BABA YAKE ALI KAMWE AMJIBU MANARA "HANA ADABU HATA KIDOGO" MAGOMA MWANANGU SIO SIMBA

  Рет қаралды 83,910

S500 TV

S500 TV

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@danielzambi8993
@danielzambi8993 2 ай бұрын
Mzee Kamwe wewe ni Baba wa Semaji letu wewe ni Baba yetu uko Vzuri saana katika kupambanua mambo, waandishi wanaitaji mtu mwenye Hekima kama wewe, vinginevyo kesho unashambuliwa kwenye Mitandao long life Fadher
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 2 ай бұрын
Leo Kisugu amemjibu mwandishi vizuri sana. Hongera sana kwa kusema ukweli. Hongera sana.
@NeemaMwangobola
@NeemaMwangobola 2 ай бұрын
Wewe mwandishi ni mmbea sana sana ACHA zako izo...na uache kumchonganisha hari na manara....manara na hari wote wanakubalika wewe unataka baba ake hari akujibu nini na mzee kamwe ajazoea umbea ni mstarabu baba yangu mzee kamwe umetisha Kwa majibu mazuri mzee kamwe mtu wa mana kabisa na kisugu mtu wa mana kabisa Kwa majibu ya busara mbele ya mzee wetu .. mzee kamwe una mtoto mzuri sana hari..nampenda sana mwanangu...mwanangu asinge kua na mchumba angemuoa bule...lakini kapata mchumba mzuri kama hari....❤ Haraaaaaa
@halimamwingu4478
@halimamwingu4478 2 ай бұрын
Manara akafanye kazi nyingine ni mropokaji atakuja kuharibu tena aikosti timu! Hatumtaki banaaa
@JudyUrio-zy7ri
@JudyUrio-zy7ri 2 ай бұрын
Baba uko vizuri Mungu aendelee kukupa hekima halafu muandishi acha umbea
@BenardIbrahim-c7f
@BenardIbrahim-c7f 2 ай бұрын
Uko vizuli mzee wangu
@JosephTibu
@JosephTibu 2 ай бұрын
SIMBA NGUVU MOJA🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@janethelly4986
@janethelly4986 2 ай бұрын
Uko vZr baba Mimi simba lkn endelea kupambania ugali wa mwanaoo
@ShaibuChilo
@ShaibuChilo 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 ndiyo zenu hizo madunduka mchezaji akiondoka tu hafai
@JumaJuma-g5e
@JumaJuma-g5e 2 ай бұрын
Unaina. Muamdishi. Unamuhoji. Mtu. Na. Unamlazimisha. Kuwa. Aseme. Manara. Hana. Hekima. Daahh. Enyi. Wabongoooo
@JumaJuma-g5e
@JumaJuma-g5e 2 ай бұрын
Mungu. Amewaonesha. Kwenu. Ubaya. Wenu. Na. Ubwela. Wenu. Wapuuzi. Nyiee
@salama1113
@salama1113 2 ай бұрын
Safi sana mzee
@Asiaomali
@Asiaomali 2 ай бұрын
Safi Sana mzee baba
@amaniomar1755
@amaniomar1755 2 ай бұрын
Ahsante kwa ufafanuzi baba yetu 🎉🎉🎉🎉🎉
@AlexMosha
@AlexMosha 2 ай бұрын
Kamwe yaani kipare ni KAMOJA
@SemvuaSuleiman
@SemvuaSuleiman 2 ай бұрын
Simba day
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 2 ай бұрын
Mzee wa kipare😂😂😂#SIMBA nguvu moja
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 2 ай бұрын
Manara alisema atafanya kazi na Nugaz lakini Nugaz aliondoka akamuacha Haji
@evaristgamba4204
@evaristgamba4204 2 ай бұрын
Safiii
@jabalimikechi7750
@jabalimikechi7750 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Acheni ubaguzi bwana, wakongo wame fanya nini?
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 2 ай бұрын
Kuna cheo Cha Afisa habari Na Kuna cheo Cha msemaji wa timu.
@JumaJuma-g5e
@JumaJuma-g5e 2 ай бұрын
Ali .kamwe. Ni. Wetu .wananchii. Manara. Pia. Ni. Wetu. Wananchii. So. Waandishi. Wa. Bongo. Wanapanlish. Ubaya.ajungu. Kwenda. Mbelee
@bahatadof5543
@bahatadof5543 2 ай бұрын
Kumbe baba ake Ally ni kijana sana,sema anajua watafungwa sema anaongea kihekima
@JumaJuma-g5e
@JumaJuma-g5e 2 ай бұрын
Muamdishi. Mfitinishaki. Kweli. Wewe hufaii. Hasa.
@AlyMusametesa
@AlyMusametesa 2 ай бұрын
🎉
@halimamwingu4478
@halimamwingu4478 2 ай бұрын
Ujinga wa manara kugombana na kiongozi mkubwa wa TFF ndio ulimponza na Ali Kamwe hakujiweka mwenyewe pale, aliwekwa na kazi anaiweza sn na mbunifu kwenye timu.
@joycesamweli1219
@joycesamweli1219 2 ай бұрын
Nyie watangazaji ni shida kubwa kweli uchochezi tu
@JudyUrio-zy7ri
@JudyUrio-zy7ri 2 ай бұрын
Wewe muandishi acha kuchimba
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 2 ай бұрын
Wandishi Wa Habari Tanzania Hawajuwi Kuhuji Zaidi Wanalo Lijuwa Fitna Tuu
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 ай бұрын
Tutamjua tu Nani ni Bosi na Nani.sio boss
@aleyidukury8333
@aleyidukury8333 2 ай бұрын
Hapo nisawa hata mm mwanangu anamiaka 8 lkn saiv hataki hata kuvaa jenz ya yanga nawakati mwanzo nilikuwa namvalisha
@MohamedMahamudu
@MohamedMahamudu 2 ай бұрын
Nyinyi waandishi muache ukudaaaaaa na usenge
@YoungBrazu-xl2uz
@YoungBrazu-xl2uz 2 ай бұрын
Ubaya ubwela
@mussandikumana3561
@mussandikumana3561 2 ай бұрын
Boss wao wote ni Yanga
@Nuru8700
@Nuru8700 2 ай бұрын
Mtoto wake alisema baba ake anataka kuhamia yanga
@RamlaMsangi
@RamlaMsangi 2 ай бұрын
Nyie waandishi msigombanishe watu
@godfreyjohn1814
@godfreyjohn1814 2 ай бұрын
muandishi badala ya kuwauliza wao wenyewe yeye anakomaa upande wa pili
@LeticiaKibayasi
@LeticiaKibayasi 2 ай бұрын
Mtangazaji acha uchochezi
@richardsalim1042
@richardsalim1042 2 ай бұрын
Mze wa busara live bila chenga
@suhaylaabdullah4261
@suhaylaabdullah4261 2 ай бұрын
Huyu mtangazaji ni mchonganyishi saana
@tiffguyyahya7253
@tiffguyyahya7253 2 ай бұрын
Mimi kama mimi natamani alikamwe aondolewe yanga na sababu kubwa ni baba yake maana huyu mzee mchawi haiwezekani ashindwe kua upende wa mwanawe
@dafrosamonko8254
@dafrosamonko8254 2 ай бұрын
Mpare
@magangaamos7039
@magangaamos7039 2 ай бұрын
Huyu ndugu yangu anaongea vizuri sana.
@dafrosamonko8254
@dafrosamonko8254 2 ай бұрын
Ni wakaa uo
@emmanuelmsang3949
@emmanuelmsang3949 2 ай бұрын
We mtangazaji msenge
@manarakassimmanara3132
@manarakassimmanara3132 2 ай бұрын
Wewe shabani kamwe lazima uwe na heshima sio kukaa mbele ya maiki na kudharau watu wewe zumgumzia mwanao sio watoto wa wenzio shoka adabu yako
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 2 ай бұрын
Mbona hajaongea vibaya??
@GabrielBenjamin-ib7cc
@GabrielBenjamin-ib7cc 2 ай бұрын
Ali kamwe bgap aendelee manara asubir kwa wati mwingine
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 2 ай бұрын
Kisugu anaongea kma tren bovu
@WadhifHajji
@WadhifHajji 2 ай бұрын
Ashakutieni mavi
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 ай бұрын
Ni Ali simba bwana unamtetea Tu mtoto Hawezi kukataa Fikra za Baba yake wakati yuko kwako
@amaniomar1755
@amaniomar1755 2 ай бұрын
Mzee hana usimba alimruhusu mtoto yake aende anako kupenda
@iankomba4253
@iankomba4253 2 ай бұрын
Huyu mwandishi anamuwekea maneno mdomoni. Hii kutengeneza content is too much. Ana lazimisha ugomvi ambao haupo. foolish Media
@SemvuaSuleiman
@SemvuaSuleiman 2 ай бұрын
Simba day
Synyptas 4 | Жігіттер сынып қалды| 3 Bolim
19:27
kak budto
Рет қаралды 1,3 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 137 МЛН
Зу-зу Күлпаш 2. Интернет мошенник
40:13
ASTANATV Movie
Рет қаралды 625 М.