Congolaise tuko wapi, sisi ambao tunaendelea kupoteza ndugu zetu huko Nord kivu 🇨🇩🇨🇩😢😢😢😢
@glassamo384718 күн бұрын
2025 niko hapa kupata madini❤
@kevinotieno4114 Жыл бұрын
Yeah! Yeah! Bado napenda wimbo huu wa Bukuku hadi leo july mwaka wa 2023💖💖💖💖 #UBARIKIWE BUKUKU.
@eugenemuganda1540 Жыл бұрын
Neno msamaha kwa mpumbavu litamuuwa tu! Ila neno msamaha kwa mwerevu litamwinuwa👌
@bimenyimanadav11 ай бұрын
I'm here in March 2024. The powerful mess packaged in this song does not have the expiry date ❤❤❤
@gloriaomengo14042 жыл бұрын
Hii n ya Raila na Uhuru sio kila kicheko kina maanisha furaha wengine wakichukia sana ucheka sana
@bensonotuoma5867 ай бұрын
Key words in the song...."Neno msamaha kwa mpumbavu litamuuwa tu! Ila neno msamaha kwa mwerevu litamwinuwa" "Usijaribu kuuua nzi aliye kichwani mwa mtu...ukatumia nyundo ukidhani unamsaidiaaa..jeraha utakaloliacha ni kubwa., heri uwaache wenye busara...." "Sio kila kicheko kinamaanisha furaha" Very powerful still in 2024 July
@corneliusmwaro37823 жыл бұрын
Abneli abneli Daudi alilia, Wimbo mzuri tu halafu napenda vile wewe umedumu kwa injili wala hujachanganya injili na siasa kamwe. Hivi mtu anaweza ulizia bahati bukuku,yuko wapi kimya tu
@eunickbahati16063 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼
@thomasogutu20 күн бұрын
Kwa sasa mchungaji...kanisa lipo tegeta namanga
@marynasyieki378311 ай бұрын
Who is here to day,2024The ward of God never expired 🙋🙏🙏🙏
@brightonhamara6745 ай бұрын
🙏🙏
@lynnemelline1627 Жыл бұрын
Who is with me under this wisdom councel here in 2023🎉🎉🎉
@jamesangutsa3692 Жыл бұрын
Me here🎉
@tiyavictoria6402 Жыл бұрын
I'm here 😅 feeling blessed
@andrewkiptoo3563 Жыл бұрын
Going into 2024 with the immense words full of wisdom
@SaidKipata7 күн бұрын
Nakumbuka kitu katika wimbo uu katika maisha yang❤😂🎉😢😮😅❤❤❤❤ Ameni
@bigmandubesamuelndetsa2683 жыл бұрын
Huuyu amepewa nguvu za Mungu. Nyimbo zake ni maubiri kabsa. Nimsomi wa biblia.
@AnnickMaziziАй бұрын
Nani anaskiza sasa hivi,Be blessed 🙏
@MulababazOG Жыл бұрын
Wangapi bado tunaskiliza wimbo huu paka 2024 gonga like hapa
@marynasyieki378311 ай бұрын
Nko hapa❤❤🙋
@MarionMinage-r9p10 ай бұрын
Am here❤
@CollinsWekunda10 ай бұрын
napenda iyo song sn
@maisonmungukwawote65483 ай бұрын
Mimi hapa Niko Congo drc
@catherinejacob34073 жыл бұрын
"Sio kila kicheko kina maanisha furaha.. Wengine wakichukia hucheka sana" Keep it on mind I love it
@josephkweka30143 жыл бұрын
Nakupenda sna dada bahati bukuku tena Mimi mshabiki wako saaaana
@EliaNgande17 күн бұрын
Nmejukuta moyoni nauimba huu wimbo ❤❤❤❤❤
@jacintakavetsa53714 жыл бұрын
True,watu wanafanya vitu kufurahisha wenzao,my friend do what pleases God and you yourself ,maanake sio kila kicheko kinamaanisha furaha.
@YohanaCharles-m4fАй бұрын
Hakika ni mziki mzuri sana pia unafariji sana, kwa kweli mungu ambariki sana bahati bukuku.
@CollisBill-mu3zp11 ай бұрын
Any one in 2024..Keep it Let's go .Collis#Bill
@alvinchereece34972 жыл бұрын
Let us show love to Bahati Bukuku❤
@ipyanamwanyongo41692 жыл бұрын
Let us show love to Bahati Bukuku
@laviebitamba38297 ай бұрын
Siwezi ku sahau huu mziki mpaka kufa ,tuko mwaka wa 2024 wangapi tungali na tazama ?gonga like 🎉❤
@phoebeadikinyi34417 ай бұрын
Niko,iko naipenda saana
@mankambise20006 ай бұрын
Nipo naangalia saa hii
@LilianAkinyi-m6t5 ай бұрын
Ata sahii naitazama
@NelsonKalibo5 ай бұрын
Hey I'm 🎉
@furaha-zy5mc3 ай бұрын
Am here ❤❤❤
@kamilimlai19852 жыл бұрын
Usijaribu kuua inzi alie kichwani kwa mtu kwa kutumia nyundo ukadhan unamsaidia.........I love this song
@kadenyiingaji46464 жыл бұрын
"Usijaribu kuua inzi aliye kichwani mwa mtuuuu,ukitumia nyundoo ukidhani unaaamsaidiaaaaa"this song actually it teaches alot.
Cette chanson m'apporte dans une autre dimension vraiment my choir be always blessed ❤
@antonynjoka73182 жыл бұрын
asante mama bukuku wimbo huu wanibariki kweli mungu tulinde kwa maadui wetu
@RailaKassim29 күн бұрын
Mngu nisaidie sana niko katika wakati mgum sana nahitaji msada wako ndo nitapona
@daudmwaipasi56724 жыл бұрын
Mama wa injili MUNGU akubariki katka maisha yako uzidi kutuinjilisha
@charleslyuki6913 жыл бұрын
Usijaribu kua inzi alie kichwa kwa mwezio ukizani unamsadia 🙏🏼 Mneno msamaha kwa MPUMBAVU litamua tu .
@IreneKahihu2 ай бұрын
I love this song of mbukuku
@BrasilAggreyАй бұрын
Tunaingia na hii song 2025,,,Gods grace is sufficient 😊
@africandanceramashan46274 жыл бұрын
Am muslims but I like and I love this lovely woman ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤god blessed us all
@cookingwithtee45542 жыл бұрын
*God*
@norahnelima-gg8lc3 ай бұрын
Nyimbo zako nazipenda sana hizidi kubarikiwa.
@SoniSoni-c5g Жыл бұрын
Mungu akumbuke bahat bukuku nyimbo zake Zina marifa
@MerylinemeryАй бұрын
Congratulation
@MichaelEliyahu Жыл бұрын
Nakupongeza sana mama wa faraja na mwalimu kwa njia ya nyimbo ,.aBahati Mungu akubariki sana.
@DanielMatoya2 ай бұрын
Hii wimbo nilisikiza sana time nilikuwa na boll barikiwa sana
@shebyally23902 жыл бұрын
Mama nikupendae mwenye upako alafu mrembo unanibariki san mMa angu mungu akuweke uzidi kutufariji na kuinua viwango vya imani zetu kupitia nyimbo zako i love u mama😍😍😍
@anneodek98302 ай бұрын
Kweli unyama umewatoka wanyama ukawaingia wanadamu janani Mungu tusamehe
@PetsonKayange Жыл бұрын
Bahat Bukuku my best gospel singer.Listening from Blantyre, Malawi 2024
@tabbyaseyo1441 Жыл бұрын
Am with youu mumy
@tabbyaseyo1441 Жыл бұрын
Am with youu mumy
@tabbyaseyo1441 Жыл бұрын
Am with youu mumy
@tabbyaseyo1441 Жыл бұрын
Am with youu mumy
@tabbyaseyo1441 Жыл бұрын
Am with youu mumy
@danieloucho927Ай бұрын
very powerful messages 🙏
@EsterSekela Жыл бұрын
anayeangalia wimbo huu na unambariki mwaka huu 2023 gonga like twende sawa
@Paulo.yohana3 ай бұрын
Nipo moja wapo wanao usikiliza Wimbo mzri sana unafundisha
@Leezdaddy Жыл бұрын
Wengine wanataka wakusongeze tuuu chunga sanaaaa
@bramwelmandala9774Ай бұрын
Neno msamaha kwa mjinga halina maana ila neno msamaha kwa mwerevu litamwinua. Ushauri mkuubwa sana 😭
@neilkifano25043 жыл бұрын
this song is Heaven, crazy love from kenya "......maana neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu, ila neno msamaha kwa mwerevu litamwinua.."
@yes34262 жыл бұрын
Yesu nabapenda 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@annyegon1564 Жыл бұрын
This lady is full of wisdom, my counselor 🙏
@DariusNjagi3 ай бұрын
May God bless mum
@winindimbwa99305 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo, Mungu akubariki Bahati
@takenotetv5712 Жыл бұрын
I can't stop playing this song The kind of songs we need on all platforms❤❤❤
@casineobote99897 жыл бұрын
maana neno msamaha kwa mpumbavu litamuuuwa tyu🙋 ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinuaaaa.🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@CrossfitCFN2 ай бұрын
This song is packed with wisdom, been listening to it on repeat for sometime, and still I learn. A King crying for a dead son, killed by his highest ranking army official without is knowledge and against his will. Someone he trusted killing his own son, even though Absalom was a rebellious son, David still did not want him dead. Life is complicated.
@mariamkarembo48223 жыл бұрын
My favorite songs 🥰🥰🥰🥰 naipenda tu sana nyimbo yanifurahisha nafsi yang pia nampenda xna dadaangu bahati bukuku mungu 🙏🙏 akubariki na pia abariki kazi yako. MUNGU 🙏🙏 azidi kuinua kipawa chako
@HappyMwaigwisya9 ай бұрын
Sauti ya dhahabu. MUNGU akusaidie sana dada Bahati mwisho wa yote usiikose mbingu.
@MahamduKadebe Жыл бұрын
best song 2023
@mirriamlombe24134 жыл бұрын
My lady nakupenda sana Bahati
@agnessmengi6914 жыл бұрын
Barikiwa sana,huwa napenda sana nyimbo zako, maana nyimbo zako zina ujumbe wa wakati na majira.Mungu aendelee kukuinua viwango vingine na upako zaidi wa nyimbo za injili.Endelea kuwa mwimbaji wa nyimbo za injili na usiwe msanii wa nyimbo za injili.Barikiwa na zaidi ya kubarikiwa.
@maureenanyango94703 жыл бұрын
Mistari yaelimisha,asante mama
@elienew37882 жыл бұрын
I salute you Woman of God for this grateful masage duniani watu wamejawa na maroo yakulipiza kisasi na mauaji ni Mungu tu atuepushe naktulinda dithi ya maadui na wale wanaojifanya kuwa ni marafiki kumbe wamejivalia tu ngozi ya kondoo kumbe ndani umbwamwitu 😭😭😭😭😭
@chalwejames65312 жыл бұрын
One of my favorite Tanzanian gospel artist, a big thumb up mom.
@celiomukongoya90432 жыл бұрын
Hui wimbo unanipa kuwaza,nakuona uhalisiya ya duniya tunayo ishi kwa sasa,santé dada
@angelnasri19953 жыл бұрын
Masomo mengi nimejifunza na hii song barikiwa dada
@eldaindosio20442 жыл бұрын
Love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@qx33603 ай бұрын
Dah Zamani issue sana huruma huruma Haipo Tena kweli 😘🥰
@jaytee2021 Жыл бұрын
2024 niko hapa mama... missing your songs... much love from 🇰🇪🎉🎉🎉
@sharonmeave91444 жыл бұрын
Nkweli kabisa si kila kicheko kinamaanisha furaha y upendo, kingine n cha madharahu tu! Hii wimbo ndio npenda most...
@musaliaeugene7975 Жыл бұрын
This kind of song deserve 20m followers
@obedyjohn5350Ай бұрын
Dada unajua jmn nyimbo zko hazichoshi
@abdulazackabdul1894 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@danieloucho927Ай бұрын
powerful muhubiri somo kubwa hilo
@siajohnprincejohn12445 жыл бұрын
Mama namshukuru roho mtakatifu kukupa maneno ya busara unayo injilisha kwa wimbo ni kweli mama NAKUPENDA sana niombee nami niwe na busara na hekima kwa kila alie nizunguka nani mpende YESU naitwa teresia john .majina niliyopewa na wazazi wangu niombee tu mama yangu
@beliahmmboga88122 ай бұрын
Still listening to this song in 2024, it's one of the best, only God knows the love i have for this woman, nyimbo zako unitia nguvu ninapokuwa chini sana 😢ninaogopa kuwaambia watu maana si kila mtu atakuelewa
@lawmaina785 жыл бұрын
Dah! Mama Bukuku Mungu akubariki sana maana kwa kweli huwa unatoa mafunzo kwenye nyimbo zako. Tunakupenda mama.
@faithkauchi66932 ай бұрын
Real love her songs ,they are blessing to me
@casineobote99898 жыл бұрын
💃💃💃💃💃💃usijaribu kuua nzi alie kichwani kwa mtuuu ukatumia nyundo ukadhani unamsaidiaaaa💃💃💃abneli abneliiiii.tumepoteza ndugu zetu bila sababuuuuu.tumepoteza marafikiiii wasionahatiaaaaa.kwa sababu ya kufurahisha wanaotuzungukaaaaaaa💃💃💃💃💃maaana moyo wa mwanadamu sasa umekunja ngumiiiiii👊👊
@vitaliusmwasanga5036 жыл бұрын
Ssnaaaaaaa bahati kaza
@clareshera4 ай бұрын
The song really make strong and give me strength be blessed
@fancymalakwen5045 Жыл бұрын
So toughing song congratulations mama
@Joseph-s2c8m3 ай бұрын
2024 bado hii wimbo inanibariki sana, may God grant you long life mom
@evansagesa86478 жыл бұрын
Kwanza huku Kenya,vicheko vya mahasidi tupu,'Tumwombe mungu tu'.Umeniinua juu sana Dada Bahati
@josphinemideva73075 жыл бұрын
Nice song inanijenga God bless you Bahati Bukuku
@aminamhamed33603 жыл бұрын
Naeele sana
@aminambwana12112 жыл бұрын
Nakushukuru mama kwakunipa ujasili
@JohnItabo-k7x Жыл бұрын
the song teaches alot
@Halima-c9k18 күн бұрын
I'm here 2025 ❤❤❤❤❤❤
@SadikKateregga-n3r22 күн бұрын
Asante 4:58 5:00 5:02 5:03 🎉
@janetawilo38367 жыл бұрын
Nashangaaaaaaa tarifa za habari hakuna manet nashangaaaaa🙋🙋🙋💃💃💃
@dorotheamrigo48776 жыл бұрын
Ongera dada unaimba vizur mungu akusaidie na akuinue
@princessmoses40816 жыл бұрын
Si kila kicheko kinamanisha Furaha si kila kicheko kinamaanisha upendo ooohh hallelujah powerful song I LOVE YOU MAMA YETU BAHATI BUKUKU
@kiamahomes2768 Жыл бұрын
God bless me this year❤
@casineobote99898 жыл бұрын
huruma huruma iko wapi duniaaaaa💃💃💃💃💃jelaaa utakaloliwacha ni kubwaaaaaaa.maaana neno msamahaaa kwa mpumbavu litamuuuuua tyuuuuuuu.💃💃💃💃💃💃
@mazikuraphael59355 жыл бұрын
Bukk buan hupoi
@hanjimwaiswelonawapatavizu91474 жыл бұрын
Dadaangu mbona kimya
@annailanga308Ай бұрын
The Love i have to this song 🎵.
@freddyfredricks34353 жыл бұрын
Nyakati tulizo nazo, wanadamu wamechoka suluhu. Wanaona mwamuzi tu ni kifo.... I love the wisdom and advice in your songs. 2022 still here...
@yohanacharles46964 жыл бұрын
Endelea kutupa raha mtumishi wa mungu natamani siku yake tuabudu wote.
@jonathanlucas11673 жыл бұрын
Abner, Abner, umekufaje Abner? Let bygones be bygones. Let mankind have a fresh beginning. Let mankind have mercy on their foes.
@denismasele41307 ай бұрын
Baada ya sauli kufa abnel alsahau kupatana na adui zake😢😢😢😢 it's my favorite line.
@hopelikky73204 жыл бұрын
Still hits 2020 love the song
@ConcyLukela Жыл бұрын
Nice song iko n message
@angelstacy75926 жыл бұрын
Nakupenda sana dada Bahati nyimbo zako nazipenda sanaa zanibarikii
@susannamfukwe5952 Жыл бұрын
How i wish I can understand your language I love your music madam though I can't understand 🇿🇲🇿🇲