Alie mjua uyo dada wa huba alie vaa flana ya njano agonge like apa 2024 😂😂
@felisterjoseph62777 ай бұрын
Sidi😂😂😂
@MagrethThobias-fm8bm26 күн бұрын
Riyama
@امينهتمم4 жыл бұрын
Amidah nawath kutoka hii wimbo imenifunza sana dada bukuku asante mungu ukupe maisha marefu uendelee kutufundisha ninaipenda
@listerlujiso6009 Жыл бұрын
🎉😂lt
@ElizaNdjila2 ай бұрын
Somxs7❤😂😢😮😮😅😊
@beatricesawe32362 жыл бұрын
It is hard to forgive but we must!Glory to God this song touches so much.
@matendeisheamael56694 жыл бұрын
Samehenn pia mimi mwenye alivunja ndoa yangu nili msameheni. Am still a humble Ugandan girl..2020
@RoselineMweluАй бұрын
Lazima usamehe
@mawaracomedy.30782 жыл бұрын
From Tiktoka such an amazing song.
@mirriammatabula89743 жыл бұрын
Sister Bahat, may God continue blessing you ,,,, from Zambia
@andersonkigen54538 ай бұрын
Mungu akubariki sana dada bukuku kwa kupitia Wimbo huu yenye mafunzo yenye nzito ya msamahaa misikua najua atakumbe lazima umsamehee adui yako ndio baraka zako zifunguke asante dadaangu mungu akubariki sana.
@aminambwana12112 жыл бұрын
Nilazima tusamehe mungu Wetu yupo
@richardvivila69742 жыл бұрын
Let's forget and forget. Who's listening 🎧 this song today 28 of October 2022 while reading the comments???. Much love dada #Bukuku ♥️♥️♥️🔥🔥🔥
@estheragapao2 жыл бұрын
May god you bless much 🙏👍
@alphonsemutindamutisya45587 жыл бұрын
Lazima Usamehe is a song i like most. It has a teaching that no matter what one has wrongly done to you, one must have a heart of forgiving as the Bible says..7*70. Asante Sis Bahati.
@reinhardokinda4887 Жыл бұрын
This wonderful song reminds me of the Year 2012.Watching on 2/3/2023.
@everlynmutuku28134 жыл бұрын
Naipenda hii wimbo Sana,Touching kweli,sometimes is hard to forgive,but we have to ...
@sharonayakosharon73474 жыл бұрын
Lazma nisamehe ili mungu aniinuwe 🙏🙏🙏🙏🙏big up bukuku God bless you
@dr.mwamtobe125912 жыл бұрын
Bahati Bukuku nakusoma vilivyo na nyimbo zako zinanibariki sana. Mungu akubariki sana
@juzellengayihembako51972 жыл бұрын
Butembo
@hanaboys112 жыл бұрын
This woman has her own style of singing,INSPIRATION i get from her songs.But will you please produce clear videos,please
@maryzermaryzer25944 жыл бұрын
Napenda wimbo huu sana Mtumishi wa mungu,naipenda uduma yako sana niombee sana Mimi ni muimbaji ninayeaza uimbaji,
@esterelenester22243 жыл бұрын
Amina nakubari sana hii nyimbo ubarikiwe na bwana
@jedidahwangare67244 жыл бұрын
2020 mungu timiza ushuhuda wangu niinue najua imeandaa meza mbele ya maadui wangu .
@oliverdenis83214 жыл бұрын
Usijali Mungu ni mwema hawez kukuacha
@jack99k Жыл бұрын
Hhhhfhj
@elizabethauma90332 жыл бұрын
Mimi Niko hapa wakati ulitoa nyimbo bado nilikuwa mtoto,
@wangwemrongoti35 жыл бұрын
Axante mungu kwa utukufu wako, brkiwa xn bukuku kwa wimbo huu🙏🙏
@bhokewambura49164 жыл бұрын
Unanigusa sana huu wimbo,maana nami kusamehe.....!!! Nashindwa, Mungu nijalie moyo wa kusamehe ili nisamehewe
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Samehe samehe muombe Roho mtakatifu akusaidie
@cecilianandemu96844 жыл бұрын
when i listen to this song, i get encouraged, i carried pregnance for 9months mwanaume hakuwai shughulika, na si eti alikuwa mbali, wakitaka kumjua nlikuwa namtetea,, sai mimi ni adui wake mkubwa after anaona mtoto amekuwa mkubwa......... .kama wema n uadui basi nimefika
@astekitwenga7682 Жыл бұрын
pole dear,,,,, hata mm kimenikuta kibaya zaidu nmefukuzwa hadi kazi yaaan cjui tu mm nlikosea wapi kwa. Mungu
@ednakamathi89264 жыл бұрын
Lov you bukuku thenkz for ur song momma
@ednakamathi89264 жыл бұрын
What's touching
@azizalydiaaziza60513 ай бұрын
2024 Mungu nipe za kuwasamehe waliyo nikosea
@msafirishamba25084 жыл бұрын
Mungu nisaidie niwenze kumsamehe kila aliyenikosea mwaka huu
@monicambindi13464 жыл бұрын
Mungu nimwema
@rebeccasalumu83645 жыл бұрын
2020 mungu nijalie moyo wa subira katika ndoa yangu nijalie uwepo wako nisamehe kila alie nikosea huu mwaka uwe wa nafaniko kwang
@mtanzaniahalisimungunimwem6735 жыл бұрын
Kabisaa
@nataliabriannah29435 жыл бұрын
Mungu nakushukuru San . Kwa kunipea uwai na kunipea ufumilifu Kwa ndoa yangu . Naomba unipe nguvu ya kujua neno lako ndani ya moyo wangu .ili unifungulie macho na unisaidie kimaisha yangu . Na usaidie watoto wangu.
@happyaridja95735 жыл бұрын
Mwenyezi mola naomba moyo wa subira katika ndoa na familia yangu inchallah
@joanprincess88774 жыл бұрын
Kabisa
@magrethrichard80794 жыл бұрын
Ameni
@jamesonmavurawa4274 жыл бұрын
Watching from Zimbabwe, thank you for the subtitles
@mawaracomedy.30782 жыл бұрын
I love this song. Good for every morning.
@rashidkawawaopwonya54766 жыл бұрын
wimbo huu una gusa moyo wangu kwakweli .....Mungu ambariki aendelee kutoa nyimbo za kutufundisha kusamehe
Kwakweli inaumiza lakini pamoja na hayo tunalazimika kuachilia Ili tuinuliwe!!!
@belito12708 жыл бұрын
From Kenya much luv 2 TZ music ....May God bless y'all.....
@judynasambu84284 жыл бұрын
Nkupenda bure my dear 🇰🇪
@samuelkiptum4497 жыл бұрын
may Almaighty God bless all people who sang and those who listen to gospel music
@roselynemuseve4314 Жыл бұрын
God bless you woman of God for this powerful song. Today I have made up my mind to forgive and let it go. God of another chance please take over and have Your way...God come into my life and rewrite my story again and again for the glory and honor of Your holy Name. God please revisit me again. Forgiveness is powerful....
@alvinodera74083 жыл бұрын
Herimsahailiata, wewe Munguakusamehe, amen Bukuku
@sharonayakosharon73474 жыл бұрын
Aki rafiki yako ndio adui wako bt God is able mungu nipee hekima na marifaa huu mwaka 2020
Bahati jamani mweee, Mungu tusaidie. Kibinadamu it is difficult but we can do through God's power.
@willamsigwa7405 жыл бұрын
Bahati mungu andelee kukubarik jaman
@didikazadi81645 жыл бұрын
Jama mweee mungu tusaidie
@jumanaomi68126 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua, napenda nyimbo zako zinafariji na kufundisha pia.nakupenda Sana Dada Bahati
@ednakanji89075 жыл бұрын
nilazima usamehe kwa sababu wewe pia unahitaji msamaha kwa mungu hongera bahati nakupenda dada yangu ni kiwa kenya barikiwa salimia huyo idaya
@kidagaleiris7562 жыл бұрын
Mungu 2023 nijalie moyo Wa subira katika maisha yng nipe uwepo niweze kuwasamehe walio nikosea n unibaridi nisiwai lia tena🙏🙏
@Olgalumuna Жыл бұрын
❤
@risperkerubo68273 жыл бұрын
My enemies I forgive you, because God has forgiven me; ready for his blessings my heart is light now.God bless the work of my hands.Amen
@josephobino93072 жыл бұрын
Amen
@princes60453 жыл бұрын
I'm blessed with this song Glory to God.
@samuelanyonje82922 жыл бұрын
This song makes me shed tears, full of anointing.
@komumwikali85912 жыл бұрын
Shedding tears too
@muleyirobert28746 жыл бұрын
This woman her song is blessing to my life
@peterkioko68166 жыл бұрын
Utukufu Kwa Mungu ,Nani kama Wewe Mungu Mkuu lazima usamehe Mungu Babangu nifundishe kusamehe kwa haraka na pia Mungu tafadhali tufundishe Nchi ya Kenya kusameheana haswa wanasiasa na wafuasi wawanasiasa ......It's a must to forgive I love it purely God's word
@bijoubamahano70434 жыл бұрын
Cette chanson est une leçon pour vous les femmes mariés,faut pas avoir beaucoup de confiance et de laisser aller avec vont camarades auprès de votre mari.
@امينهتمم4 жыл бұрын
Amidah from kenya sorry
@ERASTUSMUTINDA-m7g Жыл бұрын
Haki walai nyimbo zako zanibariki zote si mungu akubari na akuinue juu zaidi this year 2024.
@andersonkigen54539 ай бұрын
huu Wimbo imenifunza sana mungu akubariki sana dadaangu na apanue na atamibaka zako.
@clairemangoli967310 жыл бұрын
Dada napenda nyimbo zako.may you be blessed!
@CalvinJames-k1s2 ай бұрын
Daaa Mungu najivunia kumjua huyu Mtumishi wako❤❤❤
@linda9296512 жыл бұрын
Amen Mungu akubariki sana na uendelee kwa kumwimbia , Bahati Bukuku you are my best singer ever.
@sharonmuhonja95554 жыл бұрын
Hakika lazima usamehe I love ur song d,a
@agnessadam67932 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏❤️🙏
@agnessadam67932 жыл бұрын
Amen
@otwaneandrew49572 жыл бұрын
May God help me forgive all those that have caused me much pain,,, ooo my God forgive me
@lucymagidanga27634 жыл бұрын
Amen ni wakati ambazo nanapita magumu mengi sana, nitajitahiidiii, maana nmekuwa MTU wa kulia tyu
@ruthchiluba4932 Жыл бұрын
Napenda nyimbi zako kiukweli ❤❤❤ from Zambia
@andersonkigen54533 ай бұрын
Mungu akubariki sana dada bahati na aibanue mpaka zako nyimbo zako sinanijenga.
@silviailenji66249 жыл бұрын
Be blessed dada Bahati....nyimbo zako zinanitoa mahali na kunieka mahali...amen.
@tutichibona65619 жыл бұрын
Baada ya kusamehe nimeuona mkono wa Mungu! lazima usamehe ili Mungu akuinue.
@capitalcyber47325 жыл бұрын
kweli kabisa kabisa mie pie nataka kusamehe n kusamehewa ndio Mungu aseme nami
@tumainimaronga2245 жыл бұрын
Bomale
@rehemarahma43595 жыл бұрын
Baada Ya Kusamehe Nilibarika Lazima Usamehe
@daudasadath93595 жыл бұрын
Maneno ya kwambiwa
@anitajuma96305 жыл бұрын
nic
@jonathanjones208412 жыл бұрын
Jamani, tuna waombeni video clear ya nyimbo iyi nzuli. this is my first song ever from sister Bahati Bukuku, oh i'm speechless... just be blessed sister, good job.
@estherlucio589012 жыл бұрын
Nafarijika sana ninapousikia huu wimbo, umenitoa shimoni nilikokuwa. ubarikiwe dada
@muhawenayopierre264412 жыл бұрын
mungu akubariki ndayangu huu wimbo ulio uimba nikituko kiliyonifikia asante kwafaraja zako umeuponya moyowangu ningeomba nambayako
@victoriakilunjya99738 жыл бұрын
it's hard to forgive some times but is better to forgive and forget.thnx very much bukuku God bless you Amen
@AziziYusuphu Жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua sana ndaaah nabalikiwa sana na nyimb zako
@exaverymakoye6026 Жыл бұрын
Wimbo Mzuri sana
@elweaswere19557 ай бұрын
huyu mama sijui how talented she is ..always huwa anafanya even when I am not in moods I find my self relax able
@violaiman48035 жыл бұрын
Hakika lazima tusameane ili Mungu atusamehe na kutuinua ,ubarikiwe dada kazi yako n njema
@michelmushengezi14892 ай бұрын
I love song more other Bahati's since it contains a powerful teaching
@jacksonisaya Жыл бұрын
Napenda sana nyimbo zako dada bahat mungu akupe maisha maref nyimbo zina bariki
@ZNBCTV13 жыл бұрын
please this song is good but the video flick flick flash destroyed it someone must advise the vedeo producers we are no longer in cikerderick age the message is good. much love from uk
@irenesilayo5445 жыл бұрын
Najisikia furahaaa sanaaaaa nikisiliziza kazi zakoo.pia napata farajaaaa
@geofreyobegi625912 жыл бұрын
very sweet song keep it up Bahati I like your songs
@devottendayishima491912 жыл бұрын
Dada thafadhari tuwekee nyimbo zingine kutoka katika album hii ya Lazima nisamehe. Thanks God bless you.
@MarthaAlly-y7s Жыл бұрын
NAKUPENDA sana dada yangu bahati hii nyimbo nasikiliza mara Kwa mara
@daudikipkorir13 жыл бұрын
What a so moving song! well thought & organized.Let Forgiveness be daily bread.
@asiaashimumakulila76083 жыл бұрын
Taarabu Anita maulid
@azizamasoud779311 жыл бұрын
upo juu dada huu wimbo unanibariki sana. Olivia Mwasalemba
@alicejoseph65792 жыл бұрын
lazima Nisamehe Ili MUNGU aniinue godbless madam🙏
@marybaranga72184 жыл бұрын
God bless u mama for your good heart
@neemamasawe949711 жыл бұрын
lazima usamehe ili mungu akuinue!! nabarikiwa sana dada bahati!! nakupenda sana
Binadamu kaz cn ni kweli huu wimbo uwanikumbusha meng sn naomba Mungu anijalie kusahau
@beyaleya3289 жыл бұрын
wemsame kwasababu yehova alimtowa mwana wake wapeeke kufamsalabani kwazambi zetu na yesu aliwasamehe waliyo mtesa nawe umusamehe saba Mara sabini.
@happyhappiess53325 жыл бұрын
Nice song
@isaackisilu82375 жыл бұрын
If u still watch this song in 2019 usisahau kusamehe mwenzako....nimeyasoma mengi kupitia huyu wimbo na nikamsamehe rafiki yangu aliyetaka kuniua
@omegarwalter80715 жыл бұрын
Isaac Kisilu ubarikiwe jamani
@isaackisilu82375 жыл бұрын
@@omegarwalter8071 amen
@felistamaige20375 жыл бұрын
Hat mi inabid nisamehe ili nisamewe
@maryulrike74225 жыл бұрын
Msamaha ni utu na huwa unamuweka mtu huru
@tracymusyoki1318 жыл бұрын
Good song bahati,congratulations.
@emmanuelrhobi1666 жыл бұрын
Bahati Bukuku hongera sana Mungu akuongezee kipaji mbele zake na akuongezee kipawa.
@Mwanaamzee11 жыл бұрын
BB, It takes God's mighty hand to 4give such a fellow..., I know wat u mean, I want how it feels, it's absolutely destructive. Ur message is loud n clear, lazima usamehe ndo Mungu akuinue, aseme nawe. Sing us another one...in rememberance of our painful past. We have got Mtoto Tundo, Dunia haina wema etc. Go go go lady bright another lady. God bless you abundantly.
@eunicenancykuria58825 жыл бұрын
Lazima nisamehe mimi
@املالسلمي-ض4ط4 жыл бұрын
We must forgive, as God forgive our sins jesus have mercy on us 🙏🙏🙏
@josephnyongesa51004 жыл бұрын
Napenda nimbo za Bukuku ju zinajenga na mafunzo.Mungu amlinde na kumuifathi vema ubarikiewe Sana mametu.
@rehemadevid98753 жыл бұрын
Nakumbuka mbal sn hiii nyimbo nikiwa mtt nilikua napend kanisa lkn saiv naend mpk kwa waganga mung anisameeee 🙏
@ChristineAmwayi-eh3hgАй бұрын
I forgive you and your family.God restore my home.
@bavonmolly95668 жыл бұрын
Jehovah Wonderful Song Ati unasema hueziiii unaeza Amen Bahati❤
@chazylady7406 жыл бұрын
Bav ubarikiwe
@catherineodhiambo21429 жыл бұрын
ln deed Christian should forgive & forget for our Almighty God to do the same to us. For God to lift us up it a must for our enemies to fight us,its really touching
@victoirekanyemba93093 жыл бұрын
Cette chanson m'a fait du bien
@joymukungu306710 жыл бұрын
wow, You are really preaching the GOOD NEWS big up dear. Read Matthew 19:27-29. and listen to What Apostle Peter asked and the Answer Jesus gave.
@kasyaemaneno727612 жыл бұрын
i love this song,Bahati you are a blessing to me and others.may the Almighty be with you and his word dwell in you richly sister.blessings.
@catherinefwesa74674 жыл бұрын
Walionikosea wote nimewasamia kabisa kwa roho safi na wabarikie