BABA YANGU KIPOFU Full episode /40/

  Рет қаралды 53,784

BabaJoan

BabaJoan

Күн бұрын

Tenda wema siku zote ili ufurahie matokeo yake mazuri ubarikiwe na Mungu
#love

Пікірлер: 549
@Maryjuvita
@Maryjuvita 3 сағат бұрын
Jamani kama unampenda baba karobo like from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎉🎉
@RashidKidume-w8e
@RashidKidume-w8e 3 сағат бұрын
Leo mimi wa tatu nahitaji like zenu zote hasa wewe mama karobo wa mchongo baba karobo fasion shangazi wa karobo na wote mulioshiriki hii tamthilia
@abdullybinde
@abdullybinde 3 сағат бұрын
wa kwanza jaman kama unamuamini mungu gonga like apa
@AzamMgasha-t5s
@AzamMgasha-t5s 3 сағат бұрын
Tokaa movie inaanza sijawah kuwah kama Leo embu msinipe like yoyote
@Austindaxoyoutube
@Austindaxoyoutube 3 сағат бұрын
Wa kwanza leo kutoka Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@SaumuJumwa-u4v
@SaumuJumwa-u4v Сағат бұрын
Kila siku huchelewa kutoka Kenya 🇰🇪 bwana yesu asifiwe watu wa Mungu baba karobo zidi kueka imani Kwa mwenyezimungu maana hajawahi shindwa na kitu chochote kile kma waamini atapona kupitia maombi gonga likes 🙏🙏🙏🙏🙏
@Lucywanjirukagonye
@Lucywanjirukagonye 3 сағат бұрын
Wakwanza kutoka Riyadh Saudi Arabia teem strong tupitianeni 🎉🎉🎉❤❤
@MagdaleneKilifi
@MagdaleneKilifi 2 сағат бұрын
Kumbe tuko wengi kutoka Saudi ❤, kazi nzur sana baba kalobo
@loreenmwambinguloreen7373
@loreenmwambinguloreen7373 Сағат бұрын
🎉🎉🎉like za saudi Arabia
@MalkaNinik
@MalkaNinik Сағат бұрын
Tuko wengi tufurahie WIFI zawarabu kuangalie move
@Pauline-254
@Pauline-254 49 минут бұрын
Nipitie pia ❤
@OmbeniShendwaDaniel
@OmbeniShendwaDaniel 3 сағат бұрын
Wakwanza leo jamani Anae ungana na mimi ya kwamba chiko atakemeya pepo zote za mama karobo. Tujuane apa
@simbadapanther7318
@simbadapanther7318 3 сағат бұрын
Nipe like zangu Mm WA kwanza,,,,,, from Kenya lamu
@YusraMshomary
@YusraMshomary 3 сағат бұрын
Mungu aturinde na watu wabaya mfano wa mama kalobo, 🤲🙏
@WazaTimothy-kh9ip
@WazaTimothy-kh9ip 3 сағат бұрын
Aminaa
@AthumanSaidati
@AthumanSaidati 2 сағат бұрын
Amiin
@Arafa-dt9sh
@Arafa-dt9sh 2 сағат бұрын
Ammin
@LovieBulenge
@LovieBulenge 2 сағат бұрын
Amen
@dularajabu8518
@dularajabu8518 Сағат бұрын
A
@IsmaelOkongo13
@IsmaelOkongo13 3 сағат бұрын
Mwenye atakaesoma hii comment Mungu ampe maisha marevu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@dhahabudeche926
@dhahabudeche926 3 сағат бұрын
Amen
@JohayvinaMutembei
@JohayvinaMutembei 3 сағат бұрын
Amen​@@dhahabudeche926
@Lucywanjirukagonye
@Lucywanjirukagonye 2 сағат бұрын
Amen 🙏🙏
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi 2 сағат бұрын
Ameen thuma ameen yarab
@PaulOjiambo-p1f
@PaulOjiambo-p1f 2 сағат бұрын
ameni🙏🙏
@J74251
@J74251 3 сағат бұрын
LEO WA KWANZA KUTOKA KENYA WANAO MKUBALI BABA KAROBO TUPENI LIKE NA COMMENTS❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉
@elizabethwanjala9667
@elizabethwanjala9667 2 сағат бұрын
Nampenda sana baba yangu kibofu
@shasxthequeen
@shasxthequeen 2 сағат бұрын
Tushafika bwana
@AliMwaramwendo
@AliMwaramwendo 2 сағат бұрын
🎉❤
@AliMwaramwendo
@AliMwaramwendo 2 сағат бұрын
Umechelewa mm ndio nimewahi kutoka kenya bt nk oman😂😂❤❤❤
@elizabethkamene6497
@elizabethkamene6497 Сағат бұрын
Nampenda sana baba karono
@LewisHamiltonGLD
@LewisHamiltonGLD Сағат бұрын
Hapa kumefikia hatari sasa babake kalobo na mchungaji wa mungu na mama'ke kalobo na mchawi wake vita ndio imeanza lakini liwe liwalo mungu awezi shindwa na kiumbe chochote kile wenaokubali babake kalobo atakua mshindi katika hii vita gonga like tukisonga
@TatudamabakariTatudamabakari
@TatudamabakariTatudamabakari 3 сағат бұрын
Kwakweli mungu yupo baba karobo atapona❤❤😊
@KassimAli-v9f
@KassimAli-v9f 3 сағат бұрын
Nimependa mama karobo kimbora nimemludi mwenyewe mama karobo kula chuma icho
@fatumariziki7276
@fatumariziki7276 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@loreenmwambinguloreen7373
@loreenmwambinguloreen7373 Сағат бұрын
😢😢😢umeona eee
@kombolela1828
@kombolela1828 Сағат бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@EuniceMbuche-ez8gg
@EuniceMbuche-ez8gg Сағат бұрын
😂😂😂
@marymele9714
@marymele9714 34 минут бұрын
Na bado 😂😂😂
@HUGUESIRADUKUNDA-z8t
@HUGUESIRADUKUNDA-z8t 3 сағат бұрын
Wakwanz leo naomba like zangu jamani🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@irineMusimbi-h8k
@irineMusimbi-h8k 2 сағат бұрын
Team strong kutoka Saudi Arabia a kenyan lady wapi likes za baba karobo❤
@wilmotkarisa6174
@wilmotkarisa6174 2 сағат бұрын
Yeyote atakaye tazama series hii Mungu ampe maisha marefu🙏
@jamesnduwimana3510
@jamesnduwimana3510 3 сағат бұрын
Leo inakuja mpema asante Baba joan
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh 3 сағат бұрын
Mko wap kumekucha❤❤❤jitu la ajabu daaah hyo mganga anatisha😢❤❤
@NadsmaaliAli
@NadsmaaliAli Сағат бұрын
Mzimu wa JB uwo
@akbartz4
@akbartz4 3 сағат бұрын
Jambo sana wenye tulikuwa nahamu San yakuona mwendelezo naomba like zangu jamani 🤗 na mungu apeni maisha malefu
@tumainmumskiragastumain2348
@tumainmumskiragastumain2348 3 сағат бұрын
Leo mm wakwanza naomba like ata mbili ❤❤❤much ❤baba Joan
@JosephineMomanyi-jp8tv
@JosephineMomanyi-jp8tv 2 сағат бұрын
Nuguti umejiingiza motoni mama caroboo na mpenzi wake mnajidanganya mungu ni mwanga na huyo mungu ameongeza mchungaji nguvu ujue mwisho wa dhambi ni mauti❤❤❤❤the story team strong saudia Arabia mkenya 🎉🎉🎉❤❤❤❤
@MarryJoshua-x5v
@MarryJoshua-x5v 2 сағат бұрын
Baba karobo oyeeee nimefurah sana kumwona mama karobo kombola likimrudia
@EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x
@EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x 3 сағат бұрын
Je vous suit dépuis le Congo 🇨🇩 Kinshasa
@shasxthequeen
@shasxthequeen 2 сағат бұрын
Atakae soma na kulike hii comment abarikiwe katika jina la Yesu christo, like na ujibu Amen
@ruth-lb4qf
@ruth-lb4qf 59 секунд бұрын
Ameen
@OmbeniShendwaDaniel
@OmbeniShendwaDaniel 3 сағат бұрын
Chiko jamani uwe na igiza sehemu ya uchunganji maana ume pendeza kuwa mchunganji
@JudithMunisi-r8h
@JudithMunisi-r8h 3 сағат бұрын
Fungeni mkiomba mungu ndiye muweza ya yote msikate tamaa 🎉
@lkibakefby7126
@lkibakefby7126 3 сағат бұрын
Nimewai nipeni lk hâta kumi❤
@modex_0376
@modex_0376 3 сағат бұрын
NATAKA KUJUA NIKO NA MARAFIKI WANGAPI MIMI KATIKA MASHABIKI KWA BABA KAROBO NITAJUA KUPITIA LIKE ZENU NITAMIN JEE KENYA NA TANZANIA WANAELEWANA
@bongoswahilimax09
@bongoswahilimax09 3 сағат бұрын
Wa kwanza
@MusaMaalim-c4q
@MusaMaalim-c4q 3 сағат бұрын
Nice movie munge tuwekea kila siku ni tamu hi movie na Ina tufunza megi thanks ❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SantosOfficial.1
@SantosOfficial.1 2 сағат бұрын
Alah,kutoka Kenya pia,,likes kwa Baba karobo jamani,,KAZI safiii,Kenya twakupenda
@SharifaShery
@SharifaShery 3 сағат бұрын
Leo nimekuwa wa kwanza jaman siamin
@Tush25416
@Tush25416 3 сағат бұрын
Wakwanza leo nipeni likes zangu from garisaa🎉❤
@TwinkleTeneja-e7o
@TwinkleTeneja-e7o 3 сағат бұрын
Tuko wengi mwenzangu kutoka garisa
@faithhalima451
@faithhalima451 3 сағат бұрын
Leo mi WA Kwanza kutoka Kenya naomba likes wapendwa❤❤
@Marry-u8m
@Marry-u8m 2 сағат бұрын
So amazing show 🎉🎉🎉❤❤❤hapa uta maliza mchawi wote vile ume ingie kwama obi🙏🙏🙏🙏
@Betty-t9q
@Betty-t9q Сағат бұрын
Leo nimechelewa kidogo ,,,,chiko kumbe uko na kipaji kweli wapi like ya chiko Mimi kutoka kenya❤❤
@MwajabuMtitu-co6wx
@MwajabuMtitu-co6wx 3 сағат бұрын
Bd sijaielewa kbs imeniuzi karobo wamefanikiwa kumuuwa sijui
@IreneKitavi
@IreneKitavi 3 сағат бұрын
Leo nimewahi mapema nasitki like zenu 😢😢😢
@MateusPius
@MateusPius Сағат бұрын
Leo mimi ni wankwaza kutoka Moçambique nipone like nangu 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🤣🤣
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 3 сағат бұрын
YEYOTE UTAKAYESOMA HII COMENT UWE NA SIKU NJEMA MUNGU AFUNGUE RIDHIK ZAKO INSHALAAA 🤲🤝🙏🤲🤝🙏🤲🤝🙏🤝🙏
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 3 сағат бұрын
❤❤
@JacklineAlivitsa-cj5ir
@JacklineAlivitsa-cj5ir Сағат бұрын
nawe pia
@BothainaBothaina-k6c
@BothainaBothaina-k6c 2 сағат бұрын
Baba karobo wewe ni Mwamba hakuna atakayekutingiza kamwe congratulations 👏 watching from Kenya 🎉🎉❤
@fruitfulchildrenshome9411
@fruitfulchildrenshome9411 3 сағат бұрын
Natamani iendelee tumwone B.Karobo akiwa mzima na aendelee kuwasaidia hao wanaomsaidia sasa hivi. Pia tuone ndoa yake na Zujat
@HidayaHamisi-w5k
@HidayaHamisi-w5k 3 сағат бұрын
Nimejitahidi like jamn
@JosephPongo-d8x
@JosephPongo-d8x 3 сағат бұрын
Tuna kupenda sans baba karobo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@YusufuJaphal
@YusufuJaphal 3 сағат бұрын
Da baba kalobo
@AnnaEugen
@AnnaEugen 2 сағат бұрын
Tunaotamani mama karoba na mpenzi wake wapinduliwa na mchungaji weka like
@FatmaAlly-d5v
@FatmaAlly-d5v 3 сағат бұрын
Dakika ya sita much love🎉🎉🎉🎉
@MateusPius
@MateusPius Сағат бұрын
Pai calobo más força não volta para atrás irmão 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿💪💪💪💪💪💪
@AberiNyatsa
@AberiNyatsa 3 сағат бұрын
Wakwanza mimi hapa nipeni lke zangu
@sjdjdj2909
@sjdjdj2909 2 сағат бұрын
Kazi mjema malafiki zangu❤❤❤❤❤
@OMMYWasingoe
@OMMYWasingoe 3 сағат бұрын
Wakwanza reo nipeni like zangu
@stephenwahuro2261
@stephenwahuro2261 Сағат бұрын
Mmm napenda kipindi inaelimisha sana nko kenya ❤❤❤
@merciendinda8487
@merciendinda8487 3 сағат бұрын
Secret agenda nimekuona
@Nurubeb
@Nurubeb 2 сағат бұрын
Kisicho n ubaya usikifanyie ubaya Niko n furaha kutoka taif❤❤
@EzekielJoseph-n7p
@EzekielJoseph-n7p Сағат бұрын
❤❤❤❤❤Duh mpaka anakonda anaingia humu haya mmbea atakiwa kulala na ngongot ,mchungaji nae kashaingiziwa nguvu za kichawi kaanza kusinzia
@abrahamchengo5118
@abrahamchengo5118 3 сағат бұрын
waaaah,inazidi kunoga
@SharonMokeira-ij7iq
@SharonMokeira-ij7iq 2 сағат бұрын
Jamani baba karobo weka hata ifike 30 movie ni nzuri lakn dakika ni chache sana
@florencengolo6480
@florencengolo6480 Сағат бұрын
Hili jitu s n lile jini la jb kule huba😂😂kama umekumbuka gonga like apa😊
@NAYPHATH
@NAYPHATH 3 сағат бұрын
Mimi Leo wakwanza jmni❤
@danielmutisya784
@danielmutisya784 Сағат бұрын
From kenya direct to Baba karobo❤❤like zangu zikuje
@SuzanJeremia
@SuzanJeremia Сағат бұрын
Nukti amekoma alikuwa msaliti😅
@ShadrackKosgey-p3h
@ShadrackKosgey-p3h 2 сағат бұрын
I like watching this movie from kericho Kenya
@Billiah
@Billiah 3 сағат бұрын
Kali sana hii nipe like bc ata kumi
@housseinkalume5473
@housseinkalume5473 3 сағат бұрын
Shukran jazzillah kwa kazi nzuri unayoifanya baba Joan
@reginaIssa-m2j
@reginaIssa-m2j 3 сағат бұрын
Good 👍 Job 👍nukuti kitakuramba
@RUIYAMOHAMED
@RUIYAMOHAMED 3 сағат бұрын
Nimewai leo wakwanza from Kenya, nawapenda nyote munaofatilia hii move ❤❤
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz 3 сағат бұрын
Nupti umbea umemponza akome 😂😂😂😂😂
@Chairman1835
@Chairman1835 3 сағат бұрын
Kawaida wakenya tuko mbele
@Davidmtawala-b4y
@Davidmtawala-b4y 17 минут бұрын
Baba Joan tem hongera Kwa kazi nzur sana ila mnachelewa kutoa mwendelezo 🎉🎉🎉
@NahumSyombua
@NahumSyombua Сағат бұрын
Namuonea nukti huruma sana. Goliath wa kenya wataka watoto na wajua huku kenya ukishapata watoto mama ndio analea pekeyake bila baba. Muhurumie nukti, atawacha umbea manake amepata funzo. Ama mnaonaje wakenya wenzangu? Team kenya ,team strong 💪 kujeni hapa nyuma ya tent tujiite mkutano kiasi 🇰🇪
@EdiokoAtembi
@EdiokoAtembi 40 минут бұрын
God his work is best back to sender Leo mama karobo na uchawi wake🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@NyirantokiZahara
@NyirantokiZahara 3 сағат бұрын
Muvi ilianza vizuri tu lakini sasa hivi imigeuka kuwa ya kichawi tu hatari kabisa
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 сағат бұрын
Mauzauza kibao😮
@SafiaHamadi-vi4xv
@SafiaHamadi-vi4xv Сағат бұрын
Wanatufundisha kuwa ukiamni ushirikina bas unakuwa mchawi.ndio maana yao
@nellyciakeonchaz
@nellyciakeonchaz 3 сағат бұрын
@baba Joani Mungu akubaliki
@ZainabuMathias-x6p
@ZainabuMathias-x6p 57 минут бұрын
Mungu nimwema 🎉🎉🎉🎉mama karobo hiyo inaitwa ubaya ubwela😅😅😅😅😅😅😅good job mimi nafamilia yangu tunawapenda sans time baba karobo❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@thomasmwita4586
@thomasmwita4586 3 сағат бұрын
Waaa surly sijapata hata like moja
@liliancharles8139
@liliancharles8139 3 сағат бұрын
Baba karobo unaialibu muvi ilikuwa nizuli San sasa ivi sierewi
@housseinkalume5473
@housseinkalume5473 3 сағат бұрын
Baba Joan mbona munapunguza dakika hata zidi ya hio ya kwanza jamani
@jamilabaya4053
@jamilabaya4053 3 сағат бұрын
Wakwanza jomon naombeni like zenu😢 Watching from Oman
@OmarNzohabonayo
@OmarNzohabonayo 2 сағат бұрын
Amrat tup😂
@mwanalimamwanlima198
@mwanalimamwanlima198 28 минут бұрын
Pamoja sana
@SusanMawia-kc4rg
@SusanMawia-kc4rg 3 сағат бұрын
Mama karobo umeyakanyanga this time round utakomeshwa hkun ktu utawza
@JackxonJonte-xq8vv
@JackxonJonte-xq8vv 3 сағат бұрын
Mimi wa kwanza from kenya like zangu
@NiaAlinoti
@NiaAlinoti 2 сағат бұрын
Mlishaaza kuiaribu hii movie uwondo uneisha kabisa naona mnako elekea mtaimaliza vibaya hii movie
@OscarAmbayi
@OscarAmbayi 3 сағат бұрын
Mimi ninidhani baba karobo ataombewa aone Sasa angali anaingia kwa matatizo na karobo yupo wapi mama karobo asiwe amemtoa kafara 😂😂
@eunicewambui-v7k
@eunicewambui-v7k 14 минут бұрын
Mungu azidi kumpa baba karobo nguvu na imani dhabiti hii vita sio rahisi
@mohamedgathu2676
@mohamedgathu2676 3 сағат бұрын
Team strong .. watching @saudi Arabia
@OnesmusKyalo-wj9ex
@OnesmusKyalo-wj9ex 3 сағат бұрын
Kenya hoyee wapi likes za kenya 🇰🇪 😳
@kemboijoakim
@kemboijoakim 3 сағат бұрын
Any Kenyan wenye tunafuata baba Joan gonga like hapa tukisonga
@MwanaidiAbdulrahman
@MwanaidiAbdulrahman 10 минут бұрын
Safi sn mungu amlinde baba kalobo na mwanangu kalobo ila fasheni na mama kalobo waijue dunia
@philohmutua2968
@philohmutua2968 3 сағат бұрын
Aki baba kalobo 😂😂😂nukuti umepatikana ulikuwa unajifanya sana kimekuramba
@MwanashaSuleimanTabwara
@MwanashaSuleimanTabwara 2 сағат бұрын
Kabisa malipo ya usaliti
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 14 минут бұрын
Oooo mungu awabarik san aallah awajalie mufik mbal na ss tunao wafatilia aallah atup maisha maref ishaallah
@nadiatanzania
@nadiatanzania 3 сағат бұрын
Hatar Leo wa kwanza
@princessElizabeth-f9c
@princessElizabeth-f9c 2 сағат бұрын
Alf si uyu mrefu n yule bodyguard wa rose muhando kwenye nyimbo ya secret agenda
@maylucson001
@maylucson001 2 сағат бұрын
Niuyoo pia ni mzimu wa jb kwenye huba
@Elizabeth-p3d
@Elizabeth-p3d 3 сағат бұрын
Oooooh haleluya thank u Jesus
@Gracenelima254
@Gracenelima254 2 сағат бұрын
Team baba karobo mpo wapi like ya team strong
@BrendaKenzie
@BrendaKenzie 2 сағат бұрын
Ni nzuri sana wow congrats❤❤❤🎉🎉🎉
@JohnThomas-mq5fw
@JohnThomas-mq5fw Сағат бұрын
Yaan loy na fashion mnawaza uchawi tu hamfikirii Mungu hata kidogo
@NathanMuhindo
@NathanMuhindo 36 секунд бұрын
Kazi nzuri ongereni from🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@UbbaPrincess
@UbbaPrincess Сағат бұрын
Nimependa Nubty kukomeshwa kwa umbea wake.hivi yuajuta.
@ibrahimlepa3406
@ibrahimlepa3406 2 сағат бұрын
Sema Wana zingua sana Hawa move sasaiv aielewek kabisa
@herosam254-v6k
@herosam254-v6k 3 сағат бұрын
wakwanza toka kenyaaa
PLAN B _ Episode 17
45:22
kp wa Aquino
Рет қаралды 55 М.
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 80 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 27 МЛН
I Was Drawn To Islam  | Jamila Wanjiru #revertedtoislam
29:46
The Daawah Centre Foundation Kenya
Рет қаралды 4,2 М.
BABA YANGU KIPOFU Full Episode /38/ #love
26:23
BabaJoan
Рет қаралды 331 М.
BARAKA ZA MAMA EP 30
20:34
SAYUKI TV
Рет қаралды 9 М.
HOUSE GIRL EP 05  | S3 | Love Story 💕💞
21:14
BUSATI TV
Рет қаралды 64 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /39/ #love
23:12
BabaJoan
Рет қаралды 320 М.