Kinachoniuma mtamuacha hivyo hivyo bila kumuendelezo wa kuzalisha hizo trekta kwa wingi. Wataalamu mnao lakini hawaoneshi ubunifu wao wenyewe kazi zao ni kudandia kazi zilizobuniwa na watu wengine
@MartinLaban2 ай бұрын
Ataambiwa na serkali auze bei sawa na ya wazungu 🤣 😂😂😂
@user-ew4pb9lx8i3 ай бұрын
Nimependa ubunifu wako. Fungua kiwanda ziindie nyingi mashambani