UWII!! MUNIRA AONGEA MAZITO KUUMIZWA NA MAPENZI |NINGEKUWA IZRAEL NINGEMTOA ROHO |YAMENIUMIZA SANA

  Рет қаралды 33,334

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 405
@husnaally6776
@husnaally6776 2 жыл бұрын
Qaswida maashaallah akuna kama mama ....mungu awape mwsho mwema wa mama wooote na waliotangulia allah awape nuru ktk makaburi yao
@gracelasoi3971
@gracelasoi3971 2 жыл бұрын
Aamen
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 2 жыл бұрын
Ameen Yaarrab AlAlamiin
@nooor1120
@nooor1120 2 жыл бұрын
ALLAHUMMA aamiin yaarabb al alamiin
@salamanauthar480
@salamanauthar480 2 жыл бұрын
Aamin yarrabi
@siriyangu4724
@siriyangu4724 2 жыл бұрын
Allah humma mamiin 🤲
@aishambise6529
@aishambise6529 2 жыл бұрын
Napenda huyu bro anavyo ulizaga maswal 🔥🔥🔥🔥🙏🏻🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 2 жыл бұрын
Munira umeongea vzr sana 😢 Mungu azidi kukupa ujasili ili umlee mwanao
@fariarizaq7528
@fariarizaq7528 2 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah she's so cute more love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@khadijaali4657
@khadijaali4657 2 жыл бұрын
Hahahaa nikweli dadangu mume kibonge atakubombonda,mume mzuri ni mchele mwembamba nakupenda sana dadangu kila kitu ni nia penye nia hapakosi njia mungu atakupa mume mwenye kheri ya Allah inshallah
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Kiufupi mmekutana wote sauti zenu amazing yani nataman nilale niendelee kuwasikiliza mkipiga hadithi yani '🔥🔥🔥
@munakhamis982
@munakhamis982 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@zawadimouamed2997
@zawadimouamed2997 2 жыл бұрын
Yaaan hadi raha
@ashashafy2424
@ashashafy2424 2 жыл бұрын
Alhamdulillah umeniliza munira baada ya kusoma kasida Allah awasameh wazaz wetu na awalaze pema peponi. .....
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 жыл бұрын
Munira bint mwenye kujielewa jmn mungu akujalie uwe hivyo hivyo mwanangu jpo kuna yaliyotokea unayajutia bac cmama na Allah atakufanyia wepesi inshallah muu wangu😘😘twakupenda sana💘
@mwanamisitenga3455
@mwanamisitenga3455 2 жыл бұрын
Nakupenda bure munira
@hagarbills4023
@hagarbills4023 2 жыл бұрын
munira Mansha'Allah mdogo angu nakupenda tuu jamani Mwenyezi Mungu akujalie upate mume bora
@zainabually2968
@zainabually2968 2 жыл бұрын
Munira omba mwanaume mwenye hofu ya Mungu..ambae ataweza kukucare
@osamaalharthy4150
@osamaalharthy4150 2 жыл бұрын
Mashallah
@aishatanzania597
@aishatanzania597 2 жыл бұрын
Mashaallh 🥰🥰🥰 nakupenda sana mmy
@meselemanikitambi6716
@meselemanikitambi6716 2 жыл бұрын
Pole sana Munira kwa mitian ulioptian,mungu atakupa mume wa kher inshaallah.
@subiraabdalah5291
@subiraabdalah5291 2 жыл бұрын
Mashaallah Kila kitu unacho pitia binaadamu ni mafunzo tosha na kama unanielewa kama munira utabadilika tu kwa kadari ya allah na utayari wako pia
@aminaali792
@aminaali792 2 жыл бұрын
Masha’ALLAH munira kishuna 🥰ALLAH akuepushe na Hassad 🤲🏼❣️
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 жыл бұрын
😀😀😀jamaniii fabiiii ,,,Maa shaa llah kipind umekiwezaa
@fahmaali8945
@fahmaali8945 2 жыл бұрын
Fabi nakupenda sana maongezi yako
@bwaji_deo
@bwaji_deo 2 жыл бұрын
fahma Ali💓💓💓
@shumbanahafidh4304
@shumbanahafidh4304 2 жыл бұрын
MashaaAllah Munira superwoman. Piga kazi mpaka atakapotokea mtu sahihi na unasauti nzuri ya kuimba kasida MashaaAllah
@monadinadi5295
@monadinadi5295 2 жыл бұрын
Munira mwanangu nakupenda Sana usiache kumlea mtoto kwenye maadili mema
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 2 жыл бұрын
Mashallah 🥰 Munira umependeza , Mwenyezi Mungu Akujaalie upate Mume bora.
@siriyangu4724
@siriyangu4724 2 жыл бұрын
Amiin yarrab
@munakhamis982
@munakhamis982 2 жыл бұрын
Amin
@ladymuna4945
@ladymuna4945 2 жыл бұрын
Hongera sana Munira love you
@carolinenjoroge9092
@carolinenjoroge9092 2 жыл бұрын
Babake huyu mtoto alipomkana alimfungulia mlango wa kuchukiwa na kufurushwa. Asanteni kwa kumpa chance katika maisha.
@fairamkhan2088
@fairamkhan2088 2 жыл бұрын
Ila Munira umedanganya sehemu coz me namfatilia toka siku ya kwanza kweny sad moment stori yake ilikuwa tofauti kabisa na hiii duh🙄🙄
@user-dn7gn6ib4k
@user-dn7gn6ib4k 2 жыл бұрын
Mashallah she is beautiful
@shamzone388
@shamzone388 2 жыл бұрын
Pole ...munira kwa kaswida yako umeniliza wallah kweli mama ni noor ya dunia na akhera
@mishmash8635
@mishmash8635 2 жыл бұрын
hata mimi imenitoa machozi
@salmamtiwe8630
@salmamtiwe8630 2 жыл бұрын
Pole sana munira Yani unanikbusha mbali sana
@gracelasoi3971
@gracelasoi3971 2 жыл бұрын
Dah! Mashallah munira anang'aa mbaya kapendezaje mung azid kujaalia na update mume Bora inshaallah
@hanifaalbalushi2483
@hanifaalbalushi2483 2 жыл бұрын
Pole munira uko vizuri endelea kua msimamo
@bahlaoman6467
@bahlaoman6467 2 жыл бұрын
Munira Mashaallh una Haiba yakike Allah akuzidishie ❤️
@semenimohamed8156
@semenimohamed8156 2 жыл бұрын
Munira mzuri mashaallah
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 2 жыл бұрын
mashaAllah Allah atakuajali mume alie na kheri nawe
@agnesslyatuu8026
@agnesslyatuu8026 2 жыл бұрын
Jamani Munira wewe mzurii. Mungu akutunze na akupe mume mzurii ambaye ana hofu ya Mungu na atakaye kupenda kwelii sio atakayekuchezea.
@asinakassim1548
@asinakassim1548 2 жыл бұрын
Mashaa Allah tabaraka Allah Munira Mungu akujalie upate mumebora yaaa Rabbi.... Fabian jamani sauti iyo yazuzua macho yaita mwanamume weeee 🥰Mashaa Allah
@zawadimouamed2997
@zawadimouamed2997 2 жыл бұрын
Hakika 🤣🤣🤣
@aishajuma7813
@aishajuma7813 2 жыл бұрын
Mashallah munira wetu
@hidayaidd7368
@hidayaidd7368 2 жыл бұрын
Masharamnira
@ashaathumani3106
@ashaathumani3106 2 жыл бұрын
Minira mbona mwanzo ilituambia vingine nasasa hivi stori imebalika
@munirachangawa2928
@munirachangawa2928 2 жыл бұрын
Munira nakupenda mdogo wangu wajina wangu.Allahu atakufungulia kila la kheri.
@miskifirdausamiss5930
@miskifirdausamiss5930 2 жыл бұрын
Mansha Allah tabarakalah nakupenda sanaaa mdogo wangu munira🥰
@jaharaoman6478
@jaharaoman6478 2 жыл бұрын
Masha Allah sasa Munira anajiellewa sana
@salehsaid705
@salehsaid705 2 жыл бұрын
Fabi nikwambie kit. Hapo nimegundua kitu kwa munira .anakupenda. Kataja sifa za mwanaume anaempenda .na izo sifa. Ww unazo na km utachunguza zaidi alipokua anasema mwanaume mref kidogo kakuaangalia ww alaf kacheka fabii chukua jiko ilo 🥰🥰🥰🥰
@husseinparco9640
@husseinparco9640 2 жыл бұрын
Mashallahu munira mtt umekamilika
@lolojunior5808
@lolojunior5808 2 жыл бұрын
Hayo maneno ya mama yake, aliyapokea kitoto, ila Poa life inasonga, ila utoto sio mzuri mda mungine, pole sana kwa kurubuniwa
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 2 жыл бұрын
Pole kwa changamoto wee Pambana tuu Mwanangu,Mungu yu Upande wako
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 2 жыл бұрын
Pole mdogo wangu
@aminasaid6906
@aminasaid6906 2 жыл бұрын
Mashaa allha munira
@rubinarajabali9720
@rubinarajabali9720 2 жыл бұрын
Mashallah munira umependeza mdogo wangu
@lucyjosephniima6744
@lucyjosephniima6744 2 жыл бұрын
Pole mnira mwanangu
@gladysrodrick3228
@gladysrodrick3228 2 жыл бұрын
Munila upole wako tu navire unajitambua nakupenda sana mdogo wangu
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
Munira haitakiwi umwite mtoto wako shida Kwa maana siku zote jina linaumba hata mtume amesema waiten watoto wenu majina mazuri mazuri akimanisha ukimwita jina la ubaya ule ubaya wa Hilo jina utampata kweli Kwa hiyo jina shida liondoe kabisa na usijage kumwita mtoto wako hivo
@burudikanamaruma8950
@burudikanamaruma8950 2 жыл бұрын
Swadakta
@PpPp-io6rj
@PpPp-io6rj 2 жыл бұрын
Allah akuzidishie kila lakheri yaarab
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 2 жыл бұрын
Abadilishwe saiv bado mdogo mm natoa jina Abdul shakuru, maana mja mwenye kushuru
@burudikanamaruma8950
@burudikanamaruma8950 2 жыл бұрын
@@fatmamsiliwa8485 hiv inafaa kubadilisha Hadi kwenye Chet Cha kuzaliwa
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 2 жыл бұрын
@@burudikanamaruma8950 inafaa kabisaa tena kwa sasa itakuwa rahis sana
@hadeeegahalmawali504
@hadeeegahalmawali504 2 жыл бұрын
Wallah nimecheka hatar alafu Pole sana mdogo Wang
@munakhamis982
@munakhamis982 2 жыл бұрын
Ni pole Munira sema usimuombee dua adui yako aishi maisha marefu ili aje aone mafanikio yako baba mtt wako amekufanya ujitambue na uwe mama bora kikubwa ni kumuomb mung akupe atakae kupenda kwa dhat na sahihi na mweny khof
@dorahmavazi111
@dorahmavazi111 2 жыл бұрын
Fabi baki hapa kwenye hiki kipindi yani unaweza na sauti inafit kinoma,big up
@ashantyjojo5298
@ashantyjojo5298 2 жыл бұрын
Nampenda sanaa sana munira yani mdogo wangu MUNGU AKUPE MUME MWEMA YARRAB YANI UNAONGEA KWA KUTULIA UNA JIELEWA UNA JITAMBUA ZAIDI YA MTU MZIMA YANI ZABIBU AKUSUBIR
@agnesslyatuu8026
@agnesslyatuu8026 2 жыл бұрын
yaani kweli mdogo ila anaakilii na anajitambua saana hata mimi nampendaa sana Munira
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 2 жыл бұрын
We mdada ni muongo mnoo mungu wangu mara tanga mara dar mungu wangu ASA tushike lipi
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 2 жыл бұрын
Mara tanga mara dar eehhh mnira Acha uongooo
@aminamohd2427
@aminamohd2427 2 жыл бұрын
Maasha Allah
@rahmashaban4024
@rahmashaban4024 2 жыл бұрын
Masha Allah nakupenda sana munila
@siriyangu4724
@siriyangu4724 2 жыл бұрын
Mashallah munira mi nakupenda unaongea vtu ki ukweli yani wanaume cyo wote lkn wengine ni ao wanajivyika gozi ya kondoo ukundani ni mbwa mwitu pole munira mungu amekuvusha apo na pengine pia na upate pema kweli moyo wko umejaa maumivyu
@hadharaalli5201
@hadharaalli5201 2 жыл бұрын
Nampenda Bure munira Jamaniiii
@khadijaali4657
@khadijaali4657 2 жыл бұрын
Mashallah kumbe Munira wajua kuimba wallahi
@marymuchina1481
@marymuchina1481 2 жыл бұрын
Munira Smart girl
@faridadondo2103
@faridadondo2103 2 жыл бұрын
😂😂😂😂 munira maa shaa Allah Atakubemenda
@daathuma7843
@daathuma7843 2 жыл бұрын
Munira mtaratibu wa kuongea MashaAllah
@HappynessJose
@HappynessJose 2 жыл бұрын
Doana danganya pesa wanazitumia
@bahatikadzo8896
@bahatikadzo8896 2 жыл бұрын
Mashaallah munira
@lebaokinda6009
@lebaokinda6009 2 жыл бұрын
Fabi wajua wewe ni bonge la handsome 👌
@mwajumaissa2358
@mwajumaissa2358 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣Fabian ww ugonjwa wako ni pua na dawa yako ni kipini weraaa weraaa Daaaah huyu dd kapitia mengi mno yaan ni kitu ambacho hatokuja kusahau ktk maisha yake leo nimemsikiliza kwa makini saan halafu kanifurahisha kitu kimoja anajua kujieleza vzr pole saan Munira wangu nakuombea kwa mwenyeezi Mungu upate mume mwenye heri na ww na mwenye wingi wa Iman inshaallah zidisha du'a tu kwa Allah
@salmanassor8732
@salmanassor8732 2 жыл бұрын
Munira wetu uyoo ila fabi una uchokozi flani ivi 🤣🤣🤣
@rahmarahma920
@rahmarahma920 2 жыл бұрын
Hongera Munira nakupenda
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 2 жыл бұрын
Kweli ndugu yangu Munira wanaume baadhi yao niwaongo na kujipendelea nafsi zao tu. Wana hawachukui majukumu yao.
@swaumuabdallah6886
@swaumuabdallah6886 2 жыл бұрын
Pole munira wot tulidanganywa tukazaa mpk leo mtt miaka 8 baba hatujui alipo
@noru9028
@noru9028 2 жыл бұрын
Munira she is very smart mashallah 💕
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 2 жыл бұрын
Maashaallaah munira uko mrembo mungu akusimamie
@aishakinia4957
@aishakinia4957 2 жыл бұрын
Usijali dadangu Utapata alie na heri na ww... Nakupenda bure mdogo wangu
@nathalieswedy3653
@nathalieswedy3653 2 жыл бұрын
Nakupenda sana mumy
@aminaomaryaliy3226
@aminaomaryaliy3226 2 жыл бұрын
Maashaallah munira mzuri muxuri fabi vutsaikohilo munira nimsikivu naanaheshima pia
@aishahusseni3352
@aishahusseni3352 2 жыл бұрын
Fabi mbona kama umuelewa alafu njia moja dah chukua chombo icho kama ujaowa mtoto Yuko vizuri hahahaha mmependezana
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mwajomaessa7513
@mwajomaessa7513 2 жыл бұрын
Umenifurahisha kwelii 🤣🤣🤣🤣🤣
@hailinhelen4675
@hailinhelen4675 2 жыл бұрын
Your so cute 😍 munira love u so much😘
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 2 жыл бұрын
Mashaallaah hongera munira
@reyzuumsafiri4818
@reyzuumsafiri4818 2 жыл бұрын
Mashalah mwana ngu mungu akupeguvi
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 2 жыл бұрын
Mashallah munira kasida inahuzunisha
@salmahmasoud4333
@salmahmasoud4333 2 жыл бұрын
Mtihan sana Pole maisha Bila kupita sehemu mbovu bado ujapitia maisha ukipita magumu ndio kipimo cha Akili yako Ni utapambana vipi utajilinda vipi kibaya ukiwa na umri mdogo sana
@hanjirahaji5043
@hanjirahaji5043 Жыл бұрын
Pole sna
@ashanurdin6000
@ashanurdin6000 2 жыл бұрын
Mashallah munira umeongd kweli mdogo wangu♥️🥰🥰
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 2 жыл бұрын
Mama yangu taa yangu yahii Dunia Mama yangu taa yangu ya akhera pia😭😭😭😭😭Imeniliza jaman Shair😭😭😭Pole mdog wangu I can't imagine vipi unammis Mama😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Na Hilo Jina la mtoto munira pls kama inawezekana kubadilisha libadiliahw caus mtt anaweza Kuja kukupa shida kutoka a na Jina ulilompa linawesa kumletea matatizo😭😭😭😭😭😭yarabbyyy Shida jaman Cjui uliwaza nin munira na kutoka na na story yako mbona mwanzo kwenye sad moment ni vyengine na hapa ni vyengine jaman🙄🙄mbona unatuongopea sasa 😢☹️😱
@shamilamussa5780
@shamilamussa5780 2 жыл бұрын
Hapo ameelezea history ya mahusiano jamani kaongopa wapi
@mwantumubakari5904
@mwantumubakari5904 2 жыл бұрын
Ungesikia ya wazazi wako munira yasingekupata hayo,ila hapo umejifunza munira pole sana mwanangu
@husnaally6776
@husnaally6776 2 жыл бұрын
Sion kama kaongopa apo alieleza yaliyomkuta ktk mahusiano na ktk hayo majina mawili hilo la shida asilitumie atumie tu ilo yasri
@thulythatmustf3535
@thulythatmustf3535 2 жыл бұрын
Ni kweli IPO tofauti kabisaa
@dmitryyakovlev1312
@dmitryyakovlev1312 2 жыл бұрын
Huyu muongo mbona mwanzo alisema vingine
@subiraabdalah5291
@subiraabdalah5291 2 жыл бұрын
Huyo Binti ni mdogo sana lkn ana akili mashaallah yakikubwa kabisa allah amlinde na amhifadhi na vishawishi maana wanaume mtihani
@hanjirahaji5043
@hanjirahaji5043 Жыл бұрын
Umependeza mdogo wangu
@fatumawamie8557
@fatumawamie8557 2 жыл бұрын
Apana unadanganya mbona hiyo story unahongea uwongo cz mm ile interview ya ww na Mr zahir ni different nahiyo 🤔🤔🤔
@rahmaomary8021
@rahmaomary8021 2 жыл бұрын
Yan fabi ayo macho mie uwa nacheka sana
@salmatuleteesehem71jmnmahm59
@salmatuleteesehem71jmnmahm59 2 жыл бұрын
Ma Sha Allah nakupenda sn Munira
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
Sisikilizi munira muongo story ya mwanzo na sasaivi vitu viwili tofauti acha uwongo mdogo wangu
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 2 жыл бұрын
Nikumbushe mwanzo alisemaje
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 2 жыл бұрын
Ukiwa muongo usisahau
@ak.sasibalu1379
@ak.sasibalu1379 2 жыл бұрын
@@fatmamsiliwa8485 mwanzo Alisema alikuwa anakaa na mama yake na baba yake wa kambo na mdogo wake mmoj wa kiume, mama yake alikuwa anaumwa baba yake wa kambo alikuwa hamuhudumii mama yake hata hela ya chakula hatoi, Munira alikuwa anasoma shule ya msingi, alipokuwa anaenda shule kwenye kituo cha bodaboda dreva wa bodaboda alimtongoza na munira alikubali sababu nyumbani mama anaumwa alafu hela ya chakula hamna, alipota mpa mimba, kaenda kumwambia yale kaka wa bodaboda kaikata mimba alafu kaondoka kwenye kituo kile
@shamsamuhammad3677
@shamsamuhammad3677 2 жыл бұрын
fabi nakukubali sana unahoji vzr sanaa hata kama huelew utaelewa2
@queentoto3878
@queentoto3878 2 жыл бұрын
Daah pole sana munira ila wasichana wadogo huwa tunadaganywa kiraisi sana
@awaahassan936
@awaahassan936 2 жыл бұрын
sauti ya fabi kiboko imenimaliza ❤️❤️❤️
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 жыл бұрын
Sauti ya kutongoza ya mapenzi
@awaahassan936
@awaahassan936 2 жыл бұрын
@@zuweinaalhabsya8773 eheh dadaa
@ramlaomar7923
@ramlaomar7923 2 жыл бұрын
Si saut tu
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 2 жыл бұрын
Ohooo
@munakhamis982
@munakhamis982 2 жыл бұрын
Nyie mwez mtukufu huu jizuien na matamanio🤣🤣
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 жыл бұрын
Binti Munira anajitambuwa Aongeze bidii ya kupambana kimaisha kwa neema na rehema za MWENYEZI MUNGU atamvusha tu.
@swaumuabdallah6886
@swaumuabdallah6886 2 жыл бұрын
Munira kaza mimi super women nina miak 24 mtoto wangu Ana miaka 8 namsomesha baba alitukimbiaga tok miez 6 mpk leo atujui npo napiga maish mwanangu akosi kitu kaza munira
@halimasul6018
@halimasul6018 2 жыл бұрын
Mashaallah mdg angu allah' akusimamiee
@mohammedyhaji352
@mohammedyhaji352 Жыл бұрын
Aaaaah munila daaah aisee Mimi nakuunga mkono mimi mwenyewe ni mtu wa Tanga lakini pole Sana munila unajina zuri Kama la dada angu
@issamgonja3498
@issamgonja3498 2 жыл бұрын
Ooh
@mtumwamalikmtumwamalik1304
@mtumwamalikmtumwamalik1304 2 жыл бұрын
Sadakta ndugi yangu wanaume hawana mana kaz yao kutenda wanawake kubwa tupambane tu na maisha yetu
@salmsalmo931
@salmsalmo931 2 жыл бұрын
Umeongea point ndo maana tunakuja uarabun tuwashulikie watoto Sina hamu na mwanamme kama mdogo wangu munira
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 2 жыл бұрын
Fabi ww eti kazama hadi miguuu😂😂😂😂 ila mapenzi popote ulipo ww hufai
@mwajomaessa7513
@mwajomaessa7513 2 жыл бұрын
Daaah pole san mdogo wang
@timaosthman2304
@timaosthman2304 2 жыл бұрын
Fabi ana macho mazuri mashallau
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 2 жыл бұрын
😂😂hatamie napendaga macho yake
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 2 жыл бұрын
Ngoja nimuangalie huyo fabi kama anamacho
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
Jmn tena bs khaaaaaaa
@dollahmichael2216
@dollahmichael2216 2 жыл бұрын
Macho na sauti jmn 💋🌹
@mariammohamed3104
@mariammohamed3104 2 жыл бұрын
In..sha...Allah...mungu...atakupa...mume...mwenye...heli...na...ww
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 жыл бұрын
Pole Munira
MO DEWJ  UBAYA UBWELA
10:50
KARIAKOO CONGO TV
Рет қаралды 618
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 11 МЛН
Hii nyumba haina kasoro
3:34
DALALI WA TAIFA
Рет қаралды 24 М.
Qaswida.mahari
9:33
Dhul Khifli
Рет қаралды 3,7 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН