Thanks Baba Johan Kwa KAZI nzuri bongezi nyinyi wote🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@HarunaDanielmbanzeofficialАй бұрын
Leo nimehahi from Kenya Nairobi wakanairo like hapa
@Keza2010-iАй бұрын
wow mwisho mzuri sana hii ni nzuri sana haikuwa kama ile ya baba yangu kipofu ambayo ilikuwa ndefuuuuuu 😮😅❤❤❤🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊
@raphaelkamau8421Ай бұрын
First to watch wapi likes
@nshimiyimanaalex6467Ай бұрын
Kbs Asante mumeongeza dakika tunafrahi sana 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼 Kigali Rwanda turabakunda cyaneeeee
@DorcasKabilawabanzaАй бұрын
Mbonamunakata mapemasana❤
@FideleShukuru-l2hАй бұрын
Watoto Waziri❤️❤️🤗
@mwalimukaingu1683Ай бұрын
Safii wazee salute kwenu
@nambozoaminah1460Ай бұрын
Full movie hapa Niko Nakuru Kenya.Asanteni
@EugenieNziavakeАй бұрын
Mimi siwezi fatiliya hii movie tena,imeni chosha, inapangwa vibaya sana, siamini kama ni baba Joan. Kwani sasa tatizo ni gani ? mbona movie zake ni nzuri, lakini hii ni shida kabisa. Pole sana baba Joan.
@mwagombamwachupa3396Ай бұрын
Hii movie ata,,mipangilio ake sio mzr kabisa
@SayuniMmbateАй бұрын
Kweli@@mwagombamwachupa3396
@YoussufHakizimanaАй бұрын
Potelea mbali sasa kama imekuchosha , tuachie sisi
@SophiaAlifaАй бұрын
Ewe allha tujalie tujalie mwisho mwema mimi pamoja na anaesoma comment hii
@FatinaErastoАй бұрын
🎉amina
@afrahafrah9460Ай бұрын
Mbon imerudiwa hii move jaman nn mbay Baba Joan anayeunga mkon gong like
@MaggyKamau-wv6toАй бұрын
Kweli atuwekeee ingene awchee mchezoo
@PenieDanielАй бұрын
Haijarudiwa isipokua ameweka full movie yaani vipande vyote
@EverlynKennethАй бұрын
Wengine hatukuiona😮😮
@veroEdson16 күн бұрын
Full movie hii Wengine hatujaiona
@MaggyKamau-wv6toАй бұрын
Tunasubiri ingne wacha kurudia jamaanii mwenye anakubaliana n mm ngonga like tugrow pamoja
@irankundabelyse-ej5viАй бұрын
Nafik muakwanza lov u from 🇧🇮
@AminahAminah-e2y19 күн бұрын
Wao mumeyidup yot munadufurahish na gupend san bab johan unajua san kucez film nik birund nabapend san
@BonaventureBizimanaАй бұрын
Kazi nzuri baba Joan nakufwatiliya toka 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@anitakerubo9429Ай бұрын
KAZI nzuri sana Baba Joan🎉😂🎉🎉
@BakariMatano-i5fАй бұрын
nashkuru kwa movi kama hii nimejifunza
@MaryAyoti-v7eАй бұрын
Ñitajoin team yako baba Joan nakupenda sana
@FAIZAWESAAMANIАй бұрын
Sasa hii movie kwani imepangwa aje 😂 mbona inaenda mbele ikirudi nyuma
@MoriskatukuАй бұрын
@@FAIZAWESAAMANI kumbe umenotice.
@pontiennzobonimpa713Ай бұрын
Kwani baba Joan wewe ni muburundi ama hi neno ntamwana nikinono umeijulia wapii😂😂❤
@PrettyrodahАй бұрын
Mnaboesha sasa😢😢
@Dukeswanya-vm7cb16 күн бұрын
Mm nawatch to juu ni ya baba joan
@alphablondponera2367Ай бұрын
Aina ya matukio ya uchawi unayotumia kwenye movie zako yamekaa kitoto sana hayafikirishi sijui ni kosa la director au mtunzi @baba joan
@JanetkalamaJanetkalamaАй бұрын
Wakwanza leo 🎉🎉🎉
@AbdulrazaqueNfaumeAli-s4uАй бұрын
Weka alama ya sapoti 🎉🎉 from mozambiqui 🇲🇿🇲🇿
@MagretAwinjaАй бұрын
Ndo mnarudisha nyuma ama mnaenda mbele
@IdayaDJuma-o3q17 күн бұрын
Kazi nzuri
@MoriskatukuАй бұрын
Hii movie sio vile ilivyopangwa,kuna tatizo.
@SafiMaghambo17 күн бұрын
asante kwakazi baba johan❤
@Mrpasakaonline70Ай бұрын
❤❤ love filam
@PeterSaid-z3dАй бұрын
Hii ilikua fupi saana ila iko Sawa 🎉🎉
@EmmanuellaBahati-f5mАй бұрын
Mbona umeludi tena
@dada7969Ай бұрын
Umeamua kuiweka full lakin kipande kimoja umeruka unapoteza mashabiki
Baba Joan kipande cha 6 Kiko wap maana kutoka kipande cha 5 ikafuatia kipande cha mwisho mbona hatujaona jinc ulivyokutana na wanao pamoja na mkeo
@HhUhh-io8ixАй бұрын
Yani mwarudia jmn haaaa
@mariammariam5723Ай бұрын
Hii film kunakipande sijakiona pale baba tatu au baba kalobo alipowafuata kalobo na kakoso na wamekutana vip na mama watoto wake alipokua amekutana nayule mdada alimwambia kwamba tatu sio mtoto wake