BABA WA MTOTO ALIYELAWITIWA ASEMA KIRINGO AMEINGIA CHOO CHA KIKE

  Рет қаралды 100,473

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 144
@farhatfatma12
@farhatfatma12 6 жыл бұрын
Pole sana mzee. Inauma sana, sana , sana kusikia kitendo alichofanyiwa mtoto wetu na ndugu yetu. Unaonekana ni mzee madhubuti sana Allah akuzidishie nguvu kesi hii mpaka uimalize na hukumu kali apewe mshenzi huyu.
@hafidhalhabsi3892
@hafidhalhabsi3892 6 жыл бұрын
Huyo kiringo nimeskia habari zake miaka 3 nyuma anaharibu sana watto wakiume znz yarabistara huyo kiringo asiachiwe jamani anaharibu vizazi wetu
@sharifamohd6517
@sharifamohd6517 6 жыл бұрын
pole sana bwana abdallah sharia mi naomba Tu serikali ichukue hatua dhidi yake kiringo asitizwame ni nani yeye na cheo gani sheria ifate mkondo wake km wengine
@haithamrubeabuhet2637
@haithamrubeabuhet2637 6 жыл бұрын
Baba kwanza pole kwa mtihani uloupata najua kiringo hatoekwa ndani sababu anapesa ila cha msingi ni kuandamana tu akionekana apigwe mawe tu mpaka afe naamin haitotokea tena kwa zanzibar itakua fundisho
@aminaamina9836
@aminaamina9836 6 жыл бұрын
Haitham Rubea upo sasa kabisaaa watakoma washenzi wenyetabia kama hiyo
@salmaismail9425
@salmaismail9425 6 жыл бұрын
Haitham Rubea i
@mwajumakweli6753
@mwajumakweli6753 6 жыл бұрын
Subuwana Allah jamani pole sana baba kwa kurawatiwa mwanao na Shelia hifate mkondo wake
@radhiasalum833
@radhiasalum833 6 жыл бұрын
pole sana.mfungeni uyo .mbwa kabisa.kashaharib wengi nasikia
@subirakhamis3661
@subirakhamis3661 6 жыл бұрын
pole baba ndo dunia hafungwi uyo lamsingi mungu ndo aombwae
@رحيمهخميس
@رحيمهخميس 6 жыл бұрын
Safi sn mungu awajaarie haki hitendeke
@ruwaidatabdallah2769
@ruwaidatabdallah2769 6 жыл бұрын
Pole baba wallah akupe subra n akupe ushind kwa kiringo
@sheikhasalim1190
@sheikhasalim1190 6 жыл бұрын
InshaAllah haki itendeke. Wazanzibar washirikiane na huyu baba kufatilia hii case
@salmaabdallah7728
@salmaabdallah7728 6 жыл бұрын
Sheikha Salim Mungu akupe nguvu mzee
@browskymuba6923
@browskymuba6923 5 ай бұрын
Mungu atustiri ya rab
@paulinamakuri9883
@paulinamakuri9883 6 жыл бұрын
Pole sana mzazi kwa mazito hayo. Lkn ile ripoti ya Dr. Haitasumbua? Maanake inaonesha ametenda zaidi ya Mara moja. Je! alipimwa manii Yake na ule uchafu uliokuwa kwa mtoto? Hilo linaweza kuwa tatz. Smhn sikutaka kutukana.
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 3 жыл бұрын
Pole sana baba yaani huyu kiringo anyongwe ana haribu watu wengi 😭😭😭
@jokhanassornassor3851
@jokhanassornassor3851 6 жыл бұрын
Wallah yatia hasira sana.mie navyohisi ingetokea sheria ya kunyongwa tu.
@rashow258
@rashow258 6 жыл бұрын
Jamani hivi tunashindwa kumsaidia mwenzetu,mimi niko tayati kutoa mchango tukakodi mtu amundoe huyu NGURUWE,anatia hasira kuishi na NGURUWE ASIEJUWA UTU,na wala tusitegeme Serikali ya BABU ALI itafanya kitu, huyu ni wa kumvisha ringi na petrol au akatwe kibamia chake
@zakhiamohammed1821
@zakhiamohammed1821 6 жыл бұрын
RAShow hata mm Niko tayari wallah MTU km huyu si wa kumwacha ni kujitoa muhanga tu tumuue kiringo mshenzi ht utu hana jamani so sad
@maryammarym4437
@maryammarym4437 6 жыл бұрын
subuhanallah mola atulinde yarabi
@osmanha6915
@osmanha6915 6 жыл бұрын
Abdalla sharia kwa hili tuko pamoja kaka kaza kamba mpaka uyo mbwa ahukumiwe
@saidakingimwakitete9400
@saidakingimwakitete9400 6 жыл бұрын
So sad..such people should not be left to live in the society..Laanatu llah aleyh
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 6 жыл бұрын
My God pole mzazi kitendo cha kusikitisha Wallah, Huyo mtu ana akili timamu.Hana watoto yeye mpaka afanyie mtoto wa mwenzake tena wa kiume mambo hayo laanathuAllah.
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Subhannallah, innalilah wainnailah rajiun.
@ibrahimmfundo8455
@ibrahimmfundo8455 6 жыл бұрын
Mzee nimekukubar sana ulivyo ongea kishujaaa ukiwa kama mzazi akuna kuogopa shetani kama uyo
@Rastamuslim
@Rastamuslim 6 жыл бұрын
kiringo anyongwe tuu sio mara ya kwanza ndio zake msenge uyo
@tommariam4393
@tommariam4393 6 жыл бұрын
Subhanallah! Jamani hawa watu wanatakiwa wauwawe hawastahili kuishi katika dunia hii ndivyo ALLAH alivyosema. Halafu wakishauwawa wafukiwe kama unavyofukia mzoga! Hawafaii kabisa!
@aishiaatanzniaa3230
@aishiaatanzniaa3230 6 жыл бұрын
naam
@fahtmajuma5760
@fahtmajuma5760 6 жыл бұрын
Hapo hamna kesi yeyote kwa serikali hii ya babu ali na huyo kashazoea la kufanywa akitolewa tu wananchi tushirikiane ili tuchukue hatua mikononi mwetu japo akatwe uume wake itakua fundisho kwa wajinga wengine wasiojielewa kma hapajatolewa mfano kupitia kwa hao kila cku watoto wetu watazalilishwa na mahasid km hao...
@aishiaatanzniaa3230
@aishiaatanzniaa3230 6 жыл бұрын
umenena hapo kka akatwe tu
@aminarashid4474
@aminarashid4474 6 жыл бұрын
subukhana ulwaa
@kassimommy778
@kassimommy778 6 жыл бұрын
SUBHANALLAH
@jumasafi2635
@jumasafi2635 6 жыл бұрын
Pole sn baba kwa kitendo alicho fanyiwa kijana wako
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 6 жыл бұрын
Subhannah Allah, musimuache huyo mtu
@ruwaidatabdallah2769
@ruwaidatabdallah2769 6 жыл бұрын
Loo uy kiringo mungu ampig laa
@daudchusu6564
@daudchusu6564 6 жыл бұрын
Zanzibar
@shunahkhalfan5593
@shunahkhalfan5593 6 жыл бұрын
Huyo baba amezid ndio tabia yke for more than 10 years now anaringia hela yke mungu atamlani
@qaboossaid2259
@qaboossaid2259 6 жыл бұрын
Kiringo alikua akitamba na mchezo wake kwa kujivunia pesa na wadhifa,leo hii haitamfaa pesa wala umarufu,Lanaa tul Allah.
@asiakheir3846
@asiakheir3846 6 жыл бұрын
Jamani,serikali gani itawaruhusu kuandamana?chamsingi tuchague viongozi wa dini watuongoze,Hawa walokuwepo hawafai.
@ramanhoibrahim3383
@ramanhoibrahim3383 6 жыл бұрын
yani huyo kiringo Basha long time ameshaharibu vijana wa kizanzibar wengi sana laana kumuu kabisaa..
@bimkubwaali1605
@bimkubwaali1605 6 жыл бұрын
mungu atufikishe na vizazi vetu na atulinde lakini hili jambo ni kubwa sanna kwa upande wangu yarrabby
@fathiamzee8312
@fathiamzee8312 6 жыл бұрын
Mungu atupe salama jaman lakin hiii nidunia ya mwisho sasa mtihan
@عُماني-ط5ج
@عُماني-ط5ج 6 жыл бұрын
Serikal fuateni sheria na mume wadifu kwa wananchi wenu mkumbuke mlivo apa msitizame sura wala pesa angalien kosa la mtuhumiwaa zanzibar ilikuwa ni kisiwa chenye neema ila yote yanaondoka kutokana na uovu mwingi.
@zakhiamohammed1821
@zakhiamohammed1821 6 жыл бұрын
Tatizo zbr hakuna ushirikiano tunayafumbia macho waoga lkn Wallah tukiamua huyu mshenzi tunamchukulia hatua
@imansaid8020
@imansaid8020 6 жыл бұрын
daaa mtihan wallah jamani
@mbarakomar245
@mbarakomar245 6 жыл бұрын
sheria isiangalie sehemu moja tu, maana kwa maelezo ya mzee na mtoto wake hayawez kujitosheleza kuhukumu io kesi, maana vigogo wawili apo wamekutana, mbunge na don................jeshi la police tu waachia kazi
@poschasbae9511
@poschasbae9511 6 жыл бұрын
Kiringo inasikitisha unaharibu sana watoto wa watu Dr kapewa pesaa aliwahi kumfira mtoto wa watu fuoni jitimahi akampa juice
@a.856
@a.856 6 жыл бұрын
Laanatullah kiringo auliwe tuu
@serbash4212
@serbash4212 5 жыл бұрын
Huyu Mabaya.sana anaharibu maisha ya watoto lazima auliwe pesa zake zinafaida gani ikiwa aziendelezi watoto wanaukuja mbeleni kuhudumiya nchi haowa toto ni Matunda ya kesho katika nchi lazima wa toto wasomeshwe na wakuwe mazingara mazuri siyo kuharibiwa
@jumbeybrowney7310
@jumbeybrowney7310 6 жыл бұрын
Hivi huko Zanzibar hakuna wanaume mashababi?ndo mana si nchi....mkamateni msenge huyo mumfire na miti halafu mumkate mshipa wake Wa shingo afe km kuku manina mnakubal watoto wenu waharibiwe kichoko hivyo,sisi wasukuma tungekuwa tumeshamaliza kazi...Wallahu alaa kulli shay in Kadiir!
@hamidamakamemohd8537
@hamidamakamemohd8537 6 жыл бұрын
Mshenzi huyu kiringo anaringia pesa za jasho letu innshaallah allah atamlaani
@hamidamakamemohd8537
@hamidamakamemohd8537 6 жыл бұрын
Mm ni jirani yangu lkn namuomba allah kila siku ahame mtaani kwetu haifai kukuaa mtu km huyu malaya hatosheki lkn yote anaitingia yy anawakubwa ndio anaotingia
@kulilyhassankulily521
@kulilyhassankulily521 6 жыл бұрын
Kiringo si Muslim real, coz Muslim hawez fanya hayo bhana
@fgjjgbnko4383
@fgjjgbnko4383 6 жыл бұрын
Huyu kiringo jamani msifanye masihara na watoto wa kiume kuingiliwa mtihani anaharibu nguvu kazi ya taifa
@saidkhamis7612
@saidkhamis7612 6 жыл бұрын
Jamani asiachiwe km niyy nayyte yule atakae kutwa na tuhuma hizi asiachiwe huruu akiachiwa huru wananchi wachukue hatua
@zamaradihemed5853
@zamaradihemed5853 6 жыл бұрын
Said Khamis safi sana Ni lazima tuchukue hatua km vyombo vya Dolla vitashindwa...apigwe mawe had afe
@aishiaatanzniaa3230
@aishiaatanzniaa3230 6 жыл бұрын
swadakta
@saidahmad2644
@saidahmad2644 5 жыл бұрын
Jamani hao watu wanaenda wenyewe au wanalazimishwa kufanyiwa liwati??
@suleshmussa1349
@suleshmussa1349 6 жыл бұрын
halafu mbona munamziba huyo kiringo...au ndio mnamuogopa jamaniiii huyo kiringoooo
@zungubakathir1761
@zungubakathir1761 6 жыл бұрын
Mi naona hakuna kesi apo vitu hivi vinatokea sana na watuhumiwa hafungwi mm nafkiri watu hawa wakatwe tu maeneo ya siri bas au kuuliwa kabsa hakuna sheria apa
@utaani1
@utaani1 6 жыл бұрын
Hamna sheria mbele ya kiringo kwa sababu huyo kitangi ndio aloirudisha ccm madarakani mwaka 2000
@munirdatisha684
@munirdatisha684 4 жыл бұрын
Huyu mtoto Ni muongo na unamjua km kapangwa na au kafundishwa kuongea na inaonekana huu Ni mchongo wa kutaka kuchukua hela tu mana baba ake kasema mtoto kapewa vidonge na huku mtoto anasema kapuliziwa spray yaan kutunga hawajui kwa hili namtetea Hasan
@olemoissan6441
@olemoissan6441 6 жыл бұрын
hii sio Zanzibar tuu Hata bara watu wanaharibu watoto
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 6 жыл бұрын
Zanzibar oyeeeeeeeeee inch yenye amaniiiiiiii kilingooooo oyeeeeee
@omarmwalimu92
@omarmwalimu92 6 жыл бұрын
MPAKA mfiriwe ndo mnakuja juu ...wakifirwa watoto wa wenzenu kimya ..Sasa mnadhalilishwa.
@عبداللهالإسماعيلي-ظ6ن
@عبداللهالإسماعيلي-ظ6ن 6 жыл бұрын
Anajifedhehesha na kumfedhehesha mtoto wake!Pumbav
@ayubudtktv2684
@ayubudtktv2684 6 жыл бұрын
aseee huyo jamaa na hela zake lazima azamishwe shimo la kuzimu laanakum kabisa uyo kiringo, inaonyesha anafanya hivyo ili hela ziongezeke
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Nilipata kumsikia mtu kishaharibiwa mtoto wake halafu anasema ati ajengewe nyumba au apewe pesa yaishe. Wengi wamegeuza uchumi. Na polisi nao ndio hivyo hivyo.
@jokhanassornassor3851
@jokhanassornassor3851 6 жыл бұрын
Huyo kiringo bora anyongwe tu.
@a.j9964
@a.j9964 6 жыл бұрын
Ndugu zangu wazenji mna roho njema asee mleteni bongo tumnyoshee boya huyo
@omarmwalimu92
@omarmwalimu92 6 жыл бұрын
Huyo mbwa ni wa kunyonga tu sababu vijana wengi Unguja kashawafira
@zureamandai1654
@zureamandai1654 6 жыл бұрын
ingekua bongo wananchi wangemtia moto akiwa hai
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 6 жыл бұрын
Sasa kiringo analiwa au unawala wenziwe nasikia na yeye shoga kweli jamaani. Mtihani hata mmbunge kasindwa kumfunga siuze mie balaa aliwe tu huyu jamaa mpenda tigo za watoto
@awadhtevez2918
@awadhtevez2918 6 жыл бұрын
inasikitisha sana huyu mtu dawa yake nikukatwa kichwa tu au achomwe moto forget about this police uchwara that we he have here in zanzibar
@khalfannyhemedi8500
@khalfannyhemedi8500 6 жыл бұрын
kiringo hatokiii tena hanaa njiaa yaa kujitetea aliokuwa akiringiaaa wananzaaa kumuachaa mkono
@asiakheir3846
@asiakheir3846 6 жыл бұрын
Hi serikali inanichosha sana kuwaachia watu hawa
@amirmohamed7751
@amirmohamed7751 6 жыл бұрын
Huyo si wakupelekwa koti.nikuuliwa ndio iwe somo Kwa wegine
@sharifa2274
@sharifa2274 6 жыл бұрын
Subuhannallah
@hudhud2022
@hudhud2022 6 жыл бұрын
Sharifa 22 kazoweya huyo kaanza asiachiwe hata kama anapesa yote hayo yanakuja kwasabu babu serikali ya kidhulma na wanachi wanadhulumu kwa njia watakazo Viongozi mnajuwa kama mmedhulumu mmetuwekea Masheikh wetu ndani mpaka leo mnashindwa na ushahidi na msipolisimamia hili MMungu atawahukumu vibaya mnaonea watu mpaka mnatufikisha hapa kwa kuwa mna silaha na pole baba mtoto na familia mlofikwa na mtihani huu nchi haina dini lakini waislam sote tuna dini huyo wakunyongwa Alaysallahu Biahkamilhakimiin
@bimkubwaali1605
@bimkubwaali1605 6 жыл бұрын
yarraby l alamina ningekuwa nshazikwa kwa hasira mtumeeee mbona huyu baba anaongea kama simple mie nasikia kufa hata sijauliwa
@reemiiomar9386
@reemiiomar9386 6 жыл бұрын
Serikali isipochukua shukua sheria wakimuacha huyo mtuhumiwa bc wajuwe raiya watachukua hata zao z kumuangamiza ama ahame mjii
@alimaalima6016
@alimaalima6016 6 жыл бұрын
Inaskitisha sana kwani huyo aitwaye kiringo ana cheo gani. .?
@ahmedyoung7300
@ahmedyoung7300 6 жыл бұрын
Duh
@alijabir3285
@alijabir3285 6 жыл бұрын
Vyombo vya sheria vinasubir ushahid wa aina gani tena?
@ruwaidaali8937
@ruwaidaali8937 5 жыл бұрын
Muuwe uyo hafungwi mshenzi mkubwa au nayeye mfireni mshenzi uyo
@kadhyazaid7000
@kadhyazaid7000 6 жыл бұрын
Hakuna hatuwa yoyote atayofanywa si anapesa za wizi za kodi za wananchi
@abdullkassim9337
@abdullkassim9337 6 жыл бұрын
mimi ni mzanzibari ila siipendi zanzibari na naichukia kwa mambo hayo...tupo tanzania tunazarauliwa sana sisi kwa vitendo hivyo.alafu cha kushangaza viongozi wetu ni waislamu(...DR ALI MOH'D.. SHEIN.BALOZI SEIF ALI EID).hao ni wa kuulowa kabisa maana serikali inawaogopa..
@khairatmohd9051
@khairatmohd9051 6 жыл бұрын
km mm ndo baba mtoto huyo kiringo namfira kumamamake anabovua wezake tuuuuh tena namfira yy na wanawe
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 6 жыл бұрын
Huyu fala akiingia mitaani watu wamalizane naye tu hakuna shida! Mbona fresh tu Serikali haichukui hatua acha raia wafanye yao hakuna haja ya kupiga makelele ahifadhiwe na polisi vituoni au atoke nje afanyiwe mitikasi na wajanja basi kesi iishe.
@azontozonto8855
@azontozonto8855 6 жыл бұрын
Wananchi chukueni hatua mikononi mwenu msingoje serikali ya mavi
@OnlyRuky
@OnlyRuky 6 жыл бұрын
Daah Astagfirulilahi
@larickmtui2852
@larickmtui2852 6 жыл бұрын
Mkuu huyo kwel ameingia choo chakujitawaza kwa msumari
@afropanorama4730
@afropanorama4730 6 жыл бұрын
anyongwe uyo hana faida
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Kwanza pole kwa yaliyokukuta. Lkn wazee km nyinyi hua ni mtihan kabisa, maneno mengi mukishaonyeshwa pesa tu munasahau kila kitu. Wazee wengi wanawafuga vibaka. Sasa huoni km mtoto wako anadgalilika pia. Km yamekukuta vizia kimnya kimnya unamuulia mbali kwisha!!!
@khamiskhamis5323
@khamiskhamis5323 6 жыл бұрын
Mkomeshe uyoo m bunge,,kishazoea uyoo ndo zake izoo
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 6 жыл бұрын
Huyo kilingo nae akamatwe afanywe mbele ya familia yake, wamtafutie mabaunsa watano walioshiba wacheze nae.
@fabiansam8157
@fabiansam8157 6 жыл бұрын
nachotaka kusema kila siku nasema kwa sasa hivi watoto walioko hatari ni wakiume kuweni makini sana na watoto wenu
@husnamussa8704
@husnamussa8704 6 жыл бұрын
mh hatar
@ashminaabdullah5626
@ashminaabdullah5626 6 жыл бұрын
Makubwa haya Dunakoelekea balaa Allah atupe salama na wtto wetu
@fawzyoalbahry4420
@fawzyoalbahry4420 6 жыл бұрын
baba mototo tupo pamoja na we we kwa kila hali tupo tayari kufa sote
@fadhilahaji8719
@fadhilahaji8719 6 жыл бұрын
Mwizi siku zake arubaini
@rozeeroz2515
@rozeeroz2515 6 жыл бұрын
AhuKumiwe ushahidi ukikamilika
@zainababdullsadik1247
@zainababdullsadik1247 6 жыл бұрын
Mshenzii sanaa police mkoo wapi
@lukayoanh7361
@lukayoanh7361 6 жыл бұрын
t
@fathiasalum9545
@fathiasalum9545 6 жыл бұрын
Mimi naona bora huyo .kiringo auliwe
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 6 жыл бұрын
Uyo mfanyaji mbona mnamlemba kudadeki ni Zanzibar tu.Angekuwa upande huu wakwetu aisee mbona mlishamsahu na ayo makatatasi yake.Eti pesa weeeeee usintanie mxiiiiii
@zamzamhamisi7332
@zamzamhamisi7332 6 жыл бұрын
Apigwe mpaka afe uyo
@mightypenlessons5640
@mightypenlessons5640 6 жыл бұрын
SIWEZI KUKAA KIMYA Ni kitabu chenye .kumpa mtoto uelewa wa hila wanazotumia wadhalilishaji .kumfundisha mtoto tabia za kuepuka ili kuwa mbali na udhalilishaji .ujasiri wa kujikinga na kuongea pindi anapokabiliwa na tatizo hilo .kuwahamasisha wazazi wafanye ukaribu na watoto wao na sio kutumia adhabu kila mara ili watoto wawe huru kueleza matatizo yao kwa wazazi. Mnunulie mwanao kitabu hiki. Nunua upeleke nyumba za mayatima, shule, Madrassa ama wape watoto zawadi. Ni 2500 tu (elfu 2 na Mia 5) Vinapatikana Unguja Alif bookshop Mkunazini kwa Batashy. Wete Pemba duka la vitabu Kilima Ndege. Mawasiliano: 0785577389; 0717283832 UKIMPENDA UTAMLINDA
@abdallahyunus6079
@abdallahyunus6079 6 жыл бұрын
funga mbwa uyo
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 6 жыл бұрын
Sawasawa mzazi ndoaloumia na nchi yetu haina haki
@aishiaatanzniaa3230
@aishiaatanzniaa3230 6 жыл бұрын
Wallah serikali ndo inayosababisha huo uchafu uzalilishaji ju ya wanetu na nduguzetu ila wakae wakijua dunia mapito itafika siku ya kuficha nyuso zao na ndio siku watakayoona mema yao na mazur yao Allah awaone mahasid wenye kuhusudu awape hukumu hapa duniani Akhera kwende hisabu na huyo hasid kiringo Allah ampe lakumpa daima alie nanjia
@aishiaatanzniaa3230
@aishiaatanzniaa3230 6 жыл бұрын
+Aishiaa Tanzniaa hasbuna Llah
@kfastak
@kfastak 6 жыл бұрын
Hahahaha dah. Huyo mtu ni shetani
@asiakheir3846
@asiakheir3846 6 жыл бұрын
Bado mtoto was rais,hapondio tutapata ruhusa ya kuwahukumu.
@khairatmohd9051
@khairatmohd9051 6 жыл бұрын
huyo kiringo mbwa kwel kaumu lut anyonywe huyo
@asiakheir3846
@asiakheir3846 6 жыл бұрын
Tumsaidie vipi?wengituu wamebakwa huyo siyo wakwanza,kesi zinaishianjiani.
@mudrkothman4871
@mudrkothman4871 6 жыл бұрын
Mara,linaukimwi,ilo
@hindisaidi5097
@hindisaidi5097 6 жыл бұрын
akitoka atampiga bastola!
@allykassim400
@allykassim400 6 жыл бұрын
aaaaah huyu m2 kivyovyoteee huyu apewe azabu ya kifoooo namchukuiaaaa
@aishiaatanzniaa3230
@aishiaatanzniaa3230 6 жыл бұрын
mm mara mia nnavyomchukia
@salmamohammed5623
@salmamohammed5623 6 жыл бұрын
Kiringo auliwe tu
JIBABA   LA  MOROGORO LANUNUA WATOTO WA KIUME ILI ALAWITIWE
2:15
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 46 М.
KIRINGO AKANUSHA KULAWITI MTOTO, ATIWA MBARONI
6:10
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 64 М.
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
ANGALIA JINSI ALIVYOKAMATWA KIRINGO WA PEMBA
5:03
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 22 М.
"NATAKA KUJUA HATMA KESI YA KIRINGO IMEFIKIA WAPI" -HATIBU HAJI
2:56
Mtanzania Digital
Рет қаралды 704
MAULIDI AMBAKA MTOTO WA MIAKA 6 NA KUMUUA
3:34
Geah Habibu
Рет қаралды 1 М.
Mbunifu wa trekta inayotumia injini ya pikipiki
4:00
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 16 М.
Wabunifu wa Injini ya ndege (Jet Engine)
4:29
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 16 М.