KUANZIA SASA TUTAKUA HATUCHELEWESHI TUNAJITAHIDI KWA HALI ZOTE LAKINI TUTAKUBALIANA NA MAPUNGUFU MAANA HARAKA HARAKA HAZINA BARAKA,NANYIE MNATAKA HARAKAHARAKA😊
@DorcasdavieDaviedorcasАй бұрын
Please don't delay
@NduwayezuFiacreАй бұрын
Ndiyo lakini msipite siku mbili tu bila kutowa
@ShukuluKiteme-wh8qtАй бұрын
Mimi 1 like
@BintChaula-yj2xwАй бұрын
Yaan baba karobo weuweee ilibak kidogo nikufuate kwako
@thauriayetu6159Ай бұрын
Ni sawa lakini msitumie vibaya msemo wa haraka haraka haina baraka kutuletea vitu visivyo na ubora tunataka standard hii hii
@HarunaDanielmbanzeofficialАй бұрын
Wakwanza Leo like zangu jamani❤ from Kenya
@Floriax1Ай бұрын
Wanaopenda BABA Joan Apone 👇🏻
@user-ro1fg5ur9lАй бұрын
Watazamaji wa hii movie weka like kwa baba Joan na timu yake kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉❤❤❤❤
@Pascaline-k2oАй бұрын
Yayayayaaaaaa!!!hapo sasa munanicekesha kweri nani munanifurahisha kabisa mama karobo weeee unakamatwa 😂😂😂😂😂😂😂😂
@catherinengina6802Ай бұрын
Yaani nimeangaika kila wakati naangalia kama umopost yaani nashindwa kuishi bila hii filamu mmh ongereni Kwa KAZI safiii🎉🎉nawapenda yaani kila mwigizaji amejitolea
@user-qv9ju5jc7uАй бұрын
vita vita vita vita ni vita muraa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 lakini baba korobo ou wanamwita Mr Jakobo shida amepata kakofia kbri kimemupanda daa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mrembomarry1Ай бұрын
SISI TUKO TAYARI UPOST KILA SIKU TUNAIPENDA HII FILM YAKO BABAJOAN WE TULETEE KILA SIKU❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@FurahafutakazaGloriaАй бұрын
Tunaomba ukuwe naiposty kila siku kabisa
@dockevinangwe3846Ай бұрын
From Kenya 2minutes ago wapi likes zangu😜
@lucinahmoranga2358Ай бұрын
Tuko npitie
@BatraohPАй бұрын
Good 👍😊 and you are the best friend you ever 😍
@sabsoiphone5840Ай бұрын
Mimi wakwanza foll zangu ziko wapi congo 🇨🇩 number 1
@Neema-e4j18 күн бұрын
❤❤❤
@mogashras525Ай бұрын
Tunaipenda sana movie yako,tuletee kila siku.na wotch kutoka kenya
@ericnduwimana8246Ай бұрын
Nirikuwa nimewamiss saana baba Joan,nawapenda sana from Bujumbura
@user-ie8om7kh5wАй бұрын
Wow ni nzuri sana congrats team kibanio kila kitu kitakuwa sawa❤❤❤🎉🎉🎉
@HalimaAli-e4wАй бұрын
Napenda kaz yak baba Joan mwenyezi mungu akujali ufike mbali zaidi na timu yako kiujumla
@PastorstevedavidАй бұрын
Twajifunza mengi kwa hii jamani Representing Kenyan people na like zije kwa wingi...
@user-rq4pl6wk3mАй бұрын
Nimemis kumuona Patronize 😊my favorite ❤,,wezi nao wako vizuri 😂😂 kumbe mtu hubadilika ju ya mapenzi 🤣
@Nas-haljumaАй бұрын
Ah tunaboweka sana maan ii move tunaipenda sana maana inamafunzo ndani yake kwahio angalau kwawiki jap vipande vi 3
@swediPacificswediАй бұрын
kweli umefanya kazi vizuri kk mungu akulinde umalize kazi yako 🔥🔥🔥🔥
@ElizabethBoniface-hw6zoАй бұрын
❤ watatu naomba like zenu mm mgeni nikaribisheni nawapenda hongeleni waigizaji mko vizuri sana
@user-lu3mf1ir4wАй бұрын
Watching from dubai nipeni ata like tano❤❤
@user-sy9cu5ef5qАй бұрын
Hatimaye wamerudishiwa kumbukumbu zao baba karobo atapona mateso ya mama karobo wa mchongo yanaelekea mwisho ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-fr4lj7jw9gАй бұрын
Jamani moves kwenye inaelekea iko 🔥gonga likes kama team Baba kalobo
BABA kalombo mwabiye mama kalombo original akufunguwe macho hitanonga sana❤❤❤❤❤
@maalimali5513Ай бұрын
Pongezi kubwa Sana Baba Joan M,mungu akulinde tunakupenda Sana.❤❤❤ Naombeni like zenu kwa Baba Joan.
@J74251Ай бұрын
Acha mungu awaongoze maana kila kazi inachanga. Moto yake ila tuombe mungu tu ipo siku mtafika kwa imani hii picha inafunzo ndani yake 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
Zuu. Hongera kwa ukakamavu wako. Ipo siku Baba Karobo atakuona. Lako penzi kweli halina macho. Ingawa mimi kama mtaalamu wa filamu naona ndio filamu inaanza kupamba moto. Hongera Baba Joan kwa kazi mufti. Ama tuiite kazi Nukti"!
@noelifujo6520Ай бұрын
Sema jitahid quality aisee
@fredrickowino3Ай бұрын
Kazi nzuri sana munayo ifanya ila mnachelewesha big up from 🇰🇪
@DenisiRizikiАй бұрын
Nimecheka leo eti baba kalo ameanza kudai chakula nahatar Leo mama mama kalobo atakoma Mzee ametoa hamri kalobo akija apate chakula kweli kofia imefanya kaz
@silviak1776Ай бұрын
Walai mganga umeweza 😂😂 machozi ya mama kalobo watatoa wapi 😂😂😂 😂😂😂😂😂 love from Kenya ❤❤❤❤❤❤
@user-ii3rb6uj7gАй бұрын
Hayo mate jee
@silviak1776Ай бұрын
@@user-ii3rb6uj7g haha 😂😂😂
@sofiakinyia2734Ай бұрын
Hivyo vifaa lazima mzimu uwasaidie ndo wavipate❤😂😂😂😂
@user-sc7sn6ux2vАй бұрын
tuko life bila chenga😂
@user-qv9ju5jc7uАй бұрын
Zujati yani kikubwa tu Mapenzi mama karobo atakua wewe mamakarobo si binadamu ni shetani masikio ya mbuzi inasiliaka musefuria😅😅😅😅😅😅😅
hfthdxdtjbfxdjm.mmmv it is not the right one 🕜 you have to be to work at a bar and grill to natural gas grill with side burner on a bar and I will be out of the right one to work on it tomorrow and grill with side 🎉😂😮😅😅🎉❤😂🎉😮😢😅😊
@salomejuma1177Ай бұрын
Nimegoja kwa hamu atari asante sana
@joycebageni9040Ай бұрын
Umekuwa umetuchekewesha sana baba joani from🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Hongereni ila mnakawia sana jitahidini ili kuwakidhi mashabiki wenu
@ZaituniMbonyimana-e2eАй бұрын
My favorite series🎉🎉
@user-tv8bg1bm7yАй бұрын
Wa 20 leo
@aishaallyaishaally3220Ай бұрын
Mama karobo anaona mazombi tu kaweusi kamemrudia ak nimecheka leo😂😂😂😂😂
@zainabuemmanuel3690Ай бұрын
Hongereni❤❤😊
@justinekombo-sl6zfАй бұрын
Mimi wa kwanza Leo kutoka Kenya nipee like zangu..
@lawrences1759Ай бұрын
🎉 leo nmerauka 😂
@kamabuwasingya4206Ай бұрын
Toka Drc nipee liké zangu
@JanetSimiyu-j8oАй бұрын
Dah!!!hiii movie inagusa❤️❤️
@user-tt6cc9cz4kАй бұрын
Wa kwanza kutoka Johannesburg ku wacht baba yangu kipofu❤❤❤
@MussaChimbilimanaАй бұрын
😁😁😁baba karobo na maman karobo feke mbavu zangu❤🇧🇮
@DivineMunezeroelogeАй бұрын
Wakwanzaaaaaaaaaaa lik zangu naombaaa gys
@zawadichengokatana4750Ай бұрын
Hii ya leo kali tena nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SalamaSalama-c1qАй бұрын
Jamani episode ya leo tamuu sana kama umeinona tamu kama mm gonga like kwa comment yangu
@DainesWilliamАй бұрын
Wa mwisho mwe
@Melvy-kb3lcАй бұрын
Usiliogope tena mama karobo original ataleta chakula😂😂😂😂😂
@AboabdulhakimAlfaleh-in7joАй бұрын
aki baba karobo nmewapenda sana huyo mganga ni wakisure bali masharti yake ndio noma🤣🤣
@MartinLazaro-zj6keАй бұрын
Number one hundred I give my like🎉🎉❤❤❤
@EllybarikiMasislaАй бұрын
Kwanini mmechelewesha kuachilia kipande 😂 mmeona nalia sasa
@LebonAllianceАй бұрын
Wapili wadungu tuseme kweli alikawiya sana
@EdigaNashon-g7bАй бұрын
Jaman like zangu ♥️♥️ japo nimewahi
@rayWasikeАй бұрын
Wa kwanza leo❤❤
@AbdurazakCheleaАй бұрын
Saw baba joani pamoja Sana nawafatilia Bega Kwa Bega bega✓✓✓✓✓
@JeandedieuCubaka-j2uАй бұрын
Hakuna sauti mwahii 23
@achilalezikiАй бұрын
Tuko nayo sambamba😅
@user-oh8pm3hk5fАй бұрын
🎉🎉🎉🎉from Kenya 🇰🇪 like zangu please 🙏 guys hata nifikishe hata kumi sijahi pata
@faridaally-jp1gxАй бұрын
Zuujat mama kalobo anakushinda ungemkunja😂
@StellaKugomwaАй бұрын
Mmmh tatizo mnakaa sana movies ilianza vzr mmeshaanza kuyakologa hata sielewi
@user-nm7yp3wm9tАй бұрын
Leo nimewahi 46 😂
@faridaally-jp1gxАй бұрын
Msicheleweshe kazi nzuri❤
@loisekuria860Ай бұрын
From Kenya kazi yenyu shwafi 🎉Twaipenda
@MigomgoMigali-ky1jlАй бұрын
Alie furahi kumuona ripota wa mchongo akiwa mganga aweke like apa
@morjanoman5181Ай бұрын
Jamani nami naomba lk zanu KAZI mzuri Sana 🎉🎉🎉unaujumbe Safi sana
@LovenessRobert-pp3ppАй бұрын
Ngoja nikwambie k2 nachokupendeaga hucheleweshagi kutoa ❤❤❤
@AgelaGemasАй бұрын
Jaman mm naungoja t kesho nionet itakuwaji❤❤❤
@user-zb6zx2kt4qАй бұрын
Nice
@MabeleJuliusАй бұрын
Maua yangu
@OmaniSico-z7tАй бұрын
Mashaalah baba karoo Safi sana haiishi hame leta haraka 24
@samweljoel407Ай бұрын
Mnafanya kazi zuri na hii movies naifutilia
@KanezaGlanyАй бұрын
Mimi sisikii sauti sijui kama ni Mimi pekee
@DzameMamiАй бұрын
Baba Karobo nime furahi lakini ni ngependa kusema hivi kima oni yangu heri ichelewe mulete ikiwa ndefu lakini muna weka muda mchache sana ongeza hata nusu saa❤❤❤❤❤