MANARA AMVAA AHMED ALLY - "NILIMUONYA HAKUSIKIA, AKASEMA NAJISHTUKIA, NIKAAMUA NIM'BUST"

  Рет қаралды 463,103

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MANARA AMVAA AHMED ALLY - "NILIMUONYA HAKUSIKIA, AKASEMA NAJISHTUKIA, NIKAAMUA NIM'BUST"
Afisa habari na msemaji wa Yanga Haji Manara amezungumza na waandishi wa habari kuelekea katika mchezo wao dhidi ya Azam fc mchezo utakaochezwa katika dimba la chamazi .
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 400
@abdallahesika8407
@abdallahesika8407 2 жыл бұрын
Huyu manara mupimeni akili nahisi haziko sawa hamfikii Ahmed Ally hata kidogo unaona tu unajua. Ahmed yupo smart sana
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 2 жыл бұрын
Yan Ahmed Ally amzid manara?? Hahah
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
@@Yu-jr9uf KWANI HUJUWI???
@jescakiria6883
@jescakiria6883 2 жыл бұрын
Kamzidi kila kitu Kama hujui
@wamituclass4605
@wamituclass4605 Жыл бұрын
Ampat kvp mbwa wew
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 5 ай бұрын
Bali mno Jamani Mara hii kaanza mdomomdomo tuu atuachie semaji letu❤❤❤
@009biafra8
@009biafra8 2 жыл бұрын
Msukule Bwana. Achana na SIMBA 🦁💪
@roseminja1920
@roseminja1920 2 жыл бұрын
Wizard makolo kaeni kmy semaji lakimataifa anatoa neno tulieni dawa iwaingie timu yawahuni niyakwenu nasiyoyanga chefuuuuuuu
@NurathRajabu
@NurathRajabu 8 күн бұрын
Kakojoe uko hajibishani na walio poteza mbweha ww
@FadhiliRashid-i5p
@FadhiliRashid-i5p Ай бұрын
Pole manara
@elijahsolomon3260
@elijahsolomon3260 2 жыл бұрын
Mbona bumbuli hana Fuji na ndiyo boss wako, nenda shule wewe kilaza acha kuzionea wivu CV za Professional International Journalist Super Ahmed Ali
@abdallahnavin9920
@abdallahnavin9920 2 жыл бұрын
Unataka kuolewa ww fala
@eliasmushi6792
@eliasmushi6792 2 жыл бұрын
Acha ufalaaaa manara....tuachie Simba yetu....na msemaji wetu
@Devotha-o4s
@Devotha-o4s Ай бұрын
Ohio shiti manara ustuvurugiiieee ...muache semaji Wetu afanyeee kazi
@veredianavenance2901
@veredianavenance2901 2 жыл бұрын
Uyu zeruzeru akiri ana nampenda sana semaji ra cef Ahmed ally we ni msemaji bora sana
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 10 ай бұрын
Weee jinga kweli kwahiyo ulitaka anavo mcrash akae kimya? Inatokea mi nakuchokoza wewe utaniacha? Nduguyenu ni mchokozi yule bwana mumshauri aache ugomvi
@ELIAChires
@ELIAChires 6 ай бұрын
Kabla hujafahujaumbika mwanadamu ukitaka kumkosoa mtu usitumie kile ambacho hajapenda yeye huwezi jua karma yako
@hando8329
@hando8329 3 ай бұрын
​@@frankhoffa8356mpe tako
@NadhifaMjombo
@NadhifaMjombo Ай бұрын
Weye unaweza kutengeneza hata sanamu unaemuita mwenzio ivo kama huna la kuandika kaa kinya uko kuandika kwenyewe hujui
@mashalahwajimwaga1012
@mashalahwajimwaga1012 2 жыл бұрын
Unapenda sana kujipendekeza kama familia zako zimekushinda unadhani utaongoza timu gani ya wahuni
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 2 жыл бұрын
Kwani manara umefanya nini kwenye mpira! Manara tatizo anasumbuliwa na jinsi alivyo, wala sio kingine.
@salumumsei3942
@salumumsei3942 2 жыл бұрын
Haji unaishi maisha ya filauni kabisaaa jitathmini kaka
@YahyaKhalfana
@YahyaKhalfana 4 ай бұрын
Kweli Haji we ni mpuuzi, hakufikii kwa lipi hasa? Aijuae kesho ya binadamu ni Mungu pekee hauna ukubwa wowote maana mimi, wewe na ahmed ally safari yetu ni nyanda 1 tu.
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 2 жыл бұрын
El buggati😁😁😁😁, yule mtt hata mpira haujui maskn!! UNDISPUTED EL BUGATT
@jescakiria6883
@jescakiria6883 2 жыл бұрын
Huyo haji mpira anaujua au kacremisha Sheria na kusoma historian wachezaji Tena ndio wanaoujua mpira kabwili
@FundiwaTikTok
@FundiwaTikTok 5 ай бұрын
Jamani huu nimpra tu comment zingine jama tumuogope mungu
@ShamilaIssa-s3z
@ShamilaIssa-s3z 6 ай бұрын
Simba nguvu moja❤❤❤❤❤❤
@IsayaShokaulaya
@IsayaShokaulaya Ай бұрын
Jamani manara nibinadamu
@JohnJastin-j2x
@JohnJastin-j2x 10 күн бұрын
Ukweli mr.bugati
@asubuhisalmon-gh6fr
@asubuhisalmon-gh6fr 3 ай бұрын
Umeishiwa brooo,,,, hauna mvuto Tena babu umebaki tu kujipendekeza kwa waandishi ili mradi tu usikike..
@jescaMicky-x5b
@jescaMicky-x5b 29 күн бұрын
We mzee humwezi hamedali
@jaribiwarungwe1925
@jaribiwarungwe1925 2 жыл бұрын
Kizuri chajiuza kibaya Chajitembeza
@adventsumari6967
@adventsumari6967 2 жыл бұрын
Umemaliza
@wardakangezi6942
@wardakangezi6942 Жыл бұрын
Safi Sana kaka
@evidarink
@evidarink 9 ай бұрын
huna baya mr achana na wasio jielewaaaa ahamed ally alipo ata afanye nini awezi kufikia level akooo ko anajiridhisha kwakulitaj jina lakooo cool it broo
@hando8329
@hando8329 3 ай бұрын
Huna akili wewe
@samiraahmed8966
@samiraahmed8966 2 жыл бұрын
Sasa kwani hukusema?Wewe toka umetoka simba Akili yako bado haijawa nzuri.
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 5 ай бұрын
Shukuru Mungu alivyokuumba hivyo maana hueleweki ni kelele tuu huna haha siku 2 munamvaa Hamed maskini kila mtu afanye kinachomuhusu we Nani lon humfikii Hamed wew
@shaibunankonda
@shaibunankonda 14 күн бұрын
Mzee saidi
@khalifamaliki4179
@khalifamaliki4179 9 ай бұрын
Aji ww mtukubwa wa wapi ww songa
@AbdallahSimba-x5f
@AbdallahSimba-x5f Жыл бұрын
Hakuna kitu kibaya kama kuwa mnafiki. Ww ni mtu mbaya sana hata vitabu vinatueleza tuwakwepe watu wa namna hii, anapenda sana sifa mm namjua toka michezo yake wakati wa utoto inamuathiri, omba toba ww kwa uliyoyafanya ww una uwezo wowote ktk nchi hii. Uwezi kuwa juu ya sheria na uwe na mipaka ktk kuongea.
@luthermbio7581
@luthermbio7581 2 жыл бұрын
Kwa jinsi unavyoongea hakika simba unaipenda sana
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 2 жыл бұрын
Na huyu anasumbuka sana na Simba.
@anesmichael4213
@anesmichael4213 2 жыл бұрын
Hakuwezi una nini ww filauni
@billsmgashe1917
@billsmgashe1917 2 жыл бұрын
We manara embu tafakar neno school na upoyoyo achana kubishana na msomiwewe poyoyo
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 2 жыл бұрын
Ahmed Ally ameingia juz tuu lkn keshafanya makubwa n anaendelea kufnya makubwa tuachie semaji letu pambana n hali yko huko UTOPOLO au husikiki sikuiz sasa unatafuta kiki kupitia yy km mjibuji kweli mguse MWIJAKU kiboko yko mbona unamuogopa
@PiliKassim-ox4qp
@PiliKassim-ox4qp 5 ай бұрын
Koma wewe zeruzeru mbwa wewe ndio mana umekoseka nyau wewe ngiri maji wewe scha kumsema Ahmedi wetu kama wamtaka akufire nenda kwa utopolo wenzio ndio wanaweza kukufira ila simba hiyo kazi hawajaizoea kamtafute kabwili choko wewe kinyesi wewe malaya ulaya wewe ndio mana ubamaliza wanawake hukai na mke mmoja kwa kufirwa
@LoveJohn-f3r
@LoveJohn-f3r 5 ай бұрын
Super
@nastyb7405
@nastyb7405 2 жыл бұрын
Hivi Manara kwa clips zile ndo wa kusema aliikataa Simba.? Kuna umuhimu wa kuweka akiba ya maneno
@AthumanPoromoka
@AthumanPoromoka 5 ай бұрын
Haji we mnafiki ulisema chama akichezea yanga ukatwe shingo je ukatwe kweli Mungu atakuhukumu kwa kauli zako za kinafiki
@mombasa0076
@mombasa0076 2 жыл бұрын
Ahmedi usimuogope haji . Wewe ni msemaji kijana tena ktk timu kubwa. ASIKUTISHE HIYO ... WEWE FANYA KAXI YAKO USIMUOGOPE HAWEZI KUKUFANYA KITU. WEWE NI ZAIDI YA YEYE. USIOGOPE MITUSI YAKE SISI TUPO TUNAKULINDA. KAMA ANAKUSUMBUA WEWE MSEME TU USIOGOPE .
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
Mpk mnamlindaaa..maanara🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anajilinda mwenyewe na maneno yake...
@jescakiria6883
@jescakiria6883 2 жыл бұрын
Lazima tumlinde dhidi ya kichaa 😆😆
@MaigaKarimbika
@MaigaKarimbika 5 ай бұрын
Hunajipya mda wako ushapita Acha vijana waenjoy life
@ShukraniMaluli-l3b
@ShukraniMaluli-l3b 5 ай бұрын
Grop of simba bravo
@mohamedjuma8348
@mohamedjuma8348 Жыл бұрын
Ni kweli unajistukia na usijifanye we mkubwa kwenye mpira. We hujui kitu kuhusu mpira unachojua ni kuimba taarabu
@MeshackSilvanus
@MeshackSilvanus 2 ай бұрын
Wew umefanya nin wew
@magrethsanga942
@magrethsanga942 2 жыл бұрын
Haji muongo unataka kuabudiwa msukule wewe toka huko muqche Ahmed ally wetu
@Princewaweru
@Princewaweru 2 жыл бұрын
Toka hapa
@hajimgeu
@hajimgeu 5 ай бұрын
ngoma mpy za mondi
@ghost_worker01undetectable63
@ghost_worker01undetectable63 2 жыл бұрын
Fala kweli hili... Mbona yeye anamattack Mo personally...
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 2 жыл бұрын
Hajielewi huyo.
@saidothmani7522
@saidothmani7522 2 жыл бұрын
WW HUNA UKUBWA WOWOTE KILA CKU SIMBA UNAIONGELEA HUNA MPYA WAKO NI WIVU HUNA JIPYA KWENDA HATA SISI TUTAKUFYATUA.TUNAJUA ZAKO NYINGI TU.NIFUTE MM UONE KAZI
@WinifridaJonathan-cq2nw
@WinifridaJonathan-cq2nw Ай бұрын
AHMED ALLY asifananishwe na takataka aliko tupo neno lake ni amri kwetu
@teddymhagama611
@teddymhagama611 Жыл бұрын
we chizi Kwanza Simba tulipotea njia kukupa kazi mbugila wahed kafie mbele huko😮😮😮
@mombasa0076
@mombasa0076 2 жыл бұрын
ACHA KUMTISHA KIJANA HUYO. LAZIMA UAMBIWE MBONA WEWE UNAWAAMBIA WENGINE WENGI TU. ACHA ZAKO ZA KUTISHA WATU.
@ZABIBUSANGA-sf9sn
@ZABIBUSANGA-sf9sn Ай бұрын
Ha2kutaki Simba ata kwa ndumba lazima ziginge kwa jina la yesu lazma ushindwe na ulegeeee
@ElizabethTinuga
@ElizabethTinuga 2 ай бұрын
Achana na msemaji wetu we kenge
@mikamwalimu9324
@mikamwalimu9324 2 жыл бұрын
Mbona we umewatukana sana yanga au umejisahaulisha kisa leo upo wananchi
@AminaLibisa
@AminaLibisa 9 ай бұрын
Uyu ameshachetuka ni wakumsanehe tu nyau uyu😂😂
@veredianavenance2901
@veredianavenance2901 2 жыл бұрын
Semaji retu ra simba achana na uyo chizi amefrri zeruxeru nakukubari sana semaji ra time yangu ya simba Ahmed ally
@meshackumoja
@meshackumoja Жыл бұрын
Manara tako lako
@FrankKajwaula-l1d
@FrankKajwaula-l1d 10 ай бұрын
WE NGURUWE POLY TULIA SIMBA SC TULISHAKUPIGA CHINI
@irenekisanga1761
@irenekisanga1761 2 жыл бұрын
Haji Manara ni mmoja tu Dunia nzima
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
KILA MTU NI M'MOJA DUNIA NZIMA SIO YY PEKE YAKE.
@irenekisanga1761
@irenekisanga1761 2 жыл бұрын
@@salimmalaka256 mimi nmesema Haji Manara ni mmoja tu Duniani
@jescakiria6883
@jescakiria6883 2 жыл бұрын
Kakwambia nani wapo wawili hata wewe Ni mmoja tuu haliwezi kuwa wawili
@rosekweka47
@rosekweka47 2 жыл бұрын
Mm sikuona sababu ya kumjibu unajua kimya nalo jibu lakini ukaanza kujibu inaonekana nikweli vumilia ndio uyangauo babu tulia upewe
@SimonMasunga
@SimonMasunga 10 ай бұрын
Wambie brow
@amiriamri654
@amiriamri654 2 жыл бұрын
Tushakuzoea kama unaita press kwa ajili ya ng,ombe sembuse hli
@BelleanDelega
@BelleanDelega 5 ай бұрын
Huyu m2 yashamchanganya maisha uzeruzeru umemchanganya
@AbdullahAzizi-l5n
@AbdullahAzizi-l5n Жыл бұрын
Kaka manara uko sahihi
@habibamfaume9013
@habibamfaume9013 2 ай бұрын
Acha porojo we Mzee Ahmed humfikii hata kiduchu halafu zungumzia kipigo cha Yanga zaidi ya Tabora
@AbuuMbarouk
@AbuuMbarouk 9 ай бұрын
Mashabiki bora African
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 4 ай бұрын
Ndio maana sisi hatukitaki kwenye timu yetu. Endelea yanga huko huko.
@MeshackSilvanus
@MeshackSilvanus 2 ай бұрын
😮😮😮
@AmiriSiki
@AmiriSiki 10 ай бұрын
Wew ni hela
@ABDULAZACKAUDAX
@ABDULAZACKAUDAX 5 ай бұрын
Wewe fara tu maana wewe msaliti tu kama unaweza nifate mimi😂😂😂
@kitambimwana4974
@kitambimwana4974 2 жыл бұрын
Kweendraaa kuleeee,,,mganga njaaa weeeee
@audifacejosephat7071
@audifacejosephat7071 2 жыл бұрын
Acha upuuzi nguruwe pori we nani kasome kwanza acha upuuzi fala wewe umuonye nani
@dianajeremiah5662
@dianajeremiah5662 2 жыл бұрын
Manara ni lidude likubwa ivi awakuwezi ata kidgo bugatiiiiiii 🙌🙌
@mamamerry5359
@mamamerry5359 2 жыл бұрын
yan ni lidudee hatariiii
@juliuswandwi3421
@juliuswandwi3421 2 жыл бұрын
Na nasikia anataka kuzaz nawe ili nawe uwe na zeruzeru safi sana Diana.
@DouglasChuwa-ec7mv
@DouglasChuwa-ec7mv 6 ай бұрын
Ajji uyo mtoto amekukuta kwenye gemu kenge mdogo mtoto wa mama amekuta kwenye gemu kwanza sauti kama my wangu
@florianmodest6215
@florianmodest6215 2 жыл бұрын
Haji bana mkwara mkubwa wakati alipotimuliwa Simba alikuwa analia ktk Ile clip yake. Mganga njaa kweli acha kumtisha semaji la club Bingwa humuwezi Ahmed!
@rucho7663
@rucho7663 2 жыл бұрын
Club bingwa si Simba walitolewa
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
@@rucho7663 WALITOLEWA NA MAMAKO.
@SalimniHamis
@SalimniHamis Жыл бұрын
Mwambie kweli hakuwezi maneno mengi vitendo vichache Simba mbeleko2
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
WEWE MQNARA KENGE SI ULIANZA WEWE KUJISIFU NA KUSIFIA SUTI ZAKO SIJUWI ZINATOKA UFARANSA UBELGIJI KUMBE MITUMBA KAMA LILE KOTI LA NJANO UNAVAA NA JINZI MTUMBA OG. KWELI KICHWA CHAKO KIMEJAA MAJI MACHAFU HUNA AKILI.
@Evance-p8x
@Evance-p8x Ай бұрын
Uyu manara ni chizi aji elewi
@zuhuracassim2830
@zuhuracassim2830 2 жыл бұрын
Nakuelewa Sana'a haji semaji la dunia
@mombasa0076
@mombasa0076 2 жыл бұрын
Hana lolote Asimtishe kijana huyo. ALIFIKIRI AKIONDOKA SIMBA HATOTOKEA MSEMAJI MWENGINE ? USEMAJI NI KAZI , WATU wA KUFANYA KAZI WAPO asiwatishe.
@zuhuracassim2830
@zuhuracassim2830 2 жыл бұрын
Kuna nyakati kila mtu ana sema lililo moyon mwake bjnafsi namkubali haji sana sana kulingana na mm mwana yanga na siwezi ona uzuri wa Ahmed ally ata avae ngozi ya kondoo na muona choo
@prriya507
@prriya507 2 жыл бұрын
@@zuhuracassim2830 🤣🤣🤣🤣Ewaaaaa
@hildantandu5909
@hildantandu5909 2 жыл бұрын
@@zuhuracassim2830 choo,hata akili huna kumbe.Kama huna akili si kichwa kivimbe.
@zuhuracassim2830
@zuhuracassim2830 2 жыл бұрын
@@hildantandu5909we mwenye akili mpka sasa hauendi aja kubwa au haunyi au unaijua Siku yako ya kufa pamoja na akili zako
@farajakunyanja2521
@farajakunyanja2521 2 жыл бұрын
Unaga jipya aaaa aah
@AminiMsellem-gk3yy
@AminiMsellem-gk3yy 9 ай бұрын
Umeisha wewe mpira ushakushinda unayoweza ni mipasho 😂😂😂
@elishacharlesjr3611
@elishacharlesjr3611 5 ай бұрын
Kiboko Yako JEMEDARI SAIDI
@SaidiCharahani
@SaidiCharahani Ай бұрын
😢Aende mbere aliaza kwa jer muro
@paskalinaawaki4398
@paskalinaawaki4398 2 жыл бұрын
Matter core uyo
@rasimosifikisonmgwilanga852
@rasimosifikisonmgwilanga852 5 ай бұрын
Rasimoss mubongo hapa
@mariamemadoshi5540
@mariamemadoshi5540 Жыл бұрын
Manara umewazidi kilakitu falatu huyo maisha hana huyo ahemedi wanaokutukana wote hawana maisha
@AhmedSaid-mk7qs
@AhmedSaid-mk7qs Жыл бұрын
Wew ashura umefanya nini kwenye mpira usitake sifa wew hujui kusema ni mropokaji tu wew semaji la caf anaweza kujibu msukule
@albertsaatatu6552
@albertsaatatu6552 2 жыл бұрын
Eti hajji n mkubwa sana 😂😂😂😂😂
@kulwahemedi1110
@kulwahemedi1110 7 ай бұрын
Umefanyakitu gani bwanaa kweny mpr kikubw gan
@roberttagaya9098
@roberttagaya9098 2 жыл бұрын
Wewe kiboko yako ni Babra tu. Ulimuongelea hakukujibu chochote mwisho wa siku ukasanda.
@albertsaatatu6552
@albertsaatatu6552 2 жыл бұрын
Mskule bhna 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@paulalphonce2488
@paulalphonce2488 2 жыл бұрын
Ni mdogo lakini anakuzidi akili na maalifa ww ni kenge kama kenge wengne
@bashiruathumanichambo5144
@bashiruathumanichambo5144 2 жыл бұрын
Huna lolote mtt mdogo sana haji
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 2 жыл бұрын
Hivi kwani wanaume wanakuaga ushambenga?
@dafrosadeus5203
@dafrosadeus5203 2 жыл бұрын
Unaongea Sana wewe, huna jipya! Tuachie msemaji wetu, pambana na hali yako kk
@shabanimungazija7272
@shabanimungazija7272 Жыл бұрын
Unajufagilia ndugu
@enockboidy7829
@enockboidy7829 2 жыл бұрын
Oya kaswaki meno unanuka kaka maana sio kwa povu Hilo🤣🤣🤣🤣
@mohamedjuma8348
@mohamedjuma8348 Жыл бұрын
Nadhani waandishi wa habari hasa wale unaowahoga ndio wanakupa kichwa kubwa afu ni matope
@ZABIBUSANGA-sf9sn
@ZABIBUSANGA-sf9sn Ай бұрын
Nenda ukalime achana na Simba ye2 ukijifya2a mwenyew kwenda huko mwana kwenda
@michaelhadram416
@michaelhadram416 2 жыл бұрын
Ila si mwanaume unaye lia lia au ?
@AllyHassani-h6t
@AllyHassani-h6t 2 ай бұрын
Haji manara kichaa kila mtu kugombana wewe kichaa tena kichaa wa mwisho
@amankayinga3475
@amankayinga3475 2 жыл бұрын
Hujui chochote wewe we ni msukule tu
@suzypaul4559
@suzypaul4559 2 жыл бұрын
Bora ulitupisha Simba maana sikuelew kabisa promo nyingi hamna kitu achana na Jembe letu lisije likakulima bure Hana shida na mtu kumchokoza Tu.
@halimalachpat1927
@halimalachpat1927 5 ай бұрын
Bahati unaguna toka wapi you ya Simba?
@ShabaniKawambwa-o6w
@ShabaniKawambwa-o6w 18 күн бұрын
Ume fanya Nini kwenye mpila wew zidi ya kupwa mifaini na kufungiwa nenda uko unatak kik ya kuludi simba
@augustinendowa340
@augustinendowa340 2 жыл бұрын
Ka haji manara .hakajui lolote.kanasaka tonge tu!
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
ALICHO ONGEA DOKTA SLAA KABLA YA KUKAMATWA
8:28
HABARI KIGANJANI
Рет қаралды 42 М.