Maisha haya jamani! Bahati alikuwa mwembamba kweli kipindi hicho. Leo kawa bonge!! Mwenyezi Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu, Jennifer na Bahati ❤.
@stellahaule32103 ай бұрын
2024 na bado tupo na Yesu wetu
@lornacherono62888 ай бұрын
Niliutafuta huu wimbo sana mtandaoni. Ahsante
@ARNOLDMAKORA2 ай бұрын
2024 muni follow please
@benjaminsamwel50598 ай бұрын
Mungu Tuinulie vipawa kama hivi Tena tupate nyimbo nzuri zinazogusa mioyo yetu
@DainaNgonda6 күн бұрын
❤❤ 2024
@chaulei2095 ай бұрын
2024🔥🔥🙏🙏
@WiselightOfficial8 ай бұрын
ee mungu wimbo huu ulikuwa wap umenikumbusha sana wimbo mzur ,baba wewe nii wakuaminiwa
@mch.deosinkala31208 ай бұрын
Mbarikiwe...nyimbo zenye uvuvio wa Roho mtakatifu
@FatumaElizabete8 ай бұрын
Asanteeeee sana for this song. I will forever kupendaaa wewe datiii na Bahati Bukuku ❤
@eliamtinda72228 ай бұрын
Aki umenikumbusha mbali Sana! Barikiwa Sana Jennifer!
@christinamatai24088 ай бұрын
Daaaah nimekumbuka mbali sanaaaa.... mbarikiwe wana wa Mungu
@setrickambeyi253823 күн бұрын
SAWA
@ev.amanimwandodavid36538 ай бұрын
Nakumbuka mbali wimbo muzuri kabisa
@ShijjaKizumbi3 ай бұрын
Mambo yamebadilika jaman kwa warembo Hawa mungu nimwema ❤❤😂😂😂
@eliudmkumbwa56813 ай бұрын
Dah nakumbuka meng sana enz naiskia lak redioni Mungu mkubwa kwa kweli
@user-nv7nl8sn5e2 ай бұрын
Tellement agréable, soyez brutalement bénis grâce à l'œuvre de Dieu que vous accomplissez. Et l'honneur , la gloire et puissance soient rendues à Dieu!!
@eusebiocandidosindano8 ай бұрын
Wimbo msuri sana .asante sana
@NyotaBalolane.8 ай бұрын
Mungu ni mwena sana anatowa watu mbali kweli hapa Bahati alikuwa ujauzito nimeona hivo
@joycekaishozi11774 ай бұрын
best ever gosp song collabo..hakunaga tena..🎉
@lizzykay13218 ай бұрын
My favourite song More blessing upon you mtumishi wa mungu. Watching from Australia 🦘🌏
@user-sv6zy3hc8o8 ай бұрын
Hivi bahati bukuku akiona hii nyimbo. Atamini kwamba ni yeye
@SafinaObed8 ай бұрын
Amakweli hakuna mwembamba hapadunian ila maishatyu yanatupiga
@BenjaminKakamasha8 ай бұрын
Miaka mingi imepita kwa jili ya wimbo huu Ila Sasa mgeni youtube
@user-wf2uj5sd5t8 ай бұрын
Mwadamu anabadilika ,rafiki anaweza kubadilika Ni mungu tu anayeweza kubaki na wewe
@filimonmpinge60398 ай бұрын
Watu wametoka mbali jamani daa MUNGU ni mwema 😊
@spiritual_QNA5 ай бұрын
One of the living gospel music stay blessed @Jennifer
@eng.moseso.ongudipe28443 ай бұрын
The message is powerful. God bless Jennifer. God bless Bukuku.
@user-jh5ro6ez3d8 ай бұрын
Asante Jennifer Kwa kazi yako sana🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏🏽🙏
@beldineayuma45458 ай бұрын
Wakenya twawapenda sana sana, asante Kwa kazi njema, Mungu na aibariki❤❤❤🙏
@EsaujohnMayo-xt7twАй бұрын
Nimependa
@EmmyVenass3 ай бұрын
It's just wonderful 😮😮😮 god bless more
@meshackjacobmwakalasya5438 ай бұрын
Wimbo naupenda sana huu ,,tunashukuru kwa kutuwekea mama
Haaminiki kama n bahati bukuku bt sauti yake haipotei
@Maryc2GАй бұрын
Kazi nzuri sana 💪🏽💪🏽🔥🔥
@JemsSisya-md8qh8 ай бұрын
Duh hiu wimbo umenikumbusha mbali sana
@rebeccamaunde40858 ай бұрын
Nimekuswa na huu wimbo sana nikiwa kwetu kenya
@luganomwanjotile75758 ай бұрын
enzi hizo tunavaa magwanda
@anithajaphet45878 ай бұрын
Wimbo wangu pendwa kabisa wa zamani😇
@angeham17385 ай бұрын
Kabisa Mungu habadiliki.mbalikiwe sana watumishi wa mungu.Mungu anatowa mbali saana ashukuliwe.
@HillgreyMunkhondya3 ай бұрын
Baba we niwaku aminiwa unanikumbusha baba yangu uwu wimbo ❤❤
@joycemalima84758 ай бұрын
Mbarikiwe sana one of my favourite song.
@sirielypetrombise5198 ай бұрын
Mzidi sana kubarikiwa watumishi wa MUNGU
@MutambalaSelemaniАй бұрын
Nyimbo izi apana ,zilikuwa Safi wakati yetu
@gres11828 ай бұрын
Si mbarikiwe jamen 🎉🎉🎉
@sirielypetrombise5198 ай бұрын
Ahsante sana jamani mke wangu nikupendae
@user-kp3hz3qw4m6 ай бұрын
Jenifa na nahati mungu azidi kuwainua zaid maana mnatoa kaz zinatubaliki
@failaprince92505 ай бұрын
Vijana mrudiriye mavaliyo yazamaniilondo vazi kaka ubarikiwe kabisa vijana wengine wahoneye kwako
@NubisonBunera-em7oy8 ай бұрын
Daaaaaa enzi hizo kipindi tunavaa mabwanga saivi sasa mwendo wa modo haijalish baba mchungaj wala mtoto mchungaj au mwimbaji ni modo tu aise kweli utandawaz una mengi
@WwddffDdssaa-rq3xu4 ай бұрын
❤❤❤Amen. Watu gotokambari
@user-io2rd5eh6t5 ай бұрын
Mungu ni mwema namushukuru melele
@jonasbohya73058 ай бұрын
Mimi nakupenda sana unanibariki sana nanyimbo zako
@aderanderwa76238 ай бұрын
Bahati Bukuku saizi kawa mzungu
@user-io2rd5eh6t5 ай бұрын
Mungo amenities mbali niliitwa tasa na says na watoto wawili
@user-kv9mo8yj3v8 ай бұрын
Wimbo mzur
@winyrosevituko66508 ай бұрын
ndoa sitakuja kuuwa watu 😂bukuku amenimaliza
@NataliaSameeyАй бұрын
Amen and amen 🙏🙏🙏🥰🥰🥰
@gashugijonatan78178 ай бұрын
Asati sana kwa wimbo zuri sana
@BeathaKogota-cl1ow2 ай бұрын
❤❤🙏🙏
@fearful2548 ай бұрын
Barikiwa dada
@user-qk2dx9qv5t8 ай бұрын
Niyazamani ❤❤
@elizabethchebby26077 ай бұрын
Them days
@dorcaskuvuna8 ай бұрын
Kweli watu hutoka mbali ❤❤
@FideliaLuboha-ro3hy4 ай бұрын
Mungu atkuzwe
@ev.amanimwandodavid36538 ай бұрын
🇨🇩♥️🇨🇩♥️🇨🇩👏
@user-sr2jq2kd7i8 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@merveilleajabu8 ай бұрын
❤❤❤
@Farajahelene230318 ай бұрын
wow wow
@lindapascalofficial3 ай бұрын
Nice song
@maggiesadock8 ай бұрын
Amen ❤
@faithbahati64688 ай бұрын
❤❤❤❤
@haidarykufakunoga8869Ай бұрын
UKO wapi Sister Jenny?🙏🙏
@AidaAbdul-pt5dnАй бұрын
Imenibidi nije huku mjini You tube
@Bulozekituza-xz8uv8 ай бұрын
uyu mwimbo unanigusaka sana, nauliza je uyu mwimbo nawamwaka gani?
@veronicaatieno61608 ай бұрын
2005
@lilianjoseh8 ай бұрын
Bukuku ako wapi?
@simonmdune90668 ай бұрын
😂😂huoni bahati bukuku akiwa mdogo ww
@josephmirambo9958 ай бұрын
Daudi kumbuka wapi nilikutosha...inaomba kubakia wakushuka sana kila Siku, Jenifer unaona kwenye Mungu alikutosha?
@JanethMgaya-wt3ze2 ай бұрын
Kweli ni nzuri sana
@imakimaro695 ай бұрын
Daaaaah vipaji vitamu sana shida tu hawapo sehemu sahihi hii dini yakikristo sio kabisa