hongera sana Dr24 , kwakweli nmefatilia mahojiano yako na mzee Makosa 1 ad 5, Hakika nimejifunza mambo mengi Shukrani sana.
@TheTarabist21 сағат бұрын
Kijana hukujibu suali kuhusu Seif Sharifu.
@HawaMasoud-xw3iiКүн бұрын
Allahumma ighfir lahou warhamhou
@TheodosiaSangkaКүн бұрын
Waziri wa fedha anawasilisha bajeti ana escort ya magari meengi utadhani ile porfolio imebeba pesa kumbe ni makabrasha tu .hayo ni matumizi mabaya sana ya rasilimali fedha na watu
@filbertntibasiga8093Күн бұрын
Halafu serikali haiwajali
@user-tl4zr1rz5vКүн бұрын
Mushikaji inaonekana yukonacho hayo yte nisahihi
@abdalahgunda1319Күн бұрын
Time of respect every single Tanzania is on the way caming from dictotaship to civilian rules because ccm rules we tanzania by Arn face itafika muda wa Kila mtanzania huru wake utaeshimiwa tuu Wacha tutawalene ki.baba mtoto mama rafiki utawala wa kifalme
@PrinceHendry-hp8vvКүн бұрын
Jamani rpc c uje arusha tupigane na uhalifu😊
@PrinceHendry-hp8vvКүн бұрын
Mnajisaka au acheni kutuona wa tz wajinga ipo siku kitanuka
@user-yp4fs4sx4pКүн бұрын
Mama zangu haipendezi kutoa comments za matusi , hii mitandao ya jamii inasomwa na wengi kama umeshikwa na jazba basi vumilia tu muachie Mungu ndo muamuzi wa yote😂😂😂
@kelvinpeter7460Күн бұрын
Loading...🎉
@FrankMwakatundu-cu6bdКүн бұрын
MZEE MIRAJI HOJA ZAKO NI ZA NGUVU, HONGORA SANA. MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU. TATIZO LA NCHII NI UCHAWA UMEKITHIRI SANA MPAKA AIBU!!!!
@fridamwenda5728Күн бұрын
JAMBO LITAKALOSHANGAZA BAADAYE HUKUMU IKITOKA, UTASIKIA WAMEUA BILA KUKUSUDIA JAMANI HII INAUMIZA SANA. KWA NINI WASIFUNGWE KIFUNGO CHA MAISHA?
@ismailmasoud6001Күн бұрын
Mh, mbona yeye anasema alifikishwa osterbay polisi, kisha alfajir akafuatwa akapelekwa mahali kwingine asipopajua,
@yohanakashinje1548Күн бұрын
Nasubiri mwendelezo kwa hamu leo nitakuwa wa kwanza
@BarakerZeonlistКүн бұрын
huyu polisi ni mpotoshaji
@emanuelsinyinzaКүн бұрын
Nani mwenye uwezo ws kumteka tokea dsm Arusha katavi. Gharama zote hizo zinatoka wapi. Jibu unalo.😊
@rashdiyange7758Күн бұрын
Mie tu RPC nimekupenda kama jaolewa takuja katavi seeee
@shabanikitula645Күн бұрын
Hamna kitu hapo kapumzike
@verdianabanabi2205Күн бұрын
Ya tundu lissu hawajapatikana wa mo bado sembuse huyu.
@hamoudcreator6343Күн бұрын
Uchunguzi wa MO mpaka leo haujakamilika...
@OnesmoEphrataКүн бұрын
Jamani tuwe na satellite ya kuchunguza matukio ya kutisha kama haya jamani
@islambinomar8716Күн бұрын
Hee huyu mzee kweli mchambuzi wa siasa kweli kama katibu mkuu wa ccm anasema sio kauli ya chama dah napata mashaka na uwezo wako
@eliamushi28972 күн бұрын
Wakwe
@reonandmpangalushu34342 күн бұрын
Wabunge akili zenu zinawatosha wenyewe, luhaga mpina aliongea akaleta na vielelezo badala ya kuanza na bashe mkamfanyia filigisu mpina mkamtoa leo mnatafuta ukweli kuhusu jambo hilohilo asa ukweli mtaupata wapi? Mwenye ushahid mshamtoa
@user-vq7gk2kl1q2 күн бұрын
Yanga mtaendelea kumsajili chama hewa
@MathewsSikazwe-up4qd2 күн бұрын
dah yani ii dunia inamitiani sana, Zanzibar jiandaeni kushuhudia machafuko.
@fadhilindunguru79462 күн бұрын
Mtu wa maana kabisa
@user-mw5xs2wx8n2 күн бұрын
Ndomana ukimuona mtu ana pesa anatumbua waza Mara 2 watu wanaishi na umafya mwingi
@EllyElly-rq4fu2 күн бұрын
Du namjuwa uju mzee kitambo icho nilikuwa dalasa la tatu kipindi ikcho
@lawagustino18872 күн бұрын
Aisee huyu mama jembe.
@mtupeacetz25892 күн бұрын
Mi dupa mdupange
@rasjamal98542 күн бұрын
Tonga langa siyo mfunua tanal mzushi bahari wa kuongea kizuru 😅😅😅
@user-ge6ch9wq8f3 күн бұрын
Ok
@boblatino38993 күн бұрын
Kula mbakishie baba
@DafiMohamed-dz8xk3 күн бұрын
😂😂😂😂 intro zake nazikubali sana
@afyayangozinanywele1653 күн бұрын
Sauti kama ya Kikeke, ikimuhoji jiniazi
@user-ef2ln1mx3s3 күн бұрын
Mbowe sio rais ni mlezi wa chama sio mtawala kwani mwenykiti wa upinzani ni kama mwaalakati na mlezi kiongozi sio mwenye nchi mwinyi Yuko kikatiba zaidi mbowe katiba ya nchi inamuusu kama mwananchi Wala ajamuongerea mwenykiti wa chama chochote ilamunamutumia mbowe ili atote mkiue chama kiangukie mikononi kwa wachuuzi wakiuze kw ccm tunajua iyo
@user-ef2ln1mx3s3 күн бұрын
Mzee ata familia Yako inajivunia kukuita baba wewe ni baba wa kweri sio majinga majinga ya mccm Asante baba
@ChristmasMaheri3 күн бұрын
Wanaoshawishi ni viongozi wa Chama.Chama hakiwezi kuacha kuhusika na ushawishi huo.Hilo ni la Chama,wako kwenye mchakato.
@puroh_imagecreater3 күн бұрын
Serikali imsaidie jamani 😢
@TheTarabist3 күн бұрын
Muda Mwinyi si anao kikatiba kuendelea mpaka 5 mengine baada ya uchaguzi mkuu?
@hajjseif5737Күн бұрын
anaogopa uchaguzi
@TheTarabist3 күн бұрын
1) Haikuonekana gharama kufuta uchaguzi wa kipindi kilichopita na kufanya uchaguzi mwengine? (2) kuwa na katiba maana yake nini kama wachache wakitamani tu kubadilisha mambo katiba haiwazuii?
@user-bp7nb7yp2o4 күн бұрын
Hao wanaotaka mwinyi aongezewe muda hawaitakii mema Tanzania-Zanzibar.kaka Kwa hili upo wrong kuongea ukweli mbona
@tumainichanya32684 күн бұрын
Huyu mbunge nimempenda sana sana
@hajihassan54334 күн бұрын
Hongera sana Mr. Miraji. Tuko hali ngumu wanakotupeleka Wanasiasa sio sahihi.
@hajihassan54334 күн бұрын
Kuna vitu sioni sababu kugeuzwa agenda kwa sababu hivi sasa Taifa linaelekea kutafuta Katiba Mpya. Maana yake kila anaetaka jambo fulani aseme. Anaeona uchaguzi uwe kila mwezi, kila mwaka, kila miaka 5, 7, 10 nk. Anaeona Urais uwe kwa zamu mwanamke na mwanamme nk.
@vailethmalakibungu78664 күн бұрын
God's timing is the best 😊
@Aisha-lj8bu4 күн бұрын
Mafisadi hasarahio waioneleo mbona hawakuhofia hasara mwaka 2015 waliporejea uchaguzi zilepesa zilia au mavuzi wameyanyonyoa
@w40584 күн бұрын
Naam ni mifumo yetu ndani ya vitabu vyetu
@gidongailo71744 күн бұрын
Ndio nasi Watanganyika tunataka Rais wetu
@w40584 күн бұрын
Kweli sheikh Said shabash waelimishe wapumbavu wakubwa