KUJIUNGA NA GROUP LA BABA KAROBO GUSA LINK HAPA CHINI chat.whatsapp.com/DNLyqNPiekpDTbrXEJOjUa
@AllyJumanassoro3 ай бұрын
Hongera baba karobo kwa kupona na kupata MKE mzuri mungu naazidi kukulinda wakumbuke woote waliiokupambania na usimsahau mchungaji
@getrudekimbi39143 ай бұрын
Baba Joani, usimwache Mama karobo katika tathinia ya uigizaji ni mwigizaji anayejitoa kwa moyo wake wote kuitendea haki filamu, Nawapongeza sana. Kazi nzuri Baba Joani.
@BothainaBothaina-k6c3 ай бұрын
Hii ndo nilikua naingojea sana hongereni sana baba karobo unatufunza sana watching from 🇰🇪 🇰🇪 nakupenda sana 🎉🎉❤
@VeronicahOtwori3 ай бұрын
Wooooo mungu n mwema kila wakti jameni hii movie n ya mafunxo maxito kweli km mm nimejifunza mengi kupitia baba karobo n mama karobo mwisho wa ubaya n haibu ongera sana Mr Jacob nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤nipewe like ata 5 aja uchoyo😢😢n inaenda kuisha bila like duuh
@GentilKakule-rd2pz3 ай бұрын
Movie ime tufunza mengi sana maua Yako baba kalobo🎉🎉🎉🎉🎉 n'a mungu azidi kukubaliki zaidi
@JoharsixJohar3 ай бұрын
@@GentilKakule-rd2pz sana
@SylvesterPhilipo-dv8vs3 ай бұрын
Yote tisa mshukulu sana kibanio mpenzi wangu maana dada kama ni wachache sana mungu awabariki wote na awape maisha marefu walio shiriki sinema hii mungu akuzidishie ulipo punguza mchungaji ❤❤❤❤❤❤❤
@DoriceDidace3 ай бұрын
Sawa tumejifunza kwa kiasi fula Asante kwa kazi nzuri tunasubilia kazi nyingine nzuri zaidi ya hii
@wamboiwamboh3 ай бұрын
Hamjanotice kijana anaeomba msamaha n cool kid na cute boy pia😂❤❤❤❤
@AnnieMangi3 ай бұрын
Ni wakati wa zujaty sasa kuenjoy nawapenda sanaa baba karobo mungu awatangulie muush vyema mkimpendeza mungu❤❤
@asumilemwaihojo8673 ай бұрын
Waoooh, hongera baba Karobo Kwa movie nzuri ilojaa kila fundisho la maisha....!!
@KitunduThomas3 ай бұрын
Kama una skili utajifunza
@OnesmoJaphet3 ай бұрын
Yes this guy is good artist nimependa sana baba joan na member wako kazi nzuri Kwa tulioona kama mimi gonga like Kwa baba karobo 🎉
@delvinejeruto3 ай бұрын
Hongera sana baba karobo mungu akupe maisha marefu tuweze kujufunza mengi kupitia kwako tunakupenda sana ❤❤❤❤🎉❤❤
@Frederick-x2v3 ай бұрын
wao kusema kweli hili ni bonge la sinema kutoka mwanzo hadi tulipo sasa haukuna kipindi kisicho pendeza ogera sana baba joan bila kusahau kikosi chako chote hakika mna vipaji kutoka jiji kuu nairobi hapa kenya nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤.
@pablonsanzumuhire20243 ай бұрын
Baba Karobo. Nawapenda sana.
@aminahhuawei11333 ай бұрын
Mubarikiwe sana tumejifunza vyakutoshaa asante baba karobo kazi mzr sanaaa na inamafunzoo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SharonShaline-e7m3 ай бұрын
Baba yangu kipofu jamani ni filamu nzurivsana Keep it up baba joana
@TanashaPamelah3 ай бұрын
Mashallah 💖 hatimae siku ambayo nilikuwa nasubiri imefika 😂🙌
@alexnyongesa47833 ай бұрын
Naitazama kutoka kenya nimefurahi sana Zuu kuolewa na baba karobo
@EndaniRashidi3 ай бұрын
Hongera sana Baba kalobo na MUNGU wambinguni ahimidiwe kwa kupata kuona. pia maamuzi ulio hamua ni sahii kwa kumuacha mwanamke mbaya na kumuoa mwanamke anaye kufaa. hongereni sana kwa Hilo. mimi kama mwanamke picha yenu imenifunza mengi nakunifungua akili kabisa. Asante sana.
@LinnetAdikinyi3 ай бұрын
Aisee kwa kweli mda wote huwa wanasema usidarau ulicho nacho mkonani ikiondoka akitarudi tena,na hiki kipindi kinasisimuwa kweli nimeifatilia sana hadi mwisho,baba karobo na kikundi chako hongera hongera sana❤❤❤❤ni lynn from Nairobi kenya.
@tonykonki14373 ай бұрын
Baba karombo mungu akupe kibari zaindi umetupa somo kubwa sana.
@NoahMatan3 ай бұрын
Kwa kweli tamdhilia inatuonyesha hali halisi y maisha pongezi sana Baba Joan na waigizaji wensako kw kazi safi
@zainakidile38263 ай бұрын
Waow kazi nzur baba karobo❤ movie nzuri🎉🎉
@enochmwendwa99823 ай бұрын
Wapi likes za kenya ,, well represent ❤🎉
@georgekathurima64283 ай бұрын
Pongezi sana, kweli filamu hii inayo mafunzo mengi tena mazuri sana. Baba karobo,Karobo, Zulyat, kibanio, Nasra pamoja na Mr Rahasa...congratulations great people and team🎉🎉🎉
@maalimali55133 ай бұрын
Kutoka Mombasa Kenya naomba like za Baba Joan
@ChlistieHakizimana3 ай бұрын
wauuu ♥️ hamwezisikia jinsi ninavyofurahia kuona baba karabo amepona n kuoana n zujati good, binadamu tujue mabaya tunayoyafanyia wenzetu mwisho n Dunia n shukurani kw mchungaji ,,
@Aisha-qx7kz3 ай бұрын
Safi sana baba karobo muowe zu na maisha yaendelee achana na loi kimrambe alitaka vyote mwishowe akakosa vyote
@ZainabuSalehe-hi2pw3 ай бұрын
mama karobo mwenye kilanga apewi polee zamu yako jua la utosi kukuwakia kwa kwelii😂😂😂
@SyombuaMuvengei3 ай бұрын
Jamani tupo pamoja baba karombo furaha kama yote from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wpeni like zao nzuuuuuu na mpenzi wake jamani 🎉🎉🎉🎉
@JumanneIkingo-g6e3 ай бұрын
Baba kalobo ukienda na huo mfumo hakika pengo la kanumba litazibika hii movie umeicheza vzr sana pamoja na mwalim mgeni kalobo usimuache maisha yako yote huyo ni msanii mzr sana
@LewisHamiltonGLD3 ай бұрын
Zuu n kweli mvumilivu ula mbivu mama hongereni nyote team baba karobo loy sasa ona aibu vile inavyokusuta❤❤🎉🎉 fasheni kanifurahisha ety zuu kaolewa Wacha Namimi nitafute wangu Mmoja nikatulie naye aise 😂😂😂
@Professor.Irene953 ай бұрын
Mwisho wa ubaya aibu mungu awalinde Kwa funzo kubwa hili kamaisha ❤️
@LouisManirakiza-rv7mx3 ай бұрын
Hongera sana kwa waandaji kwakweli hii ilikuwa bora zaidi
@loreenmwambinguloreen73733 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉kabisa
@TATIZIMATHEWS3 ай бұрын
God bless you mr Joan for this movie my name is Mathews from Zambia
@CASIMIROVEVO3 ай бұрын
FIRST ONE FROM MOZAMBICAN 🎉🎉🎉
@robertokibingo3 ай бұрын
baba joan I didn't finish ep 50 it was very macho, I thought it was going to ruin it, but thanks to Jehovah you increased the dose more, I liked it I liked it a lot Jehovah bless you very much with all your groups
@wechenjeke97763 ай бұрын
Mwisho mwishoo wa kipinda najipata nipo ndani ya 1st viewers makofi kwangu👏🏼👏🏼👏🏼makofi tena👏🏼👏🏼👏🏼. Anyways lesson learned hakuna lisilo wezekana mbele ya mwenyezi Mungu tunapo amini🙏🏽. Good job to the whole team.
@samsonkaboko51373 ай бұрын
Amen
@mamanbinwashadrack22573 ай бұрын
Naomba uwe mwisho kabisa
@ZulphaMsangi-s9g3 ай бұрын
Hongera sana baba karobo hakika umetufunza mengi Mungu akubariki Aamiin 🙏🎉🎉❤❤
@LizzyBeb-m6s3 ай бұрын
Nice work from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@FaithNgowa3 ай бұрын
🎉❤
@JoachimJudy3 ай бұрын
Jamnii nimeipendaaaa daaah baba Karo boo kanifurahisha❤❤❤❤
@KitunduThomas3 ай бұрын
Laiv
@JohariHasham3 ай бұрын
Waoooo baba karobo nafurahi jamani kwa maigizo Yako mungu akujaze nguvu daima 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😂😂😂😂😂
@ZachariaezekilSanyenge2 ай бұрын
Wow GOD Bless you baba karobo umetisha sana na Zuriath kaplay vizuri part yake. Lakin huyu mama karobo kacheza vizuri zaidi. Wow GOD Bless all of you. Thanks
@FatumaAli-xm8di3 ай бұрын
Asante Sana tem baba karobo mungu awawezeshe kuleta movie yamafundisho
@Marin-w5o3 ай бұрын
Baba Kalobo ameonyesha kutoa shukulani kwa waliomusaidiakatika mateso nakuwa naimani ya kupona ni mmigizo safi kbisa wakuvutia
@TatudamabakariTatudamabakari3 ай бұрын
Kweli baba karobo umeweza mnooo❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@JescaFelix-e4x3 ай бұрын
Jamani mama karobo ndo Sasa ivi hata mawigi hatukumbuki kuvaaaa😅😅
@Deborah-v5q6k3 ай бұрын
Me wa kwanza Leo kutoka Saudi Arabia 🥰nipeni like zangu
@VsilaTomas-cl6wv3 ай бұрын
Mwisho wa ubaya ni aibu mungu ni mwema kw baba karobo na mwanae
@FatumaBakari-c3l3 ай бұрын
Ubaya umbwela mama kalobo what goes around comes around...... haiji mara mbili bahat ❤❤❤❤❤ nyote
@DeeDan-sj1mr3 ай бұрын
Jali Sana Familia Yako Maana Sisi Marafiki Zako Tutakuja Kula Wali Na Tutazika Harafu Tutaondoka Ila Familia Yako Ndio itakuwa Inafagia Kabuli lako .🙏🙏
@SalamaTaura3 ай бұрын
Walai
@sirjacoblemaron35943 ай бұрын
Ako ka wimbo ya nimempoteza mume, nipee title yake please
@Philohmutua-bc4jk3 ай бұрын
Weeee Mimi naangalia zuuuu hadi najanganyikiwa aki❤❤❤❤❤ alafu nimejikuta nacheka wakati mama kalobo. Alikuwa anatangasa mboga mboga ,,, ilanimejifunza kitu kupitia hiii movie ❤❤❤ kwa waletumejifunza kitu. Leteni comment hapa na like ❤❤❤❤❤ ati baba kalobo. Ameoa kipulushuti😂😂😂😂😂😂😂 mapenzi mie
@PaulinaKabume3 ай бұрын
Ama kweli wema ni hakiba na ubaya ni hakiba tunaona kama movie lkin yap katika maish tutende wema wapendw
@NeemaSamweli-mt7ho3 ай бұрын
Kabs yani😭😭
@AnaSewando2 ай бұрын
🎉😅😊😊
@BrayanMwilongo3 ай бұрын
Wapenzi wote wa baba yangu kipofu ,tujionyeshe jamani❤❤❤
@BrayanMwilongo3 ай бұрын
Welcome
@DonardHamsi3 ай бұрын
Wakwanza mm Leo jaman naomba like zang kwa wale woto mnao ipenda baba kaloba
@AriellaUwizera3 ай бұрын
Waburundi mko wapi tujuwane🎉❤❤
@fidelmbabazi89773 ай бұрын
Baba karobo nawapenda sana wewe na team yako.( DR Congo)
@iyumva-jonas3 ай бұрын
Hah, jamani, epsode hii ni final kweli nakubali. Watu kama mama karobo wajifunze kitu. Love you ❤ so much Mr Ntusubire, from Burundi 🇧🇮
@NoraNyaboke-ut5hf3 ай бұрын
Achana na mama kalobo ause matembele😂😂😂😂😂😂
@AmenaMm-r5t3 ай бұрын
Hak yamung baba karob yup vzr bor zuu tuwe wake wenza nishampend mm jamon baba karob 😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@NASRAZOMBE3 ай бұрын
😂😂😂
@fammamaboko65433 ай бұрын
😂😂😂😂 Mama Kalobo anauza mboga mboga Zoujat congratulations kua n'a baba Kalobo🎉🎉🎉
Love so much baba karobo's family❤na kazi nzuri pia❤ samehe hata kama amekukoseaj❤❤❤👍👍 nimependa sana neno kinyang'ala😂😅
@MwaminRomanusMponzi-k9k3 ай бұрын
Hongera Sana Baba kalobo kwa kupona mungu mkubwa🎉🎉🎉🎉🎉
@NadiaRamadhan-q1m3 ай бұрын
Maashalla acheni mungu aitwe mungu 2u malipo niapaapa duniani Asante Sana baba karobo mumetufunza mengi sagi Sana nampy zuu umenifunza mengi Sana naumenifanya, nizdi kujiamina na kutokata tamaa mungu awabark
@athmansadiki63413 ай бұрын
Ahhh zaujati na baba karobo na karobo hongera sanaa mume pendeza sana❤❤❤
@HAMISSDOYI-e5i3 ай бұрын
Hongera baba karobo kazi nzuri❤❤❤❤
@nurusaid46983 ай бұрын
Mwanamke Mwerevu Utengeza Ndoa Yake Na Mwanamke Mjiga Uvinga Ndoa Yake Kwa Mikonoyake Miwili....Cjui Mma Karobo Tutamueka Fungu Gani❤❤❤❤❤❤
@spinicahmontentes68253 ай бұрын
Fasheni pia wewe kamuoe loi mwenye vituko za kishetani kama wewe😂😂😂😂😂hongera baba karobo na sujat nawapenda
@Nffh-r4u3 ай бұрын
𝐻𝑖𝑣𝑖 𝑢𝑙𝑖𝑜𝑛𝑎 𝑚𝑙𝑒𝑣𝑖 𝑎𝑘𝑎𝑜𝑤𝑎 𝑚𝑙𝑒𝑣𝑖 𝑚𝑤𝑒𝑛𝑧𝑎𝑘𝑒😂😂😂
@DolphineRabesh3 ай бұрын
Nice question 😅@@Nffh-r4u
@ElizabethMahu-s4f3 ай бұрын
Jmn nimefurahi sanaaaa hii move ninziriii sanaaa paka natamani irudiweeee machoziii yafurahaaa😢😢😢😢 baba Joan hongereni natim yakoooo yoteeee mbarikiweeee mnooo🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@AnnaLabson3 ай бұрын
Kazi nzuri sana brother ❤❤🎉🎉🎉
@KubelwaIlungaMardochéeSalama3 ай бұрын
The healing of a blind man becomes the deliverance of many people to convert them thank you very much baba karobo
@KankindiCeline-l9r3 ай бұрын
Wouuuuu Nawependa Nafurahi Kweli Baba Karobo Mungu weeeeeee❤ Umewona Uripona Karobo Uzi Yikonamaisha Mazuri ❤
@JullianaEmmanuel-tm5xg3 ай бұрын
Tulio anza pamj kuanzia alipokuwa baba karobo kpofu had Leo baba karobo anaona,wp like,
@Sho-p3w3 ай бұрын
w
@LaizerChionda-de6ul3 ай бұрын
Pamoja sana
@LarissaMercy3 ай бұрын
Pamoja🫂
@AnnaSilvn3 ай бұрын
Pamoja jmn
@MongaNgoie-rk5kqАй бұрын
Yw😂😢clk❤ 2:02
@alfredkadomole11143 ай бұрын
Baba Joan team, kazi tunaipenda
@GladysKarembo3 ай бұрын
Mwisho wa ubaya ni aibu .Mama karobo nyoko.Zujat uko smart mamaa hio shape we huogopi 😂😂😂❤❤🎉
@ReymaMa5-rv1gs3 ай бұрын
Waaah nshafika kaz nzur🎉🎉❤❤
@webnet56523 ай бұрын
Baba karobo na Zujat mpendeza San pamoja na mtoto wenu karobo ongereni san❤❤❤❤
@GraceSwai-oe7mj28 күн бұрын
sana
@SarahChisala-j2c3 ай бұрын
Apana baba kalobo usisahau uyo na loho mbaya yake ndokamukuza kalobo mama kalobo alimuacha akia mdongo maua kwako loi🎉🎉🎉
@janecharo11963 ай бұрын
Sasa imekua tamu sana maana wabaya wote wanaaibika 🎉🎉🎉eeh mungu naomba walio panga mabayà juu yetu nenda ukawaweke wazi 🧎🧎
@DelvinChepkorir-t1d3 ай бұрын
Amen ❤
@Hadijawashuma3 ай бұрын
Mama kalobo owae mama kalobo uliage we mama kalobo uliage we oiae😂😂😂😂😂😂😂walio fulah mama kalobo maisha yake yawe hivo weka like tusonge😅😅😅😅
@SereneMastiff-xp2nx3 ай бұрын
. Gpea❤❤
@FrancisBalohho3 ай бұрын
Nimeenjoy sana katk story hiii
@merymahu450012 күн бұрын
Natamani awe kipofu huyu shetani
@PatrickLipatrick-r5c3 ай бұрын
Pia nimeipenda kwa vile umefanikiwa Kuona ujawasahau walio kusaindia wakati ilikua kipofu hdi Kuona kwako mungu akue pamoja nanyi❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@BeeBabykenya3 ай бұрын
Wakwanza toka Kenya wapi likes ya huyu mnyama Baba karobo❤❤
@zamdauseni97873 ай бұрын
Ndiyo baba karobo kutegemeya Mungu jomuweza wakilakitu Joivo tendawema Utakuta mbele Utasaidiys ❤❤❤🎉❤🎉🎉🎉🎉
@razackmalopa3 ай бұрын
@Baba Joan patronize anaimba vizuri sana
@kingustarboe3 ай бұрын
hiii move imekua baraka sana kwangu good job from baba karobo ❤❤❤
@LucyKibaki-u7f3 ай бұрын
Wakwanza leo wapi like za baba karobo 🎉❤
@DoliceBonifass3 ай бұрын
Daaaaa!! Wapi baba karobo maua yako upewe🎉🎉🎉🎉🎉🎉 unyama mwingi kwako mungu akutangurie kwa kira kitu
@RamaJames-d2d3 ай бұрын
Mimi ya kwanz naomba like zang
@aminahkupulo3 ай бұрын
Watching from 🇰🇪 ii filamu inatufunza tu wanao tegemea mwenyez mungu wana mwisho mwema ila mwisho wa wachawi n aibu
@Lucywanjirukagonye3 ай бұрын
Wakwanza kutoka Riyadh Saudi Arabia ❤❤🎉🎉
@neemaenockofficial3 ай бұрын
Jitahidi kuishi nawatu vizuri acha kulipa ubaya kwa wema Mungu pekee hujibu mapigo yetu barikiwa baba karobo na team nzima
@PetronilaYaa3 ай бұрын
Asanten sana nmejifunza mengi kuptia hii mv ya babangu kipofu. Ila pole mama karobo ulishindwa kumtunza baba karobo na mwanawe sasa umepata mjukuu wako majuto mlee vzr
@MalingaMaboko3 ай бұрын
Kilakitu kyalipa apa apa chini yajuwa mwema nihakiba naubaya nihakiba mwisho waubaya nihaibu pole sana mama karobo mama waroho mubaya kama shetani nikweli iyo kabisa baba karobo Mungu abasaidiye kwakazi yenyu❤❤❤❤❤❤
@GdhhdXbxhdyd3 ай бұрын
Kazi nzui nawapenda sanaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@EncheryneNyongesa3 ай бұрын
Kazi safu Baba Joan🎉🎉🎉
@MariamJaberi-g5y3 ай бұрын
Kaz nzuri San baba karob mungu akupe umri mrefu inshallah 🙏🙏❤❤
@LeginetaAugustino3 ай бұрын
Kweli hii ni nzuri kwann wasiwe wanatoa kwenye TV maana yake kwenye simu tunapoteza Hela
@olicej78373 ай бұрын
Sasa fashion unalia kitu gani😂😂 😂😂wakati wewe una roy wako uko endeleeni kuroga uko😂😂😂😂😂eti Mungu anipe mmoja tu 😂😂
@marymele97143 ай бұрын
Nabado mjinga uyu
@KapendFiston3 ай бұрын
Kazi nzuri sana ila najifunza mengi sana tokea mwanzo mpaka apa nialazima sana filamu ii nawapenda wote kwa mafundisho mazuri mungu amitiye nguvu na ekima pia
@NoorynMody3 ай бұрын
Kabra mwaka haujaisha wote tunao angalia tamthilia ya baba karobo Mwenyez Mungu hyabadilishe maisha yetu yawe yenye mafanikio Ameen 🙏