No video

BABA YANGU KIPOFU Full episode /16/

  Рет қаралды 656,972

BabaJoan

BabaJoan

Күн бұрын

#love

Пікірлер: 937
@BabaJoani
@BabaJoani Ай бұрын
TUNAWAPENDA SANA WATAZAMAJI WETU, ILI TUENDELEE KUFANYA VIZURI TUNAHITAJI SAPPORT YENU ,KUNA MCHANGO WA SHILI ELFU MOJA TU (1000) KWA AJILI YA USAFILI ILI TUWE TUNABADILI MAZINGIRA YAKUSHUTIA KUPITIA M-PESA NO +255744188105. KAMA UKO TAYARI KUTUSAPORT KWA GUSA HII LINK UJE WHATSAP KWA MAELEZO ZAIDI👇👇👇👇chat.whatsapp.com/DNLyqNPiekpDTbrXEJOjUa
@EdwinBernad-uy9iq
@EdwinBernad-uy9iq Ай бұрын
Kaz nzr utunzi wa story mzr pot ndakwemala chane imana igufashe
@AmirathumaniSori
@AmirathumaniSori Ай бұрын
​F dd hbddd za d
@NiskaJohnKizonzaJohn
@NiskaJohnKizonzaJohn Ай бұрын
Twendeleye
@StanleyEmilian
@StanleyEmilian Ай бұрын
Nakuomba link zangu
@maalimali5513
@maalimali5513 Ай бұрын
Sawa baba Joan utunzi wako ni mzuri sana unatukumbusha marehemu Kanumba
@mohammedikimbute
@mohammedikimbute Ай бұрын
Natamani sana kuwa mwana Sanaa ila sijui pakuanzia safi sanaaa kazi ni nzuri
@SmilingEquestrianHelmet-mc7lk
@SmilingEquestrianHelmet-mc7lk Ай бұрын
Kazi nzuri baba Joan mnatufurahisha Sana imekuwa ndefu Sana nimeipenda asanteni❤❤❤❤
@Phoebenafula
@Phoebenafula Ай бұрын
Wa mwisho kutoka Mombasa Kenya🇰🇪🇰🇪likes hapa tukigojea episode nyingine❤❤❤❤
@Sheriann-pg5hq
@Sheriann-pg5hq Ай бұрын
Utapata mingi sana lakini tafathali twakuomba chana hela yoyote❤❤
@NelcyAfrica
@NelcyAfrica Ай бұрын
Filamu ya baba joan iko na mafunzo mazuri sana. Naipenda kutoka Nairobi kenya
@user-fr4wf5sl2r
@user-fr4wf5sl2r Ай бұрын
Jamani leo nimechelewa kwasababu yasafali ndefu kutoka 🇧🇮 burundi kwaiyo naomba hata like 10
@MwanakombokoMohamed
@MwanakombokoMohamed Ай бұрын
Wakwanza kutoka Kenya gonga like tukisonga,nawapenda nyote
@user-hb9eq2fo6z
@user-hb9eq2fo6z Ай бұрын
Wapili jameni 😊😊😊 na sitaki like ya mtumimi, tutakosana tusiaribiane moods😊,,,, sitaki mchezo mimi😅😢
@maryamt594
@maryamt594 Ай бұрын
Hee baba kalobo fanya basi umwambie mama kalobo akubandirishiye hiro shati❤❤❤❤
@Nashoora8
@Nashoora8 Ай бұрын
😄😄😄😄kwakweli
@user-yp7qy2qf7k
@user-yp7qy2qf7k Ай бұрын
Aki wewe 😂😂😂😂
@paulinanhinde6845
@paulinanhinde6845 Ай бұрын
😂😂😂😂
@user-ro1fg5ur9l
@user-ro1fg5ur9l Ай бұрын
Watazamaji wa hii movie weka like kwa baba Joan 🎉🎉🎉
@maalimali5513
@maalimali5513 Ай бұрын
Kama unakubali Baba Joan ndie mtunzi bora wa filamu kwa sasa kama ninavyomkubali naombeni likes zenu
@MereTz-xv2vu
@MereTz-xv2vu Ай бұрын
Kutoka USA nipeni like zangu guys Leo nimewayi ❤❤❤❤❤❤❤
@venustebizimungu-jk1vs
@venustebizimungu-jk1vs Ай бұрын
Hi
@venustebizimungu-jk1vs
@venustebizimungu-jk1vs Ай бұрын
Hello kama hutojari ninamazungumuzo nawewe unaweza ukanitumia namba ya WhatsApp
@jeanmariebakali-ml8sm
@jeanmariebakali-ml8sm Ай бұрын
Pande zipi?
@MereTz-xv2vu
@MereTz-xv2vu Ай бұрын
@@jeanmariebakali-ml8sm USA
@jeanmariebakali-ml8sm
@jeanmariebakali-ml8sm Ай бұрын
@@MereTz-xv2vu pande zipi mwenzangu?tufahamiane ao sio🤣🤣🤣
@dadsgirl7250
@dadsgirl7250 Ай бұрын
Wale wakenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪pia Mimi hapa mlike my comment 😂😂😂❤
@MbekeKisaingu
@MbekeKisaingu Ай бұрын
Hapa wa pili
@maryatieno9130
@maryatieno9130 Ай бұрын
🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Aminasaloom-bm4el
@Aminasaloom-bm4el Ай бұрын
𝑲𝒊𝒍𝒂 𝒎𝒂𝒉𝒂𝒍𝒊 𝒕𝒖𝒌𝒐𝒐𝒐𝒐🤣🤣
@Cynthia-t1u
@Cynthia-t1u Ай бұрын
😂😂😂😂wacheka na ushahidi umeenda😅
@salehHassan-rl8bd
@salehHassan-rl8bd Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@SalmahBilally
@SalmahBilally Ай бұрын
Kuna mie wa Kenya 🇰🇪 npe hata like kumi. Naona movie Ina Bamba kweli.
@user-lz8kb9ds8k
@user-lz8kb9ds8k Ай бұрын
Kama wampenda baba karobo gonga likes hapa❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-gg9wi7oi8h
@user-gg9wi7oi8h Ай бұрын
Wanao fuatiria baba joani na house girl ya khai gonga like🎉
@user-vo7yb6wp1m
@user-vo7yb6wp1m Ай бұрын
Woow sijui nipongeze aje Baba karobo filamu zako ni hatari Sana wacha mungu akusaidie usije mbali saidi ya hapo🎉🎉🎉❤❤❤
@MelinaEfraim
@MelinaEfraim Ай бұрын
@MsafiryChitema
@MsafiryChitema Ай бұрын
Aseeeh salute kwako kakaa baba joani this is great movie
@gracenyauma
@gracenyauma Ай бұрын
Cjui wangapi , kutoka kenya 🇰🇪 ila nasubilia sana hadi mwisho akh❤ baba kalobo twakupenda sana n ukamtunze mwanao kalobo ❤❤❤❤
@PrettyRodah
@PrettyRodah Ай бұрын
Kenya 🇰🇪 jmni leo nimewahia nipeni izo likes 😊
@user-cs1yg8ow2s
@user-cs1yg8ow2s Ай бұрын
❤❤❤😂
@lilimoswambu9934
@lilimoswambu9934 Ай бұрын
Huku ni kuomba tu like hakuna comment ya kuusu vilami jameni waaah😢 baba kalobo usijali kaka mungu Yuko na wewe utapona unaishi maisha magumu sana aki lakini hapa Kuna funzo penda mtu alivyo fumuliana Kwa shida na Raha roho yaniuma sana 😢😢kipindi baba karobo anapitia mengi
@mwanalimamwanlima198
@mwanalimamwanlima198 Ай бұрын
Watching it from Imarat ..shuqrn sana baba karobo
@user-oq5py5fv8t
@user-oq5py5fv8t Ай бұрын
Watching from kenya hii movie ina funzo kubwa sana thumbs to the starring baba karobo 👏 👏 👏
@user-ie8om7kh5w
@user-ie8om7kh5w Ай бұрын
Wow congratulations tasha kwa kukamilisha ushahidi wote thank you very much wow team nasra kibanio na mumeo Nasra congrats guys❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@jaycburundi257
@jaycburundi257 Ай бұрын
Wa ine kutoka Burundi Munigongeye likes ba brothers Tumuonyeshe upendo baba kalobo❤❤❤
@WilliamJoel-kz2jv
@WilliamJoel-kz2jv Ай бұрын
Kazy nzur sana hatuchez mbar na baba kalobo❤
@IssaMusa-44
@IssaMusa-44 Ай бұрын
I’m watching from USA 🇺🇸
@KalPeters-dr3vk
@KalPeters-dr3vk Ай бұрын
Nice to meet you kaka
@esterester3628
@esterester3628 Ай бұрын
Baba Kalobo umenfurahisha Sana Kwa hio msimamo wako big up sana❤❤❤🎉
@thomasmwita4586
@thomasmwita4586 Ай бұрын
Leo mimi wa kwanza kutoka Kenya nipe like
@EvodiaDominic
@EvodiaDominic Ай бұрын
Baba Joan hongera sana kazi nzuri aisee na dakika za kutosha
@pendoelias1792
@pendoelias1792 Ай бұрын
Ni nzuri san hii move tunaomba muwe mnaiwahisha kidogo
@shilaanyango
@shilaanyango Ай бұрын
Am enjoying the movie 🎥,,, from Uganda
@SamyBoudan
@SamyBoudan Ай бұрын
Kwa Leo nime ji tahidi fika mapema 😅😅 naombeni like jamani
@PatrickPeter-ce9zn
@PatrickPeter-ce9zn Ай бұрын
Wakwanza team baba Joan gonga like hapa tujuane
@LayanLayan-np6qb
@LayanLayan-np6qb Ай бұрын
Hongera sana Baba Joan 🎉🎉🎉kazi yako nzuri
@CarineJean-bi7sq
@CarineJean-bi7sq Ай бұрын
Kaka hongera sana umeva uhusika kabisa umefanya nipende iyi filamu
@IyshaSaidi
@IyshaSaidi Ай бұрын
Jaman ii mov n nzur Sana baba kalobo unatuburudisha
@HarunaDanielmbanzeofficial
@HarunaDanielmbanzeofficial Ай бұрын
Nimefika Kwa dakika5 Baba karobo kingereza kinakuchanganya jaman
@matronicsuzie4829
@matronicsuzie4829 Ай бұрын
Nimeliwait sana hili film safi sana lakini mnatueka sana angalao kwa siku tuweke mbili tutashukuru moja haitoshi samahani ❤
@LenaMasinga
@LenaMasinga Ай бұрын
Njooo kwangu baba karobo❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Deborahdepsy-qh4rj
@Deborahdepsy-qh4rj Ай бұрын
Nimechelewa ila likes mbili tu ya kunionyesha upendo tuuu
@jollymunezero4629
@jollymunezero4629 Ай бұрын
Kirundi sasa cakwetu nip like please
@ChristabelShumira
@ChristabelShumira Ай бұрын
Wooow 🎉movie mzuri sanaa baba kalobo,,yani ina mafunzo daaah
@JaneWanjiru-g3c
@JaneWanjiru-g3c Ай бұрын
Aki napenda karobo sana , mtoto ndogo mwenyewe akili zake zimezidi mtu mzima 🎉🎉🎉🎉❤❤much love karobo from Nairobi Kenya
@EmmyMo
@EmmyMo Ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 Ай бұрын
Sasha ukivaa baibui wapendeza MashaAllah, na design ya corecod mtu sio hii..
@user-bx1eo2wc4h
@user-bx1eo2wc4h Ай бұрын
❤❤ nzur Sana sema imechelewa kidogo Baba kalobo
@mkasykhamisi2587
@mkasykhamisi2587 Ай бұрын
Congratulations nawapenda sana baba Joan na team yako❤chukua maua yako bb Joan🌹🌹🌹💐💐
@AshaBinmorisho
@AshaBinmorisho Ай бұрын
Leo nimekasirika sana kwanini wame mu iba simu
@khamismwamguza5232
@khamismwamguza5232 14 күн бұрын
Wameniuzia mm ucjali
@FestoMgallah-l9j
@FestoMgallah-l9j Ай бұрын
Baba joani me shabiki yako kutoka mozambique naomba ujitahidi kuwahisha kazi tunasubiria sana mpaka hamu yakufatilia inaisha jitahidi sana mashabiki zako tunaenjoy sana na kazi zako
@user-wv3du7ld2p
@user-wv3du7ld2p Ай бұрын
Yani Hulu kila MTU anaomba like nyie Vipi, anyway Baba karobo I was waiting ukweli ijulikane oooohbut anyway KAZI nzuri Sanaa keep it up
@SetianKarino
@SetianKarino Ай бұрын
Jamàni nimefika kwa wakati nipeeni like ❤
@adielndayishimiye2122
@adielndayishimiye2122 Ай бұрын
Tunashukulu sanakwa move hiyi nikali sana be Gap 💪💪 🇧🇮🇧🇮
@mohammedikimbute
@mohammedikimbute Ай бұрын
Good Mr kandibele
@MamabelindaBelinda
@MamabelindaBelinda 6 күн бұрын
Baba Joan hongera Kwa movie nzuri
@Joharishaban-ji5em
@Joharishaban-ji5em Ай бұрын
Wakwanza jaman kutoka oman jamn kama tupo pamoja like kumi tu ♥️
@JoriJori-es2re
@JoriJori-es2re Ай бұрын
Tuko pamoja kabisa❤
@user-vh9lx6zo7x
@user-vh9lx6zo7x Ай бұрын
upo Oman sehem Gani habibty
@phyilicereanson4975
@phyilicereanson4975 Ай бұрын
Oman wanalipa ngapi habibty
@user-vh9lx6zo7x
@user-vh9lx6zo7x Ай бұрын
@@phyilicereanson4975 kutokana na nyumba utakayopata kama ni kubwa bhc na mshahara unakuwa mkubwa
@user-vh9lx6zo7x
@user-vh9lx6zo7x Ай бұрын
@@phyilicereanson4975 na kama ulishawahi kuja kwa mara ya kwanza ukarudi tena yaan namaanisha ex gulf hao hela yao Huwa ni kubwa hata kama nyumba ni ndogo kwa sababu wanajua kila kitu
@FrenkiManizo-bx1ut
@FrenkiManizo-bx1ut Ай бұрын
Safi kabisa nimekubali sana
@glorymanga3650
@glorymanga3650 Ай бұрын
Nikooo hapaaa wa kwanzaa🥰🥰🥰🥰
@user-yg7zp3my9g
@user-yg7zp3my9g Ай бұрын
Kazi nzuri keep up movie tamu keweli
@user-qv9ju5jc7u
@user-qv9ju5jc7u Ай бұрын
shetani anaona wivu kwajili ya mamakarobo😅😅😅😅😂😂
@ZaynabShabani-bk8mu
@ZaynabShabani-bk8mu Ай бұрын
Jamani mie nimekuwa wakwanza leo like zenu❤
@karembo7082
@karembo7082 Ай бұрын
Haya time baba karobo twendeninalo hadi tamati😂😂
@RoseOdilo
@RoseOdilo Ай бұрын
Hongera baba Joan na team nzima ya baba yangu kipofu kwa kazi nzuri na yenye mafunzo M/Mungu azidi kuwainua❤❤❤ 🙏
@user-su9hn8es9n
@user-su9hn8es9n Ай бұрын
🎉 ❤ kazi nzuri kutoka kenya
@user-md5xi3bi8g
@user-md5xi3bi8g Ай бұрын
Hongera baba kalobo
@Lilly-ec4bs
@Lilly-ec4bs Ай бұрын
Whaaaa hivi mama unataka baba awendani kashakua gogoo chukuo maua kalobo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-qc9xc3ff3e
@user-qc9xc3ff3e Ай бұрын
Indeed mama karobo mwanamke hofyo mbaya haezi hata oshea mwanamume wake nguo akabadilisha moja tu siku zote ghai sina ubaya watching from kenya🇰🇪🇰🇪♥️♥️
@ruthwatitu89
@ruthwatitu89 Ай бұрын
Watching from Kenya napenda vile munaigiza
@Aimable-o6r
@Aimable-o6r Ай бұрын
Following you 5/5
@MaestroRugamina
@MaestroRugamina Ай бұрын
Mungu azidi kukupa maisha marefu iliuendelee nakutu burudisha nakutupa mashauri zaidi baba kakupenda kweli❤🎉🎉
@sofiakinyia2734
@sofiakinyia2734 Ай бұрын
Mungu nipe uhai nielew watoto wangu mwenyewe🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@nurafedrick378
@nurafedrick378 Ай бұрын
Hiloo jina aisee mbona refuuuu hivyoo tena jina lakuchanganyaaa🤣🤣🤣🤣🤣wakuitee tuuu baba karobo baba Joan halafuu Mr jacob
@CharityNyaboke-gv7lg
@CharityNyaboke-gv7lg Ай бұрын
😂😂😂karobo umepata boyfriend 😢
@alvezog_3836
@alvezog_3836 Ай бұрын
Ila Hapo Kwenye Kuibiwa Simu Yani Ulikua Inajulikana Kama Sim Itaibiwa Tu,Hapo Baba Kalobo Fanya Kitu Wakati Wengine Tusijue Kinachofata..
@user-hb9eq2fo6z
@user-hb9eq2fo6z Ай бұрын
Ivyo bro ata ndio nashangaa😢😢
@user-ec2cj5om7v
@user-ec2cj5om7v Ай бұрын
Kweli
@PentergonHonesty
@PentergonHonesty Ай бұрын
Thanks too much babajoan struggle & ilove your work so much god be with you and to bless your works to grows away
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 Ай бұрын
Nataka wanangu wawe na akili ya kalobo nakupenda sana kalobo,,,uko wapi nikupe zawadi yako mtoto mzuri
@user-lm7ny6gi4x
@user-lm7ny6gi4x Ай бұрын
Wah daah nampenda baba joan
@JoriJori-es2re
@JoriJori-es2re Ай бұрын
Mapema kabisa😂😂😂 ndan ya baba karobo
@macrinafuraha-zg3mi
@macrinafuraha-zg3mi Ай бұрын
Wooow karobo kapata mchumba😂😂😂😂😂😂😂😂🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣harusi tunayo hatuna 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@EmmyMo
@EmmyMo Ай бұрын
Ila ww😂😂😂😂
@macrinafuraha-zg3mi
@macrinafuraha-zg3mi Ай бұрын
@@EmmyMo 🤣😂😂😂
@user-kt3er8th9l
@user-kt3er8th9l Ай бұрын
😂😂😂😂 baba joan!!! eti mama karobo ni mbaya hadi shetani anamuonea wivu noma sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 pokea upendo wa dhati kutoka kenya, sisi ni maandamano tu.
@NancySibiaOnguti-gb9yq
@NancySibiaOnguti-gb9yq Ай бұрын
Baba kalobo, kalobo amepata mjumba 😂😂😂 na mjumba wa kalobo ndo ako na simu ya usaidi wa kumwangamisha shetani mama kalobo 😂😂😂😂😂like zangu jameni ndo kufika kutoka Kenya 🇰🇪
@EliezerIrakoze
@EliezerIrakoze Ай бұрын
Congratulations. Good Job
@user-yc4tu1zy9i
@user-yc4tu1zy9i Ай бұрын
Baba joani asante kwa kazi nzuri mungu awatangulie mumalize salama movie yenu
@user-vr4dz4jb2t
@user-vr4dz4jb2t Ай бұрын
Uyo kalobo ilo shavu anakunywa sana maziwa au lakuzaliwa nalo😂😂😂😂😂😂😂
@NellyKandolo
@NellyKandolo Ай бұрын
Wa mwicho leo nipeni like zangu 😂😂😂
@marthawanjiru6675
@marthawanjiru6675 Ай бұрын
Karibu nilale ndaa nikapata episode 16 ipo wow baba kalobo❤❤❤🇰🇪
@RizikiNzalla
@RizikiNzalla Ай бұрын
Baba Joani nakubalisana kazi nzury sana na nimeendelea kuwafatilia muda mlefu so kitu ambach nakiona mbeleyako ni utakuwa msanii mkubwa sana tanzania
@user-ff6ez9zp3g
@user-ff6ez9zp3g Ай бұрын
Huyo demu anaye kufukuzia aiseee ungemuona namzimia kinyama pole sana daah kumbe huoni big up wewe ni moto wa kuotea mbali
@KizaDesire-f4p
@KizaDesire-f4p Ай бұрын
Utafika mbali
@user-rf1ut3zc6l
@user-rf1ut3zc6l Ай бұрын
❤❤❤❤😂😂😂😂 naku miss kwakwel
@user-vs7hs5fy7p
@user-vs7hs5fy7p Ай бұрын
Nawapenda sana kutoka 🇰🇪 Mungu azidi kuwabariki sana maana munatupa mafunzo ya kimaisha ❤
@J74251
@J74251 Ай бұрын
Nimechelewa Sana hata 😢😢😢ila ninaraha nimefika Kwa mda mzuri Sana 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤tamu sanaaa ❤🎉❤🎉❤
@user-rt6fh1wf3t
@user-rt6fh1wf3t Ай бұрын
Aki hii series ni tamu sana aki
@maylucson001
@maylucson001 Ай бұрын
Tamu na tena ni tamu tena yaniii❤❤❤❤😂
@user-ti1ol3ti9j
@user-ti1ol3ti9j Ай бұрын
Wa 🇧🇮 tujuwane baba karobo ❤❤❤❤❤
@BeltesaMuhasa-mo8ti
@BeltesaMuhasa-mo8ti Ай бұрын
Asante sana kwa kazi ndugu yangu, hii kazi ni Noma sana , ni watakiye kazi njema baba
@aishaomar2287
@aishaomar2287 Ай бұрын
Kazi nzuri baba joan🎉🎉🎉🎉 ushauri wangu apo kwa kurecord wakt mwengine mboreshe...kwasababu kwa hali ya kawaida hio simu ilivyoshikwa mtu anaezashuku kama anarekodiwa
@winnieWangechi-gb7zz
@winnieWangechi-gb7zz Ай бұрын
Nimekuwa nikimtafuta hii comment tell them again apo nimewapa 10%
@faithhalima451
@faithhalima451 Ай бұрын
Naomba likes wapendwa kutoka kenya
@zebedayonyataige6516
@zebedayonyataige6516 Ай бұрын
Aste aste❤
@judithmutindi1227
@judithmutindi1227 Ай бұрын
Baba kalobo umeweza kabisaa ❤❤❤ toka pande za Kenya,,,oyeee babake
@zephbaraka
@zephbaraka Ай бұрын
Thanks for your concern..... following from Kenya Good work @babajoani
@MwaliSuleih
@MwaliSuleih Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤ahsante xan wadau Masha'Allah kazi inazid kubamba jamn hongereni xan Mungu azid kkuza vipaji na mnazidi kutufunza jamn ❤❤❤❤❤❤❤❤ mzidi kuendlea
@PhilemonBwalala
@PhilemonBwalala Ай бұрын
Wa kwanza Léo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
BABA YANGU KIPOFU Full Episode /17/ #love
34:09
BabaJoan
Рет қаралды 517 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 147 М.
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 46 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
WALIMDHARAU KWASABABU YA KINYAGO KUMBE NI MTOTO WA MFALME | MOVIE KWA KISWAHILI
28:46
IMPOSSIBLE! Giant SNAKE Lay Eggs Hunters Saving Girl | MIKE FISHING
11:32
comedy show
0:57
musa issa
Рет қаралды 4,8 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /30/ #love
37:10
BabaJoan
Рет қаралды 403 М.
MWANAFUNZI MCHAWI |1|
9:03
CLAM VEVO
Рет қаралды 4,7 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /27/ #love
36:51
BabaJoan
Рет қаралды 609 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /29/ #love
43:38
BabaJoan
Рет қаралды 486 М.