BAHARIA BALOZI:NILIAGA KIAINA MTAANI/ NINGETOSWA BAHARINI/SOKA LIKANIOKOA/KOMBE LA DUNIA!/BASTOLA.05

  Рет қаралды 19,156

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@dar24media
@dar24media Жыл бұрын
kipindi hiki kinaruka kila siku ya jumamosi na juma tano saa nne kamili asubuhi..kama una mkasa/tukio lolote wasiliana nasi kwa namba...#0653127761
@abdulazizmohammed2420
@abdulazizmohammed2420 Жыл бұрын
Ii inafaa kuruka kila siku bonge la stori bwana balozi
@pastoraile7195
@pastoraile7195 Жыл бұрын
Huyuuuu jama mtambo sana Kwa South Africa Protolia sany saidi
@pastoraile7195
@pastoraile7195 Жыл бұрын
Nasigala hizo jina ilikuwa stavistent leo ni R 3 ile ya 5bobo ni VIP
@AmisoMuyohira
@AmisoMuyohira 8 ай бұрын
Iyoo life unayoo iongeleya 24:14 sisi waburundii ndioo tunayoo ichii hadileo ukuu durbun saudh africa big up broo salut 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@MrNdanguza
@MrNdanguza Жыл бұрын
Capetown fresh sana ukijielewa vizuri nakufanya kazi sana , kunamaisha sema ni mhimu kujielewa vizuri.
@athumaniomary1245
@athumaniomary1245 Жыл бұрын
Nawafatilia since day one..Safi sana kuna mengi tunajifunza
@rajabupetermoses7338
@rajabupetermoses7338 Жыл бұрын
Hii story nzuri sana
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Dah sema jamaaa huyu anastori sana😊
@fadhilplatnumz8474
@fadhilplatnumz8474 Жыл бұрын
👏👏Simulizi hii ninzuri sana na inafundsha pia tukopamoja sana dar24 media 👍👍
@josephgamba8389
@josephgamba8389 Жыл бұрын
Daah unatupa fundisho kubwa Sana kwenye maisha
@amiryndomondo9156
@amiryndomondo9156 Жыл бұрын
Yan hatar maisha ya maskini kwa matajiri ni kitabu cha simulizi noma sana
@ochualfa5145
@ochualfa5145 Жыл бұрын
Jamaaa na mtangazaji mmenogesha interview
@josemitimingi8048
@josemitimingi8048 Жыл бұрын
Huyu mwamba anaswaga sana
@Kukuvillagepoultrysolutions
@Kukuvillagepoultrysolutions Жыл бұрын
Uyu mwana mtangazaji anajua sana kumsapoti mtoa story 😂
@nemricesoka8189
@nemricesoka8189 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 ety nae anaongea kisela, yaaan nacheka kama zuzu
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Жыл бұрын
Sema mtangazaji hanaaamshaamsha yan msimuliaji hanafunguka had raha
@G24TZ
@G24TZ Жыл бұрын
Huyu mwamba ametufundisha sana, nimemfwatilia tangu mwanzo
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Ma beach boy wanastori sana
@nancolower_8032
@nancolower_8032 Жыл бұрын
Oyooooo mzee wa old zonga
@rasjamal9854
@rasjamal9854 Жыл бұрын
Mayfair mgundini miaka hiyo 1994 na kina Marehem Gooda (Lutazamba)
@jafarimohamedi7900
@jafarimohamedi7900 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅 bongo ukipigwa inakuja deffender 😅😅😅😅
@quwwangaemanuel7360
@quwwangaemanuel7360 Жыл бұрын
Sema story inaambatana na anayehoj saport inampa emotional msimuliaji sema mwamba kapambana aseee..
@Byme6434
@Byme6434 Жыл бұрын
Yaaani hapo Tax Renky Amenikumbusha Mbali Sana Lazma nipite hapo kwenda maghetoni Tableview
@omarnicesang5507
@omarnicesang5507 Жыл бұрын
Mwana anavunja mbavu sana
@mwafrikaissa491
@mwafrikaissa491 Жыл бұрын
😂😂😂Huyu jamaa comedy sana duh
@DianaSalim-jo2xs
@DianaSalim-jo2xs 7 ай бұрын
🔥🔥
@Ramanidojr
@Ramanidojr Жыл бұрын
Betrams ndo mitaa yangu mda huu namchek baharia nikiwa betrams hapa
@shahiduzuberi-vm3hy
@shahiduzuberi-vm3hy Жыл бұрын
Hii story haichoshi 😂💪🔥
@bewizzynegro4174
@bewizzynegro4174 Жыл бұрын
Next boss
@kwilasajunior5367
@kwilasajunior5367 Жыл бұрын
Et watu wanaenda uku na sisi tunaenda uku
@johnrambo9642
@johnrambo9642 Жыл бұрын
Jiwe konzi😂😂😂
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 Жыл бұрын
Mwamba nimemkubali sana 😂😂😂
@nancolower_8032
@nancolower_8032 Жыл бұрын
Issa paka 😁
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Tuliokulia kulia kinondoni miaka 89,90 tunakuelewa sn baharia
@rasjamal9854
@rasjamal9854 Жыл бұрын
Kenneth Benjamin kino maenro gani?
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
@@rasjamal9854 nlikuliaga kino mitaa kea Boyz,nlishatokaga hko
@isayamayogu8229
@isayamayogu8229 Жыл бұрын
Mi mbu inakugombania 🤣
@kassimmustapha456
@kassimmustapha456 Жыл бұрын
Mwana kaishi kaburu
@HillaryRamadhani
@HillaryRamadhani Жыл бұрын
hahahahahahahahaahhhhahhaha kinyumenyme ambulence inakuja londo
@Byme6434
@Byme6434 Жыл бұрын
😆😆😆
@RamlaJuma-rz3rl
@RamlaJuma-rz3rl Жыл бұрын
Nyieee mtanganzaji kaoa? Nimepen nmb hahahha
@HappyChannelUk
@HappyChannelUk Жыл бұрын
Safi
@swadatimmbaga7435
@swadatimmbaga7435 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂tushasahau Kufunga mlango tunalala nje kama Magar
@jabarmalid5393
@jabarmalid5393 Жыл бұрын
Badala ya Ambulance inakuja gari ya 50 😅😅😅😅😅 kweli tunaishi kinyume sanaa.
@stanastana3199
@stanastana3199 Жыл бұрын
Dizonga ndio sauzi sio
@skulfees5453
@skulfees5453 Жыл бұрын
Yeah mon
@rasjamal9854
@rasjamal9854 Жыл бұрын
Hiyo sehemu ya Kula Cape town mwaka 94 tulikuwa tuna Kula Kwa cent 5 Rand Nyuma ya pared
@petrojacob6070
@petrojacob6070 Жыл бұрын
Mtangazaji punguza mdomo,unaharibu stori
@Byme6434
@Byme6434 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@ommybakar9776
@ommybakar9776 Жыл бұрын
Uhakika bro 😂😂😂
@ntendindaaasab7405
@ntendindaaasab7405 Жыл бұрын
Anatumia nafaasi yake vzzur hili sio jungu kuu tbc
@chidiomari.65
@chidiomari.65 Жыл бұрын
👁️👁️🇫🇮🇫🇮🤝💪
@Ramanidojr
@Ramanidojr Жыл бұрын
Betrams ndo mitaa yangu mda huu namchek baharia nikiwa betrams hapa
@amiryndomondo9156
@amiryndomondo9156 Жыл бұрын
Yan hatar maisha ya maskini kwa matajiri ni kitabu cha simulizi noma sana
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
MAKALA FUPI YA MATUKIO MBALIMBALI YA HOSPITALI YA SEKOUTOURE 2024
10:21
Luhya Nation, Tell Ruto the truth
16:09
Herman Manyora
Рет қаралды 2,8 М.
Kimani Mbugua: Money Matters Uncovered!
10:43
Obinna TV
Рет қаралды 786
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН