Hongereni sana kwaya kuu Mabibo Extenal, kwa utume huu uliotukuka Mwenyezi Mungu awabariki sana sanaa.
@EsterMasaki-cx4rl Жыл бұрын
MY HEAVEN FATHER,, bless this team.. increase more and more
@jackjacob9264 Жыл бұрын
Hongereni kwa utume mwema
@lemisonmagova1503 Жыл бұрын
Hongereni kwa utumishi huo Mungu awabari
@fadhilidanieli1478 Жыл бұрын
Hongereni saaaana
@faustinepeter8583 Жыл бұрын
kazi nzuri
@eliudshangali Жыл бұрын
Hongera nyingi Sana kwenu wahubiri wazuri
@kwayakuukkktmabiboexternal1601 Жыл бұрын
Mungu ni mwema, Utukufu ni kwa Bwana
@gracasteve3883 Жыл бұрын
Hongereni sana kwaya kuu KKKT Mabibo External hii album ina ubora wa kila kitu, ukianza audio, video appearance yenu mtu wa video alizingatia sana muda wa kuchukua video. Facial expression kutokana na message vyote ni ubora wa hali ya juu kila la heri katika kumtumikia Mungu na azidi kuwainua viwango kwenda viwango kipekee Mwl Mkemwa nikupongeze unakipaji kisichoelezeka hakika umebarikiwa.👏🏻