Daimondo choko😅😅alikiba 👑 King harmonize jeshiiiiiiiiiii 🌺 🌺
@allyharoub-rl6rbАй бұрын
Sema wew mdada kazi unajua
@GrataaaaaАй бұрын
Mmeshaliwa nyinyi na ndio maana mnajitagazia utajir mchezo na tamaa maisha ya dunia
@saidabdurahman9631Ай бұрын
AACHE KUDANGANYA MOND KASHAMALIZA HABAR HII KUWA WALIINGIA NDANI WAKAFANYA VITU VYA SIRI Labda babu tale yeye ndo alitoka salama ila sio namba moja wetu
@storytownTvАй бұрын
Diamond alikuwa anaguna tu ooohh didi ,do it ,, . Me nilikuwa dirishan nachungulia tu..sema ningewaambia mapema mngeyazagaza..😢😢
@nancyg8664Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@khadijaacuteАй бұрын
uwiiiiiiiiiii utaniua na kicheko mie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@givenessdavid3743Ай бұрын
Nawaamini waTanzania wenzangu asilimia 💯
@FARADJAKADODEPASCALАй бұрын
AMININI YESU KRISTO MUTAOKOLEWA...! ACHENI TAMAA! Faradja Kadode Pascal tokea DRC.
@MsemaPeter-h2zАй бұрын
Rick pumbav zenu mnafanya interview araf mnatuwekea beat ata atusikii vizr maongez
@leganmichael6148Ай бұрын
Mwenyewe nimemind...Weledi sifuri kabisa, sasa sijui walitaka tusikilize biti au mahojiano...maana sauti unaipata kwa shida sana
@IdrismohamedabdallaАй бұрын
Picha za burna noma saana; diamond hamo jameni
@IsmaelRamoleАй бұрын
Niliangalia interview ya tale anasema ddy alimuangalia diamond akasema waaaoooh twendeni chumbani.😢😢😢.
@nancyg8664Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@IssaHassani-dg1xyАй бұрын
Noma sana mazeee
@joymkenya2359Ай бұрын
😂😂😂😂
@experymassawe3521Ай бұрын
Mungu aokoi watu kwenye upumbavu
@mnyampaa_kisasaАй бұрын
Daaah swiz beatz ana pepo lake mbingun😂😂😂
@Dewaoficial09Ай бұрын
Siku zote ukiwa top utapata wafuasi wengi wanaotamani uwanguke
@AziCureАй бұрын
Baby Joh oil🤣🤣🤣 Futa limetembea😂😂
@ashfaynamhando5561Ай бұрын
😂😂😂😂
@KalebyHennry-ux7fjАй бұрын
Hawa wamefirwa kwasabababu tale maelezo ya mwanzo alisema mondi aliingia ndani Kwa did walikaa sana badae akatoka tukaondoka Leo anakataa mondi kafirwa tayar kataa kubali
@karimjuma4019Ай бұрын
Sawasawa ndiomaelezo yake ya mwanzo washamla huyu
@mudymbarouk8279Ай бұрын
Ndio Babu tale mwenyewe alisema alikua anamshangaa p Diddy kwa maelezo yake ya mwanzo waliporudi kutoka marekani leo hii anabadilisha maneno kua hawajaonana nae hapa kuna kitu
@karimjuma4019Ай бұрын
Mwamba unaambiwa ana kitanda 50 kwa 50
@JavasonZionАй бұрын
Industry imejaa mambo mengi
@IssaSaidIngomwendaАй бұрын
Pole Sana kidodo kimeliwa yaaaa
@barakanatus5676Ай бұрын
Hapana hawa hawapo salama
@TellaaxisTzАй бұрын
😂😂😂 aya bhana
@selemankishema5780Ай бұрын
Manaake hata kama mafuta yalitumika kunauwezekano yanaweza kusemwa kweli? Na hata kama mlipakwa mafuta mnaweza sema kweli aaa jamaaa😂😂😂
@Kuminamoja1995Ай бұрын
Mafuta ya upako 😂😂😂 tayari
@stevensosipitaАй бұрын
HAWA WAMEPAKWA MAFUTA WOTE HAWAWEZI KUSEMA P DIDDY NOMA ANABAKA UKIBISHA ANARAMBA SHABA
@ISSACKRICHARDАй бұрын
Peleka ukuma wako ulikuwepo
@sedekiapeter1502Ай бұрын
Kweli kabsa
@IssaHassani-dg1xyАй бұрын
Watu wakiunganisha dots za maelezo utajua Nini kiliwapata ndugu zetu
@joymkenya2359Ай бұрын
😂
@ColestMakoloАй бұрын
😂😂😂kidogo kidogo watatwambia tu
@KevinKalongeАй бұрын
Hawa tutafte fimbo tukichapa wataongea ukweli, inaonekana washatevengwa futa
@@JonasSheni diamond, lukamba na babu tale ,na ww 😄 🤣 😂 😆
@demask3423Ай бұрын
Kwanini swizbit awaokoe? Kwani hao ni ndugu zake?!😂😂😂 Hapo hajaokolewa mtu apo😂.. mondi kashasema walienda na wakacheki muvi ila hawezi sema kilichotokea huko kwenye muvi😂😂
@joymkenya2359Ай бұрын
Babu tale ni ovyo, kama alitoa mkewe kafara 😂mbona asipakwe baby Johnson,,, acha zako 😂 mlifata nn kwake,,,nyote mliinama😂 diamond kasema wazi mlifanya vitu vya siri 😂,,,ovyo nyinyi heri nibaki maskini
@D.P.OАй бұрын
Harmonize mpaka sasa ndio msanii mkubwa hapa Tanzania
@fredrickjoseph2907Ай бұрын
Mara wamepanda chumbani wamepakwa
@SmilingCityMap-xb9md7 күн бұрын
Tamaa mbele aibu nyuma mlikwenda kufanya nini ?majumbani kwa mashoga mlifuata nini ? Huko eti kuangalia muvi huko kwa did kwani huku hakuna muvi ? Haya basi hizo paty na muvi zenyewe mmeziona sasa shughuli yake si mchezo ehee hapo sasa nyoosheni maelezo oho tulikimbia kimbia mmm mlikimbiaje kuangalia muvi mm si mchezo