It's 2024 and am still watching Steven kanumbas movies.. A legend forever to live in our memories... Continue resting in peace kanumba
@lennahonsare9 ай бұрын
I don't get tired of watching Steven's movies
@AbigaelChepkemoi-gv6jg8 ай бұрын
Anaro nzuri sana😮
@JuliusOmayo8 ай бұрын
am with you watching
@LihanaMkemwa8 ай бұрын
Tupo
@ferouzmasoud47414 жыл бұрын
Daah 😥 kitambo Sanaa bongo movie ilkuwa zamani bhn,,,,,,R.I.P kanumba umeondoka na bongo movie 😥 🙏
@emmanuelgabagendi31693 жыл бұрын
Dah! Kanumba mungu akurehemu huko uliko tuta kutana 🙏🙏🙏🙏
@rodgersmabonga-th5jm10 ай бұрын
watching 2024 Feb 27th from Nairobi Kenya 🇰🇪 rip kanumba
@mercychebet53492 жыл бұрын
Woi long time nikiwatch hii movie 2007 miss you kanumba rest in peace
@GynetteNTAHOMVUKIYE-hu7op11 ай бұрын
2024 and I'm watching kanumba's films dah kuel Goats never die 😢
@MarcelobuanaSeverino2 ай бұрын
Mo on la
@shamsakiobia64212 жыл бұрын
Nimekumiss sana Allah akupe pumziko lenye raha KANUMBA
@raphaeljackson78004 жыл бұрын
Huwezi kuishi milele ila unaweza fanya cha kukumbukwa milele amen
@nshimbalucas93038 ай бұрын
Yeap
@StevenKasereka-ov8qh4 ай бұрын
Yaan ndo hivo mukuu
@AlexMwita-g5u14 күн бұрын
Kwer
@MaliyamKasimu-we3zu Жыл бұрын
When am watching this movie is like am in a dream. Those days when Tanzania used be. And Swahili channel was the latest channel of movies. I cry for u my bro
@daudimasebo40732 жыл бұрын
Kila nikiendelea kuangalia filam za bongo movie hata hazna mvuto,,hua najiulza kwa nn mungu huchukua walio wema na kuwaacha watu wenye roho mbaya,,binafs yangu kanumba n dam moyon siwez kuja kufkr Kama kutatokea muigzaji Bora kama yy,mungu ampe mapumzko mema na Bora ahera we love we miss you so much
@NicholasOoko-f4j Жыл бұрын
Legendary never.....dies😢 we missed you Mr Kanumba
@swabrinamndambo158511 ай бұрын
Rest in peace bro kanumba, u made me cry the whole month like my very own. Keep shinning with the angel dear u r a true legend
@aclesaclemence87844 ай бұрын
Yes!!! Kwa upande wa talent ulikuwa ni mtu bora na ndio maana mpaka leo tunatazama kile ambacho kilidhihirisha uwezo wako na kipaji chako. In other side you have been better in messages deliverance. Kila ninapopita katika movie zako napata mafundisho makubwa sana. #2024 let us meet here I'm counting your likes.
@AdubaJerome-j5j11 ай бұрын
Ukijiwa stiven ndiye msani wa film wa kwanza africa weka likes
@BADILUMROPE-n8j4 ай бұрын
Download
@jentrixadama58246 жыл бұрын
Kanumba nilikupenda sana ila munguu kakupenda zaidi na hakuna wakuliziba pengo lako l hope one day will meet there😢😢😢😢😢😢
@justinephaustine49544 жыл бұрын
K ATK FLA. HATUTAPA JEMBE KAMA KA
@BenLaw_200310 ай бұрын
Tunaoicheki 2024; Tujuane kwa like zenuu hapa hii filamu naipenda sana sitoacha kuingalia etii ❤❤🎉🎉🎉
@Ibrahimjef20019 ай бұрын
Nipo hapa💪
@meshackenock59979 ай бұрын
Tuko pamoja
@vitalisjuma44518 ай бұрын
Tuko pamoja
@AugustinoNasibu8 ай бұрын
Devo King dom
@AugustinoNasibu8 ай бұрын
Kanumba move Devo King Dom
@mk_akili6855 жыл бұрын
Ukwel kaondoka na bongo mov na mwenyez mungu amsamehe huko aliko
@ezekieljohn47254 жыл бұрын
Dah kwa kwel kanumba uliinua bongo movie cjui nan ataziba pengo lako R.I. P the great kanumba
@yassminlaida69084 жыл бұрын
Wallah dunia tunapita kanunba hatukonae tena😭😭😭😭😭inauma sana mungu akusamehe zambi zako zooot😭😭😭 sitokusahau mungu Airaze roho yako mahala pema Amina😭😭😭😭🙏
@JuliasMungoma3 ай бұрын
Kweli kabisa
@jamilasalimvilog67523 жыл бұрын
Lala salama mwamba hakuna sinema za kuvutia na zenye utulivu kama zako nitakukumbuka daima😭😭😭🇰🇪🇸🇾
@shantotheboy-qp8md9 ай бұрын
Baada ya magufuli huyu mwamba ndo angekuwa rais wataifa letu
@elijahmalema42494 жыл бұрын
Handsome kanumba,rest in peace,you made Tanzania great.
@patrickkimayo66363 жыл бұрын
walai this guy i cnt forget him
@amosbosire6715 Жыл бұрын
Dec 2023... watching Bado kanumba ak kifo wewe😢😢
@lemyleonad68554 жыл бұрын
daaaa mpaka majonzi yana nitoka nikimwangalia kanumba mungu ana mankosa nilikupenda sana kanumba ntakukumbuk daimaaa
@dianaluchimbo63792 жыл бұрын
RIP my best actor mungu ailaze roho yko mahali pema
@travismichael51904 жыл бұрын
Yani Kama Kuna wakati taifa la Tanzania lilipoteza kijana muhimu Basi ni pamoja na ngosha kanumba
@danielwilliam5213 Жыл бұрын
🙏🙏
@Hamisimkuzi18 күн бұрын
Hapo kweli inawezekana kumgaramia mwanaume mwenzio harusi yake km wwe mwenyewe hauja owa
@enouschangana2 жыл бұрын
Dahhh nakumbuka mbali nikiona filamu za kanumba .ama kwel kizuri hakidumu.RIP LEGENDARY
@ishaprecious69814 жыл бұрын
My bro kanumba sichoki kuangalia movie zako wallah😭😭😭😭tumekumiss sana
@devothalyimo55494 жыл бұрын
Daaaah.kanumba...nichoke kukuangalia😍
@BarakaMaki-o5x21 сағат бұрын
Aksati kwa ii film niko Congo ❤
@ABELMAGESA8 ай бұрын
2024 tunaangalia hii movie wangapi😤😤
@Michael-j6e4j2 ай бұрын
Tupo wengi
@MugisaKisembo-py5zh2 күн бұрын
Kweli bongo movie Steven Charles Kanumba alikuwa balozi peke
@MugisaKisembo-py5zh2 күн бұрын
2024
@MugisaKisembo-py5zh2 күн бұрын
Rip our legend
@sonicaghendewa98864 жыл бұрын
....Kwa Mf; Siku Kanumba Arudi Dahhhh Ndo furaha Yangu Utarudi Upya Maana me Bado na watch Move zake till now 😭😭😭😭😭
@bolingomwana59633 жыл бұрын
Legendary never die...we miss you kanumba
@lucywetete31603 жыл бұрын
Wema Sepetu. together with Jacklyn Wolper ...and Steve Kanumba...you were great acting together
@JacklineMwidikiraАй бұрын
2024 gather her😢😢😢i really miss kanumba😢😢😢
@adohjay83914 жыл бұрын
13-09-2020 From +254🇰🇪Loved this great actor's movies and still do. Continue R.I.P legend.
@danielhakizimana40274 ай бұрын
I started to watch bongo movies when I was 7years old 😢 Kanumba alikuwa mwengine , yaani hmmmmm movies zake zote nilikuwa nazipendaga sana , rest in peace. Sita kusahau kamwe 😢 from Ug
@marryrobert28646 жыл бұрын
duh Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehem mahali Pema peponi Amina.
@gloryabel9014 жыл бұрын
R.i p kanumba turikupenda sana ira mungu kakupenda zaid kazi yamungu aina makosa
@ZainaS-pu1ju8 ай бұрын
tupo wengi huwa napenda sn kuicheki namkumbuka sn dada yangu mungu amlaze mahali pema peponi
@johnbigambalaye35943 жыл бұрын
We love you Kanumba. No one like you in this filamu industry in Tz.
@NgosiMwakapeje Жыл бұрын
Daa huyo Douglas! Nilimkubali sana ktk move zake, ila Kwakua mungu alimpenda zaidi hakuna namna, pumzika Kwa amani moambanaji. Mis! Sana Douglas!
@jamesmuchui27583 жыл бұрын
Nampenda sana uyo bwana jamani kanumba continue RIP man. U left a gap in east Africa and in the whole world bro. Hatujapata kama wewe bado😪😪
@benaicekizengangoy8641 Жыл бұрын
Tu me manqueras toujours Steven Charles kanumba, l'homme qui m'a fait aimé les films en swahili 🤗🤗
@annemakaka2106 жыл бұрын
Dah! Kanumba kipaji ulikuwa nacho kwa kweli. #Ripkingof bongomovie. U left a splendid legacy, I must say. From Nairobi Kenya
@justusngethi61214 жыл бұрын
Rip Steve u had talent u HV left somthing
@balakamicky60854 жыл бұрын
Hatar
@charlesondieki96463 жыл бұрын
Nakupongeza na mm
@WalifaWalifa5 ай бұрын
Ni mungu pekee ndiye anaejua sili ya binadamu hapa duniani move inanikumbusha mbali wakati wa uhai wake STEVEN KANUMBA mungu amlaze mahali pema ❤❤❤❤
@wkjshsxbbsbs63923 жыл бұрын
Kanumba if God can talk to me and ask me whom do you want his life to be restored Kanumba sencerly speaking you can be the first person on my list,😭😭😭😭kanumba why your movies are really touching and they are the things what people do mostly to others missing you so much continue resting in peace 😭😭😭😭
@ferouzmasoud47414 жыл бұрын
Daaah! Kitambo Sanaa 😥 bongo movie zamani ndyo ilkuwa nzuri kama hv,,,,,,,,R.I.P kanumba umeondoka na bongo movie 😥
@Alice-s5i8c3 ай бұрын
Niko pekeyangu 2024 16th September kama tuko pamoja like plz
@JacquesMusasLaw-zf1kb6 ай бұрын
Steven Kanumba is the Legend, he truly respected his rule of playing in a such movie of being a blind person, it is easy of acting like that.
@phy81606 жыл бұрын
I MISS KANUMBA, AVERY GUD ACTOR. HE WILL B REMEMBERED ALWAYZ. RIP!
@harounharoun73604 жыл бұрын
Good
@fredrickwcbmbeyasiriboy44184 жыл бұрын
Thanks best
@frankabdull96144 жыл бұрын
Kanumba nakukumbuka Sana mungu akusamehe kwa Kila Jambo ullo tenda ukiwa hai
@kaserekamusondalia64903 жыл бұрын
Kanumba
@onesmokabia802 жыл бұрын
@@frankabdull9614 Sema amsamehe kwa kila baya alilotenda wakati yupo hai na ulivyonena wewe umemaanisha amsamehe kwa kila baya na jema kwa pamoja amsamehe,unapoongea neno likamilishe lilete maana
@Renekisumizi9 ай бұрын
Moi j'adore beaucoup plus fort l'art dufunt Kanumumba,s'il y a n'en d'autres laissés à titres postumes vous devez toujours les prouver pour mieux les suivre
@lovenesslukio935 жыл бұрын
Tutakumbuka sana kanumba kwa maigizo yako yasiochosha kuangalia
@nassirnanjira24884 жыл бұрын
Happy
@kazikazicompany-yl6sd11 ай бұрын
😊😊
@arnolddjoke70604 ай бұрын
rest in peace Steven kanumba , je suis en RD-CONGO~KINSHASA 🇨🇩 depuis que tu étais parti je ne cesse pas de regarder tes films.
@annajumbe14296 жыл бұрын
mwenyezi mungu aiweke roho ya marehem kanumba mahari pema peponi amina
@abibaharuna3294 жыл бұрын
Kanumba mung hakulehemu
@unclegmihale4553 жыл бұрын
Dah ase.....huyu jamaa kwa kwel angekuepo Tasinia ya movie ingekuwa mbal sna....i swear.....he is so talented
@DianaChepkorir-fj2ce8 ай бұрын
2024 and I'm watching kanumbas films R.I.P
@DaudAlouce4 ай бұрын
Jaman kakaka baba ye tu kanumbq naomba upumzike vyema na mungu akulinde uko uliko da sote tutafika huko
@christiana58364 жыл бұрын
sikuzote nalia ajili ya father of bongo movie kanumba we gonna nmiss you forever rest . in . peace kanumba
@aishaharuna41183 жыл бұрын
Jamani
@amrikaghembe720510 ай бұрын
2024 nipo peke yangu?
@ruxali48909 ай бұрын
Tupo tupo
@ProsperMulenda9 ай бұрын
Ya Sofia
@simbadiamondplatnumz9 ай бұрын
Tupo tupo san Tupo Sanaaa, tupo hp mpk Tomorrow
@pedrofulete9849 ай бұрын
You not alone
@jackmukundwa78569 ай бұрын
Hamna tupo wengi bro😂
@issabakari60264 жыл бұрын
Naitazama tena 21/4/2020 Rest in peace Kanumba
@wilsongeorge13532 жыл бұрын
Naitazama hii muvi tarehe 28/07/2022 Mda saa 04:13 asubuhi hii mungu amempenda mxanii wa muvu tanzania jemedali muvu angekua mpka mdaa watu hata miziki wasingetizama wala michezo wangekua wamebobea ktk hizi tamsiria za kanumba mungu Amuweke mahari pema peponi amina
@habibasalhe56904 жыл бұрын
20/07/2020 ..kwel Kaz ya mungj aina makosa alichochukua chake na alicho acha chake ..nikiaangalia Kaz zako kanumba 😭😭..mungu akupunguzie adhab ya kaburi .na akuweke mahala pema pepon ..aaamini🙏🙏
@magazinealfani42326 жыл бұрын
kanumba hakuna tena wakufuata nyayo zake mungu amlaze mahala pema amini
@MussaLaizer-o4f4 ай бұрын
Ukiskia the great one ndiyo huyu daah..rip kanumba 😢😢
@jullyannie23886 жыл бұрын
Kanumba indeed u were the great, Pumuzika Kwa amani
@leahmwakapotela17853 жыл бұрын
I MC u kanumba
@jumaMohammedi-rt2ys7 ай бұрын
Dah najikut machoz yananitoka2 nikichek hii mov dah jaman ndug zang 2pendanen kwan maish nimapito2 mung airaz roh ya kanumb mahar pem 🙏🙏🙏🙏
@fernandoalberto8097 Жыл бұрын
We lost the Important people with their talents. May soul rest in peace 😮😢😢😢😢😢
@PauloPMlamula Жыл бұрын
Akika Broo we2 tunamkumbuka kupitia ucheshi wake uhu mungu hailaze mahalipema peponi hakika tulimpenda.🙏
@AgaoRose Жыл бұрын
Watching from Kenya 🇰🇪 Rip Steven Kanumba the best actor in Africa
@FeliciteNyota Жыл бұрын
Je regarde deuis le Congo à Bukavu Kanumba reste vivant dans mon coeur car il fut le meilleur acteur d'Afrique
@FeliciteNyota Жыл бұрын
Une erreur s'est glissée dans ma réponse , je demande la correction
@تتغتا-س6ش Жыл бұрын
I like your movies ,Kanumba rest in peace.
@AmnoneEto Жыл бұрын
Asdg
@mathewntongai598 Жыл бұрын
2023 still watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪... May your soul Kanumba rest in peace...
Clinton mdogo watching from kenya gospel artist 2024
@hamzarumela17846 жыл бұрын
Duh inahuzunisha kukupteza mapema wallah, maana kazi zako wala hata hazichoshi kuzitazama. (pumzika kwa amani Steven Charles Kanumba)
@allyjabiri58496 жыл бұрын
Kwakeki ww ndo kila kitu katka move mungu akulaze mahala pema akusamehe mazambi yk tunakukumbuka San kaka yet
@cyprianndabavunye33086 жыл бұрын
Llll
@arexdkibonakibona64714 жыл бұрын
@@allyjabiri5849 wange kua wanarud angerudi jaman
@KidaKapyata11 ай бұрын
More than pain but 0ne dei we shall meet again all the best
@josephosborne38186 жыл бұрын
Kanumba jamani!! Bado gonzo kwetu, nan atainua bongo movie??? Mungu akusamehe kla baya ulilotenda ukiwa hai,,, amina
@anthonethaisakwi2525 жыл бұрын
ulale mahali pema
@Anitaamboko10 күн бұрын
C'est très bien bonne condoléances pour les familles des kanumba
@sadahassan47504 жыл бұрын
R I P 😢😓😰😩💔my brother king of bongo move in the world love so much my superstar King kanumba 😘mungu akupe kauli thabiti 🙏
@DoreenMwikali-op4pk8 ай бұрын
He was a legend person !I love he so much....RIP.
@AgaoRose Жыл бұрын
2023 tuko na nani hapa weka like ata kama ni 5likes tukisonga 😭Rip Steven Kanumba
@yvettekapinga5910 Жыл бұрын
Tu m'as rappelles beaucoup de chose grand 😢😢😢
@yvettekapinga5910 Жыл бұрын
Repose en paix ❤❤❤❤
@NeemaKassim-vk4wi Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@RosemaryMukamiwamugo Жыл бұрын
R.I.P..kanumba........you remained in our hearts forever
@DieuNdobgane Жыл бұрын
Amour llove
@StevenKasereka-ov8qh4 ай бұрын
Safi Sana mukuu Steven hâta kama umefariki yaanai soo tunaendelea Ku enjoy na hizi movie nzuri
@mwambatv52023 жыл бұрын
2021 tuko na nani? Weka like yako hapo
@Mamakeleony3 жыл бұрын
Mimi hapa cjok
@tatimahenge2363 жыл бұрын
Sonik
@GODWINEOlivia-pz1vo10 ай бұрын
Kanumba
@MerveilleTony10 ай бұрын
Moi ce trésor tout maicondo leansse famille kanuba 😢
@ArseneMakasi-m4d4 ай бұрын
😅@@Mamakeleony
@XhelickKilasi-xi2wy7 ай бұрын
Duuuuuuh kanumba tutakumss sana ila. Hatuna namna bwana ametwaa jina la bwana lihuzunike bayiiiii mungu akuleuemu huko uliko nasi tutafika tu. Zote nisafali mmoja
@sandrarashid38489 ай бұрын
2024 tupo online tupo mzebaba
@psycho-ut7vt2 ай бұрын
With all the love for STEVEN KANUMBA[RIP] MAY GOD BLESS U LOVE
@marcopius37104 жыл бұрын
Kanumba umeondoka na bongo movie yote pumzik kwa aman
@RamazaniErick-v9w3 ай бұрын
Kanumba tuta kukumbuka daima milele na milele mungu akulaze maali pema sana
@naftalimimbi49246 жыл бұрын
Kanumba mwenyezi mungu ailaze roho yako Mahali Pema peponi
@SamvuraIsmaili4 ай бұрын
Mimi Niko congo kilanikiangalia cinema zake nakosa chakusema natowamachuzituu namafundishomengi mnooo..Asante.
@micahmbimwa6744 жыл бұрын
Nice watching from Kenya ,rest in peace kanumba from Kenya
@mpangalampangala11723 жыл бұрын
Kanumba muvu meti
@channellechacha41772 жыл бұрын
I miss you Kanumba 😭😭😭😭😭2022 bado naangalia movie zako
@vanessa-vavandikumwenayo27572 жыл бұрын
Kila nahangalia filamu za malehemu kanumba nabaki nalia tuuu Namu miss sana 2022 nitamumiss mpaka pumuzi yangu ya mwisho kbs👌👌
@festuschunya70674 жыл бұрын
U left a great legacy in east Africa film industry..I love u..I respect u.and I will always remember u brother..the devil deceived u but God loved u..your great talent with jesus's help you could still pickup my brother Y did you do that ..there's no secret in this very world..its so painful we still love u brother in our memory..we love u..😪😪😪
@MasikaDesange6 ай бұрын
Kanumba tutamkumbuka daima,ningikuaga na uwzo kufufua wafu,haki ningimfufua tayari.hapa congo butembo tunaendeleya kuombea Roho yake isiangamiye .
@princehancesam98924 жыл бұрын
Siwez acha kuangalia move zako tam
@sekelamwamboma56933 жыл бұрын
Adi machozi yamenitoka, tumekumis sana kanumba mungu akulaze mahali pema pepon
@faridaothman4 жыл бұрын
Wangapi tumemmiss kanumba😭
@chidymalo55044 жыл бұрын
Tupo
@chidymalo55044 жыл бұрын
Nmby farida
@faridaothman4 жыл бұрын
@@chidymalo5504 pouwah
@chidymalo55044 жыл бұрын
Nmby from where
@Feliiz-i6b2 ай бұрын
Nilikupenda sana kanumba my dear 😢😢 let continue rest in peace
@itebamathewokodoi91737 жыл бұрын
Nice work....anything is possible with God
@herikibiriti97344 жыл бұрын
Ulikuwa upo vizuri kwenye filamu ndy hivyo sir god kakupenda sana
@jaclineezekiel19374 жыл бұрын
Move za kanumba azitingi yan!!! Rip kanumba
@benjaminkija49836 ай бұрын
Binadamu ni maua hukua na kunyauka hatimaye kufanya na kupotea kabisa Mungu akupe pumzika la Milele Kanumba the great
@buzitofikiri58247 жыл бұрын
I like this movie watching from South Africa
@amismselem39843 жыл бұрын
2
@hildakazige16373 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima tutakupenda daima hakuna Kama were na bado hajatokea, Endelea kupumzika kwa amani🙏