HOUSE GIRL EP 05 | S3 | Love Story 💕💞

  Рет қаралды 14,847

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

HOUSE GIRL SEASON 3

Пікірлер: 337
@TanashaPamelah
@TanashaPamelah 2 сағат бұрын
Kama unaamini Kwamba ni kendi ndiye alietumana watu wamteke Jasmin gonga like hapa
@user-un2gd1hc6i
@user-un2gd1hc6i 2 сағат бұрын
Sidhani ka n kendi juu huyo jamaa amekuja hapo ni rafiki wa papa
@TanashaPamelah
@TanashaPamelah 2 сағат бұрын
@@user-un2gd1hc6i na papa ajui Kai ...mtu anafuatilia Kai ni kendi tu
@FrankManyilizu
@FrankManyilizu Сағат бұрын
Huyo ni papa
@addandendya
@addandendya Сағат бұрын
Atakuwa boss wa Kai!
@Veromwatu
@Veromwatu Сағат бұрын
Nahisi ni boss wa kai
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 2 сағат бұрын
Yeyote utakayesoma hii coment uwe na siku njema mungu akufungulie lizik zako inashalaaa🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤲
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 2 сағат бұрын
@ramasalim5712
@ramasalim5712 2 сағат бұрын
Amiin inshallah amiin
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 2 сағат бұрын
❤❤❤❤❤
@PaulOjiambo-p1f
@PaulOjiambo-p1f 2 сағат бұрын
amina🙏🙏🙏❤❤
@rukiahashim8079
@rukiahashim8079 2 сағат бұрын
Amina
@SadaDjuma-e9b
@SadaDjuma-e9b 2 сағат бұрын
Ewe Mungu wetu ulie umba Mbingu n,Ardhi, tubariki ss ote tunaefuatiliya hii movies. Aaaaameeen🤲, na Ninawapenda saan.
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 50 минут бұрын
Allahuma amiiiiiiiiin twakupenda pia ❤❤❤❤
@SadaDjuma-e9b
@SadaDjuma-e9b 35 минут бұрын
@@saumodzumbo9671 Maa nshallah 🤝🤝🤝💐💐💐
@KenethMwasenga-x2i
@KenethMwasenga-x2i 2 сағат бұрын
😊😊wakwanza Leo jameen naomben like mungu awe pamoja na ninyi mnoa fuatilia hiivta msiliaya house girl
@BeatriceMvaty
@BeatriceMvaty 2 сағат бұрын
Duh m nilijua nitakuw wakwanz kumb wap duh naomben like bx jmn😊
@AllyMkola-u7e
@AllyMkola-u7e 2 сағат бұрын
Muvi hii ina maadui wa3 kay ana wawili nao ni bosi wake na mtalaka wake na adui wa3 ni chiko kwa tasha na bibie
@HoHo-l1r
@HoHo-l1r 2 сағат бұрын
Wewe batuli sijui litakukuta Jambo mpaka ushangae mtu mwema kwako ukitaka kumlipa mabaya yote yankuludi wewe mwenyewe...
@jobsimpamba71
@jobsimpamba71 2 сағат бұрын
Namimi wapili leo naomba like zangu ❤
@OfficialEmmy-b8r
@OfficialEmmy-b8r 2 сағат бұрын
Jaman like ata mbili
@Fatuma-y9k
@Fatuma-y9k 2 сағат бұрын
Bibi zulu msaidie kilamba, wenye tunakubaliana na ilo gonga laiki.
@WinnieNtoiti
@WinnieNtoiti Сағат бұрын
Pia mm naomba bibi zuu amsaindie kiramba kasononeka sana walahi mpaka kipindi kinamboeka
@Hapygideon
@Hapygideon 2 сағат бұрын
Leo kidogo camera imemn'garisha zuu anaonekana vizuri,au alivosuka ndio kumempendezesha hivo,,tunawapenda sana mkaze buti❤❤
@tauhidakhamis1657
@tauhidakhamis1657 29 минут бұрын
Leo kamera ipo fresh
@JudithSimiyu-ps7ee
@JudithSimiyu-ps7ee 27 минут бұрын
Lakini angewekea zile ndogo izi kubwa zinachoma alafu zatiti matiti yako inje mumeniangusha kwa kweli
@henrymasika312
@henrymasika312 2 сағат бұрын
Kazi safi movie tamu hongera Kwa wote❤❤❤❤❤❤❤
@SikuJuma
@SikuJuma 2 сағат бұрын
Jamani leo zuu amependeza sana
@DinaSamwel
@DinaSamwel 2 сағат бұрын
Ambao hatumwelewi papaa , maana nyumba tayari imeuzwa 😂😂😂😂
@Nassrah737
@Nassrah737 2 сағат бұрын
Hivi nyiee mnao omba like kabra ya. Kuangalia mna jielewa
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 42 минут бұрын
Washenzii hao
@SiaGervas
@SiaGervas 2 сағат бұрын
Waliokuwa wanaisubir ep 5 gong like apa
@FarhhFarhh
@FarhhFarhh Сағат бұрын
Batuli nafik hawutofawulo tama itakupomza zoo ikiopamoja namwenyezi mungu 😉😉😉😉
@tigejuma9865
@tigejuma9865 2 сағат бұрын
Kumbe watekaji n wakina papa misifa....Mzee wa bakongo😢
@ignitiussilungwe7930
@ignitiussilungwe7930 2 сағат бұрын
Candy! Sania! Masosi wote Wana huska juyahuo mufanya kazi mpya alowekwa kwa Kayi!
@user-iv2ni4bz6n
@user-iv2ni4bz6n 2 сағат бұрын
Yeyote anayesoma hii comment namtakia maisha marefu❤
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 41 минут бұрын
Nawe pia
@AdhisJulia
@AdhisJulia 10 минут бұрын
Amen 🙏 🙏 nawe pia
@MaryMervin-n8v
@MaryMervin-n8v 2 сағат бұрын
10:45 jaman wa pili Leo naombeni like ❤
@susana7645
@susana7645 2 сағат бұрын
Zuu anaendelea kupendeza juu ya mapenzi ya khai
@SabrahNibuka
@SabrahNibuka Сағат бұрын
Watekaji nawo wanapangiwa kutekwa😂 jamani leo naomba like ❤❤😂
@coolboymicky3651
@coolboymicky3651 2 сағат бұрын
Wakwanza naomba like 🎉🎉🎉
@RoseKagai
@RoseKagai Сағат бұрын
Namimi wapili naomba like zangu❤❤❤❤❤❤
@Shinyg3l
@Shinyg3l 59 минут бұрын
Nimemmc bibi zuu jamnii kwann yotee hayo yatokeee wakati nilijua baada ya dhiki falaja🥺🥺
@DennisKimanthi-yf1py
@DennisKimanthi-yf1py 2 сағат бұрын
kila siku two epsodes ama vipi viwers,kama weli si lyk hata moja 🤏🤏🤏
@SamouOman
@SamouOman 2 сағат бұрын
jaman nawapenda mno hamchelew
@AnnAnn-i4x
@AnnAnn-i4x Сағат бұрын
Kibendu❤❤❤❤❤hautishwi hongera
@LynEliza-u8t
@LynEliza-u8t 2 сағат бұрын
Kwan hiyo like n chakula ama munafanyia nn
@EnjoyJosephElikana
@EnjoyJosephElikana Сағат бұрын
Anae amin zuu nakai watashindi kupitia kwa nn zuu weka like
@Betty-t9q
@Betty-t9q Сағат бұрын
Huyu ataeza kuwa kendi au boss wake kai
@Hapygideon
@Hapygideon 2 сағат бұрын
Mama candy 🎉🎉🎉yako ila kulazimisha sana mahusiano na mtoto kama huyo utapata uchizi bure,hapana muache aende atakapoona panapovuja ndio atajua kuwa wewe ni mama sio kwa dharau hizo,,ndio maana vitoto vya 2000vimeiga tabia ya Sania na candy hovyohovyo majibu yao,,nasemaje mwanangu uje unijibu hivi siku Moja nakurudisha kwenye korodani za baba ako labda hukupaswa kuwekwa kwangu,pumbavu
@SarahRichard-iv2dl
@SarahRichard-iv2dl Сағат бұрын
Ifike mahala mtupumzishe jamani sio neno mtakalo sema lazima mtaje watoto wa 2000😂😂😂😂😂
@TeresaSefu
@TeresaSefu Сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@JescaYusuph-m4y
@JescaYusuph-m4y Сағат бұрын
Ndo maana kila siku kwenye maombi yangu house girl isiishe mapema kila kosa vitoto vya 20000😂😂😂😂😂
@SarahRichard-iv2dl
@SarahRichard-iv2dl 59 минут бұрын
@@JescaYusuph-m4y 🤣🤣🤣🤣🤣 mbona candy ndoa imemshinda na yeye ni mtoto wa 2000
@JescaYusuph-m4y
@JescaYusuph-m4y 50 минут бұрын
@@SarahRichard-iv2dl dah! kwel ni🔥🔥😂😂
@DoreenJovinus
@DoreenJovinus 2 сағат бұрын
Batuli naona angalia anajutia anayofanya kwa zuu
@KhadijaMdee
@KhadijaMdee 2 сағат бұрын
Hoyeeeeee kabla ya waomba like tujuane Mara
@Tatu-r2h
@Tatu-r2h 2 сағат бұрын
Kazi nzuri busati tv naombeni like pia mimi 😂
@NuruenezaJosephEnock
@NuruenezaJosephEnock Сағат бұрын
Candy,Sania na Batuli niwape poleee tyuuuu maana saiz mnajikuta wajanja sana nyie ndo nyie mnajitamba sana ila niwape tyuuu taarifa kuwa wakati wenu unakuja kwa hayo matukio yalote mnayoyafanyaa na kuwafanyia watu Kwan anaeuwa Kwa upanga atakufa Kwa upanga vilevile na hizo pesa za muda mfupi tyuuu huwez kutambua nazo miaka yote poleni sana
@BurhanImamu
@BurhanImamu 2 сағат бұрын
Bibi wa zuu amsaidie zuu kwenye janga landoa yake pamoja na jasmn
@OmarJaffar-fw4lt
@OmarJaffar-fw4lt 2 сағат бұрын
jamani bibi yuko wap Mbona kama batuli anaharibu😅😅😅😅😅
@ميريم-ط1س
@ميريم-ط1س Сағат бұрын
Hawana lolote huyu papaa na huyo mfuasi wake sijui wako wann humu wasio tafta pesa zao wapo wamekodoa macho kwa pesa za watu
@ZainabuKabache-tx7tu
@ZainabuKabache-tx7tu 2 сағат бұрын
Kiramba pole jamani mpumbavu mwenzako atarudi
@MwajumaAthuman-wv9mo
@MwajumaAthuman-wv9mo 2 сағат бұрын
Kibendu big up xana mwanangu
@MtumishiEstonFidelMtumishiEsto
@MtumishiEstonFidelMtumishiEsto Сағат бұрын
Papaaa yeye kaz yake kumpka jina lingne kila siku hakuna anacho fanya kama unaelewa dondosha 🎉
@aishaomar2287
@aishaomar2287 Сағат бұрын
Anatumia watu vibaya
@CharmingAngel-wx2sk
@CharmingAngel-wx2sk Сағат бұрын
Hebu mkamtoe bibi zuu kwa jiya mmurudishe huku before it's too late😂😂😂😂😂
@berthadaudi6433
@berthadaudi6433 Сағат бұрын
Da batuli mnafikiii haufai hata kwa dawa😂😂
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz 19 минут бұрын
Waoooooh nilihisi toka episode ilopita kwamba batuli kamteka jasmin ili amfanyie vitimbwi zuli bila kipingamiziiiiiih
@hafidhabdulmalik3799
@hafidhabdulmalik3799 Сағат бұрын
Wadau mko faster, dkk 49 views zaidi ya elf 5, kiukweli filamu ya house girl ni motoooo 🔥 🔥
@Hapygideon
@Hapygideon 2 сағат бұрын
Mungu awe pamoja nanyi mliokopa bando na MMEKUJA BUSATI TV kuwaangalia ndugu zetu🎉🎉🎉
@BettyChai-x3q
@BettyChai-x3q Сағат бұрын
Mm leo wa kwanza naoba hata like moja jameni wafuasi wedzangu ❤❤
@EvethaSimba-i1c
@EvethaSimba-i1c Сағат бұрын
Candy litakukuta jambo na kamkonde mtajuta yaani mtaikumbuka hiyi nyumba ya mama yako siku zako zinahesabika
@hawaali8371
@hawaali8371 47 минут бұрын
Mke Wa Kilamba Kutekwa😂😂. Labda Nimbinu Ya Kuuza Nyumba. Basi Acha Tufike Mbele Tutajua Hatma
@FATMARAHMA12
@FATMARAHMA12 22 минут бұрын
Wanaona zuu unyumba umemufanya rangi orenge akawa mzuri sana gonga like😂😂😂
@SaumuJumwa-u4v
@SaumuJumwa-u4v Сағат бұрын
Lakin mm naona huyu kiraba anamjaribu Tasha na Kai aone kma ni marafiki wa kweli kwake kma waamini Jasmin ametekwa Kwa mchongo gonga likes 😂😂😂
@FaridiAminiKajembe
@FaridiAminiKajembe 2 сағат бұрын
Mm wa4 leo
@chelahkenyah3596
@chelahkenyah3596 Сағат бұрын
kuna watu hapa wanahtaj watolewe coz toka move ianze sijawah kuona umhim wao yule mkongo na kikosi chake
@BoniphaceNhunhu-f4x
@BoniphaceNhunhu-f4x Сағат бұрын
Nipen likes namm has kila SKU nachelewa
@Starlex81
@Starlex81 2 сағат бұрын
Nmewahi jaman
@AgnesMiyi
@AgnesMiyi Сағат бұрын
Zuuh amesababisha na huyo kilabwa mkwaju kwanini mlimpokea huyo batuli sasa mmeyatafuta sasa mtakipata na bado 😂😂😂😂
@IreneMaganga-l8e
@IreneMaganga-l8e Сағат бұрын
Zuu kasuka Kawa mzuri
@Hapygideon
@Hapygideon 2 сағат бұрын
Leo nimewahi
@JuliteNabwire
@JuliteNabwire 2 сағат бұрын
Nikendi amemuteka nyara ndio mufanyakazi aliyepeleka kwa zuu afanye kazi aliyemutuma kufanya kwa zuu na zuu Ako na mungu
@Asiamohammed1317
@Asiamohammed1317 2 сағат бұрын
Nimeshinda njaa vile mnataka huku house girl, huku my mother, tunyoosheni tu 😂😂😂
@كامليا-ر7ز
@كامليا-ر7ز 2 сағат бұрын
Pole Sana kiramba. ila candy asiye skia la mkuu huvunjika guu alfu kwa hyu papaa analazima gni n candy jmn waaah weka like kwa kiramba tu y pole yke
@meryJoel-h7h
@meryJoel-h7h Сағат бұрын
Mauzauza kila sku fanyeni iishe maama mnazunguka sana
@DivineIngabire-lj3sr
@DivineIngabire-lj3sr 2 сағат бұрын
Candy wew nakucukia kabisa lakini dunia itakufundish bila cahier utaona😢😢
@RIZIKIRAMADHAN-eu1fp
@RIZIKIRAMADHAN-eu1fp 2 сағат бұрын
Mungu hawape hekima na Afya njema
@Ummyrahy6666
@Ummyrahy6666 2 сағат бұрын
Mtekaji ni candy😢 sasa antka kujua nn na ashajua kila ktu kuhusu kay mbona mpuuz sas
@yonisabdullah2528
@yonisabdullah2528 Сағат бұрын
Kabisa ni Candy amemuteka ndio mtu wake batuli afanikishe zaki yake 😂😂😂
@johaririziki
@johaririziki Сағат бұрын
Kwakweli mnaharakisha sana hadi raha kweli?mungu awazidishie
@FatmaMwinjuma-p5u
@FatmaMwinjuma-p5u Сағат бұрын
Bibi zuu njoo umsaidie zuu nauje upige tatuli
@EuniceEunicemoraa-f6w
@EuniceEunicemoraa-f6w 2 сағат бұрын
Yaani waomba likes mtakuja kuanguka😢
@levinaernest4364
@levinaernest4364 Сағат бұрын
😄😄😄😄
@FATMARAHMA12
@FATMARAHMA12 30 минут бұрын
Wanao wona mke wakiramba katekwa na chiko sasa yakufikia tasha like hapa
@LilyMbembat
@LilyMbembat 2 сағат бұрын
Hatimae Leo nipo kumi dakika za mwanz
@Mariam-ju4rq
@Mariam-ju4rq Сағат бұрын
Zuu anapendeza sai🎉
@buru1235
@buru1235 Сағат бұрын
Candy wallai utalipia so umepeta pesa then unatesa MTU mwenye ana kosa lolote wallai l shower to God utalipia Kwa hili eeeh😢
@omardouble3
@omardouble3 2 сағат бұрын
Hii movie ifike mahala iishe sasa😮
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 2 сағат бұрын
Ili iwe nn kwani unatununulia bando wewe
@SelinaDorcas
@SelinaDorcas 2 сағат бұрын
Inamana ww haufurahishwi na mafunzo
@FaridaAbdallah-xt1dj
@FaridaAbdallah-xt1dj 2 сағат бұрын
Na ndio kwanza imeanza😅😅😅
@McT-m1m
@McT-m1m 2 сағат бұрын
Wewe kama unataka iishe usiangalie
@aishaomar2287
@aishaomar2287 Сағат бұрын
Majibu kayapata huyu
@RukiamashaMasha
@RukiamashaMasha 2 сағат бұрын
Alie teka bibi ya kiramba ni boss wakai 😢
@MalkaNinik
@MalkaNinik 2 сағат бұрын
Chiko ama boss wakai
@RukiamashaMasha
@RukiamashaMasha 2 сағат бұрын
@@MalkaNinik wajua boss wakai siku ya harusi alikueko sa ywajua hao wana ukaribu na kai huenda ikawa ni yeye
@JanetChisaga
@JanetChisaga Сағат бұрын
Munafiki huyo anajua chenye kinaendelea munafiki kabisa
@joyleenivayo3699
@joyleenivayo3699 13 минут бұрын
Aaaa nyie mnatuboo nyie akina sede senge
@priscahmahenzo642
@priscahmahenzo642 47 минут бұрын
𝐌𝐝𝐮𝐚𝐝𝐳𝐢𝐢😂😂😂😂𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐧𝐧𝐢 𝐤𝐢𝐩𝐞𝐧𝐝𝐮😅😅😅😅😅
@shukurukimena
@shukurukimena Сағат бұрын
Pole sana mpumbavu mwenzangu
@افلينافلين-ي9ك
@افلينافلين-ي9ك Сағат бұрын
Baturi ni vigumu ku mushitukia ila apa cini ya jua hakunaga siri. Najifunza kitu. Mambo ya uruma uruma mm na stop
@AshaHassan-i6x
@AshaHassan-i6x 2 сағат бұрын
Kwn wanamtak nn zuu jmn
@jubaidamiss2409
@jubaidamiss2409 2 сағат бұрын
Next ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Johar903
@Johar903 2 сағат бұрын
❤❤❤❤❤kazi nzuri sana
@selinaselina3933
@selinaselina3933 2 сағат бұрын
Kiupande wangu mm nihisi chiko na group yake ndio wanahusika na utekaje wa jasmini
@SadaDjuma-e9b
@SadaDjuma-e9b 2 сағат бұрын
Alhamdulillah nimekua w5
@RenathaKalamage
@RenathaKalamage 2 сағат бұрын
Kumbe anaitwa jasmine mi nilijua mpembavu mwenzangu
@MwanamkasiBakari-pb2gw
@MwanamkasiBakari-pb2gw 53 минут бұрын
😂😂
@valentinembwika2321
@valentinembwika2321 2 сағат бұрын
Naona sichaachwa nyuma kidogo
@Lucy-jj1hl
@Lucy-jj1hl 2 сағат бұрын
Nimejaribu leo❤
@agapegodson1614
@agapegodson1614 2 сағат бұрын
😂😂😂😂ety mpumbavu wake anamwitaaa dah😢😢😢
@MwanamisiMuna
@MwanamisiMuna Сағат бұрын
Kibendu ni wakilishie huo candy kwan iko nn anazengua tu snaa,,
@AnnaBura-p2g
@AnnaBura-p2g 2 сағат бұрын
Batuli batuli mwisho wa ubaya aibu
@Blandinakanini
@Blandinakanini 2 сағат бұрын
Nauliza je pili zuu yuko wPi
@AsharobiMwita
@AsharobiMwita 54 минут бұрын
Jamani jina la wimbo
@busatitv
@busatitv 50 минут бұрын
House girl
@sofiakinyia2734
@sofiakinyia2734 2 сағат бұрын
Ila candy wew una laana🎉🎉🎉🎉❤❤❤😮😮😮
@rumbebilali2737
@rumbebilali2737 Сағат бұрын
Hhhhhhh
@EmmilianaWekesa
@EmmilianaWekesa 2 сағат бұрын
Much love from Saudi Arabia ❤❤❤🎉🎉🎉
@زينه-ل4ح
@زينه-ل4ح 2 сағат бұрын
😢ninahumiy kuhus kilamb😢
@SaumuJumwa-u4v
@SaumuJumwa-u4v Сағат бұрын
Maskin niraba amechanganyikiwa 😭😭😭pole sana jamni 🥲🥲🥹🥹🥹
@GilberthRajab-n4x
@GilberthRajab-n4x 2 сағат бұрын
Wakwanza leo jmn
@عباسعلي-خ3ص
@عباسعلي-خ3ص Сағат бұрын
Pole sana kiramba unapitia wakati mgumu kwa kweli😢😢
MTOTO WA SHEIKHE (Ep 28)
19:46
Comedy Plus
Рет қаралды 3,1 М.
HOUSE GIRL EP 04  | S3 | Love Story 💕💞
21:21
BUSATI TV
Рет қаралды 42 М.
小丑在游泳池做什么#short #angel #clown
00:13
Super Beauty team
Рет қаралды 40 МЛН
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 283 М.
THE GAME (11) #kakoso
22:50
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 8 М.
MAPENZI NI GAME | EPISODE 13 | Love story 💞
25:52
KING_NOELY1
Рет қаралды 19 М.
Lesson 2:- The how, when and why of Istighfaar!
39:40
بلغوا عني ولو آيه, امريكا
Рет қаралды 997
MY MOTHER EP 12  | Sad Story 💔💔
21:55
BUSATI TV
Рет қаралды 23 М.
HOUSE GIRL EP 03  | S3 | Love Story 💕💞
20:08
BUSATI TV
Рет қаралды 67 М.
KAPUNI episode 01
6:24
kapuni Movie
Рет қаралды 94 М.
MISSION IMPOSSIBLE [41]
28:48
CHADO MASTA FILM
Рет қаралды 41 М.
小丑在游泳池做什么#short #angel #clown
00:13
Super Beauty team
Рет қаралды 40 МЛН