ALELUYA MSIFUNI MUNGU Na Kelvin B Bongole (official video)

  Рет қаралды 512,540

John Paul II Mbeya choir

John Paul II Mbeya choir

2 жыл бұрын

Kwaya ya Mt Yohane Paulo II Mbeya, Tulianza na #Mlipuko wa sifa, kisha #Ametamalaki tukakuletea #Tetemeko kisha #Kitoto cha Mbingu. Baada ya kimya kirefu Kwaya ya Mt Yohane Paulo ii Mbeya parokia ya Mt Anthony wa Padua jimbo kuu katoliki la mbeya inawakaribisha kuutazama wimbo "ALELUYA MSIFUNI MUNGU". Huu ni moja kati ya nyimbo zilizopo kwenye albamu yetu mpya inayotarajiwa kuzinduliwa na kusambazwa December 2021
Song Description
Song: ALELUYA MSIFUNI MUNGU
Lyrics: Psalm 103 & 150
Composer and arranger: Kelvin B Bongole
Chorus: John Paul Mbeya Choir (JMC)
Male Soloist: Edwin Kamala
Female Soloist: Beatrice Gwitabha
Audio and Video production: RAJO Production
Music Orchestration: Kelvin B Bongole & Ray Ufunguo.
Contacts
Contact JMC: 0783-851921, 0752-252546
johnpaulmbeyachoir@gmail.com
Contact Composer:0757-221962 (Bongole)
Instagram, facebook and twitter @ jmcmbeyachoir
"Onyesha upendo kwa ku "subscribe, share, like and comment" nawe utakua umeshiriki katika utume huu na Mungu atakubariki maradufu"
#nigusebwana #johnpaulmbeyachoir

Пікірлер: 573
@furahinimbwambo
@furahinimbwambo 2 жыл бұрын
Anaye angalia hii nyimbo karibia kila siku anipe like hapa twende pamoja.
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Amina Furahini
@drbongole
@drbongole 2 жыл бұрын
Amina Furahini
@furahinimbwambo
@furahinimbwambo 2 жыл бұрын
@@JohnPaulIIMbeyachoir pamoja sana.
@furahinimbwambo
@furahinimbwambo 2 жыл бұрын
@@drbongole pamoja sana
@monicakaranja268
@monicakaranja268 Жыл бұрын
Beautiful ❤️❤️
@drbongole
@drbongole 2 жыл бұрын
Ukuu wa Mungu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@favouredwambuijn3054
@favouredwambuijn3054 2 жыл бұрын
Perfect!!!! Very well done.May Almighty God bless you and all the choir mightily.Big up too to Betty.Best piece ever.Through this most unique piece,may God expand your territories. Lots of Love from 254.
@safaritourtravel7501
@safaritourtravel7501 2 жыл бұрын
Kanisa sasa linarudi kwenye maadili💥💥💥💥💥 MBARIKIWE SANA SANA
@GeorgeSimbeye
@GeorgeSimbeye 2 жыл бұрын
moto umewaka wa kwanza kucoment Jmc the best in Tanzania 💥💥💥
@anatolialusasi4411
@anatolialusasi4411 2 жыл бұрын
Best song ever! Pongezi Kwa Kila mtu aliyehusika. Utukufu Kwa Mungu.
@milannet4664
@milannet4664 2 жыл бұрын
Cant believe how this young kid of Ametamaliki has grown to sing solo, nice voice, thanks to the mum for keeping her in choir
@ericburchard-fl5ff
@ericburchard-fl5ff Жыл бұрын
Jamaniii huyo mdada nimekuwa nikimuona tangia albam ya mlipuko wa sifa akiwa kipapa baadae nikamuona kwenye wimbo wa ametamalaki Leo namuona akiwa na the best sauti mpeni hongera zake. Kumtumikia Bwana hakuishii bure tena mavuno yake ni mema yenye kuufariji moyo
@julianamsemwa6071
@julianamsemwa6071 Жыл бұрын
Hakika, Mungu Ni mwema Kila wakati
@teresiamgimba5498
@teresiamgimba5498 2 жыл бұрын
Huu ndio uimbaji lazima mungu kumrespect sio kurukaruka ,kubinua viuno no!
@gloriousn6425
@gloriousn6425 2 жыл бұрын
📌📌couldn’t say it better than this 🙌🏾🇹🇿
@antipascann2797
@antipascann2797 Жыл бұрын
Ujumbe wako waweza kuwa mzuri lkn uwasilishaji huu siyo wa kiungwana
@leoodongo690
@leoodongo690 2 жыл бұрын
I thought it was not human beings singing with such sweet angelic voices. Waaaaah.... Tumsifu Yesu Kristu
@GeorgeSimbeye
@GeorgeSimbeye 2 жыл бұрын
English Lyrics for this masterpiece Psalm 103 & 150 (103):2 Bless the Lord, O my soul, And forget not all His benefits: 3 (B)Who forgives all your iniquities, Who (C)heals all your diseases, 4 Who redeems your life from destruction, (D)Who crowns you with lovingkindness and tender mercies He has not dealt with us according to our sins, Nor punished us according to our iniquities. 11 For as the heavens are high above the earth, So great is His mercy toward those who fear Him; 12 As far as the east is from the west, So far has He (J)removed our transgressions from us. (150):1 Praise ye the Lord. Praise God in his sanctuary: praise him in the firmament of his power. 2 Praise him for his mighty acts: praise him according to his excellent greatness. 3 Praise him with the sound of the trumpet: praise him with the psaltery and harp. 4 Praise him with the timbrel and dance: praise him with stringed instruments and organs. 5 Praise him upon the loud cymbals: praise him upon the high sounding cymbals. 6 Let every thing that hath breath praise the Lord. Praise ye the Lord.🙏 From King James Bible version. Stay Blessed
@kwekalucasferan
@kwekalucasferan 2 жыл бұрын
Totally breathtaking... From the harmony, orchestration, choreography, dressing, background, message, clarity to the wonderful duet solo. Mmefanya makubwa sana. Mungu Atukuzwe kwa haya. 👏👏
@sacredmusic9753
@sacredmusic9753 2 жыл бұрын
Haipingwi mkuu. Wamefanya jambo jema sana.
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Amen, thanks be to God
@agathaduwe6368
@agathaduwe6368 2 жыл бұрын
Surely this what it means when we say singing
@martinbissani8094
@martinbissani8094 2 жыл бұрын
What a wonderfully sung hymn of the time. We should be proud of ourselves and the church. Glory be to God.
@benjaminmasala7638
@benjaminmasala7638 2 жыл бұрын
Kazi ya moto balaa
@alesiakayoka9121
@alesiakayoka9121 2 жыл бұрын
Msifuni kwa mvumo was baragum na kinanda ,zeze na filimbi,. Kwa matowazi yaliyayo Sana ,Aleluya Amina
@johnmnunduma4985
@johnmnunduma4985 2 жыл бұрын
hivi hatuwezi kulike mara mbili ♥️
@franciscagwitaba7988
@franciscagwitaba7988 2 жыл бұрын
Waaooo Mungu awabariki wana JMC kwa sifa hizo anazopewa Mwenyezi Mungu kwa wimbo huu
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Amina, Tunamshukuru Mungu astahiliye kusifiwa.
@johnnchimbi2164
@johnnchimbi2164 2 жыл бұрын
Hongereni John Paul II, very amaizing, The best performance in a year. Binti mmemkuza na Sasa anafanya makubwa Ni hazina ya kanisaaaaa
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Amina
@csato9415
@csato9415 2 жыл бұрын
Ni kweli huyu binti nimeanza kumwona akiwa mdogo.
@willey_brandtrue9966
@willey_brandtrue9966 2 жыл бұрын
@@JohnPaulIIMbeyachoir hata Mimi nimempenda sana.. Yuko vizuri .. Bwana Mungu ametamalaki
@manhundimbo8671
@manhundimbo8671 2 жыл бұрын
Huu wimbo unatumika kama dawa ya magonjwa sugu......ahsante JINI dr.Bongole......ww ni JINI sio wakawaida.
@benjaminmasala7638
@benjaminmasala7638 2 жыл бұрын
Eee nafsi yangu Umsifu Mwenyezi Mungu
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Amina
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 Жыл бұрын
Siku hizi wakatoliki mko juu Sana katika kumsifu Mungu. Mbarikiwe Sana.
@mabogocharles6824
@mabogocharles6824 2 жыл бұрын
Jmc ubora kwanza urafiki badae.hii ndomaana halisi ya huu msemo💪💪💪💪
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Amina .... Shukran ziwe kwa Mungu
@jacksonvalence7365
@jacksonvalence7365 6 ай бұрын
Wimbo ulio bora sana hakika ujumbe wa nyimbo hii ni baraka ya kumaliza mwaka 2023 mbarikiwe jmcmbeya
@stellagaspergamaliel1758
@stellagaspergamaliel1758 Жыл бұрын
Woooooow nimesisimka kwakweli kila siku nasikiliza huu wimbo hasa Soloist wa kike😍😍😍naamini nitaimba na mm siku moja kam yeye...she got a nice and sweety voice na wakiume pia ni hatr...Hongereni sana nyimbo nzuri sana🙏
@JoyceNaliaka-rv2nv
@JoyceNaliaka-rv2nv 10 ай бұрын
Kama una watch you song nipee like tukisonga ❤
@francismichael4642
@francismichael4642 2 жыл бұрын
Aaaah Beatrice 🥳🥳🥳🥰
@salomedaniel979
@salomedaniel979 2 жыл бұрын
Eh nafsi yangu umsifu Mwenyezi Mungu. ...😙😙😙Sauti za malaika
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Amina
@chrismzimya3156
@chrismzimya3156 2 жыл бұрын
Hongera sana Dr Kelvin na wote pia mmefanya utumishi mzuri sana Mungu awabariki azidi kuwatumia.Utukufu wote kwa Mungu wetu aliyewatumia kufanya kazi hii njema!!
@drbongole
@drbongole 2 жыл бұрын
Amina sana, Tumshukuru Mungu
@theresiajoseph1943
@theresiajoseph1943 2 жыл бұрын
Daaaa wimbo mzur sanaa , Hongerenii JMC ,,naona wale watoto wa kwenye wimbo wa Ameta Malaki wakua wakubwa adi sahiv Wana uwezo mkubwaa wa kuimba nawapenda sanaa Hongerenii ♥️♥️
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Amina sana
@francismhagama9165
@francismhagama9165 Жыл бұрын
Mimi ni mwalimu wa Kwaya. Kufundisha kwaya kama hii ambayo natambua ilianza kwa makwazo mengi miaka ile lakini ikasikia sauti ya kanisa na kushika. Leo mko bora saaaana
@alexkaiza4020
@alexkaiza4020 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@maurushyera6531
@maurushyera6531 2 жыл бұрын
Extraordinary,,, good job JMC 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@doganangelo986
@doganangelo986 2 жыл бұрын
Kazi imejaa utukufu🙏🙏🙏.. Mungu Awatunze.
@kanisiusnyakaselula5285
@kanisiusnyakaselula5285 2 жыл бұрын
Classical haijawahikumwacha MTU salama! Hongereni JMC kwa uimbaji mzuri. God bless you.
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Asante sana ... Shukran na ziwe kwa Mungu
@reginareggys4335
@reginareggys4335 2 жыл бұрын
From the vocals, instrumental, the choreography it's a bombshell....this is what we call professionalism. I can't get enough of this music 🎶🎵🎶 It's in my auto play
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Thanks Regina
@drbongole
@drbongole 2 жыл бұрын
Thanks Much Regina
@gloriousn6425
@gloriousn6425 2 жыл бұрын
WOOOOW!!just wooow This is BREATHTAKING, Yaani mpaka nakosa maneno ya kuandika Maana it is sooo HEAVENLY HUU NDO UIMBAJI AMBAO hata maandiko yanasema “BWANA YUMO NDANI YA HEKALU LAKE ; DUNIA YOTE NA IKAE KIMYA” Sihitaji kua mRC kuhisi uwepo wa Mungu wa mbinguni katikati ya uimbaji huu Mbarikiwe mpaka mshangae 🙌🏾🙌🏾🙏🏿🇹🇿
@jacklinewambaa3542
@jacklinewambaa3542 2 жыл бұрын
Hongereni sana imeubariki moyo wangu
@hossanacatholicsingers6424
@hossanacatholicsingers6424 2 жыл бұрын
Kazi 🔥 sana Hongereni
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Asante... Tumshukuru Mungu
@johnlumati2983
@johnlumati2983 2 жыл бұрын
Excellent! Soprano soloist is on another level. The duet is 🔥 The entire choir is lit
@catholicvibemusic3151
@catholicvibemusic3151 2 жыл бұрын
Jamani ni tamu sana haichoshi😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@susanmuchiri944
@susanmuchiri944 2 жыл бұрын
My best choir...vocals , solos everything on point
@clementmboje4784
@clementmboje4784 2 жыл бұрын
Aroo what a heat catholic song.
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Amen
@ludovikondayisabha7238
@ludovikondayisabha7238 2 жыл бұрын
Kilichosubiriwa kimehapen... Hongereni sana JMC🔥 Hongera Dr Kelvin🔥 Hongera Rajo🔥 Hongera kanisa 🔥 Kwa namna ya pekee, hongera sana Dr Nzwiri🔥
@stanslausnzwili5418
@stanslausnzwili5418 2 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌
@stanslausnzwili5418
@stanslausnzwili5418 2 жыл бұрын
Hope siku moja tutakuwa kikundi kimoja. Ya Soo talented
@ludovikondayisabha7238
@ludovikondayisabha7238 2 жыл бұрын
Exactly, natamn sana moment hiyo. I wish ipo siku itatimia my brother, nadhan ntakuwa na furahi zaidi .....🔥🔥
@leonardkidukovocalsquad7782
@leonardkidukovocalsquad7782 2 жыл бұрын
Sifa na utukufu viwe kwa MUNGU kupitia sauti hizi tamu Tutarajie mazuri zaidi tr 26/12/2021, Nitasherehekea birthday na upako wa uzinduzi wa kazi hi 😍😍😍😍
@albertmaneno
@albertmaneno 2 жыл бұрын
This is next level... watu wa "mkoani" ni hatari sana... Highly creative... kila kitu in very high quality..the song...audio production.. dressing... watu wenyewe...and of course the Video. Superb. Hongereni sana👌👌🎊
@ludovikondayisabha7238
@ludovikondayisabha7238 2 жыл бұрын
Sasa mbona sichoki kuisikiliza😁😁😁😁 jaman hadi mama angu ni mzee na anaumwa lakin kashaomba huu wimbo niuweke karibia mara tano anausikiliza tu...JMC nyie 🔥. Be blessed aise, kitu kimetudondokea kwelikweli 🔥🔥🔥.
@manhundimbo8671
@manhundimbo8671 2 жыл бұрын
Weka mgonjwa asikilize utakuja toa ushuhuda huku.....hii nymbo ni tiba ya roho na mwili #little brain
@ludovikondayisabha7238
@ludovikondayisabha7238 2 жыл бұрын
@@manhundimbo8671 kwakweli ni tiba maana sio kwa kuteka akili ya watu kiasi hiki. Walitukosea kukaa kimy kiasi hiki😁😁 watuombe msamaha 🏃🏃
@manhundimbo8671
@manhundimbo8671 2 жыл бұрын
Kwakwel maana shetani mwenyewe kashangaa.....admin omba radh haahahahaa
@ludovikondayisabha7238
@ludovikondayisabha7238 2 жыл бұрын
@@manhundimbo8671 🔥🔥🔥🔥
@benjaminmasala7638
@benjaminmasala7638 2 жыл бұрын
26/12/2021 Moto utawaka utukufu utaonekana tuendelee kusubiri yajayo yanafurahisha
@rockyndiribango1627
@rockyndiribango1627 2 жыл бұрын
JMC nomaaa sanaa...Dr Nzwili nakuona kwa mbaliii 🔥🔥🔥🔥🔥
@great7282
@great7282 2 жыл бұрын
Kazi safi sana Nimekua nawafuatilia sana tangu #Female Soloist: Beatrice Gwitabha, alipokua mdogo mpaka sasa, Ana Sauti ya Dhahabu. Napenda sana kazi yenu. Mungu awabariki. Hongera Hongera sana #BEATRICE GWITABHA #John Paul II Mbeya choir Love from #Kenya
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Amina
@noelmatthew756
@noelmatthew756 2 жыл бұрын
Mwenyenzi Mungu awabariki kwa kazi nzuri mnayoifanya kumtumikia.
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Amina ... ubarikiwe nawe zaidi
@a.f.k5694
@a.f.k5694 2 жыл бұрын
Wow....Happy to see young people taking our Catholic Music and Christianity to another level.
@AntonyShitente
@AntonyShitente 2 жыл бұрын
Very touching song,, be blessed my people from Mbeya😍,,, "aleluya msifuni Mungu ❤"
@wambuileonorah3173
@wambuileonorah3173 2 жыл бұрын
My all time choir...baraka tele
@mrossofamily
@mrossofamily 2 жыл бұрын
Niliwasubiria Sana atimaye mmerudi kwa kishindoo Nimebarikiwa sanaaa
@tigerchristmas5491
@tigerchristmas5491 2 жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu juu I didn't even wait for one verse to be done i had to like Mmefanya vyemaAAAA
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana maana munajua kumwimbia mungu vizuri sana ,,kongole kwenu waimbaji, wapiga vyombo vya mziki na mtunzi wa wimbo huu kwani mmeutendea haki
@victornyamai2106
@victornyamai2106 2 жыл бұрын
Such a nice piece...receive love from Kenya
@yohanasindano7445
@yohanasindano7445 2 жыл бұрын
It's on my repeat since yesterday. Funga mwaka kabisa hii🙌
@marselinajulius3564
@marselinajulius3564 2 жыл бұрын
Wao hongereni Mungu wwalinde mzidi kumwimbia ktk Roho na kweli
@mariamwakyoma1218
@mariamwakyoma1218 2 жыл бұрын
Kaz nzuriii sanaa mungu azid kuwabariki wana JMC 🙏
@iHelp_solutions_Enterprise
@iHelp_solutions_Enterprise 2 жыл бұрын
Good work...msifuni mungu...Amen Amen...wonderful work...producer doing great work
@phylismaina6140
@phylismaina6140 2 жыл бұрын
Hongera JMC🎉🎉🎉 Hongera Dr. Kelvin Hongera Rajo productions 🎉🎉 You are ever doing your Best Continue blessings people's souls ❤️
@drbongole
@drbongole 2 жыл бұрын
Asante sana
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Amen
@randabrenda4815
@randabrenda4815 Жыл бұрын
Mimi ni muadventista wa Sabato na vile mumuimba huu wimbo imenipendeza sana, hata video vile mumetoa iko na heshima sana
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir Жыл бұрын
Tumshukuru Mungu kwa ajili ya yote @Randa
@aimelynn4535
@aimelynn4535 2 жыл бұрын
Edwin umetisha baba 🔥unaweza saana. Mungu aendelee kukubarik na wengine pia ☺️🙏🏾
@Catholic.Echoes
@Catholic.Echoes 2 жыл бұрын
Mungu wetu huatumia viumbe dhaifu waliokubali kuhubir habari njema kwa vinywa vyao JMC ni fireeeeeee
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Amina
@dicksoncosmas5038
@dicksoncosmas5038 2 жыл бұрын
Jmc ubora kwanza urafiki baadae this is what we want much congrats to JMC
@michaelsilas1063
@michaelsilas1063 2 жыл бұрын
Da kiukwel nimewakubali san ,mimi ni Msabato .nawapokeza sana mmeimba kwa utakatif san tena sana God bless only
@vincentmunyithya6194
@vincentmunyithya6194 2 жыл бұрын
This is awesome one... Naomba Nota za huu wimbo
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 2 жыл бұрын
Kazi nzuri Sana mbarikiwe kwa uimbaji mzuri na wa kuvutia hakika SIFA NA UTUKUFU KWA MUNGU MWENYEZI MWEZA WA YOTE
@stanslausnzwili5418
@stanslausnzwili5418 2 жыл бұрын
Sifa na utukufu vimrudie Mwenyezi Mungu wetu aliye mkuu.
@stanslausnzwili5418
@stanslausnzwili5418 2 жыл бұрын
Waiting for the albam
@st.gregorythegreatchoir843
@st.gregorythegreatchoir843 2 жыл бұрын
Safi Sana JMC, fundi Dr. Kelvin na Rajo productions mmeifanya kazi iliyotukuka
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Shukran sana ....tunawaombea nanyi ndugu zetu katika utume huu
@st.gregorythegreatchoir843
@st.gregorythegreatchoir843 2 жыл бұрын
@@JohnPaulIIMbeyachoir Amina tuko pamoja
@paulshadrack9991
@paulshadrack9991 2 жыл бұрын
Hongera Pianist Dr Kelvin Bongole, Uko vizuri mtumishi.
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Tumshukuru Mungu
@drbongole
@drbongole 2 жыл бұрын
Asante sana Daktari
@amanibwire4423
@amanibwire4423 2 жыл бұрын
Hongeren sana Mungu azidi kuwa nanyi, SDA like na comments nyingi kwa hawa watu wa Baba
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 Жыл бұрын
Huu wimbo unaweza kuisisimua dunia!,Mmeimba kwa ufundi mkubwa!
@asiamdemu1722
@asiamdemu1722 2 жыл бұрын
Hongereni sana Huu wimbo ni amazing huchoki kuusikiza
@jacintaongira6959
@jacintaongira6959 10 ай бұрын
How I imagine angels singing in heaven
@jovinusjulius9840
@jovinusjulius9840 2 жыл бұрын
I feel blessed
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Amen
@drdogan1450
@drdogan1450 2 жыл бұрын
What a blessing.... 🔥🔥🔥🔥🔥
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Indeed
@ocherology1
@ocherology1 11 ай бұрын
The amount of work that went in putting this song into one piece is unimaginable. ❤❤❤❤
@zawadishiga1123
@zawadishiga1123 2 жыл бұрын
Wimbo unasisimua mwili..hongereni sana kwa kazi nzuri Mungu azidi kuwainua...mbarikiwe
@aloyciaaloyce4654
@aloyciaaloyce4654 2 жыл бұрын
Hongereni sana wana JMC kazi nzuri 👏🏿👏🏿👏🏿
@kishaishengoma6724
@kishaishengoma6724 Жыл бұрын
Yaani Ukiimba unajihisi km unaingia Mbinguni vile Yaani ndo wakati wa Maandamano ya Kuingia Mbinguni. HAKIKA NI WIMBO BORA SANA MMEUIMBA KWA UMAHIRI MKUBWA SANA.ILA WEE MDADA NA MKAKA MLOONGOZA SOLO MNITAFUTE NIWAPATIE MAUA YENU MMEFANYA VIKUBWA SANA.HONGERENI SANA WAIMBAJI KWAYA NZIMA NA MWENYEZI MUNGU AENDELEE KUWABARIKI SANA.AMINA.
@oliverokwaro
@oliverokwaro 2 жыл бұрын
Awesome , much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@manhundimbo8671
@manhundimbo8671 2 жыл бұрын
TUMWIMBIE BWANA.........huu wimbo unatibu maradhi ya Roho
@petrojoseph5970
@petrojoseph5970 2 жыл бұрын
mko vizuri sana kwaya kwa wimbo huu sisi tunabarikiwa sana hata tukiwa mabali na nchi yetu .Hongereni sana mungu awajalie uchaji zaidi kwa nyimbo
@stanslausnzwili5418
@stanslausnzwili5418 Жыл бұрын
@PetroJoseph asante.sana Tusaidiane kufanya ujumbe na uinjilishaji huu unawafikia wengi
@andreasigonda4487
@andreasigonda4487 2 жыл бұрын
Atukuzwe mungu mille🙏🇹🇿🇹🇿
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Amina
@joachimmusemakwerimusemakw1665
@joachimmusemakwerimusemakw1665 2 жыл бұрын
What a beautiful choir are!!! Voice 100%, dressings 100% instrumental 100% background 100% keep it up.
@relenzinaambrose7238
@relenzinaambrose7238 2 жыл бұрын
Hakika JMC wanajua🔥🔥 washukuriwe wote walioshiriki,😁 ,,, ahsanteni kwa kutuinjilisha kwa mziki huu Mtakatifu
@sifaelpanga1308
@sifaelpanga1308 2 жыл бұрын
Hongereni sanaa kwa kazi nzuri Mungu awabariki sanaa nmebarikiwa kweli!
@manhundimbo8671
@manhundimbo8671 2 жыл бұрын
Huu wimbo unatibu maradhi ya roho na mwili #little brain
@angeloj9483
@angeloj9483 2 жыл бұрын
Hiki ndo tulikisubiri sasa🔥🔥🔥
@marthamashoko4107
@marthamashoko4107 2 жыл бұрын
Wooow nice song😍
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 2 жыл бұрын
Amen
@wamweawanjiku6463
@wamweawanjiku6463 2 жыл бұрын
That guy's voice is incredible!! The vigour, the harmony!
@fidiankwera6305
@fidiankwera6305 2 жыл бұрын
❣️❣️❣️❣️hawa jamaa wanajua!
@furahinimbwambo
@furahinimbwambo 2 жыл бұрын
Kwa uimbaji huu hapa mmenikamata sitoki, Mungu awainue zaidi ya hapa.
@julitamassawe3104
@julitamassawe3104 2 жыл бұрын
Mimi pia nimekamatika mpaka vinyweleo vinasisimka nilikuwa wapi siku zote 😭👏👏👏🙏🙏🙏🙏
@happytairo5143
@happytairo5143 2 жыл бұрын
Wow! Nimewapenda bure Mungu azidi kuwatumia zaidi na zaidi
@soulfoodtz6421
@soulfoodtz6421 2 жыл бұрын
Woow 🥰my all time fav choir
@ascarmufungo5421
@ascarmufungo5421 2 жыл бұрын
Hatari Sana I like da song
@floridamwasandele6218
@floridamwasandele6218 2 жыл бұрын
Ama kweli mmeufurahisha moyo Wangu,hongereni sana
@mhifadhichannel99
@mhifadhichannel99 2 жыл бұрын
kwakweli mnajua kuimba Mungu asimamq kati yenu jamaaaan naomba tena naomba wekeni wimbo wenu wa 'SIMAMA NAMI' mtandaoni tunausubilia kwa hamu mzuri sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@drdogan1450
@drdogan1450 2 жыл бұрын
Upo KZbin Tayar Mpendwa
@janekhaemba4383
@janekhaemba4383 2 жыл бұрын
Oh my....the voices can melt mountains may God bless all of you
@jovenarikagemlo4527
@jovenarikagemlo4527 2 жыл бұрын
Aleluya tumsifu Mungu
@anjelandelwa7984
@anjelandelwa7984 2 жыл бұрын
Hongereni sana kazi nzuri nyimbo nzuri sana,,,pia,,,pongezi special kwa Betty Gwitabha female soloist,,,, Mungu awabariki sana na awazidishie baraka tele katika utumishi wenu
@prospermlwale8062
@prospermlwale8062 2 жыл бұрын
Beatrice gwitaba noma sana
MSAADA U KATIKA BWANA | D. Nkoko | (official video)
7:18
John Paul II Mbeya choir
Рет қаралды 891 М.
NAMPENDA MUNGU  | Dr K B Bongole | ( Official video)
5:02
John Paul II Mbeya choir
Рет қаралды 87 М.
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 81 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 48 МЛН
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 22 МЛН
FURAHINI Na P Mtuka (JMC Official video)
6:30
John Paul II Mbeya choir
Рет қаралды 134 М.
RAFIKI-Dr Kelvin B Bongole (Kwaya ya Mt Mikael Malaika Mkuu ft Edwin Kamala)-(official Video)
6:12
Kwaya ya Mt Mikael Malaika Mkuu, Mhandu Mwanza
Рет қаралды 17 М.
MDOGO MDOGO-Deo Nkoko | John Paul II Mbeya Choir (JMC) |
7:58
John Paul II Mbeya choir
Рет қаралды 84 М.
UNIONDOLEE MAJIVUNO [Rose Muhando cover] WATU WOTE TUBUNI TUACHE DHAMBI By Minister Danybless
23:01
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 495 М.
MSIFUNI By NZABAKIZA Patrick Hamwe Nabayumbe Kampala
20:32
Nzabakiza Patrick
Рет қаралды 157 М.
LISA - ROCKSTAR (Official Music Video)
2:48
LLOUD Official
Рет қаралды 119 МЛН
Malohat
3:35
Xamdam Sobirov - Topic
Рет қаралды 716 М.
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 699 М.
Bakr x Бегиш - TYTYN (Mood Video)
3:08
Bakr
Рет қаралды 1,9 МЛН
Munisa Rizayeva - Aka makasi (Official Music Video)
6:18
Munisa Rizayeva
Рет қаралды 3,5 МЛН