Mungu atupe afya mema na maisha marefu wambaye wanasoma hii message
@NajmahnyangasiАй бұрын
Ameen thuma ameen yarab
@MorisiaMalikiАй бұрын
🎉 amen 🙏
@AmenaMm-r5tАй бұрын
Amina yaraby kwa sot
@kingchiefking9265Ай бұрын
Jamen mbona hamunipe hâta like2kutoka🇧🇮🇧🇮🇧🇮😊
@UwizeyimanaDieudonne-i8oАй бұрын
Burundi tunawapenda sana❤❤😢😢
@UkhtyFatmah-he8vgАй бұрын
@@UwizeyimanaDieudonne-i8o Warundi tupo pamoja sn Na Baba Kalobo Na tunafuatilia vyema Movie hii Mwanzo mwisho InshaAllah tutawa wote.
@JosephineMomanyi-jp8tvАй бұрын
Pia mm nafunga juu ya baba caloboo aone katika jina ya yesu mwenye ako na mm kumuondoa ebilishi mama caroboo gonga apo tuendelee na team kibanio ❤❤❤❤❤❤❤
@AbibaChindigwaАй бұрын
Amen
@isayamhumba3352Ай бұрын
Unafunga nini wakati hayo ni maigizo tu
@JosephineMomanyi-jp8tvАй бұрын
@@isayamhumba3352 yes but I'm team kibanio na ww
@MarimGodifreyАй бұрын
Amina
@AmosSinkala-lx4slАй бұрын
Tupinge mauaji na utekaji 🎉 Asante kaka baba Joan kwa kazi nzuri ❤
@Gracenelima254Ай бұрын
Wa kwansa kutoka Jordan 🇯🇴 wapi like ya team strong wangapi wanapenda baba karobo
@calvinshirima2654Ай бұрын
Jordan ya moshi😂😂
@Gracenelima254Ай бұрын
@@calvinshirima2654 what do you mean ya moshi
@surasmarterАй бұрын
Mm
@EvalineDaniel-l5mАй бұрын
Nicheki please
@calvinshirima2654Ай бұрын
@@EvalineDaniel-l5m 😂😂😂😂
@susanmitchell5641Ай бұрын
Am number 410 wapi nduru,🥳🥳🥳 Kudos team Baba yangu kipofu I love this more love from Kenya 🇰🇪 watching from 🇶🇦 team strong 💪
@LadykenyaNandigaa-eh9hiАй бұрын
Tangu nifwatilie hii movie jameni sijaipata likes watu wenzangu team baba karobo lets gather here na mungu atawabariki❤❤❤
@CHRISTINAMAGASIАй бұрын
Ww unagundu
@saudazongeraАй бұрын
Mchungaji fanyakazi yako ya Mungu umponye Baba Karobo weweeeeeeeee
@ZainaSurАй бұрын
Wwww😂😂😂❤❤❤
@mafanikiobabaАй бұрын
Umepata za kutosha
@JanvierBaisongaАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Hadija-o5bАй бұрын
Chiko umekua mchungaji ,hongera badilisha hupendezi roho mbaya , house girl umekua jambazi unataka kumteka tasha ,gonga like tunaofatili house girl, sink boy, kikongwe na nyìgine nyiñgi,
@Amon-j7qАй бұрын
Nami nashangaa
@PILICHIGILO-fm3yoАй бұрын
Naomba amuache Tasha na zatiti waoane❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Aisha-f2gАй бұрын
Ila mchungaji yuko sawa
@مرحبا-ن8زАй бұрын
Chiko Chiko mchungaji aisee😮😮
@EugenieNziavakeАй бұрын
Chiko!! muchungaji Léo. tunawapenda sana,baba karobo unatu funza vizuri kwamba ni MUNGU peke ndiye muganga wa kweli !! Asanteni sana.
@RafiqueSaideАй бұрын
Leo mapema kabisa nimebatika kwa wa kwanza namombeni like zangu jamani from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 ❤❤ baba Joan kazi mzuri
@MamakeMariamАй бұрын
Chiko Leo kawa mchungaji😂😂😂😂 hongeraa🎉
@FarthunАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lucylukansola7999Ай бұрын
Hataliii 😂
@MarymkonzaMarymkonza-jw7fjАй бұрын
😂😂😂😂😂
@ywydhhd7941Ай бұрын
nimependa ❤❤❤❤❤❤
@samsonkaboko5137Ай бұрын
Chiko bana
@HappyMbalay-y9cАй бұрын
Jamani leo sijachelewa Sana mwisho wa ubaya ni aibu Team baba karobo tunaiman mung yupo
@MetrineNelima-i4wАй бұрын
😂😂😂😂Chiko ndiye muchungaji uku wow makofi 👏👏👏👏👏
@KenethMwasenga-x2iАй бұрын
Chiko umecheza vizul kalata yako nakupa mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉nani ana ungana na mm
@FaudhiaBashiruАй бұрын
Kabisaa amecheza vizur sana huyo chiko
@AbibaChindigwaАй бұрын
Iyo kweli mauwa yake 🎉🎉🎉🎉
@AmenaMm-r5tАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ten mau na ❤❤❤❤❤ vikop kop 🎉🎉🎉🎉
@MsafiryChitemaАй бұрын
Tears 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@MwakulazaАй бұрын
Mungu awape hitaji la maisha yenu mnao fatilia series hii ya Baba karobo 🙏
@brightonvictorkimsehyeon7892Ай бұрын
Wa kwanza from South Africa 🇿🇦 naombeni like zenu
@KassianWilliamАй бұрын
Ameeen Ameeen Leo baba karobo umenigusa sana kwa nguvu ya mchungaji na kazi yake.
@FabriceAbediNestorАй бұрын
Seen by Mwanakùngùshop 🇨🇩✌️💯 from drc🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️nawapenda sana
@AnnaEugenАй бұрын
Jamani leo nimewahi na mimi naombeni like hata mbili tu
@phillisnaswaPhilloo00AKisiangaАй бұрын
Leo nimekuwa wa kwanza naomba like zenu plzzz 😂😂😂😂
@VivianAkinyi-t5mАй бұрын
Sawa usijali 😂😂
@Meali-wg5rvАй бұрын
🤲🤲🤲
@JohnBoniface-of6hdАй бұрын
❤
@AnnaEugenАй бұрын
@@JohnBoniface-of6hd Asante
@djothaniel254.Ай бұрын
Wakwanza from Kenya kama unaikubali nguvu za Mungu gonga like
@MercyDaisyАй бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@ButoyiRukiyaАй бұрын
Nayikubali saana nguvu ya Mungu Allahu Akbar
@djothaniel254.Ай бұрын
@@ButoyiRukiya Amin
@muulwacarlosАй бұрын
No 1 from Congo DRC 🇨🇩 shukrani sana baba karobo
@LeyvanaPeterАй бұрын
Tulioshangaa kuona Chiko akiwa Mchungaji, alafu ikavuta picha ya House girl Roho yake ilivyo Gonga like apa.
@lucylukansola7999Ай бұрын
Yaaan hhaha😂
@ElizabethOsimba-x6uАй бұрын
Hata mm nimeshangaaa😂chiko Leo hii ni mchungaji,,makubwa
@NulhatihusseinMaarifaАй бұрын
Yan 😂😂😂😂
@khafidamkambeKhafidamk-dq7njАй бұрын
Yani hata mm nashangaa ila kunakoenda move yazidi kua nzuri like kwa chiko
@NaomiDolphine-q9bАй бұрын
Mm hapa nashangaa
@pablonsanzumuhire2024Ай бұрын
Big up Baba Karobo!Nawapenda sana .Am great from Mozambique 🇲🇿
@hutahuta1170Ай бұрын
Chiko kazi nzr sana umekuwa mchungaje leo ❤❤nawapenda wote jamani🎉🎉
@ManirakizaAimeeАй бұрын
Leo nimecerewa lakini naomba like zenu from 🇧🇮🇧🇮
@TimeAly-z1lАй бұрын
❤wow movie itazid kuwa nzuri zaidi hadi chiko ndan hongeren sana mashaallah ❤❤❤
@MgaluKumbuАй бұрын
Waoooooh nimefurah kuona mnaushirikia na waigizaj wa busati tv
@maestrobindaniel7040Ай бұрын
Alafu chiko kwenye sehemu ya uchunganji kapendeza jamani Anaya ona piya Kama mm tujuwane basi
@elizabethwasike6086Ай бұрын
Imagine wa pili kutoka Kenya, kazi nzuri sana
@jacklynemuhonja7166Ай бұрын
Leo kazi. Safi mapema ndio best nimefurahi team kibanio
@aminahkahindi2676Ай бұрын
MashaAllah mim pia nataka like leo movie 🎬 nzuri 🎉🎉🎉🎉
@philohmutua2968Ай бұрын
Wangapi wanaamini maombi ya chibu minjungaji haleluya❤❤❤❤ baba kalobo
@OmarNzohabonayoАй бұрын
Jamani Jap nimecerewa nipeni kidogo kutoka Burundi🇧🇮
@johnmwanthi-b1uАй бұрын
kutoka kenya pia sijawachwa nyuma wapi likes zangu jamani
@japhethmutumwaАй бұрын
Jaman wakwaza leo c nipewe likes zagu
@NIYIZIGAMAJosephatАй бұрын
Jamani na mimi Leo nimewai namba munipe like please
@terrysituma5003Ай бұрын
Kutoka kisumu Kenya. Tupo ndani. Moto sana❤
@MassylneMutsimbiАй бұрын
Nawapenda sana Baba Joanie, keep it up ❤❤❤❤
@alinotiadrienАй бұрын
Yani nitamu Sana picha iyi yani baba karobo na mama karobo mubarikiwe Sana kwapicha iyi Ina mafuzo makali Sana kwawale wanawake ambawo wanakuwaga natesa wamezawo
@ScholaMalaleАй бұрын
Mchungaji tunae jmn mungu mkubwa❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AbibaChindigwaАй бұрын
Amen
@kengachai1264Ай бұрын
Leo wa Kwanza nipeni likes zenu fro Saudi Arabia
@mahirmahir2407Ай бұрын
Mchungaji peleka faya zakutosha baba karobo aone 😢😢😢😢
@sharybyegsАй бұрын
Mimi naomba likes. Na yeyote atakaelike abarikiwe
@AbibaChindigwaАй бұрын
Amen
@mariamdjuma-d9yАй бұрын
Khee jaman leo baba karobo kachench nguo hadi nimemsahau .ila kapendeza ❤naomba like zenu ndugu
@olicej7837Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@davidmutiso7820Ай бұрын
From Kenya kiss my comment
@JudithAmatikaАй бұрын
Chiko leo wewe n mchungaji nimeamini hakuna hakiwezekani kwa GOD🙏🙏
@MarthaManjaleАй бұрын
Kumbe ndoto🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙏 pole sana mama kalobo ACha uchawi utakufa vibaya wewe
@Grace-g3eАй бұрын
Wakwaza kutoka Saudi Arabia nawoba likes ata kama nbili
@RuthwaChegeАй бұрын
Leo nimewahi jameni naomba like kumi wapendwa
@akbartz4Ай бұрын
Kbx tunafulahi San kwakuona kingine kipande kwawenye tumefulahi kuona bas naombeni liker zangu
@FatumaBakari-c3lАй бұрын
Baba kalobo naomba jii movie isiishe leo upon n mama kalobo feki atesek sana tu
@JullianaEmmanuel-tm5xgАй бұрын
Et chiko n mchungaj mama weeeh au bas, hongera
@ywydhhd7941Ай бұрын
ww huogopi😂😂😂
@PrincessPendo-mc4dmАй бұрын
Manikin babake karobo aki ningekuwa Tanzania ningekutafuta nikuone ila basi ..wanaosema bake karobo atapona kwa jina la..❤ YESU..Nipeni like zangu
@EvalineDaniel-l5mАй бұрын
Hellow
@PrincessPendo-mc4dmАй бұрын
@@EvalineDaniel-l5m hello hi
@DivineIngabire-lj3srАй бұрын
Mama karobo na fasheni uyoa ucawi wenu utawaponza ngojea mungu akonawatafutia fimbo nzuri yakuwapiga kabsa😂
@trizamusyoka4950Ай бұрын
Leo nimewai kabisaaa nipeni likes ata kidogo jamen from kenya
@EstherKisandu-g3jАй бұрын
Chiko nakukubari xana❤❤❤❤
@HappyGeorge-y6cАй бұрын
Mama karobo kimewaramba na mpenz wako ❤❤❤
@WapoHaoАй бұрын
Oya wanangu kazi nzuri Sana
@LucyNjambi-ib5bkАй бұрын
Waaaah Mungu die kila kitu ukimutumania Yani baa karobo jikaze Tu kwa maombi from Kenya 🎉🎉🎉🎉🎉 like nazo
@wambuamutemi2019Ай бұрын
Twende nalo mpaka mwisho weka love kutoka 254
@JudcBen-ye9cyАй бұрын
Wa kwanza jamn nipen likes sijawai pata like ata moja😂
@kondebouy1308Ай бұрын
Today very earlier than never pia nifinyie tukisonga pamoja 🎉
@kalubisubira7182Ай бұрын
Aliyependa mama karobo n fashen kuteswa alike ujumbe huu
@freddywizzyTz255Ай бұрын
MUNGU AWAPE AFYA NJEMA BABA KAROBO NA TIMU YAKO SABABU MNANIFUNZA VITU VINGI PIA MNANIFURAHISHA❤❤❤❤
@SamuelYawaАй бұрын
Mimi mmenihubiria kabisa na Mungu atakubariki sana maana mmemtukuza Mungu na mmeonywsha uwezo wa Mungu na Mungu anataka hivyo, pia mmeonyesha tofauti ya wahubiri wa uingo na wa kweli
@KIOMBOYTZАй бұрын
Jamani timu mchungaji gonga like
@VincentMuinde-hl9wuАй бұрын
Baba Joan eko kwako kaz nzuri napenda kaz yako
@ClaudineNizigama-mm9xoАй бұрын
Wakwanza kutoka Burundi naomba like jamani ♥️🔥🔥🔥
@salikfatina7883Ай бұрын
Asante sana muchungajji, also mr Rahasa, and his wife, kibanio, continue with that heart may the Almighty God bless you all
@Victor-wo7syАй бұрын
Pokea salamu ❤ baba Joan ivi mahari ya zuu ngapi
@MARYMAREGEMDAKUАй бұрын
Hile siku baba karobo aliona aliona matako ya zuu 😅😅😅akaona heri tu upofu wangu😅😅
@KKK-v6jАй бұрын
Hahaha jamani ww🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 baba karobo aliona nn Eti
@SporaSanangeАй бұрын
Hahaha nimecheka jamani@MARYMAREGEMDAKU
@Victor-wo7syАй бұрын
@@KKK-v6j nimependezwa na zuuh Mimi
@افلينافلين-ي9كАй бұрын
😂😂mbavuzangu chiku anajuwa ata kuimba bwana yesu asifiwe. Milelemilele daima. Anajibu maombi😂❤❤❤❤
@WycliffeMulindiАй бұрын
Huku🇰🇪🇰🇪Bado tu tunasukuma gurudumu adi episode 100
@christinekamene6064Ай бұрын
Jamani nimefurahi Kwa hiyo ndoto wapi likes nzagu kutoka Kenya
@JenifaLameckАй бұрын
Chiko leo Kawa mchungaj😂😂 bac na kule asimfanyie zatiti vile jamn😅
@ANTHONYONYANCHA-w4oАй бұрын
Kenya 🇰🇪 we love Baba Joan movies.......hongera sana brother
@CollinsKamoneАй бұрын
Mama karobo nsalimie fashen unanichangamsha aky😀😀😀😀😀😀Alafu simuoni patronizer mbona
@MamaWabana-lx1meАй бұрын
Apa sasa imefika sehemu nzuri kabisa Mungu nimuweza wa yote amen
@Shybabe1990-pd5yxАй бұрын
Leo nimewahi alafu ndio mara yangu ya kwanza ku comment naombeni like zenu toka Kenya
@KaserekaMulenguyayaАй бұрын
Asante bibi kwakuleta hiyo wazo Mungu anaweza 100%. Natokea congo drc butembo
@LindaBruce-n8bАй бұрын
Leo cjachelewa sana naomba likes jamani kutoka kenya
@missmutunga8172Ай бұрын
Divine intervention is only from the Almighty God. Mungu ambariki kila mmoja anayeona hiki kipindi..... Likes pia nigongeeni 😻
@NadzuaMremaАй бұрын
Amen
@REHEMANCHALIKAАй бұрын
Amiin
@MkomboziSeptroidejeunes2330Ай бұрын
Wakwanza leo gonga bwana ❤
@AbdallamuhuaRiziwanАй бұрын
Jamn chiko yupo vzr san kwenye uchungaji
@FloraMwamlima-s6gАй бұрын
Leo wa kwanza second za mwanzo kabisa🎉🎉🎉❤
@JustinaPeter-q8eАй бұрын
🎉 nzuriii mno pastor chiko 🔥🔥 hatariii sana
@4revertv523Ай бұрын
chiko ni nyoko sanaa 😂😂anatisha amini
@birgithatimotheo-bf5tiАй бұрын
Hahahaha jaman kutoka mchungaji mpk nyoko
@AlfaKanasa-zv9fo25 күн бұрын
Iv nyie kila sku naombeni like ama
@SaidIbrahim-f2hАй бұрын
Eeeh nafuu baba karobo Leo amebadilixha shati na suruali😂😂😂
@JANVIERUzabakiriho-gv8bbАй бұрын
Mungu wetu wambinguni anawezayote ninafurayisana
@MariamMgateАй бұрын
❤❤❤❤❤Oyooooo team strong tupo pamojaaaaaa
@MariamJaberi-g5yАй бұрын
Pole San baba karob umepona jamn mungu atakufanye weps inshallah 🙏🙏
@ceshleyshahad1123Ай бұрын
Mchungajiiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂,nyumba ina mashetaniiiiii kibaoooo😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂
@AganzeCimanukaАй бұрын
Hongera sana baba karobo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 RDC
@irankundabelyse-ej5viАй бұрын
Numbr one from🇧🇮munip lik zangusas😂❤
@moonGirl-t1iАй бұрын
Ndani ndani from Kenya nafurahia kuona kaka Chiko kumbe Ni pastor na namuogopa kwa house girl mungu Ni mwema pastor 🤔🙏🙏
@agapegodson1614Ай бұрын
Leo mama kalobo ananjaaa na kiu😂😂😂😂😂
@TeddyPaul-j3gАй бұрын
😂😂😂😂
@agapegodson1614Ай бұрын
@@TeddyPaul-j3g acha ty
@olicej7837Ай бұрын
Afu mimi nimependa apo😂😂😂😂😂
@agapegodson1614Ай бұрын
@@olicej7837 mwenyew nataman mchungaji amkamate
@VeronicahOtworiАй бұрын
Mungu n mwema atatèda jambo baba karobo atapona 🙏🙏🙏hila sijawai pewa like ata tano tu kutoka episode 1 😢😢😢