Shukran wadawu Leo nimewahi naomba like zangu ❤❤ Respect mmewahi Baba Joan❤❤❤❤
@Emmajose-t8t10 күн бұрын
Kweli kikulacho ki nguo mwako , much love mama karobo original naomba likes za kofia
@allanbirir-jn3js9 күн бұрын
Nmo
@JulesNkoyi5 күн бұрын
❤
@ArsenSilayo-r4o10 күн бұрын
Leo kwa kweli nmewahi sanaaa na sitaki like zenu leo na wale waomba like leo hampati mpooooo😂😂😂😂😂
@FaithChimoyi10 күн бұрын
Mm nipo hapa naomba like😂
@ChristineMaloba-hk9je10 күн бұрын
😂😂😂😂wacha zako
@ArsenSilayo-r4o9 күн бұрын
Nmesema hampati Kila siku mnataka like mnataka mpeleke wap mkinambia ndo nitawaruhusu mpewe
@user-ie7yt9db6f10 күн бұрын
Baba kalobo jmani na ku like toka kenya ujawahi niangusha ataila fasheni na ma kalobo feki mwaka huu mtaanguka nayo 😂😂😂😂😂na ba kalobo ataona wp like za wakenya😢❤❤❤❤
@FaridaNtakarutimana7 күн бұрын
Natamani sikumoja nimuone baba karobo akiona
@eleuthereflash117410 күн бұрын
Wa kwanza DRC kuitazama. Nipeni like zangu tafadhali
@Gracenelima25410 күн бұрын
Natazama kutoka Jordan wanao mpenda baba karobo wapi love ❤❤❤
@eddykabala147910 күн бұрын
Like yengine kutoka Congo, napenda sana kazi yenu. Muendeleye ivi
@peterkiama-es1wb10 күн бұрын
Safi sana,namkubali baba karobo,tunaomba mwendelee ivo ivo,bdo tunasubiri ep 35 woow! nawapenda sana,
@musanaberanyiratungane711910 күн бұрын
Shukran leo nimechelewa hii film nayipenda sana mungu awaongezee kipaji ❤❤❤❤❤❤❤❤
@ggfwtgg165210 күн бұрын
Waooooo natumaini mutanipa like 👍 sijawahi pewa ili nione zinafaidi gani ❤❤❤
@MaimunaLugua-tf7vh10 күн бұрын
Kazi nzuri Sana baba karobo nilitamani yaendelea tu Moja kwa Moja nijue nn itafanyika taar MUNGU abariki kazi yenu na msichelewe maana nko na furaha Sana hasa kuona baba joan kuongozaaa Jana sikujua ata Nile nn MOLA azidi kuwapandisha juuu nawapenda nyote from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@rizikishukuru749010 күн бұрын
Nimewahi Leo nipeni like zangu na mm kaz nzuri San🔥🔥
@maylucson00110 күн бұрын
Kumbukenii kuna kofiaa jamn nupti anajisumbuaa buree mama karobo og aliahidii kusaidiaa tusiwe na hofuu😂😂🎉🎉❤
@MalkaNinik10 күн бұрын
Pia mimi nakumbaliana wewe
@MwaliSuleih10 күн бұрын
Hata mm naamin ilo ak Kaz itaenda vizur ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@finegatwiri259710 күн бұрын
Apo umenipa tumaini be blessed 😊😊😊😊nilikia naumwa na roho😂😂😂😂
@nadiatanzania9 күн бұрын
Maana nishaanza kuwa na wasisi mm jaman 😢
@SalamaTaura9 күн бұрын
🎉
@RuthwaChege10 күн бұрын
Wana saudia Riyadh na wa African nilikieni niwalikie pia❤🎉
@aminamwivita76909 күн бұрын
Ata mm pia nko saudia Arabia Riyadh
@janetkyumbe71549 күн бұрын
Nipo Dammam ❤❤❤❤
@RuthwaChege9 күн бұрын
@@aminamwivita7690 majirani sister hapa
@RuthwaChege9 күн бұрын
@@janetkyumbe7154 hewa ni moja🥰
@susanmitchell564110 күн бұрын
Uyu msaliti jamani sikudhani anaweza badirika,marafiki jamani 😢 Mungu saidia baba karobo na mwanae,team Kenya 🇰🇪
@ANNAChares-v6s9 күн бұрын
❤❤🎉baba kalobo kazi nzuli sana nime fulahi kuwaona mkifulahisha hasa mama kalobo anafulahisha kazi jema
@MemoryKamutandi10 күн бұрын
Wakwaza leo jaman nipen lak zangu nimekuwa wakwaza❤❤❤🎉🎉
@LebonAlliance10 күн бұрын
Wakwaza kutoka Congo naomba like jamani kamaunamukubali baba karobo
@MerrySamuel-wq9vu10 күн бұрын
Wewe nukuti acha unafiki mbonaunakuwa hunaaibu mwangarie kwanza
@LovesweetThuva-qj4tb10 күн бұрын
😂😂 Omar Bana eti wewe ni mtabir wa doto
@RashidAbdallah-pn6vj10 күн бұрын
Z ,b kutoka 254 kwa kweli hiki kipindi kina nivutia sana
@BlackSharle10 күн бұрын
Baba karobo munatuchelewecha achieni haraka sisi tuna hamonanyo kwe hi filmes
@LebonAlliance10 күн бұрын
Nikweli kabisa
@Herbertonex10 күн бұрын
Baba Joan na team Yako nawaombea mungu abariki KAZI yenu na mwe na maisha marefu much love kutoka Uganda 🇺🇬 God bless you 🙏🙏 and your team nawapenda nyote 💙💙💙💙
@Grace-g3e10 күн бұрын
Kutoka Saudi Arabia jamani nipeni likes za baba karobo
@IrankundaLiliane-rp7ht10 күн бұрын
from burundi kama mnapenda baba karobo nipe like
@mohamedlopa841010 күн бұрын
Rehma na aman zimfikie ,,,,,yeyote atakayesoma hii coment ,,,,,inshalaaaaa 🤲🤝🤝🤝👊🤛🤜☝️👍👎👈👈👈✌✌✌
@qwerqasd859710 күн бұрын
Allahuma aamin jamia
@SidiMariam-ph7cc10 күн бұрын
Ameeeen
@AshaWato10 күн бұрын
Amiin
@NadzuaMrema10 күн бұрын
Amiin
@joycemaregesi189 күн бұрын
Amen🙏 Adi wakuelewe tu wafate mifumo yako ya uombaji like😂😂😂
@WakoliBrian-wt7em10 күн бұрын
Mm ni mkenya nataka like zangu
@bakaringwegwe290610 күн бұрын
Me wakwanza jaman kutoka zenji naombeni laik zang jamani
@HellenKitsao-zk5vg10 күн бұрын
Wakenya hatulali hadi tuwahi kipindi hata kama ni usiku wa manane❤❤❤❤
@m.csundayvin358410 күн бұрын
Kati ya wa kwanza❤❤ always supporting you baba Karobo
@zmboy752210 күн бұрын
Wakwanza kutoka Dodoma,naomba like zenu
@user-xf3uj9xg2o9 күн бұрын
Tuko bega kwa bega 😂😂🎉🎉🎉🎉
@zmboy75229 күн бұрын
@@user-xf3uj9xg2o pamoja
@JohnAdam-m7o10 күн бұрын
Wakwanzaa team strong apa riyadh 🇸🇦🇰🇪😂😂wifi ya waiguru Nayo lazima tuanguke nayo😂😂😂
@GraccDewa10 күн бұрын
😂
@MARYMAREGEMDAKU10 күн бұрын
Nisupport pia na hiyo free WiFi please naomba
@AmenaKwekwe-yw3eu10 күн бұрын
Anguka nayooo hata mmi naanguka nayoo nkiwa saudii Haili😂😂😂
@elizabethcatherine-jm8fr10 күн бұрын
😂😂😂😂anguka noyo
@mamathasimiani10 күн бұрын
Kabisa 😂😂😂😂
@RemtahNanzala-k3k10 күн бұрын
Mimi wa kwanza ĺeo nipe like ata kama nitano
@msafirimwenetombwe881910 күн бұрын
Safi Sana Nawapenda Walio Tangulia Chukueni Maua Yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ONEGB-q5b10 күн бұрын
Wale wa likes tuko wapi ❤❤❤safi sana baba karobo
@user-vb4sx2ib9k10 күн бұрын
Kazi nzuri baba karobo, ila musichelewe sana jmn❤❤❤❤
@SalamaTaura9 күн бұрын
🎉
@elishakakotiparadizo72810 күн бұрын
Wa kwanza From DRC
@user-fp5im2ib8s10 күн бұрын
Jaman na leo nmewai kutoka Tanzania nimekiwa mtu sitini nipeni like zangu😂😂😂😂
@MauwaSamsoni10 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SalamaTaura9 күн бұрын
🎉🎉
@franciskongodi563710 күн бұрын
Kazi mzuri nashukuru baba joab
@EMMANUELRAJABU10 күн бұрын
I like it
@kinanaissango34929 күн бұрын
Much respect BABA JOAN ndio maana unafanikiwa sana nimemuona mwanafunzi wangu Leo kaja shule akiwa amependeza kabiiisa much respect@talent kubwa tunakusapoti sana brother
@peterlove4g86910 күн бұрын
Leo nimekua wa 10 nipeni like 👍 zangu
@DivineIngabire-lj3sr10 күн бұрын
Daah leo kabisa mumenifulahisha kunipa nottification mapema
@benena468310 күн бұрын
Nuptii mzariteanatega skio tuu,,,,, kenya mko wapiii,,, like. Moja tu
@OMMYWasingoe10 күн бұрын
Wakwanza Leo nipeni like zangu namm
@gladysnatecho747610 күн бұрын
Kutoka kenya 🇰🇪 baba karobo,,,, nimemupea like zangu
@AnithaNininahazwe-p3h10 күн бұрын
Omari karobo bitoto bizuli courage 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@JosephMtukufu-h1b10 күн бұрын
Ba karobo kazi nzuri sana 🎉🎉
@rebeccaindakwa870910 күн бұрын
Wa pili kutoka Kenya likes zicome plz
@Nadzuwamangale10 күн бұрын
Huy Omar ni mpuuzi kweli het yeye ni mtabiri 😂😂😂😂😂😂😂 Omar ww
@MwaliSuleih10 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂ili jambo lake lisifeli na yey mmbo mbaya kw kalobo mwenyw mchumbake 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@FakikhAsmah9 күн бұрын
Anavo tembea sasa kama kajinyea 😂😂😂😂
@NathanAkimana9 күн бұрын
😂😂😂@@FakikhAsmah
@SalamaTaura9 күн бұрын
😅😅😅
@Hahuuraj10 күн бұрын
Wakwaza kutoka kenya like zangu
@CorneliusKatana10 күн бұрын
From Kenya nipeni likes zangu ❤❤❤
@rtrw70810 күн бұрын
Wa kwanza Mimi hapa
@BennyCrisanto9 күн бұрын
Kalobo Ana kipola Kama mwakotobe .. naipeda sana hiiii filamu ....❤❤❤❤🎉🎉🎉
@kingustarboe10 күн бұрын
from Tanzania naomben like zangu 🎉🎉🎉
@SalamaTaura9 күн бұрын
🎉🎉
@MaureenKarimi-lm1xr10 күн бұрын
Wakwanza kutoka kenya❤❤❤
@anthonymbusiro776810 күн бұрын
malizen movie hii mnalemba sana had inaisha utamu kuna vipengele vingne hata havn ulazima
@RahmaSuleiman-c7v10 күн бұрын
Jmn hatimay baba karobo anaenda kupon
@MenzaSuleiman10 күн бұрын
Pwani ya Kenya inampenda sana karobo❤❤❤
@janecharo119610 күн бұрын
Pwani tupo ndani🎉🎉🎉🎉
@SalamaTaura9 күн бұрын
🎉
@lukapaulo40810 күн бұрын
Mate kwenye kisoda Sawa bahn ila poa sana kk 💪💪🤛🤛❤❤
@King_kid25410 күн бұрын
Wakwanza kuona wapi likes zangu 😊😊
@FatimaOman-wb8tn10 күн бұрын
Kwan ulikua kipofu pia ww sai ndio unaona😂😂😂
@JeanclaudeNsengiyumva-dv1bz10 күн бұрын
Kutoka Burundi ,baba karobo nakupenda sana unadufurahicha.
@user-vo7yb6wp1m10 күн бұрын
Nimefurahi sana nitakapoona baba karobo akiona tena.jamani mungu ashindwi na jambo 😮😂😂🎉❤
@SalamaTaura9 күн бұрын
🎉🎉
@MasnamussaPp10 күн бұрын
هلا ،nimejibanza pembeni ya jabali la yemen nangali vitu vya baba karobo na timuyake mzima,nipeni like za marash ya karafuu jamani
@olivamwaikuyu8010 күн бұрын
Kazi nzuri kaka hongera sana
@aminahkahindi267610 күн бұрын
Leo sijachelewa mim pia nakupenda baba karobo unafundisha jamii🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@SalamaTaura9 күн бұрын
🎉🎉
@user-wk1ho6mr5b10 күн бұрын
kazi nzuri xana brother
@BrendaChelangat-o5r10 күн бұрын
The fast one from Uganda give me my likes
@ChristopherHalkanoAbduba10 күн бұрын
I will keep on watching this video until baba kalombo afanikiwe kuona
@irankundabelyse-ej5vi10 күн бұрын
Dakik 8 mushaja😂😂 jamani😂😂nawapendakutok 🇧🇮🇧🇮❤️
@Risper-i6w10 күн бұрын
Very nice
@kaka-of2oq9 күн бұрын
Wanaodhan baba karobo yupo fasta kuachia episod wagonge like hapa
@brightonvictorkimsehyeon789210 күн бұрын
Wakwanza from South Africa 🇿🇦 nipeni like zangu
@MauwaSamsoni10 күн бұрын
❤🎉❤🎉❤🎉
@aminahhuawei113310 күн бұрын
Kazi mzr baba karobo mubarikiwe sanaaa❤❤❤❤❤❤
@MERCYmercy-rl3lu10 күн бұрын
Yani 34 minutes 11,779 views wow good job baba karobo ❤
@janecharo119610 күн бұрын
Kilà mtu anaenda hii movie 🎉🎉🎉
@EnockMbuna10 күн бұрын
Leo wa kwanza like hata moja inatosha
@apollinairendayiragije72179 күн бұрын
Kutoka Burundi Bado nafuatilia kila episode ya filamu nzuri baba yangu kipofu.Hongereni sana
@tabihaauko914610 күн бұрын
Twashukuru kutuletea movie haraka be blessed
@DeeDan-sj1mr10 күн бұрын
Kama unaamin epxode ijayo baba karobo anaona weka like apa tujuane😢😢😢😢
@user-rk1uq3ht4z10 күн бұрын
Likes wa nyoko😏😏😏 kuomba likes2 kutoa comment za maana Ahhhhh
@riziki840610 күн бұрын
😅😅😅😅@@user-rk1uq3ht4z
@DeeDan-sj1mr10 күн бұрын
@@user-rk1uq3ht4z 😂😂😂 kunixema tuu kuoga aaah
@SidiMariam-ph7cc10 күн бұрын
😂😂😂@@DeeDan-sj1mr
@gladysnzula445610 күн бұрын
Aaah wapi msaliti Yuko bamba Tu bamba na wao😂
@RafiqueSaide10 күн бұрын
Leo nimebatika kwa wa kwanza namombeni like zangu jamani from 🇲🇿🙏 please watazamaji wa movie za baba Joan
@user-tc7md4mb8e10 күн бұрын
Kutoka kenya kwa wale mnapenda baba karobo mnipee likes zake❤
@YvonneWangeci-oe8uf10 күн бұрын
Ndio hiyo mtoto wetu❤
@robertokibingo10 күн бұрын
that's it, great movie, baba joan you are the best comedian after clam alive whoever doesn't accept is looking for him in Tanzania
@user-tc7md4mb8e10 күн бұрын
❤❤@@YvonneWangeci-oe8uf
@user-tc7md4mb8e10 күн бұрын
@❤❤robertokibingo
@HassanMfuko-tn9yz10 күн бұрын
❤❤❤@@YvonneWangeci-oe8uf
@DebyDival-t6g10 күн бұрын
Na mimi jameni naombeni like zangu nimewahi na mie kuiangalia leo.
@JohnMachiya10 күн бұрын
Nipo hapa
@mushimbiespoirbaraka763310 күн бұрын
From south africa 🇿🇦 I really like your job bro salute 🫡
@Sofiashabani78010 күн бұрын
Nilisubiria sana Maashaallah
@jamesfelix19310 күн бұрын
❤kaz nzur sana
@maryamsaidi542410 күн бұрын
Wakwanza leo kutoka kenya 🇰🇪 😅
@anniemsimbe2510 күн бұрын
Waooo pongezi
@Priscillakagendo710 күн бұрын
Leo nmewai from kenya naitaji likes bwana
@user-wz8vt6xl2l9 күн бұрын
Nimecerewa jamani waonayo tegemea baba kalobo ataona like zangu apa mutoto wa burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@roudhamahmoud7639 күн бұрын
Kibaniyo una mzigo mashallah na hizo dimpoz🎉🎉🎉🎉hongera
@kwizeraamina-nn8gu10 күн бұрын
Waaaooo kutoka Burundi miye hapa😅
@JosephKatana-o5e9 күн бұрын
Hongereni sana kwa kaz yenu nzur ila fasheni ako na jini milegezo kwel
Natamani huyu Nukti msaliti nae akomeshwe na mzimu wa mama Karobo OG.
@PatriciaMshanga10 күн бұрын
❤nampenda baba karobo
@kondebouy130810 күн бұрын
Baba kalobo kazi nzuri hutucheleweshi watching outer doha qatar
@bugattijr883910 күн бұрын
1
@FatmaShomary-p2v9 күн бұрын
Huu mchezo na ufatiria sanaa mana ni mzur mno unafundisha sana nakpenda sana baba karobo unajua kutunga chukua maua yako🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤ mungu Akuweke kwa kwel darta mzur sana wewe wa stor
@skylinelukhalo644410 күн бұрын
like za mama kalobo fake..movie nzuri ❤❤
@HelenTumaini9 күн бұрын
Naipenda movie hii na mnafanya vizuri kabsa Lakn Nina ombi mnarefusha sana story mnaharibu ladha ya movie punguzen baadhi ya vitu. Asanteni