na mungu ataendelea kukuokoa na majanga yote ya dunia
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Жыл бұрын
Duuh watu wa mkoa wa Mara ni wakatili sana,sasa kama watoto wako wa kuwazaa unafanyia unyama je watu Baki inakuwaje
@robikachembeho5284
@robikachembeho5284 Жыл бұрын
Sio wote jamani
@princechriss3654
@princechriss3654 Жыл бұрын
Pole sana
@zainabucharles6841
@zainabucharles6841 Жыл бұрын
Sasa wakurya mbona kawaida yao wanaolewa wadogo sana wasamehe tu ndoo Mila zenu
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Жыл бұрын
Mm ninavyowapenda watt wangu nikisikia mwanamke mwenzangu anachukia watt wake wa kuwazaa kias hicho namshangaa sana nashindwa hata nimuweke kundi gan maana hata chiz anakula jalalan lkn yupo na mtt wake na hatak hata mtu amsogelee mwanae
@KhadijaJamal-m6g
@KhadijaJamal-m6g 9 ай бұрын
Mimi nimelelewa na mama wakambo nimepitia magum pia sijawai kusahau nawala sitosahau kilanikikumbuka nalia
@eddytheophil7626
@eddytheophil7626 10 ай бұрын
Pole sana Dada Mungu atakutendea.. Pole sana..
@tabiebinda9749
@tabiebinda9749 Жыл бұрын
Pole sana dada.
@irenebarakelimnene4895
@irenebarakelimnene4895 Жыл бұрын
Wao hongera sana
@ashuumuhammad8269
@ashuumuhammad8269 9 ай бұрын
Pole sana dada hii dunia ina mambo mingi daah hivi wazazi wanawez kua na roho za kikatili huyo mama kama hajaumwa na uchungu
@tamausikanye9604
@tamausikanye9604 Жыл бұрын
uyo siyo mama yako mzazi uliza mjomba vizuri
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Maisha ya utotoni tumepitia mengi, wazazi jamani
@aronmtui597
@aronmtui597 Жыл бұрын
Huyo mama Mungu anamuona
@victaboy7273
@victaboy7273 10 ай бұрын
Duu. Mbna huyu dada ameteseka sana jamani😭😭😭😭😭😭
@fatmamansour676
@fatmamansour676 Жыл бұрын
Yaani imenitoa machozi nimeshindwa vumilia
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu atunusuri aseeee
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 10 ай бұрын
Mjomba tusaedie Hiyo maglass n poa sana, ic pate Tatizo,Asante mjonba,😂
@siwaramadhan5145
@siwaramadhan5145 9 ай бұрын
Hini mbaya sana nani anawezakufanyahi😢😢😢😢😢
@ashaanab-sy4cq
@ashaanab-sy4cq Жыл бұрын
What a story
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Pole sa n a dada.Mungu yupo.Utafanikiwa😊
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 10 ай бұрын
Kitu chenye nmeona katika dunia hii ukiwa na mzazi ambae hana maadili ya dini na nimuuzaji pombe za kienyeji huwa anakuwa katili sana tunawaona hata uku kwetu kenya akili zinabadilika wanakuwa kama wanyama..ila mungu atupi mja wake utafanikiwa tu dadangu tunasema..one day yes
@mayaproducts5294
@mayaproducts5294 Жыл бұрын
Pole sana kipenzi changu
@waheedaw1953
@waheedaw1953 Жыл бұрын
Basi kaka Zahir muulize mengine Labda mama ni ulevi pombe iyo
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 Жыл бұрын
Aaaii watu wa musoma sishangai,wako na roho yao ngumuuuu😢😢😢😢😢
@atwiyamuhammed2953
@atwiyamuhammed2953 Жыл бұрын
Waliwaasili hawataki kuwaeleza ukweli...na hao watoto wa kiume wanajua
@matridasambali6432
@matridasambali6432 8 ай бұрын
Na hapo badae mzazi utasikia anasema mtoto kamtelekeza sasa jamani mi nauliza tukiwa kama watoto tukiwa kama wazazi na pia tukiwa kama walezi je mapenzi kwa mzazi yatatoka wapi jamani hamu ya kumchukulia kama mzazi itatoka wapi ikiwa kama unapitia katika hayo ebu fiki hujawahi kupata malez kwa mama au baba umeishi kwa kuteseka kwaajil ya wazazi jamani mi naomba kwa wanaoniskia jamani kama hutaki kuzaa jizuie kuliko kuliko kuhesabiwa umezaa na mwanao anamaisha mazuri na wewe mzazi unateseka kutokana na malezi uliompa jamani jamani inaumaa!!
@alhabsi6430
@alhabsi6430 Жыл бұрын
Yarabii💔 mama gani huyu
@cecyngitu4752
@cecyngitu4752 Жыл бұрын
Aisee Pole sana jamani
@winiemwenda7824
@winiemwenda7824 11 ай бұрын
Pole dada ayo maisha wengi tumeyapitia ila mungu ndie anaejua
@dianajanes7661
@dianajanes7661 10 ай бұрын
Nimeumia sana pt 2
@danielthomasmsigwa31
@danielthomasmsigwa31 Жыл бұрын
Ya Mungu ni ngumu kuyajua mpaka ayafunue mwenyewe!
@aishaz1
@aishaz1 Жыл бұрын
ALLAH AKUFIKISHE MBALI
@JumaMabera-es7xj
@JumaMabera-es7xj Жыл бұрын
Pole dada mwenyezi mungu type moyo wa upendo
@cocorita8367
@cocorita8367 Жыл бұрын
Hajui kbsa kujieleza lol na nimkubwa 😢
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele Жыл бұрын
Kwa sababu mbili. Moja ana machungu mbili malezi
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Жыл бұрын
Mateso yakiwa mengi unashindwa hata kuyapangilia.inaumiza sana..inauma mno
@rayahamisi118
@rayahamisi118 11 ай бұрын
Salimq😊😊😊
@user-ss4fk1el5u
@user-ss4fk1el5u Жыл бұрын
Part 2 plz
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Mama wengine mh Polesana umepitia magumu
@oman8573
@oman8573 Жыл бұрын
Jaman mmm hata nguo ya ndani ulikuwa huvai bas ungekaaa tuu kimya my dear usisem mitandaon ila mmm pole
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani kwenye familiya muna siri nyingi lakini pole mdgo wangu mwenyezi mungu hato kuacha wacha wote wakutenge lakini riziki zako zipo ila umeniacha hoi ulipo sema ulikua huvai chupi
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 10 ай бұрын
Asaa Miaka 13 c imeiva we zako,
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Subuhanallah. Mzee salima. Inalillahi wsinailahi rajuun
@neemadeule2735
@neemadeule2735 Жыл бұрын
Mapito!😭
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Tuletee part 2.
@senseiamani4684
@senseiamani4684 Жыл бұрын
Ila wakurya wanaroho mbaya saana kwakweli Yani sijui kwanini
@hosea7919
@hosea7919 Жыл бұрын
Mmh salima wa kiume
@irenebarakelimnene4895
@irenebarakelimnene4895 Жыл бұрын
Pole mwanangu wazazi wengine bwana kama hawaumwi na uchungu wa uzazi
@BettyGeorge-sn2nn
@BettyGeorge-sn2nn Жыл бұрын
Wakurya wakuogopwa dah sio Sir nawaogopa mno
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo Жыл бұрын
Watu wa mala mala wakatili sana nilipata mchumba nikakataa maana wanapiga pia naukipigwa majilani hawatoki kuamulia mhmh kule nilienda kufanyakazi ila nilivyowaona ndo wako ivyo
@jeffyjerry8129
@jeffyjerry8129 11 ай бұрын
Kufanikiwa nini kwani kusoma ndo kufanikiwa
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Huyo mama mjinga sana😢
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo Жыл бұрын
Wew unaupaguzi sana kk nilikupigia ukanijibu mbovu
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Tujuze alikujibuje tujifunze
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
😂😂😂
@AssumaniNahishakiye-vq9ft
@AssumaniNahishakiye-vq9ft Жыл бұрын
Pole my wangu
@ekyochisikitaya5354
@ekyochisikitaya5354 Жыл бұрын
Kama unayo ya zungumza ni kweli basi pole sana, ao uyo mama ana matatizo ya akili?
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Ni kawaida ya watu wa mkoa wa mara hawataki watoto wa kike wasome wazazi wao wanawaozesha kwa ngombe tu hao wakulya siyo watu hao
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Жыл бұрын
Wapuuzi sana eeeh duh..!
@isayamlonganile4104
@isayamlonganile4104 Жыл бұрын
Mbona mmerusharusha hizo parts jaman
@matridasambali6432
@matridasambali6432 8 ай бұрын
Duh pole sana mimi huyo binti namuelewa sana anachomaanisha ni kweli kuna wazazi wa ivo ambae akiisha zaaa mtoto akikua anamfanya kama kitega uchumi chake bila kujali maisha ya mwanae badae na mtoto akisimamia haki yake mzazi anamchukia sana kumbe yeye lengo amtumikishe kama kwa faida yake bila kujali maisha ya mtoto ya badae lakini mzazi anapotokea kulalamika huwa husikilzwa zaid kuliko mtoto lakini tumuachie mungu tu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Huyo mama yako nimbaya na mpumbavu sana😢
@SAIDIMUKSIN-iy2op
@SAIDIMUKSIN-iy2op Жыл бұрын
Uyu dada angesoma angefanikiwa sana
@rayahamisi118
@rayahamisi118 11 ай бұрын
Inategemea mm sijasoma na nimewapita waliosoma😊😊
@zabubamudy126
@zabubamudy126 Жыл бұрын
watoto wa kike mbona ni thahabu
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Km ni salima labda ni jina la kikwao.
@rayasaid3734
@rayasaid3734 Жыл бұрын
Uliza vizuri huyo mama aliwazaa?
@salma5187
@salma5187 Жыл бұрын
Haijakamilika
@mamawawili4069
@mamawawili4069 Жыл бұрын
Wenda salim
@tigalo2284
@tigalo2284 Жыл бұрын
Watu wa mara wanapenda sana watoto wao ..i think it could a trending issues na kuchafua watu ..in a light senses hamna mzazi anaweza chukui watoto wake
@JacklineManyama
@JacklineManyama Жыл бұрын
Naungana na wewe. Huyo mzaz ana hulka mbaya
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 10 ай бұрын
Mnaroho mbayaaaaa.tena wakatili wauwaji
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Жыл бұрын
Duh...!?asee haya Maisha aseee familia hizi duh..ukute ulijirusha mtoni na anayeongea siyo wewe..tunaongea na Malaika
@hejratanzanian4765
@hejratanzanian4765 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo Жыл бұрын
Udaga ndo ugari wa uko ulinishinda na nyama nyingi uko mnadani unawekewa nakamavi sijui kanaitwa kichuri
@annajoseph9955
@annajoseph9955 Жыл бұрын
Mavi ya ng'ombe hayo ,,,,kichuli
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Unatangaza huvai chupii he haya
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 Жыл бұрын
Jamani sio leo nihapo zamani hayo ni machugu tuu
@fatmamansour676
@fatmamansour676 Жыл бұрын
Utotoni mwake lkn sio utuuuzima wake msimlaumu niwazee kosa lao
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Cha hajabu nini?
@mamawawili4069
@mamawawili4069 Жыл бұрын
Kwan ajab au katangaz anajiuz khaaa uswqhili 2😢
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@mamawawili4069 atabakwa akitangaza havai chupi
@danielthomasmsigwa31
@danielthomasmsigwa31 Жыл бұрын
Machozi yanenitoka bila kulia!
@aishaz1
@aishaz1 Жыл бұрын
Walikutesa sana mm sigelia hata!!
@sophiamvungi1425
@sophiamvungi1425 Жыл бұрын
Unahitaji ushauri nasaha maana nakuona umeathirika kisaikolojia samehe yote upate furaha ya moyo wazazi ni Mungu wa pili
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo Жыл бұрын
Kweli watu wauko mala wengi hawapendi wanawake wasome wataka waolewe maana hata sasaivi wanafanya kukaziwa na mkuu wa mkoa wakifika sekondari wanakua watoro wanaambiwa na wazazi wao kuolewa wapate Mali zakufuga ndo walivyo watu wauko
@ordaphakijazi6295
@ordaphakijazi6295 Жыл бұрын
Kwahiyo kw mjomba ulikaaje sikuzote hizo bila chupi jomon
@rhodangenzi
@rhodangenzi Жыл бұрын
Tunaomba nwendelezo jamani kisa kinaisimua sana, tunaomba kujua hatima yake, dunia ina mambo, mm.naamini huyo ni mama wa kambo, na nisingediriki kurudi tena kwa hao wazazi feki
@samhadas788
@samhadas788 Жыл бұрын
Hawo ni wabongo kweli ?
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Damu nzito kuliko maji
@Mogoi-md3zu
@Mogoi-md3zu Жыл бұрын
Kila kitu hukumbuki lakini Julia unakumbuka.Enda ukikumbuka urudi utuambie.
MAMA MKWE AONGEA |MWANANGU KAUWAWA KWA RISASI |PANYA ROAD |ZABIBU MSIBA
30:27
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 189 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 59 МЛН
小丑在游泳池做什么#short #angel #clown
00:13
Super Beauty team
Рет қаралды 37 МЛН
UTASHANGAA!! BINTI WA MWAKA 1995 MWENYE WATOTO 6 KILA MTOTO NA BABA YAKE
48:34
MH: HALIMA BULEMBO AKATA KIU YA WANANCHI  KIGAMBONI
17:27
kigamboni tv1
Рет қаралды 133
MUME WA ZABIBU NI UTATA |AFARIKI DUNIA? |KISA KIPI?
29:13
Maximum Tv Online
Рет қаралды 21 М.
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 189 МЛН