JAMANI MNAONAJE KAMA TUKIACHIA KILA SIKU??? AYA WANAOTAKA 2ACHIE KILA SIKU TUJUANE HAPA 🙌
@Vanessachannel-bt8ed3 күн бұрын
Hapo sawa❤
@toaccepttruth81283 күн бұрын
Hapo saw❤❤❤❤❤❤❤
@AsminKache3 күн бұрын
Mimi apa🙌
@epitomeapex3 күн бұрын
Mtakuwa mmefanya jambo zuri
@IrumvaOscar-df8yf3 күн бұрын
Achia nyingin sasa hivi😱😱
@OmanOman-ru4eu3 күн бұрын
Tuliofurahia loveness kumwambia kelvin kuhusu mambo ya mme wa aziza like zetu hapa
@HaikaShao2 күн бұрын
Mm. Wenyewe nilijua hatomwambia nikaanza nikaanza kuwaza itakuaje?
@ReginaKigoda2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@RuthCharles-i1p2 күн бұрын
🎉
@LeonedahTenge2 күн бұрын
Amefanya Jambo nzuri Sana kumwambia kelvin
@EliethMoyo2 күн бұрын
😊
@YusraMshomary3 күн бұрын
Leo acha niwaombee Dua wote mashabiki wa Donta tv, mungu awape maisha marefu, awaondolee dhiki ya aina yoyote,awakinge na watu wabaya,awafungulie milango ya lidhiki ya halali ameen🤲🤲
@AbduliSuleiman-o9l3 күн бұрын
Amin 🤲🫂
@riziki84063 күн бұрын
Amiin yarabby
@JescaYusuph-m4y3 күн бұрын
Amina🙏
@FlorenceMnyazi3 күн бұрын
Amen 🙏
@zuberhamza78523 күн бұрын
Aamiyn pamoja naww
@elizabethismile68273 күн бұрын
Aziza huwa ni mrembo afu mstarabuu nampenda kwelii❤❤na skuizii anazidii kung'aa mashalaah
@moissacreator57162 күн бұрын
Kweli kabisa nimekosa namba yake tu ningemtafuta kitambo nam believe
@QueensaharSamantha-o2s3 күн бұрын
Nmefuraishwa na mamke Kelvin Sana kwa maamuzi aliyoyachukua pamoja na mumewe nawapa pongezi yao
@JemimahKambua3 күн бұрын
Aisee aziza namkubali sana nilidhani angekosa kumuelewa love,,basi nipeeni like ata Moja
@marthesifa-58033 күн бұрын
Nilikuwa sijamalizakuangaliya ikabidi nipitie comment kwanza kwakweli comment yako inanipamoyo wakumalizia movie
@MiriamKolagwa8 сағат бұрын
@@marthesifa-5803😂😂😂😂😂
@RachaelFuraha3 күн бұрын
Makofi Kwa mamakelvin👏👏👏 alafu loveness umefanya vizuri kumbia Kelvin bwana ya aziza nimbaya James mambo yako yamejulikana
Ongera sana mimi na nyumba yangu yaani mke wangu na watoto wote tunawapenda sana tuko Congo jimboni Tanganyika kalemie asante muachie kila siku tolingi bino trop Kevin, love Ness,Tina ...Donta TV IS the best.
@ChantalKwuzera-ss6li2 күн бұрын
Good lLLk
@user-oz1bb8gc1c3 күн бұрын
Hongera mama kelvin, kwakweli leo umeamua vizuri sana
@SadaDjuma-e9b3 күн бұрын
Mzigo umeingia leoooo,tutakao fuatilia season hii Amani ya Mungu iwe juu yetu,napia Mungu atupe Afya na Uzima Ninawapenda bureeeee❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉piga keleleeeeeeee🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤
@AmenaMm-r5t3 күн бұрын
Amina yaraby kwa sote ishaallah pia wanao tuletee ivi vity aallah awalip kil la kher
@kambalekihumbira3 күн бұрын
@@AmenaMm-r5t
@ButoyiThierry-j8e3 күн бұрын
Amina
@NdayishimiyeAgnes-of2tn3 күн бұрын
Unajua kuomba like ww🌝
@SadaDjuma-e9b3 күн бұрын
@@NdayishimiyeAgnes-of2tn 🤣🤣🤣
@MasokabenoitMaodeste3 күн бұрын
Tunao somaga comment kabla ya kumaliza movie tujuwane apa😂
@MwayaonaBonero3 күн бұрын
🤪🤪
@LizzyBeiby3 күн бұрын
👋👋
@mamafidelsfidels85853 күн бұрын
👊👊👊👊👊👊
@NorahGatwiri-co5zq3 күн бұрын
🙌🙌🙌
@BiswahiAthumani3 күн бұрын
🤛🤛
@AmosMbiko3 күн бұрын
Wow jamani sanaa mama Kelvin pongezi Kama tuko pamoja gonga like hapo mm nikiwa upande wa Kenya nataka like zangu All guys❤❤❤❤
@jamilashabani85803 күн бұрын
Amina Wew Ringa James anakuja Kwako na Mipango yako imefeli James et ww ni Nani ww jua tu ni msaliti
@NasraIbrahim-dw1hr3 күн бұрын
Love nice unanikela unamkataliaje kevlvin japo ni move napenda kaz yenu❤❤❤
@abdulybinsupa95062 күн бұрын
Sasa Si wanaigiza jamani unataka true motion jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kerubotrizah34453 күн бұрын
Wa kwanza leo kutoka Kenya ❤❤ nipe maua yangu
@mohamedlopa84103 күн бұрын
Ambao tunaomba loveness aolewe na kelvin na kupewa mimba please gonga lile hapa tujuane💞💕💞💕💕💞💕💞💕💞
@zuberhamza78523 күн бұрын
😂😂😂😂 nakupewa nini vipe
@user-xj8ft9tj2x3 күн бұрын
😂😂😂😂😂Mimba tena
@MaurineNzomo-mc8ig3 күн бұрын
🎉@@zuberhamza7852
@JohnBosco13 күн бұрын
This is movie bro😂😂😂
@CarolyneNyanchama-yk1gf3 күн бұрын
😂😂😂
@EdigaNashon-g7b3 күн бұрын
Waliofurahi mama kelvin kubadili maamuzi tugonge like zote hapa🎉🎉😂😂😂😂🎉🎉❤
@marthesifa-58033 күн бұрын
Amenifuraisha kwake Li mama kelvin
@dogosafa2 күн бұрын
Vizuri sana kwakumupa mtoto huuru
@Annyfiona-l4o3 күн бұрын
Keviln mwach loveness aende kwa amin ataona😂😂 han akili ❤❤❤❤
@DativaMarekani2 күн бұрын
Itapendeza sana kwa kweli coz Kila siku naweka bando nachungulia mwesho wake bando linaisha bila kutumia
@DavidBoazNavangi3 күн бұрын
Leo nimekua wa kwanza naombeni like zenu😂😂nampenda Sana loveness❤❤❤kwa msimamo wake japo anapitia wakati mgumu🙏🙏
@KwizeraNasri3 күн бұрын
Wakwanza leo ngo like kam unamukubari kevin ❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮
@FauziaAkeza3 күн бұрын
Ume kuja mapema sana
@Polinegatuxh3 күн бұрын
Nimejifunza
@ShwariPhones23 күн бұрын
Vip wapulundi
@FauziaAkeza2 күн бұрын
@@Polinegatuxh kweli
@KwizeraNasri2 күн бұрын
@@FauziaAkeza mapem kbx
@DachouDathiveMBONYIMANA-xe4vg3 күн бұрын
Hey guys 2day ni 🔥🔥🔥 team stronger muko wapi 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@FaizaKabibi-tb2dj2 күн бұрын
@@DachouDathiveMBONYIMANA-xe4vg hapa
@SarahCharls3 күн бұрын
❤❤❤❤❤penda sana love hakuna kitu nilichokipenda kama kumeambia kev kuhusu uyo ibilis mme wa aziza movie zingine wananikelaga wanaficha ficha ila leo unenifrahisha saana lovenes goooood
@user-xr7rr2rf6e3 күн бұрын
Daaaah ndota hongeren kwa kaz nzr ya kuelimisha na kuburudisha jmn,,,,like kwa aziza maan anaweza sana 😊
@AsinaMpakilia-zw5wu3 күн бұрын
Pole Sana lovenes usifanye mapenzi na shemeji yako Kwani Kelvin anakupenda Sana,
@ArlèneASENDE3 күн бұрын
Ivo ginsi Amina anakatala Ku mupokeya Loveness, miye nafurahi saaana ju île mupango ya Kelvin yakumupangisha Loveness itatimiya. Tena mutuambiliye Loveness akubali île mawazo yakupangiwa chumba na Kelvin.
@BahatiMohoreza3 күн бұрын
Hata Mimi nafurahia
@NicolasLassuКүн бұрын
Pole sana kabisa
@LewisHamiltonGLD3 күн бұрын
Pia mm nimewahi loveness sikia mambo ya kelvin na hongera kwa kumwambia kelvin ukweli kuhuzu Amina na James na usikubali kutembea na huyo bwanake aziza kua na msimamo wako loveness
@Concetawnaja2 күн бұрын
loveness kubali kivin akupangushie wacha ubishi,,,,nae mama kelvin ameongea point❤
@clariszawadi20103 күн бұрын
Asante sana Kevin kwa kumuumbua James, James wewe ni mnafik sana pamoja na huyo Amina wako
@FatmaLyego3 күн бұрын
Waoooooo kelvin leo umenifurahisha ❤❤
@JullianaEmmanuel-tm5xg3 күн бұрын
Huyu mme wake Aziza vp tena, shez kabsa mm naondoka nyoo, au love mwambia Kelvin, waooooh love kwa kumwambia Kelvin saf kabsa
@PhildausKamaka3 күн бұрын
😅😅😅😅unacomment afu unajijibu mwenyew😅😅😅😊
@SamouOman3 күн бұрын
😄😄😄😄😄nimechek sana
@JullianaEmmanuel-tm5xg3 күн бұрын
@@SamouOman mbn ucheke
@belysenibitanga27863 күн бұрын
😂😂😂😂😂@@PhildausKamaka
@SamouOman3 күн бұрын
hayo maneno yako tu dear
@purityrotich17033 күн бұрын
Loveness utakubali kuchukuliwa nyumba na Kevin 😊😊 anakupenda sana ila anaogopa kukuambia🎉🎉🎉
Babake Kevi kasema basi "MashaAllah" tumuachie mwenyezi Mungu badala ya "InshaAllah" 😂😂
@fatmatraashidu85222 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 "MashaAllah"
@LilianKila-br2md3 күн бұрын
Mashauri yangu kwa kelvin ni ampe dada aziza pesa amkondeshee loveness nyumba hapo tutatomboa,looo😮tumbo joto jamani.nawependa sana❤❤❤❤❤
@aishajuma183 күн бұрын
Kutomboa😅😅
@Frola-r9z3 күн бұрын
😅😅😅😅😅 kweli kabs
@jacklineminja-fg9ji3 күн бұрын
Huyu loveness anafanya hii movie haiendelei inabaki nyuma tu kila kitu yeye ni mbishi na ameshaona kabisa wanafki wake lakin bado anang'ang'ana mi ananikera😢
@chunaabdullah13333 күн бұрын
Mi anikera mbaya yani kama aoni manyanyaso anayo pitia kwa Amina, kuna yule mmama alimwambia aende kwake lakini yy king'ang'a na Amina wiiiiih hata kama move yakera
@mirajinabaswa24923 күн бұрын
Pia mi ananikera sanaa
@ManfeitaShahbani3 күн бұрын
Mm naon ni zaid ningekua karib ningemramb makof akil ikae saw
@mkasihamad72253 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂@@ManfeitaShahbani
@madamechemba37203 күн бұрын
😂😂😂😂
@GerrardNdola3 күн бұрын
Tuwapeni like zao Kelvin and lovenes gonga like apa❤❤❤
@SamwelPaulo-o3n3 күн бұрын
ndiyo Iko poq sana kiraxik
@mkacibeiib72783 күн бұрын
Kwa kweli ongereni sana Kwa kutuletea episode 18 na Niko mtoto hatali wap time love like wap mwingn jmn na mung wape nguvu na Imani na mtafika Kwa uwezo wa allh🎉🎉
@KWIBEAMISIOBAMA-o8v3 күн бұрын
wa Congo tujuwane kwa like 🎉🎉 from kolwezi🎉🎉
@riccoomar39072 күн бұрын
Huyu aziza anatoka chicha akivaa haya mawigi sanaa😅❤😅😅Mashallah
@judithpendo99853 күн бұрын
Wa kwanza Jaman ndunguzangu nyote assalamualaikum wakristo bwana yesu asifiwe nawapenda nikiwa Riyadh km wapenda mtoto wa kelvin n laveness like apa jmn 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😩🇸🇦🇸🇦🇸🇦♥️♥️♥️♥️team strong hoyeeeeeeeeee nawapenda saaana
@SamouOman3 күн бұрын
nakupenda pia my love💋💋
@judithpendo99853 күн бұрын
@@SamouOman ♥️♥️❤️❤️
@SamouOman3 күн бұрын
ahsante mungu akupe kila hitaji lako🙏💯🌹🌹
@PamelaNamwenya-nr4ph3 күн бұрын
Team strong hatuchelewi😂😂😂😂😂, much love dia, pamoja hadi kieleweke kelvin na loveness pokea maua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ibrahimabdullah18873 күн бұрын
wamwisho mimi leo 😆
@MajimbiTz3 күн бұрын
WA KWANZA LEO 🇹🇿🇹🇿🇹🇿.. EWE UNAESOMA HII COMMENT MUNGU AKUZIDISHIE RIZIKI ZAKO NA AKUPE MAISHA MAREFU AMEEN🙏🙏🙏🙏
@jorgecesilio88623 күн бұрын
Amen🙏🙏🙏
@ZuwenaZuzu3 күн бұрын
Amen
@carolyneogutu64893 күн бұрын
Amen pia nawe
@DanielMoirange3 күн бұрын
Amen
@Alexisbayubahe-nw4th3 күн бұрын
Amen
@LilmmyCrazyfficial3 күн бұрын
Wa kwanza Mimi Leo 🎉🎉🎉 Leo Mimi SIJACHELEWA sana kwaiyo Naomba izo like msizitowe kwa Unyonge jamani😂😂
@Margaret-o5x3 күн бұрын
Mimi nataka kelvin wafanye harusi na lovenesss wangap wananiunga mkono nipe like hata Tano tu
@jacksiteti65233 күн бұрын
Sauti ya Haziza iko nyororo waaw❤
@DanfordLugallah3 күн бұрын
💪team kelvin....like hata moja tu japo ni WA mwisho🤗
@MsukaAphrah-qm7zm3 күн бұрын
Jaman Leo mm ni wa kwanza Leo 😂😂jaman naomba Hata 5 likes watching from Doha Qatar 🇧🇭
@BintiM-di1wm3 күн бұрын
Wee huu moto yni Ioveness naona akipangiwa chumba na Kelvin lkin bwanake Aziza hujanifurahisha😢😢 nawapenda sana kzi nzr ❤❤❤❤pamoja mbele
Katika siku uliyonifurahisha ni leo hongera mama Kelvin ❤❤
@LoiceKatana-ci1tx3 күн бұрын
Kwa kweli malengo ya kelvin kumupangishia loveness inaenda kufanikiwa, Mungu awabariki kwa kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉❤
@monicahjoseph25283 күн бұрын
Shukran Sanaa❤Wana donta ,,pia nashukuru Kwa wazazi wa kevn Kwa chaguo walilofanya hop lovness atakuwa pOH, xx en safe
@hamidasaid-oh8fs3 күн бұрын
Leo kila mtu niwa kwanza mm leo wamwisho bs mnipe like n mm,good job❤❤❤🎉
@HhshshshswhwhwhOman3 күн бұрын
Loveness kubali kupangishiwa chumba bana 😊
@user-ul2rw4tc2r3 күн бұрын
Good work,,,,napenda hii move sana,,,,ina mafunzo mengi❤
@TatuMohammed-x2l3 күн бұрын
mm moja wapo jmn naipenda sana na pia nawapenda wt walioshirik humu❤❤❤❤❤❤
@mathewmlala62903 күн бұрын
Hvi loveness unafikiri nini unajua Amina fika kuwa ni MTU ambayo siyo sahihi kwako Kelvin anajitajidi kukusaidia Kwa hali yoyote unataka wema wa namna gani ??? Angalia unatezeka Kwa uzembe wako
@KmssKkss3 күн бұрын
Kwan uyu love ness kichwani zipo kwel yn mm najikutaa km na mchukiaaa libishiii baada amkubalie kelvin ampangiee anata kulud Kwa amina jmn 😢kukosa kuwa movie ninge mtia konzii ashtuke
@mwanakombopopo51173 күн бұрын
Makosa ya Kevin afunguki kuwa nimpenz wake
@ZipporahMatho3 күн бұрын
😂😂😂
@HudhaimaYussuf3 күн бұрын
Nimecheka kwa sauti eti ilo konzi kubwa kweli 🤣🤣🤣🤣🤣
@NeemaNixon3 күн бұрын
Yaaani ndugu mi nimetukanz mpka nachekwa linakera bhana ye ndo anafanya movie isiendeleee😅
@FetrissJanni-lb5il3 күн бұрын
😂😂mpo seriously.... Et ninge mtia kwenziii😂😂😂😂🙌
@Deborahdepsy-qh4rj3 күн бұрын
❤❤jamani dakika 19 ila comments zishafika 190 watu mnakesha koigonja hii movi 🎉🎉kweli
@AngelYunusi3 күн бұрын
munaweka vipande vidogo munatuacha murahaa❤❤
@QueensaharSamantha-o2s3 күн бұрын
Lakini loveness mbna wapenda kuchukua maamuzi mazito mamaa,, Amina mwenyewe hakutaki tena haya itabidi sasa ukubali kelvin akupangishie nyumbaa
@Luckness-u1n3 күн бұрын
Mpango wa kumupangia chumba loveness kwa Kelvin ulekamilika kwa sababu Amina alikatala kurudi kimupokea Loveness nakupenda sana ❤💋💋💋♥️♥️♥️
@MaurineSoti3 күн бұрын
Mbona loveness ww mbishi hivo remember ukirudi kwa amina ww kwisha.my advice to is lather you sikiza Kevin nauache kumpa stress anyway much love from 🇰🇪
@EliyaEstomih3 күн бұрын
Wa kwanza leo angusha makopa kopa kama unawakubali DONTA TV ❤❤❤❤
@BlaiseLwamba3 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ m'y name IS Blaise from drc . Team Kevin you are thé super stars...
@NixShammah-ty9cw3 күн бұрын
Wa kwanza toka kongo ila samahani kelvin izi nyimbo kuwa nazi posti tunazipendaga kiukweli ❤❤
@user-mm3bk6uv4m2 күн бұрын
Uyu mm ake kevin leo kaongea poa mbk nimetamani ni mhung weee maua 🎉kwako mama👏👏👏💕
@WemaPanja2 күн бұрын
Ndiooo bwana achia kila siku❤❤❤
@stellamwarimbo3 күн бұрын
Loveness msikize kelvin jamani❤❤na mm Leo naombeni likes ❤❤
@GraceKenya-i4j3 күн бұрын
Kwakweli sijawahi kuwa wa kwanza 😂😂 lkn naombeni hizo like ❤❤🇰🇪
@JeneKazadi-j6x3 күн бұрын
Wa kwaza kutowa kometi nipeni liki zangu from sweden jamani umuhowe lavynesi🎉🎉🎉🎉🎉
@jaymapepefatma59363 күн бұрын
This is first love From Mozambique 🇲🇿❤💞
@user-rv9dv9nm9p3 күн бұрын
Woow kelvin❤❤❤❤❤ umemifurahisha mr james kaumbuka😅😅😂
@mercywanjiru60473 күн бұрын
Jamni hamuoni zero seconds jamani mm wakwanza kama wabisha inbox nikuozeshe kevin🤣🤣
@TullyDickson-nb7st3 күн бұрын
Waoooh Leo nmeifumania mapema to much love❤❤❤❤
@AmisseNsaluba3 күн бұрын
Leo mm ni wakwana ❤ naipenda sana hii filamu
@ShazChem2 күн бұрын
🎉❤kelvin.....kweli Loveness anaanza kutezeka??🥺🥺🥺lkni Asante Mungu ,Baba na mama Kelvin wako rada wameanza kuachilia kelvin kuwa huru kutafta mke wake ...ni. Vizuri ,Mungu atafungua njia.
@DavidoneJaguar3 күн бұрын
Ndio Kaka inabidi kuachia kila Siku donta tv ni Noma Sana tena na mpenda Sana loveness❤ Niko Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@DennisAbrahamYamame-nj3uk3 күн бұрын
Wa kwanza kutazama kutoka Kenya wapi likes zangu
@aishaabeid81063 күн бұрын
Shemej jmn namna gan tena.. unataka Aziza amchukie Loveness wetu kwann lkn Golden chance ushuzi😂😂
Kelvin Khan to make the story more interesting,, ungekubaliana na kuoa tina kidogo,, munaonea Tina sana,, lakini Donta TV ndio kila kitu yaani vipindi vyenu vyote ni visafi, kumbe kulikua na kisasi kikali mbele ya kanumba,, pig up,, munaonea Tina muonee huruma yaani koote tokea dada wakazi mbaka hapa❤❤❤❤❤ donta tv for life
@MussaMatata-d7v2 күн бұрын
Tunaotaka loveness akubali kupangishiwa na kelvin ili amina ajutie gonga like tujuane..👍
@EdwardMtutui3 күн бұрын
Wakwanza Leo jaman naomben like zangu
@charlesjohn36193 күн бұрын
Wa kwanza leo naomba likes zangu
@Forfun-g5b3 күн бұрын
Ahsant jaman nimesubir sana dida kutoka oman
@Elossbproflash2 күн бұрын
Mimi natokeya Congo na wapa sapoti sana sasa kama unafata iyi movie kutokeya congo dondosha comment hapo
@faizamohamed69933 күн бұрын
❤️🔥❤️🔥❤️🔥 weee kilabsikubitakuwa vizuri sana..tupeni raha bila nyinyi hatuwezi
@bakarysalimu70123 күн бұрын
Na leo wa kwanza nipeni mauwa yangu
@جاااحظمجنون3 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SarafinahMdumbe3 күн бұрын
Wow nawapenda sana timu ya donta tv
@JoyceHaluwaRimbaHaluwa3 күн бұрын
Leo wakwanza Jamen kutoka kenya maua yenu wana donta🎉🎉🎉🎉🎉
@user-dp3fv2kh4l3 күн бұрын
Amina umefanya vizuri kumnyima ufunguo lovenes ili amsikilize kelvin wetu anacho mwambia juu lovenes ni kashindani sana ❤❤❤❤from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ifrahabi48342 күн бұрын
This is the best episode. Thanks Kevin, everything is going smoothly. I’m glad Amina is not excepting loveness to live with her. She is better off the street than going back to Amina. I love how Kevin and loveness don’t hide anything from each other. if someone say something about someone else. It’s good to confront them and know the truth instead of assuming. ❤❤❤❤
@zenaismwacha3 күн бұрын
me nimewahi jmn ata like moja ntafarijika sanaa
@RehemaHamisi-i4b3 күн бұрын
Jamani leo nimwahi ĺike zangu ndugu
@saudianew20453 күн бұрын
Waaa leo nmefurahi sana mama kelvin cogratulations 🎉🎉🎉🎉🎉muache mwanao achangue chaguo lake❤❤❤❤❤
@AbiaKafrete16 сағат бұрын
Tulio furahi mama Kevin kugairi. Uchumba tugonge like
@QueensaharSamantha-o2s3 күн бұрын
Hahaha James nae kimemramba walai,, Kelvin kaa kivyako achana na huyo James atakuharibia mipango yako kaka... Kikulacho kinguoni mwako