Nitafurahi huyu mama karobo na fashion wakipatwa na kitu kizito mbwa hawa😅
@mildredwechuli48104 сағат бұрын
😂😂😂😂eti kina nani 😂😂😂😂😂😂
@Bintnailah3 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂@@mildredwechuli4810
@DivineIngabire-lj3sr3 сағат бұрын
Hajakosea awo ni umbwaaa kabisa siyo watu😂@@mildredwechuli4810
@EverlynKenneth3 сағат бұрын
Jamani kaka usisahau ni move
@NIYIZIGAMAJosephat4 сағат бұрын
Jamani na mimi Leo nimewai Naomba like jamani from Burundi
@nshimiyimanaalex64674 сағат бұрын
Jamani jalibuni baba karobo apone inatuumiza sana 🇷🇼🇷🇼🇷🇼 Kigali Rwanda turabakunda cyaneeeee ❤❤❤❤❤
@bigstonemcb91714 сағат бұрын
Leo wa 17toka Moçambique 🇲🇿
@BrianGuniMwatela4 сағат бұрын
Wakwanza leo from Kenya 🇰🇪
@MuwenimanaLeoncie3 сағат бұрын
Nduwambere kuva Rwanda gisenyi
@PurityAdhiambo-j3v4 сағат бұрын
Mi ni WA kwanza mnipe likes jameni
@wilmotkarisa61742 сағат бұрын
Hapa Nimejifunza Kuwa MUNGU akisema NDIO hakuna wa kupinga....mama karobo na fashion wake kimewaramba😂😂😂.....nani anakubaliana na mm atume reply yake hapa....pia ukilike irakuwa bora zaidi💪💪💪
@EmillyKagendo4 сағат бұрын
Kumbavu zenyu umbwa nyinyi najua mko😅😅😅❤
@AminaDibwe4 сағат бұрын
Leo nimewahi jamani nipeni like zangu time karobo😅😅hapa
@quibuanaissa18084 сағат бұрын
Wakwanza from Mozambique like zenu
@ReymaMa5-rv1gs4 сағат бұрын
Wow nmefika 🎉🎉🎉🎉
@ZamzamMusa-ve5tc4 сағат бұрын
Wakwanza Jamani mnipe like ata kumi😂😂
@bigstonemcb91714 сағат бұрын
Moçambique number One Leo nipe like zangu jamani
@kinanaissango34924 сағат бұрын
Baba Joan unajua sana wasanii wengine waige stori zenze mafunzo unajua sana bro
@beckybecky-k1m4 сағат бұрын
Nmejifunza kitu, mungu ndiye mganga wa waganga, tumtumanie mungu siku zote na Kwa Hali zote mungu yupo
@InnocentNdayi-cn3vk4 сағат бұрын
Watano naomba like kbx
@swabrinamwaka24374 сағат бұрын
😂❤❤❤ kumbe ndoto
@patrickgachanju4 сағат бұрын
From Qatar likes ziko wapy
@dhahabudeche9264 сағат бұрын
Humu kila mtu wakwanza mm nimechelewa lakini nimefika nipeni hata like moja nifutie machungu ya kuchelewa😂😂
@paulkyenifurniture26184 сағат бұрын
😂😂😂Hii kali Sana 😂😂😂😂
@mamakeashili4 сағат бұрын
Bila kujelewa❤❤🎉🎉
@TaleTz-s9q4 сағат бұрын
Umetisha san baba joan
@abdullybinde4 сағат бұрын
malizen hiii movie baba joan mmeshindwa kuwa creativity mtuletee mzigo mwingin story mmemaliza all in all kaz nzur👍👍
@ZilfaNdayikunda3 сағат бұрын
Alhamdulillah Y'ALLAH Wanao furahia kuona kwa Baba Karobo 🎉🎉🎉naomba Like zenu❤❤❤❤Team strong Nawaita
@StevenEzekiel-nb8ev4 сағат бұрын
😂wa Kwanz leo😂😂
@KigunduJean4 сағат бұрын
Tunafika🇨🇩 aksanti
@PrettyRodah4 сағат бұрын
Haya leo nimewahi😊😊
@MillicentMoraashMongeri-s8p2 сағат бұрын
Mbona hamnipi like zangu jameni na mm nawapa nawaombeni hata like kumi za baba Joan ❤❤❤❤❤
@ESTERNTONYERA-bc7jx3 сағат бұрын
Waoooh jaman mungu mkubwa sana mama karobo na fashion Kwisha Habari Yao mungu hachewezi nuru na Giza havipatani
@MalikiMikidad4 сағат бұрын
Nakbal sanaa
@ericnduwimana82464 сағат бұрын
Shuklani saana team baba Joan,napenda saana igizo zenu,zinanipatia,uvumilivu,juhudi,imani,tumaini vile vile napata mafunzo bule,nawapenda sana familia baba Joan ,from 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮
@BentahOrao4 сағат бұрын
Wa kwanza naombeni likes ata mbili😢😢😢
@JumanneTitto3 сағат бұрын
😂😂😂
@BentahOrao3 сағат бұрын
😂😂😂@@JumanneTitto
@HawaAdili4 сағат бұрын
Finally baba karobo amepona 😂😂😂kwel mungu ndo kila kitu🙏🙏🙏
@maylucson0013 сағат бұрын
Nilikua nasubiri hii comment ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mwàaaaaaaaaaaah
@ZeinabBakar-je4nr4 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 fshn na Roy mwapedana watoyana moyo ili mtende maovu
@musanaberanyiratungane71194 сағат бұрын
Na mimi hapa nimewahi kabisa nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤
@jaycburundi2574 сағат бұрын
wa Mia form Burundi munipe likes tumuonyeshe upendo babakalobo❤❤❤
@PetronilaYaa3 сағат бұрын
Amen nmefurahi sana kuona baba karobo amepokea uponyaji ❤❤
@sinesioantoniorassul22394 сағат бұрын
Baba kalobo safari hii nmejeweja baba kalobo
@sakina55503 сағат бұрын
Mchungaji chiko kwenye ubora wake hongera sana 🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊
@Lidya-e1i4 сағат бұрын
Amen mungu ndio kila kitu
@TatudamabakariTatudamabakari3 сағат бұрын
Mungu nimwema kwakila jambo ❤❤❤❤ wow that's great news thank God for that more bless ❤❤❤🎉🎉
@fredrickowino34 сағат бұрын
Leo nimejaribu kuwai kutoka kenya 🇰🇪
@MariamMchomvu-q3s4 сағат бұрын
Baba karobo acha kushtuka utaona hongera sana team baba karobo❤❤
@musanaberanyiratungane71193 сағат бұрын
Nyiwe wachawi mtaishiya pabaya nahuyo mganga wenu hamuwezi kusindana na mungu wambinguni ❤❤❤❤
@AnicetNYANDWI-o8x4 сағат бұрын
From Burundi waaaa baba karobo anaona bwana asifiwe sana mungu mwema anatenda yote funzo kubwa sana iyi scène ienderereye tunayipenda sana isiwe na mwisho
@djbigchance-z1q4 сағат бұрын
Watatu🇨🇩🇨🇩🇨🇩dj BIG CHANCE
@Mrgofresh4 сағат бұрын
Daah naombeni mu follow hiyo chaîne na like kama unapenda iyi épisode🙏🙏
@ZeinabBakar-je4nr4 сағат бұрын
Wale walitamani baba karobo arudishe boni yake like zishuke nawapenda 🎉🎉🎉🎉🎉
@JosephKazembe-rm1li4 сағат бұрын
Baba karobo filamu Yako IKO visuri sasa bwana mimi Niko Congo RDC tuna fata filamu hi y Kila Siku 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@AlineIradukunda-bs6mt3 сағат бұрын
tukicomet hatupat lik kam wengin jaman ❤❤❤🎉🎉🎉
@ShangweNgwano3 сағат бұрын
Hipich inafuz
@raphaelongera72924 сағат бұрын
❤❤ first from kenya
@ayubumilembe85484 сағат бұрын
Imani ndo kila kitu amini kwamba
@PaulinoAmigo4 сағат бұрын
From Mozambique nawapenda sana❤
@AsiaChia-n7y4 сағат бұрын
Inachosha hii movi kila cku ba karobo yupo matatizoni tuu cjui yataisha lini na muvi haina mwesho
@SelinaWilliams-z7h3 сағат бұрын
Jaman naombeni like jamani hata kumi tu nawapenda❤❤❤❤
@johnmamati5324 сағат бұрын
Alafu wahusika wengi sijawai waona mukiwa na shughuli za hapa na pale. Inabidi muifanye hai kabisa (authentic) Kwa kuwa na shughuli hapa na pale sio tu kuwaona kila wakati munatembea au mumekaa tu.
@RizikiZiki4 сағат бұрын
Nami leo nimeiwahi mumadakika ndomara ya kwanza kwaimove sijawi bahatika kiukweli😂mm karobo kumbe ndoto pole sana hautoweza kumuzuru bb karobo kiivo😢
@petermacharia57103 сағат бұрын
Hizi like za nin kweli ... Hapa kuna funzo la maana kuwa mwenyezi mungu ndio kila kitu kwa maisha yetu
@PillyEliasa4 сағат бұрын
Kwani nyie mnata hizo like za nin Mmatakiwa kucomment kinachohusu filamu au ulicho jifunza Mnakera Sana like hizo zinawafaidisha nini😢
@hutahuta11703 сағат бұрын
😂😂😂😂mchungaji chiko katika ubolawake ❤❤❤ kazi nzr sanajamani muvi tamu
@RehemaManyeso4 сағат бұрын
Kazi nzuri sana Tena Iko na mafunzo, Mungu awabariki team baba karobo.
@GladysOmwando3 сағат бұрын
kama pia ulikua umefumba macho wakiombea baba karobo let's gather here kumbavu zangu 😂😂😂😂😂
@QueenFrancine-im7xx3 сағат бұрын
Leo nimefurahi jinsi baba karobo alivyo ona goga like kama umefurahu na wewe
@Mrgofresh4 сағат бұрын
#Baba_joan walayi unawez
@JanetRiziki-ut2is4 сағат бұрын
Asante sana mchungaji kwa kufanya baba kalobo aone tena ❤❤❤❤❤
@SharonMecha-i1y3 сағат бұрын
Zu ameona mbivu😂😂😂
@EdiokoAtembi3 сағат бұрын
Ongea sanaa kaa unaminini kuwa Mungu anatenda kupitia kwa maombi na nakuamini gonga like
@Maria-dg6ik2 сағат бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉😂
@EnjoyJosephElikana4 сағат бұрын
Chiko muchungaji ee nakupaa like
@DelleAlly-ei5yh3 сағат бұрын
Leo nimekuwa wa 52 ❤❤❤❤by Delle ally from mueda Mozambique 😊😊😊
@AnnaAndongile3 сағат бұрын
Nimefurahi kuona baba kalobo anaona Hongera Mtumishi wa Mungu kwa kazi kubwa uliopewa na Mungu
@Bintnailah3 сағат бұрын
Asante Mungu kwa kumponya baba karobo na tena mungu mzidishie imani ya kuyashinda hayo majaribu ya mwovu shetani mama karobo
@MwajabuAyubu3 сағат бұрын
Honger mchungaji nimefurah sana ❤❤
@naominekesa11694 сағат бұрын
Imeanza🎉😂
@PETERADOLFUSHAYO4 сағат бұрын
Wakwanza
@zebedayonyataige65164 сағат бұрын
Wa Kwanza mie au*
@Kay_2Ngarura4 сағат бұрын
Big up saaan baba karobo
@pablonsanzumuhire20244 сағат бұрын
Nafulahi kuwona Baba Karobo anauena.Jah is better forever
@JohnOyuka4 сағат бұрын
Wakwanza kutoka Kenya Leo naomba like jamani
@yoabuyoabu7174 сағат бұрын
watu mnahisia Kali hamjui kama haw wanaigiza ila yote kwa yote ukiamini Mungu anatenda na kila siku anatulinda bila ata ya malipo, baba karobo hii naamini itakuwa season yangu bora mwaka huu Mungu akubariki 🙌
@naominekesa11694 сағат бұрын
Next please episode 49 musicheleweshe sana❤tunasubiria
@harrisonkapombe87594 сағат бұрын
Wow
@JacklineAdemba4 сағат бұрын
Hongera mungu aitwe mungu
@Gsh-ov2ut2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Eti mm nafunga macho ninayo
@anitazena17914 сағат бұрын
Niko mombasa nipeni like zenu basi wasee
@StevenKarisa-k6t4 сағат бұрын
Kazi nzuri sana baba karobo❤❤❤❤❤
@narutonaruto43034 сағат бұрын
Hiv hii movie mbon hatuon mwisho wake yaan itaisha hat kuon mama karob anateseka
@Lidya-e1i4 сағат бұрын
Wueh
@bintimohammed32334 сағат бұрын
Weeuh
@Mumlion26244 сағат бұрын
Hatimae baba karobo kaona haya tunasubiri kipande kingine