No video

PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 03 | Love Story

  Рет қаралды 1,045,312

DONTA TV

DONTA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 2 200
@Dontatv255
@Dontatv255 Ай бұрын
LEO TUMEONGEZA DAKIKA JAMANI ❤ 😂😂
@misigalogwanto6173
@misigalogwanto6173 Ай бұрын
Hahahahahahaha
@HudhaimaYussuf
@HudhaimaYussuf Ай бұрын
❤❤❤
@NathaSMART
@NathaSMART Ай бұрын
Thx bro Kwa kuongeza
@JoyKatanu-sy8uc
@JoyKatanu-sy8uc Ай бұрын
Mmejitahidi Sana congratulations vokeee
@user-jx4rx6jy6y
@user-jx4rx6jy6y Ай бұрын
Hahaha natamani zifike hata 💯 😂😂😂
@user-cp4iv2ut4x
@user-cp4iv2ut4x Ай бұрын
Mimi kama Gen Z from Kenya Wana Donta twa wapenda sanaa Kelvin Twakupenda pamoja na wenzako 🎉🎉💯
@judithpendo9985
@judithpendo9985 Ай бұрын
Genz 👊 team strong hoyeeeeeeeeee team donta family unawatch. Ukiwa wapi nawapenda saaana 🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦❣️❣️❣️❣️❣️
@user-kx8fp4xx2g
@user-kx8fp4xx2g Ай бұрын
Usilite Ukenya wako hapo. Hio ujinga sio hapa
@judithpendo9985
@judithpendo9985 Ай бұрын
@@user-kx8fp4xx2g acha ukuma ww n yenu wwe Kenya mavi ww
@user-py5sn3sx2h
@user-py5sn3sx2h Ай бұрын
Oman hiyo acha tupate madini hapa
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 Ай бұрын
​@@user-kx8fp4xx2gAcha makasiriko kama ww hautaki wa Kenya c upite na mbali kwani umeitwa kwenye hiyo comment😏😏😏😏 makasiriko na account ya Donta c yako
@TeresiaNjoki-ox2qf
@TeresiaNjoki-ox2qf Ай бұрын
Oman 🇴🇲 🇴🇲 🇴🇲 😅😅😅team majinun
@AmranNasibu
@AmranNasibu Ай бұрын
ambao wanaitaj mwanamke mwenye akili na upendo wa dhati kama loveness weka like kwa loveness❤❤❤❤❤
@EmmanuelUshindi-n9m
@EmmanuelUshindi-n9m Ай бұрын
❤❤❤❤❤😂
@MartinKiondo
@MartinKiondo Ай бұрын
Anajielewa
@user-qr2ls8nf1m
@user-qr2ls8nf1m Ай бұрын
😂😂😂Apo sasa
@saudinearalhasa2674
@saudinearalhasa2674 Ай бұрын
😂😂😂❤❤❤
@AminaRamadhan-mg9lj
@AminaRamadhan-mg9lj Ай бұрын
Sioo mwanamkee tuu hata mwanaumee kamaa kelvin tnatakaa piaaa sisi😌😌😌😌😌😌😌
@Njunwa-DK
@Njunwa-DK Ай бұрын
Kelivin ame mchana Tina nime ipenda sana iyo kama ume ikubali hii ya kelivin kuchana Tina makavu gonga like tuone tupo wangapi
@hafsahmassemoh3598
@hafsahmassemoh3598 Ай бұрын
KAMA UNATAMAN AKA KANYUMBA KAWE NA CC TV TUJUANE HILI UKWELI WA LOVENESS UJULIKANE NA CIO MAONEVU2❤❤❤ ONGEREN SANA TEAM KELVN🎉
@user-ro1fg5ur9l
@user-ro1fg5ur9l Ай бұрын
Watazamaji wa hii movie weka like kwa Donna tv🎉🎉🎉🎉
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya Ай бұрын
Nzuri jamani sisi wamama jamani
@MwanaiddMasoud-qk4hb
@MwanaiddMasoud-qk4hb Ай бұрын
Nawakubari sana donta TV zanzibar hapa ila huwa sipendagi kukoment tu Mimi jama lakini muv zenu hazinipit maana munasomesha Asante I sana
@NatashaManea
@NatashaManea 4 күн бұрын
Donta
@Emeraldlady16920
@Emeraldlady16920 Ай бұрын
Wanaompenda lovennes kama mm wagonge like❤❤❤❤❤
@MaryMatereadvicer011
@MaryMatereadvicer011 Ай бұрын
❤❤❤nampenda loveness na Kelvin
@user-hm6hy6rr1h
@user-hm6hy6rr1h Ай бұрын
Nampenda laveness na kelvin miss youuu ❤❤❤❤
@rizmwMwriz-mf2cu
@rizmwMwriz-mf2cu Ай бұрын
Nampenda mnooo tna akiolewa na Kelvin ni vzury kuliko uyo Tina mwenye roho ya kkorosho nampend sana LOVE NESS
@user-tn5gl6zu2v
@user-tn5gl6zu2v Ай бұрын
Mm pia nampenda sana❤❤❤🎉🎉🎉
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@franciscanyangau2807
@franciscanyangau2807 Ай бұрын
Alafu kelvin naomba please tutolee video au audio ya hii wimbo ni nzuri sanaa,, kama unaungana nami nipee like tafadhali
@Mani_Maher
@Mani_Maher Ай бұрын
Kweli tu
@user-lu7vs8wd8v
@user-lu7vs8wd8v Ай бұрын
Kweri
@SalehMachela-uo2yc
@SalehMachela-uo2yc Ай бұрын
Kweli
@samychance
@samychance Ай бұрын
Afadhali nmepata partner 🎉❤❤
@jescakaiza7229
@jescakaiza7229 Ай бұрын
🎉​@@Mani_Maher
@user-vf8ms7xm9f
@user-vf8ms7xm9f Ай бұрын
Kama unapendezwa na kazi yake Kelvin katika uigizaji gonga like tukimtakia aendelee kufanya vizuri zaidi
@SakayoDaudi
@SakayoDaudi Ай бұрын
Nawapenda sana
@philipinatemba903
@philipinatemba903 9 күн бұрын
❤❤️
@SplendemnChepkirui
@SplendemnChepkirui Күн бұрын
❤❤❤
@Miriamsanga-wf9si
@Miriamsanga-wf9si Ай бұрын
Jamn sijawah kupata like kwa Kelvin 🎉🎉
@FatmaMangale
@FatmaMangale Ай бұрын
Jmn Hana hata hurum
@Miriamsanga-wf9si
@Miriamsanga-wf9si Ай бұрын
@@FatmaMangale nan huyo
@SomoeAbdallah-xl3wx
@SomoeAbdallah-xl3wx Ай бұрын
Nishakupa😂
@Miriamsanga-wf9si
@Miriamsanga-wf9si Ай бұрын
Asante​@@SomoeAbdallah-xl3wx
@user-gg5ed4wt2v
@user-gg5ed4wt2v Ай бұрын
Mama kelevin hujuwi kufunza mtoto jaribu usikilize upande wote huyo Tina siyo mwanamuke, muzuri pia Wacha kutafutia kijana Yako muke,na mukumbuke pia loveness Hana makosamunamutendea vibaya munamusemanga,munamutusi,sana lla kelevin endelea kusimama na loveness, Nakupenda sana bro❤❤❤
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o Ай бұрын
Jamani hii ni movie maelezo yote hayo ya nini 😂😂😂😂😂😂
@user-rh2nj5hw4t
@user-rh2nj5hw4t Ай бұрын
😂😂😂😂😂​@@user-sv6zy3hc8o
@ZawadiGloria
@ZawadiGloria Ай бұрын
Wew ach kujifany mwalim hii ni movie tu ndoo ilivy pangiliw so wanajarib kutufunz maish sis maan hat hiv Kun wa mam weng wak kam mamaak kelvin
@sphamzasphamza6223
@sphamzasphamza6223 Ай бұрын
😂😂😂😂😂hata mm nashanga​@@user-sv6zy3hc8o
@user-gg5ed4wt2v
@user-gg5ed4wt2v Ай бұрын
@@ZawadiGloria sawa mama ni muvi ndiyo maana tunajufunza pia na kutoa maoni yetu kwa hoa wenye muvi,,,,
@BonithaRegnard
@BonithaRegnard Ай бұрын
Kama unampenda loveness gonga like hapa japo hata Kumi tu plz 😂😂😂
@GeorgeSijale-l8u
@GeorgeSijale-l8u Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MARYNAGUJustin
@MARYNAGUJustin Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@user-nf7kt6wp6s
@user-nf7kt6wp6s Ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@RehemaSikanyika
@RehemaSikanyika Ай бұрын
Hatutaki mmezidi nyie
@EmmanuelUshindi-n9m
@EmmanuelUshindi-n9m Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@reginaldrogath1621
@reginaldrogath1621 Ай бұрын
Kelvin khan utakuwa bonge la super star hapa tz nipeni like ambao tuko pamoja
@user-xb2hx8rf2v
@user-xb2hx8rf2v Ай бұрын
Ak nyi watu ni wazuri, Mwajua ku act ndugu zangu. Much love from Kenya.Kelvin ni mwambie kitu.Waendana na Loveness,simuoane jaman?❤❤
@user-wz8vt6xl2l
@user-wz8vt6xl2l Ай бұрын
Jamani like zangu jua lavunesi nawapenda saaana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 kutoka Burundi
@user-tj6pl1lz5b
@user-tj6pl1lz5b Ай бұрын
❤❤❤
@Brother-moses2vs7bi1v
@Brother-moses2vs7bi1v Ай бұрын
Sasa jamaa badala ya kupongeza wana DONTA TV nyinyi kazi yenu n kuomba likes sio poa jamaa🙏💞🙏
@user-tj6pl1lz5b
@user-tj6pl1lz5b Ай бұрын
usiwape😅😅😅😅😅😅😅
@user-im8pr5cj3n
@user-im8pr5cj3n Ай бұрын
Wanakela blaa
@user-yz2wu9lg6d
@user-yz2wu9lg6d Ай бұрын
Wananiboo aki
@lilimoswambu9934
@lilimoswambu9934 Ай бұрын
Walai 😂🤣
@Mtituboy
@Mtituboy Ай бұрын
Kelvin anakela unapekekeshwaje hvo kama boya
@rebeccaNakuviria-nu2xv
@rebeccaNakuviria-nu2xv Ай бұрын
Wanaompenda lovennes wpy like zake na za kelvin
@MwanaiddMasoud-qk4hb
@MwanaiddMasoud-qk4hb Ай бұрын
Jitahidini musilewe masifa kama clam yiyi nawakubari sana
@IssaBakari-e4u
@IssaBakari-e4u 26 күн бұрын
lovenesi nakupenda kinoma nafwatiliya san kazi zako nakukubali kinoma ❤❤
@JosphinMideva
@JosphinMideva Ай бұрын
Hongera kelvin uigizaji wako una mafunzo mazuri sana yana elimisha vijana kuchagua mke mzuri❤❤❤ bro God bless you wpi like ya kelvin
@DiyanaSimkoko
@DiyanaSimkoko 20 күн бұрын
Loveness pole momy
@EstherMulindwa-fp3ml
@EstherMulindwa-fp3ml Ай бұрын
Tumeishiya apa Kelvin kajitambuwa kasha aribu 😂😂😂 atazingatiwa na mama😂😂😂😂
@Heisibrah
@Heisibrah Ай бұрын
Story ni nzuri sanah ata uigizaji piah ... Lakini tungejitaidi kupunguza maongezi kwenye baadhi ya scene, kuna baadhi ya sehemu wanaongea lakini wanarudiah kitu kile kile mda wote
@KijanaMwepexi
@KijanaMwepexi Ай бұрын
Hope Leo likes zangu kumi nitapata juu nimewai from Kenya Gen Z oyeeeeeeh
@harunithabiti9572
@harunithabiti9572 Ай бұрын
Very good
@user-wp2dc3dr3w
@user-wp2dc3dr3w Ай бұрын
Jaman mm nmara ya kwanza kutazama hii movie naomba like zenu hat 3 Jaman nashukuru 😢😢
@Mwenjuma-zz1jt
@Mwenjuma-zz1jt Ай бұрын
Hii muvi inanigusa sana hamjui tuu 😢😢 Ninanikumbusha mbali sana kulazimishwa kuoa au kuolewa na wazaz yan dash😥😥😥
@user-lu3mf1ir4w
@user-lu3mf1ir4w Ай бұрын
Kwa maongezi ya kelvin na Tina kumwambia ukweli wake 😂😂😂 gongeni like apa ata tano
@MugabeMedard-yf9jn
@MugabeMedard-yf9jn Ай бұрын
Leo wakwanza kutoka Bujumbura burundi naomba likehata 5
@RashidKhanOmar
@RashidKhanOmar Ай бұрын
Nzuri sana hii Nipeeini like moja tu
@AishaLucy
@AishaLucy 10 күн бұрын
Nikiwa Kenya malindi
@rashinRamadhani
@rashinRamadhani Ай бұрын
Mbon Mr kelv hamna dakika tang juz is like❤
@user-ji1su1ie5l
@user-ji1su1ie5l 26 күн бұрын
Wow napenda babake Kelvin una busara na mawaidha mazuri hongera sana 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@JabanFranklin
@JabanFranklin Ай бұрын
Leo wakwanza kutoka Uganda nipen like jaman tunasuburi engine much love ❤️❤️❤️
@emmanuelharerimana1
@emmanuelharerimana1 Ай бұрын
Harerimana
@HadijaKanze
@HadijaKanze Ай бұрын
Aki nawapa hongera nawependa sana team Kevin nafuatilia kutoka kenya 🇰🇪❤❤❤
@user-hf7pk2lx4v
@user-hf7pk2lx4v Ай бұрын
Kazi nzuri kaka kelvin movies zako nazipenda sana na ziko na mafunzo sana zimenibadilisha sana ❤❤❤umeona uvumilivu ni kitu ya maana
@ElizabethyNeema-mq6bw
@ElizabethyNeema-mq6bw Ай бұрын
Kevin unafanya vizuri sana ongera nakukubali sana
@user-ym6rb3xz1z
@user-ym6rb3xz1z Ай бұрын
❤🎉 natamani ata iwe albam Kila siku niwe narudia kuona mov zako kipenzi upo vzr ktk kueleimisha asnt sana pamoja
@aishajuwinji3818
@aishajuwinji3818 Ай бұрын
Loveness na kelvin kanz nzur san Masha Allah 🎉 allah awazindishie inshallah 🙏🙏❤️ from Kenya 🇰🇪to🇸🇦 amazing 🤩
@OnikeSanze
@OnikeSanze Ай бұрын
Ndo naanza kuifatilia jaman nimeipenda naomb like hata mbili
@RehemaMsigiti
@RehemaMsigiti Ай бұрын
Nakuoenda mama unajuwa kipaji kikubwa unacho nafwatilia sana movie zako ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂 hongereni kwa kanzi nzuri
@methodnkundumukiza6367
@methodnkundumukiza6367 Ай бұрын
From🇧🇮to 🇱🇷 twawape'nda sana much love for you❤
@shannybabby5655
@shannybabby5655 Ай бұрын
Nawapenda wote mnaomfatilia kelvn Donta tv naombeni like na mim jamn ❤
@LaurentRukutsa
@LaurentRukutsa Ай бұрын
ooooooh endelea kuifuatilia💕💕💕💕💕
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg Ай бұрын
Waoooh Asanten jaman, Mungu awalinde
@RadjaboyKubita
@RadjaboyKubita Ай бұрын
AMEN 🙏
@rebecangilangwa1732
@rebecangilangwa1732 Ай бұрын
Tunashukuru wanadonta kutufurahishaaaa mashabiki zenu kwa kutupa dakika nyingi Mungu azidi kuwabariki mnoooo jamnnn tunazidi kuwaombea mzidi kubarikiwa Amen 🙏 🎉
@YustinaElias
@YustinaElias Ай бұрын
Si hivyo tu wanatuburudisha na kutuelimisha
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 Ай бұрын
Tangia hii movie hianze sijawah kupata like please like ata tano 5 tu zakulia ugali .......😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 Ай бұрын
@user-st3nx7dl9k
@user-st3nx7dl9k Ай бұрын
Loveness apewe maua yake jamn❤❤❤
@TumainiSteven
@TumainiSteven 17 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@hendrypeter6182
@hendrypeter6182 Ай бұрын
Wanae cheki move uku wanasoma comment like kwa love akeee
@user-oj7zw4fw8e
@user-oj7zw4fw8e Ай бұрын
Naiona keshoyako Kelvin zidisha dua najuhudi mng atanyoosha hitaji la moyowako.kichupa kikali mno,tunainjoi kk.nipo Kuwait huku nakupata vizuri mno.
@user-mh4ii4rz6l
@user-mh4ii4rz6l Ай бұрын
Pongezi kubwa kwa Donta tv kazi nzur sana, hakika tunapata elimu kubwa kupitia nyinyi
@usterbae
@usterbae Ай бұрын
Wakwanza kazi nzuri sana Mr Kelvin Khan may God bless you na team yako 🙏❤
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 Ай бұрын
Bichwa baya hata hilo wigi alikukai😂😂😂😂kula chuma ichooooo Tinaaaa.
@KhadijaZainab-yk2ww
@KhadijaZainab-yk2ww Ай бұрын
Huyu msichana love ness picha zake zote uko tu mpele❤❤
@FransisAloys
@FransisAloys Ай бұрын
Kelvin mzazi kwenye mapenzi hahusiki hata kidogo kwasababu yeye pia hatohusika kuishi nae mke wako. Advice tu hiyo chaguo lako ni loveness pigana ki vyovyote mpaka uishinae.
@wedsonanangisye5512
@wedsonanangisye5512 Ай бұрын
kwaaaa maraaa yaaaa kwanzaaa leo nimee kuaa waaa 16 leo hahahahaah like nyingii kwanguu kwaaa kuwai
@johncenamakori2000
@johncenamakori2000 Ай бұрын
Wangapi wanajua. Au wanaona movei ❤❤❤ kelvin ako ndani inaepeza sqna ata viewers wanakuanga niwengi.....🎉 nipeeni sangu likes....
@DOREENNKIROTE-gc7cf
@DOREENNKIROTE-gc7cf 23 күн бұрын
Hili lishumileta linajiita Tina, lasinya kweli, naombeni likes za kelvin na loveness jamani
@sabinahnyaboigo2125
@sabinahnyaboigo2125 Ай бұрын
I salute you Kevin ukweri ukuweke huru
@MbarakaidiIdirisa
@MbarakaidiIdirisa Ай бұрын
Nmekuwa wa kwanza naombeni like zangu
@user-dn3sn2fk9v
@user-dn3sn2fk9v Ай бұрын
Ww ni muigizaji gan unaeomba like😅😅
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg Ай бұрын
Wimbo huu nan kaimba jaman nimeupenda sanaa
@HudhaimaYussuf
@HudhaimaYussuf Ай бұрын
Iyo sauti tu ni kelvin Khan 😊
@EstherMulindwa-fp3ml
@EstherMulindwa-fp3ml Ай бұрын
Kelvin
@user-gc2rd8ln3v
@user-gc2rd8ln3v Ай бұрын
Yeye mwenyewe Khelvin ndo kaimba
@user-tj6pl1lz5b
@user-tj6pl1lz5b Ай бұрын
🎉🎉
@LucyMlelwa-dn3ry
@LucyMlelwa-dn3ry Ай бұрын
Unaitwaje
@Bintabubakar-id2so
@Bintabubakar-id2so Ай бұрын
Love kuwa jasri mama ndio kutafuta😢😢 nawapenda san ❤❤❤
@ShamimHassan-qm1et
@ShamimHassan-qm1et Ай бұрын
Kwanini umempiga love wangu 😢had nimelia sijui kwanini 😢❤lovenessan &kelvin❤
@ValmaOtieno
@ValmaOtieno Ай бұрын
Mungu ugeumba kila MTU Na roho y lovennes walai Dunia igekuwa poa sn au munaonaje❤❤❤
@veronicasolange930
@veronicasolange930 Ай бұрын
Leo nimekuwa wa kwanza like zangu mnipe jmn😂😂😂
@JohnNoa-ff1qv
@JohnNoa-ff1qv Ай бұрын
Hello 👋
@veronicasolange930
@veronicasolange930 Ай бұрын
@@JohnNoa-ff1qv hi
@JohnNoa-ff1qv
@JohnNoa-ff1qv Ай бұрын
@@veronicasolange930 hbr za nyumbn
@user-tj6pl1lz5b
@user-tj6pl1lz5b Ай бұрын
🎉🎉🎉
@veronicasolange930
@veronicasolange930 Ай бұрын
@@user-tj6pl1lz5b 😍😍
@JosephineMomanyi-jp8tv
@JosephineMomanyi-jp8tv Ай бұрын
Leo wa kwanza from kenya nawapongeza Kevin kwa hii movies
@lidyamhova8528
@lidyamhova8528 Ай бұрын
Kazi yenu ni njema sana donta tv Tunawakubali sana tunajifunza pia
@user-mi9bz5gy2u
@user-mi9bz5gy2u Ай бұрын
Nyinyi muache wivu,wapi likes za Amina, alikua ready kupata mpoa❤❤❤❤❤❤❤
@NORAHNECHESA
@NORAHNECHESA Ай бұрын
Gonga like za lovness 🎉🎉🎉❤
@DoreenOnderi
@DoreenOnderi 24 күн бұрын
❤lovve
@Cuteeeee477
@Cuteeeee477 Ай бұрын
Nikajua nimewahi kumbe kuna watu wamelala umu😂😂
@HudhaimaYussuf
@HudhaimaYussuf Ай бұрын
😂😂😂😂😂 watu wanauraru
@user-dn3sn2fk9v
@user-dn3sn2fk9v Ай бұрын
Watu wamegeuza KZbin magetto yao wanalala humu humu 😂😂😂😂😂😂
@NicelindaMwita
@NicelindaMwita Ай бұрын
Wrong house wanawamalizia mb wachanganya movie kwakua mnakera sana badara ya kusapoti kaz ushauli nyie ni like2
@hashimuomary4569
@hashimuomary4569 Ай бұрын
Mm tu nikumuona lovennes nachanganyikiwa nyie mwanamke mzur San huyu Kila movie nataman kelvin ndo awe na mahusiano nae nampenda San🥰
@user-dn3sn2fk9v
@user-dn3sn2fk9v Ай бұрын
Umeona ee kwanza wawe wapenzi TU alafu na nguo za dada wa kaz zimempendeza 😂😂😂For sure she's beautiful 🤩❤️
@AnnOmbogo
@AnnOmbogo Ай бұрын
I love and I like the kindness of loveness,,sweet move keep it up
@Lucy-vp8pm
@Lucy-vp8pm Ай бұрын
Mnafiki sana ww Christina ila chako kiko motoni ngoje utakipata mweu kabisa ww
@MariamNdahya-w6v
@MariamNdahya-w6v Ай бұрын
Kelvin umenifurahisha sana. Umepasua ukweli jamani. Ukweli unauma pia ni tiba💗💗💗
@jordanjonas8009
@jordanjonas8009 Ай бұрын
Umemshauri vizur sana kuwa, 😅😅 kuwa utakuja kulia ooooh badae asije kutusumbua me natunza huu ushari 😂😂😂😂 kazi nzur sana kaka 🙏🙏
@RaelAmunga
@RaelAmunga Ай бұрын
Kevin move yako nzuri Sana nawapenda Sana watu wangu nikiwa kenya❤❤❤
@user-hp3vn4kc4s
@user-hp3vn4kc4s Ай бұрын
Kazi nzuri❤
@ashamrisho1322
@ashamrisho1322 Ай бұрын
Kelvin upo correct kbsaa unaweza sana kaka, congratulations 🎉
@user-gi4jo5ib6l
@user-gi4jo5ib6l Ай бұрын
Kazi nzr bwana kelvin kawapat nikiwa Burund 🇧🇮🇧🇮🇧🇮mauwa yen🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Jimmie_MJ
@Jimmie_MJ Ай бұрын
Wana Donta kwanza Niwapongezi Kwa Kuleta Series ya Dakika Mingi. ...Tunapenda Ivi kelvin Safi Sana....Hii imezidi zote.....❤❤❤
@user-kx2kr8mp3e
@user-kx2kr8mp3e Ай бұрын
Kelvin simama kwenye msimamo wako sis mashabiki wako tunaona kua hisiazako zipo kwa lavnes kwahiyo umefanya vizuri kumwambia ukwel tina achakuchaguliwa mke kama zaman chagua mwenyewe kumbuka maneno ya lavu alikwambia hisia hubebwa na mhusika mwenyewe simama kwenye nafas yako. Nawapenda sana ❤❤
@user-zw7nz4nh6d
@user-zw7nz4nh6d Ай бұрын
Kelvin twakukubali bro🎉🎉 big up kwako❤❤🎉
@Mary-lh1nk
@Mary-lh1nk Ай бұрын
Aki kevin am happy of u,mwambie humtaki mara 70😅😅
@DianaDiana-ej6fn
@DianaDiana-ej6fn Ай бұрын
Kazi nzuri kelvin khan
@user-xq4id9ju3t
@user-xq4id9ju3t Ай бұрын
Tunashukuru kwakuongenza muda tena muendeleye Kwaju munatufulayisha sana
@DianaDianakarembojefwa
@DianaDianakarembojefwa Ай бұрын
Wenye tumefurqhia dakika njooni uku wow napend hii movie jameni ni tamu ijayo kelvin tuongezee tena😅😅😅😅
@user-xh3cc7yp6o
@user-xh3cc7yp6o 27 күн бұрын
Nawapenda sana kbx munajitaidi sana kelvin nakupenda wanawoshindikiana na mie kuwapenda Love ness na Kelvin nipeni like❤❤❤ mubarikiwe
@YohanaFulika
@YohanaFulika Ай бұрын
Nimengi sana tunoyo jifunza kupitia ninyi yaani movie zenu kiukweli zina tufunza mengi zaidi Donta TV good luck
@matihassanmwachigutu-hq7ei
@matihassanmwachigutu-hq7ei Ай бұрын
Kazi nzuri sana brother kelvin Mungu hawabariki nyote
@Tedy-s7o
@Tedy-s7o Ай бұрын
Wanaompenda kelvin naomba like zenu
@wanjalawanjala487
@wanjalawanjala487 Ай бұрын
nilikua naisubiria sana..much love from kenya
@user-hw1el5lh3y
@user-hw1el5lh3y Ай бұрын
Bro huyo mama in part 03 amebeba uhalisia wa mama wa kiafrika katika kutetea au kusuluhisha jambo bila kupima uzito wa taarifa,,jngawaje alisisitizwa na mume kufanya hivyo..hii ni content nzuri inabeba uhalisia wa mwanaume kuwa kiongozi wa familia na hata ulimwengu,,appreciate kelvin
@AishaHussein-qh7nw
@AishaHussein-qh7nw Ай бұрын
Ambaye hawez kuona makosa kwa mpenz wake kisa anampenda agonge like hapa
@LightnessUrio-fo7mq
@LightnessUrio-fo7mq Ай бұрын
Ivi jmn watu mnafanya jazi kwer khaa mbn mko fasta ivyo mm nazan nimewai kumbe niko nyuma kam tako😂 duuuu ongeren like nyingi kwa kelven ata yy sikuiz mmemfunza kuomba like😂😂❤❤❤❤❤
@RahmaAlly-mg3vs
@RahmaAlly-mg3vs Ай бұрын
Wanaompenda kelvi kama mm wagonge like
@glorymanga3650
@glorymanga3650 Ай бұрын
Movie nzuri snaaaa🥰🥰🥰🥰🥰🥰asanten piaa kwa kuongeza mdaa🥰🥰🥰🥰
@user-yk2nl1po6g
@user-yk2nl1po6g Ай бұрын
Sio nyota dada ni tambia ndio inafanya loveness apendwe na kevo
@elizanyamboba4753
@elizanyamboba4753 Ай бұрын
Tynaompenda lovenes jamani like zenu tu
@user-og5bq6qq6c
@user-og5bq6qq6c Ай бұрын
Donta Tv is best weka like 👍
@lydiahnyamokami5058
@lydiahnyamokami5058 Ай бұрын
Mama kelvin muache mwanao ajitafutie mke anae mpenda na sio tinah,,,nakupenda na team yko yte❤❤🎉🎉🎉
@YohanaTekeleza
@YohanaTekeleza Ай бұрын
Nime chelewa kidogo naomba like zangu
@EmanoelPeter-rv1ly
@EmanoelPeter-rv1ly Ай бұрын
Jaman donta TV mko na movie smart episode 4 mtuwek mapem plz
@OrganizationZambia
@OrganizationZambia Ай бұрын
Vizuri sana kwenye movie zenu nazipenda sana nikiwa Zambia 🇿🇲
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 25 МЛН
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 42 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 4,7 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 25 МЛН
HOUSE GIRL EP 49 | S2 | love story💞💕
21:53
BUSATI TV
Рет қаралды 71 М.
HUYU DADA MCHAWI
8:01
Steve Mweusi
Рет қаралды 1,5 МЛН
Red Valentine Part 1 - Steven Kanumba, Wema Sepetu (Official Bongo Movie)
1:18:07
SNAKE BOY | ep 35 | SEASON TWO
30:48
CLAM VEVO
Рет қаралды 269 М.
Kutana na Mama Mariam Nabatanzi  mwenye watoto 44
5:40
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 8 МЛН
NDOA YA KICHAA NAENDA NYUMBANI
6:40
CLAM VEVO
Рет қаралды 1,6 МЛН
Family Tears 2B - Wema Sepetu, Steven Kanumba (Official Bongo Movie)
1:09:00
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 25 МЛН