BAHARIA {LATEST BONGO MOVIE} TINYWHITE,KIPUPWE,RINGO

  Рет қаралды 160,997

ABC BONGO MOVIES

ABC BONGO MOVIES

Күн бұрын

Пікірлер: 57
@SamuelMwendwa-d9m
@SamuelMwendwa-d9m Жыл бұрын
Napenda tu movie za tanzania kuliko waibaji,,,Tinhy white,,Ringo,,,Abdallah mohammed,,you all make my day,,,ata movie zenu nadownload daily,,,
@alfanramadhan9087
@alfanramadhan9087 2 жыл бұрын
Ringo tinwhite mkojani safi sana🤩😂napenda comedy zenu
@alfanramadhan9087
@alfanramadhan9087 2 жыл бұрын
Nawapa pongezi mabaharia wenzangu lakini huyo dogo wa miwani mshamba tu wakawaida
@alfanramadhan9087
@alfanramadhan9087 2 жыл бұрын
Nawapa pongezi mabaharia wenzangu lakini huyo dogo wa miwani mshamba tu wakawaida
@aronpaul2331
@aronpaul2331 Жыл бұрын
Nyieee mmemsikia tin ni uyoo uyooo😅😅😅😅 mamae wamepigwa za kichwaaa
@jacksonmtazama2821
@jacksonmtazama2821 4 жыл бұрын
bhana kazinzuri nakupa star tano...... big up.....hongera kaka kwavitu latest kama hv sio wachimba chumvi wengine
@h20tiger
@h20tiger 4 жыл бұрын
Jama yuko sawa tu kama hangeongea hivyo mungekosa chaku sema heri aliongea hivyo ilimuseme....
@andodully3800
@andodully3800 3 жыл бұрын
Tray mtu mbadi sanaaa
@khalidkhatibdashbway5007
@khalidkhatibdashbway5007 Жыл бұрын
Sema rasta hujui kuect kama mtu wa mbele tafuta style nyengine bro
@bonifasikibasomba705
@bonifasikibasomba705 4 жыл бұрын
Uyu jamaa kuma make amearibu movie nalasauti lake laajabu
@magrethclement5853
@magrethclement5853 4 жыл бұрын
Yani mimi vipande va uyu jamaa miwani nasogeza dakika mbele basi nimejikuta nimeimaliza move kwa mda mchache sana kama yupo aliengalia kwa kulusha lusha kama mimi anipe raiki tujuane😁😁
@modazen7178
@modazen7178 4 жыл бұрын
Sijamuelea
@godfreymanyaga2697
@godfreymanyaga2697 4 жыл бұрын
alafu ndo nyingi mbaya
@fransimgaya7940
@fransimgaya7940 4 жыл бұрын
Atamm sijamsoma atakidogo
@ibrahimjoseph2789
@ibrahimjoseph2789 4 жыл бұрын
Inawezekana wengi wenu kutokana na kurusharusha ndio maana hamujailewa mbona mimi naona kapatia tena sanaaaaaa
@ally1702
@ally1702 4 жыл бұрын
Nakukubali Sana kamanda
@khalidkhatibdashbway5007
@khalidkhatibdashbway5007 Жыл бұрын
Ah unaboa bob sema ndo vile wamo mastar tu wanakuficha maharo yako
@robisonignas9722
@robisonignas9722 4 жыл бұрын
Mkn sana kazi zuriii
@SamuelMwendwa-d9m
@SamuelMwendwa-d9m Жыл бұрын
Mkojani cez ngakusahau kaka😅
@prosoerngelangela8046
@prosoerngelangela8046 4 жыл бұрын
Dogo ungeongea sauti ya kawaida move ingekuwa tamu sana lkn nawapa asilimia 50
@mwinyimtengwa5515
@mwinyimtengwa5515 4 жыл бұрын
Hahahahahaha nakubali
@yohanapetro4937
@yohanapetro4937 4 жыл бұрын
Pat 2 tiniwhit msisahau
@himdiizzyog8587
@himdiizzyog8587 4 жыл бұрын
Ng'oombee we weeeee
@nyimbizikamtima1356
@nyimbizikamtima1356 4 жыл бұрын
Aisee huyo Kuma mlimtoa wapi kaharibu movie mlimuokota wapi fala Sana kanimalizia bundle langu
@noelerasto30
@noelerasto30 4 жыл бұрын
Jamaa kachemka saut mbaya kama yy alivyo tin,Ringo mnatuchosha
@daemuularmmy5280
@daemuularmmy5280 4 жыл бұрын
hawa watu wa miwan wasenge saaana walla siez angalia hii movie nikaimalza mbwa yye
@abdillahimustafa4978
@abdillahimustafa4978 Жыл бұрын
Exaggeration ni mbaya....na inafanya sinema inakaa vibaya.....sinema zenu ni nzuri tatizo mumezidisha sifa paka zakera😏😏😏😏
@abadanwar2081
@abadanwar2081 4 жыл бұрын
Kwani huyu angeongea tu sauti ya kawaida hii movie isingekuwa nzuri eeh
@ibrahimjoseph2789
@ibrahimjoseph2789 4 жыл бұрын
Ila kweli kila mtu na maoni yake mimi nimeitazama mpaka mwisho ni nzuri sana kila muusika kacheza nafasi yake na uyo dogo ndio kainogesha na ina funzo kubwa sana,
@richrov5044
@richrov5044 4 жыл бұрын
Movie mbaya kwel
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 4 жыл бұрын
Huyu dogo wa macho manne ananiboo saana katika hii movie
@imaranali8225
@imaranali8225 4 жыл бұрын
Abubakar huyo ni mtu wa machomanne ya wapi au Pemba?
@mudyshagaly6029
@mudyshagaly6029 4 жыл бұрын
nimekubal sana
@countrywizzkid6129
@countrywizzkid6129 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣 mkojan hachaubishi wakuuwa
@nassorohassan4965
@nassorohassan4965 4 жыл бұрын
Nakubal
@yohanapetro4937
@yohanapetro4937 4 жыл бұрын
Nyie vp uyo jamaa kaigiza Alivo takiwa Aigize Amujiongezi
@ibrahimjoseph2789
@ibrahimjoseph2789 4 жыл бұрын
Tena kaigiza vizuri sana nawasiwasi wametazama juu juu to, hawajaitazama yote sikuhizi wanatuelimisha Sana mpaka raha, wabongo tulivyo angeongea kimang'ati wangekosoa kwa kusema ajaendana na uhusika,
@fatumaselemani661
@fatumaselemani661 4 жыл бұрын
mambo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@neemaclement2289
@neemaclement2289 4 жыл бұрын
Uyu kaka mnamlaum bure hii sauti katumia kutokana na play part ake
@kiswaswadu2132
@kiswaswadu2132 3 жыл бұрын
Hatukatai lkn angeongea kawaida ingekuwa taamu zaidi
@erickcharless6175
@erickcharless6175 4 жыл бұрын
tisha sanaaaaa
@saidahmed9688
@saidahmed9688 2 жыл бұрын
good movie
@herydoraz2039
@herydoraz2039 4 жыл бұрын
huy fala kachafua movie na xaut yake kama anaongelea kwapan hv
@ambaneentertainment2043
@ambaneentertainment2043 4 жыл бұрын
Uyo sauti yake aipendezi dah angeogea voice yake ya real
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 4 жыл бұрын
Mmejitaidi
@zawalil7004
@zawalil7004 4 жыл бұрын
Laba Lolo
@masoudhamad1047
@masoudhamad1047 4 жыл бұрын
Mambo ya kisengesenge tu mwaleta
@donaldelias6689
@donaldelias6689 4 жыл бұрын
Achen kutumia kiki za watu tin yupo WAP
@farisjl5864
@farisjl5864 4 жыл бұрын
Donald Elias yupo
@AhmedSalah-ri3es
@AhmedSalah-ri3es 4 жыл бұрын
Donald Elias kma hujaangalia movie usicoment unamjua kweli tiny?
@donaldelias6689
@donaldelias6689 4 жыл бұрын
Mmmh BA's nliwah kukata tamaaaa😔😔😔😔
@tausabuu2539
@tausabuu2539 4 жыл бұрын
dha atali
@richrov5044
@richrov5044 4 жыл бұрын
Huyu kazuvulunda
@shabaniekyoci8628
@shabaniekyoci8628 4 жыл бұрын
Kwanini ufosi sauti kaweye
@scaniainternationaldecorat9899
@scaniainternationaldecorat9899 3 жыл бұрын
Hahahaha
@bladechiko3512
@bladechiko3512 4 жыл бұрын
Nasoma comment naona kuna mtu analaumiwa na sauti kabla sijaona filamu sijui niangalie.....?????? Wacha nijioneee dogo yupi huyo kaaribu filamu na sauti yake mbaya...........natazama nikiwa dubai
@samwelnyamhanga2265
@samwelnyamhanga2265 3 жыл бұрын
Wajinga ndio waliwao
Mjumbe Kichefu Chefu - 1&2 | Official Bongo Movies
1:08:54
Kiwango Media Films
Рет қаралды 452 М.
MAUZAUZA {LATEST BONGO MOVIE} TINYWHITE,KIPUPWE,RINGO
1:16:03
ABC BONGO MOVIES
Рет қаралды 272 М.
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 30 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 132 МЛН
HAIRUSIWI KWA WALIO CHINI YA 18, STERLING MKOJANI FULL BONGO MOVIE
1:17:45
KUBWA KULIKO SESSON2 PART1/MKOJANI/NAGWA/TINWHITE
24:16
WHITE FILMS
Рет қаралды 484 М.
KORONA(COVID) KARANTINI PART 1- MKOJANI/TIN WHITE/NAGWA
33:40
OSO ONLINE TV
Рет қаралды 273 М.
ANKO KINATE -MKOJANI/NAGWA/TIN WHITE
20:15
OSO ONLINE TV
Рет қаралды 346 М.
NDOTO ZA KISULISULI PART 1 STARING TIN WHITE: MKOJANI & ANGEL NILAS
21:13
NARUDI JELA PART 3 FAINAL STARING MKOJANI TINY WHITE NAGWA
35:51
OSO ONLINE TV
Рет қаралды 399 М.
MSITU KONGWE  PART 1: MKOJANI/TIN WHITE /NAGWA
24:09
OSO ONLINE TV
Рет қаралды 160 М.
UTAONA STARING MKOJANI TIN WHITE NAGWA PART 2
20:28
OSO ONLINE TV
Рет қаралды 150 М.
GOVINDA Eps.1 A (Party 1)MKOJANI NA TIN WITHE
15:01
RAI TV
Рет қаралды 356 М.