BAIBUI

  Рет қаралды 477,343

Joti TV

Joti TV

Күн бұрын

Пікірлер: 547
@NassourBimkubwq
@NassourBimkubwq 5 ай бұрын
Allah awazihirishe na kuwadhalilisha kama wanavyolidhalilisha vazi letu. Kwani sio vazi bali anaudhalilisha uislamu. Na wanaofanya hivyo wengi wao sio waislamu.
@queenandchill91
@queenandchill91 Жыл бұрын
Mnaowaza ndani ya Box kwa kuona amedhalilisha vazi hili, sio kweli. Dhumuni ni kuonyesha jamii baadhi ya watu wanavyotumia vazi hili vibaya kufanya uhalifu kama hivyo WIZI na mengineyo,si kujistiri kama ilivyozoeleka. Hapa tunaonywa, tunaelimika, tunaburudika pia kwa sababu ni COMEDY, ambayo ndani yake ina mafunzo. Kazi ya Sanaa haidhalilishi. Sanaa inamulika matukio mengi katika jamii yanayofanywa na watu, hakuna DINI hapo. Hongera JOTI Kazi zako ni nzuri sana, unatufunza na kutuchekesha pia.KEEP IT UP👏🏽 Road to 1M subscribers🙌🏽 Jinsi ulivyobeba huo mkaa hapo 😂😂😂, noma sana.🙌🏽
@josephgomalo41
@josephgomalo41 Жыл бұрын
Malaya na vyangudoa nao wanavaa hilo vazi.. kwani vazi ndio linafanya umalaya?
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 Жыл бұрын
Wahalifu wengi hutumiaa mavazi ya uadilifu/ stara kufanyia uovu.
@أبوشريحابنمهدي
@أبوشريحابنمهدي Жыл бұрын
Umeona waapi sanaaa ikawa elimu? Ushindwe kukaa darasani eti ukasome kwenye sanaa na tangu liini mwalima akawa msaani! Bali wasanii ndio wachafuzi wa mazingira wa kwanza na hiyo haibagui wasanii wote Na sio vioo vya jamii bali ni vyoo vya jamii vinachafuwa mazingira Acheni kufanya mambo ya kitoto nyinyi umeshindwa kujuwa uharamu wa hilo kupitia dini ndoo ukasome kwenye sanaa mmmmmmmh mpaka ufe
@queenandchill91
@queenandchill91 Жыл бұрын
@@أبوشريحابنمهدي Kama akili yako ndo imewaza hivyo basi sawa ishi humo.
@salummwanga8181
@salummwanga8181 Жыл бұрын
Ana laana na Adhabu kali mbele ya Allah SUBHAANALLAH
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Жыл бұрын
Jot huyo MAMA wala usimwache😁😁❤❤👍👍🙎‍♀️🙎‍♀️
@ibrahimuselemani4076
@ibrahimuselemani4076 Жыл бұрын
Jotiiiiii😂😂😂unajua bhana,likes kwake🇹🇿🇹🇿
@aminahaule1806
@aminahaule1806 Жыл бұрын
bado najiuliza hizo vitu ulipangiliaje na ukaweza tembea vzr🤣🤣🤣🤣
@ashuraidi2453
@ashuraidi2453 Жыл бұрын
Joti kuna sehem ulizificha akili zako ukasahau kuzirudia 😂😂😂😂🙌🙌🙌Dah!
@fahmialhatmyonline6093
@fahmialhatmyonline6093 Жыл бұрын
Angalau leo FAHMI ALHATMY nimekuwa wa kwanza
@mary2615
@mary2615 Жыл бұрын
Mind blowing story 🙂💕👍🏻
@besteva499
@besteva499 Жыл бұрын
joti hawezekani jamani inchiini humuu more love to joti'❤💕💞💞💞🥰🤩🇹🇿✌
@wakatv3704
@wakatv3704 Жыл бұрын
Mimi sijawai kupata like kwa joti oyaa weeeeee
@officialkamdudu
@officialkamdudu Жыл бұрын
likes unazipeleka wapi kenge wewe ? acha ushamba idiot 😏 #iamantilikes
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Жыл бұрын
@@officialkamdudu 😂
@wakatv3704
@wakatv3704 Жыл бұрын
@@officialkamdudu kuma la mamaako una tombwaa nini msenge wewe una leta ukuma hapa nime kutomba kwani kumaaa la mama yakoooo
@Tiner_cakes
@Tiner_cakes Жыл бұрын
Nilishawahi ibiwa kwa style hii dukani! I don't want to remember for sure!🙆
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 Жыл бұрын
Kumbe ukivaa juba mjini ufi njaa😂😂Joti ❤❤❤❤❤
@annahsaimon3904
@annahsaimon3904 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@Halimamaere
@Halimamaere Жыл бұрын
😂😂😂😂😂atarii
@NassourBimkubwq
@NassourBimkubwq 5 ай бұрын
Sio kweli
@jafarimohamedi7900
@jafarimohamedi7900 Жыл бұрын
Hahhahh joti sijaona comedian wa kukuzidi bongo aise hahahhahahaha
@thomasnyingo7272
@thomasnyingo7272 Жыл бұрын
JOTI ,MLEWA NA WENGINE.......YOU ARE THE BEST COMEDIANS EVER..........WA TZ,WAKENYA NA WAUGANDA FROM USA 🇺🇸 NIPENI LIKES BASI 👍
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Жыл бұрын
Jot bwana eti naomba kiuno😁😁😁👍👍👍👍❤❤❤
@PabloEscobar-wt1fq
@PabloEscobar-wt1fq Жыл бұрын
Best of the best comedian in Tanzania with different characters,Kiboga,Adunje, Babu dammn ur crazyyy🤣🤣🤣
@kitunganolwebo7570
@kitunganolwebo7570 Жыл бұрын
Na Nishai 😂
@leylamohamed9939
@leylamohamed9939 Жыл бұрын
Huyu Bibi Kauye anajua Kuigiza🫡🫡 Jotyi best comedian 🔥❤️‍🔥
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 Жыл бұрын
Joti tafadhali weka subtittles za English,Spanish,French,Portuguese n.k ili kupata audience kutoka nchi mbalimbali🇹🇿🇰🇪🇵🇬🇸🇧🇸🇨🇸🇩🇸🇪🇸🇬🇸🇭🇸🇦
@zebedemirambi3067
@zebedemirambi3067 Жыл бұрын
Joti you still the one, on top brother ❤️🇨🇩
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
Mama yuko vizuri, joti kausha chupi khaaa!!😂😂
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 Жыл бұрын
Joti nomaaaaaaaa😄😄😄 si kwa kusomba uwo mkaa
@shikaocharles3613
@shikaocharles3613 Жыл бұрын
Huyo Baba Wakwenye Mkaaa Alivoguna Nimecheka 😂😂😂😂 Eti Mmmh Sio Kweliii 😂
@Zanzibar0001
@Zanzibar0001 Жыл бұрын
Wa kwnza Kutoka Zanzibar.... Nimefrahi Bibi Hakuamini Njegere zake zilivotoweka
@glaury9938
@glaury9938 Жыл бұрын
Hilo vazi ni lakihalifu walikuwa wanavaa machangudoa soma biblia utaona mtu anayependa kuvaa hivyo haheshimiki ila anatisha mi naogopa sana hilo vazi mana kwangu halina amani nikipita kichocho nikakutana na mtu amevaa hivyo hua naogopa sana by glory mayotte france
@izo07nyoni40
@izo07nyoni40 Жыл бұрын
Aaaah wew Co kweli sikuweka kimoja 😀😀😀😀😀
@Lewinglovbi6699
@Lewinglovbi6699 Жыл бұрын
Nimesubiria toka Jana mpak sasa hiv tumezoea kila mjuma jamani.wa tat kuona mimi
@malikzafarani172
@malikzafarani172 Жыл бұрын
😂😂😂😂 mama kibanda katisha saana 🙌🇶🇦
@ading9710
@ading9710 Жыл бұрын
Imenipa taswira kama ile akashikwa kaibia mtihani(majib) uhusika kama mwanafunzi,Ila mafunzo tofauti sanaa kwenye comedy..😄😄😄 Love from +254🫡
@Seifbrown
@Seifbrown Жыл бұрын
Best 😀😀🫡🫡🫡🫡 of me Thanks sana anti stress langu joyi 😂
@nurumohamed5830
@nurumohamed5830 Жыл бұрын
Joti😂😂
@NUH23
@NUH23 Жыл бұрын
Wowww buenas noches 🌌😀12:02 AM...llegué 🙌 justo me acostaba ...grande joty👌👌guauuu con la sombra verde bellísima en lo párpados
@NUH23
@NUH23 Жыл бұрын
Muy bendecido Domingo 🇦🇷🇹🇿...joty merece ser internacionalmente distinguido y subtitulado a todos los idiomas ..un abrazo equipo..es humor sano 💝🙏🏽😀con mis hijos los miramos gracias 😘
@esthermkuchu-vm1yj
@esthermkuchu-vm1yj Жыл бұрын
Yani nyie jotti😂😂😂
@ishimwemurenziange7609
@ishimwemurenziange7609 Жыл бұрын
Nakubali sana joti kama nawe unamukubali tusiwe wafichi gonga like tafadhali
@officialkamdudu
@officialkamdudu Жыл бұрын
likes unazipeleka wapi kenge wewe ? acha ushamba idiot 😏 #iamantilikes
@officialkamdudu
@officialkamdudu Жыл бұрын
@@ishimwemurenziange7609 we matako tu tutolee ushamba hapa kima wewe 😏 piga picha mkundu wako u upload tu like kama shida yako ni likes
@officialkamdudu
@officialkamdudu Жыл бұрын
@@ishimwemurenziange7609 shoga wewe
@azizaMohammed-jh4oq
@azizaMohammed-jh4oq 7 ай бұрын
Mm muislam 😢 sijapenda hiki kitu vazi la stara inavo takiwa watu kuvaa Leo hii linandikwa haswa baibui nn hiki sijapenda
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Hahah aisee joti ni noma 😂 😂
@erycah
@erycah Жыл бұрын
Joti niajiri niwe nakutafsiria ili fans wako wa nchi nyingine waele😊
@bedabedan2617
@bedabedan2617 Жыл бұрын
Mama wa taifa! Marejesho👀
@stevbiko5811
@stevbiko5811 Жыл бұрын
Wakwanza leo kutoka 🇰🇪 nipeni likes
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
😁
@officialkamdudu
@officialkamdudu Жыл бұрын
likes unazipeleka wapi kenge wewe ? acha ushamba idiot 😏
@sonyboyofficial
@sonyboyofficial Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/kHKzmZSboJJjsKM
@k.o.n.g8925
@k.o.n.g8925 Жыл бұрын
@@officialkamdudu Anapeleka dukani 🤣🤣🤣🤣
@Being_Hussein
@Being_Hussein Жыл бұрын
Kenya hatuna tabia izi za kisenge
@mansourally91
@mansourally91 Жыл бұрын
😂🤣😂😂😂😂🤣 JOTII MUNGU AKUWEKE AISE
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 Jotiii never disappoint Bro. Unatembea na genge😂😂😂
@abbashussein-hz4dr
@abbashussein-hz4dr Жыл бұрын
Ni genge linalo tembea😁😁
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 Жыл бұрын
Bi kauye nakupenda sana 😍
@erickjulias5734
@erickjulias5734 Жыл бұрын
Ila mmenifundisha Jambo Hawa wavaa baibui kwel hua Wana iba sana
@farajalyanda8019
@farajalyanda8019 Жыл бұрын
Joti fundi anatembea akiwa na genge kwa mwili aiii😂😂😂😂🤣
@minaelpaul9219
@minaelpaul9219 Жыл бұрын
Kah joti we nimekukubal 💯
@أبوشريحابنمهدي
@أبوشريحابنمهدي Жыл бұрын
Wasanii ni vyoo vya jamiii Vinahitaji zowa takataka maana naona vimeanza kujaa
@mozespatnam7469
@mozespatnam7469 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣khaaa uo mkaa ulivyo ondoka hataree sanaa joti****
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Shaashaaa
@ferouzmasoud3104
@ferouzmasoud3104 Жыл бұрын
JOTI ni noma Sanaaa 😂🤣🤣
@jenipheremanuel5884
@jenipheremanuel5884 Жыл бұрын
Nakukubali sana zaid ya sana joti unajua mpk umeptiliza
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
Aisee mumetisha kweli #BONGO SIAMI
@giftmkumbwa4909
@giftmkumbwa4909 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 mitusi kama radi 🙌🙌🙌
@farajalyanda8019
@farajalyanda8019 Жыл бұрын
🤣🤣
@stinaismail846
@stinaismail846 Жыл бұрын
😂😂😂 nipe kiuno 🤣 tupo site ♥️♥️ sending love ♥️
@treshazgodfather9219
@treshazgodfather9219 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣fwala uyuu
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 Жыл бұрын
Sijachelewa wale ambao tunamkubali joti like ata kumi nipate jamanini kwaajili ya joti mwamba kabisah ❤️❤️💅💪💫
@shehaswalehagilagil2343
@shehaswalehagilagil2343 Жыл бұрын
Wizi mbaya wee hahaha na cheka Paka basi😊
@dianaprojest320
@dianaprojest320 Жыл бұрын
Ila uyu mama wa genge anajua ku act😂😂😂😂😂🙌🙌
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Nimewahi miee jamani sijui niombe like 🤣🤣🤣🤣maana naogopa tena 🤣🤣🤣
@vicentmlumba591
@vicentmlumba591 Жыл бұрын
Ulivo pitaaa na vipande Sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
@agnesbasistian9248
@agnesbasistian9248 Жыл бұрын
Leo nimecheka kwa sauti 😂😂 jamani stress zote kwiney
@camaramaligie
@camaramaligie Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 Жыл бұрын
Kama anold schwazneger kavaa mabom😂😂😂
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 Жыл бұрын
Umetudhalilisha_sana_waislam_nakuapia_sio_,kila_Mvaa_juba_ni_Mwizi_Muogope_Mungu
@LuluHamisi
@LuluHamisi 6 ай бұрын
Wenye kuelewa tumeelewa wala ajazalilisha mm pia muislamu na nliwai kushuhudia mambo kma Aya kwaiyo wenye mambo aya waache wavae kwa ajili ya iman na cyo mamb mengne
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Жыл бұрын
Kausha chuvu😁😁😁❤❤
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 Жыл бұрын
Hao wanaovaa hayo manguo ndio tabia yao huku kwetu kwa wale wanaouza mitumba huwa hawawaruhusu kabisa kusogea kwenye biashara zao maana asilimia kubwa ni wezi
@ibrahimabadi6498
@ibrahimabadi6498 Жыл бұрын
Wacha uwongo
@sabinistephano3207
@sabinistephano3207 Жыл бұрын
Wapili nimimi kutoka dodoma maana nampendaaa uyu kiboga
@سلمامحمد-ز9ج
@سلمامحمد-ز9ج Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂sina maoni bora nicheke
@missclementsemizigimisscle7458
@missclementsemizigimisscle7458 Жыл бұрын
Funzo zuri sana comedy ni mmoja tu tz🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ferouzmasoud3104
@ferouzmasoud3104 Жыл бұрын
Sasa umechukua Genge au Unaenda kufungua Soko 😂🤣
@levinaringoma
@levinaringoma Жыл бұрын
Joti... si ajabu pia wigi la uizi🤣🤣🤣🇰🇪
@mzurimkumba7428
@mzurimkumba7428 6 ай бұрын
joti umetisha umeamishia genge kwenye mwili hatari sanaa
@tiffahtiffahbaaby6161
@tiffahtiffahbaaby6161 Жыл бұрын
Makubwa haya jamaniiiii mkaa nyamaa njegereee
@joh0849
@joh0849 Жыл бұрын
Sema uyu mama uwa nampenda sana 😂
@Abby-bt8gy
@Abby-bt8gy Жыл бұрын
Joti anawe za
@rachelwazir4304
@rachelwazir4304 Жыл бұрын
Nimecheka😅eet mi Askar jeshi😆😆😆nakuchukua ww na mali zangu🙌🏽😂😂😂
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Жыл бұрын
hahaha hahaha!! Jot umesadifu harakati za watu wa mjini
@drsilo
@drsilo Жыл бұрын
UtAlitia doa vazi... Acha ujinga ww kuna nalimit
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Jibu langu vp💪
@hannan2793
@hannan2793 Жыл бұрын
Joti shetani akurambe uso ww yaani sie tunao vaa buibui ndio wezi fyoooooko zako 🤣🤣🤣
@emanueltesha4193
@emanueltesha4193 Жыл бұрын
Jobless ndo naamka likes zangu jamani🙌🙌🙌😂😂😂
@officialkamdudu
@officialkamdudu Жыл бұрын
likes unazipeleka wapi kenge wewe ? acha ushamba idiot 😏 #iamantilikes
@athumanimwaimu3460
@athumanimwaimu3460 6 ай бұрын
Joti utatuuwa jama kwavicheko nimecheka adi naliya🤣🤣😅😅
@adilialicious7934
@adilialicious7934 Жыл бұрын
🤣🤣naomba kiunooo😄joti unavineno vyakijinga😅😅😅
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 Жыл бұрын
Huo mkaa ulivyosombwa hahahaaaa nyiiiieeeee
@jumasoli7818
@jumasoli7818 Жыл бұрын
Nasemaje nasemaje maneno mengi njegere nying
@alfanboblice9150
@alfanboblice9150 Жыл бұрын
Kama unakubal jot ndio namba 1 wa komed bongo weka uzito
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Жыл бұрын
😁😁😁umechukua genge au soko❤❤👍👍👍
@evansshayo6006
@evansshayo6006 Жыл бұрын
nimejaliwa na mungu. 😂😂
@hellydalton2678
@hellydalton2678 Жыл бұрын
Joti unaniua jaman unajielewa ndo mana unatembea na genge🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@yassirgiya6743
@yassirgiya6743 Жыл бұрын
Vazi la kiislamu munalifanyia ushenzi Laanatullahi
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
Nani kakwambia vazi la Kiislamu Hilo?
@phiniaskishenyi297
@phiniaskishenyi297 Жыл бұрын
et Mungu kasema , we nae n njegele tu
@emanuelmiyonjo4484
@emanuelmiyonjo4484 Жыл бұрын
💛💛💚💚nakubari sana
@sebcltd187
@sebcltd187 Жыл бұрын
Tafadhi rekebisha hyo video
@mulundi
@mulundi Жыл бұрын
aise bi kauye katisha aise joti upewe ulinzi😂❤❤ naomba like zangu jaman
@abdallahzakia-fw8oc
@abdallahzakia-fw8oc Жыл бұрын
😂😂nipeni like jamin joti anataka nyama y kiuno
@officialkamdudu
@officialkamdudu Жыл бұрын
likes unazipeleka wapi kenge wewe ? acha ushamba idiot 😏 #iamantilikes
@annamussa185
@annamussa185 6 ай бұрын
I'm proud sasa macho yamewavimba😅
@meshackaloyce9662
@meshackaloyce9662 Жыл бұрын
Mungu wangu Heeeee hahahahaha 🤣
@dawoudal-arabiybik3747
@dawoudal-arabiybik3747 Жыл бұрын
Pumbavu joti umekosa comedi za kufanya unadhalilisha mabinti wa kiislam....Allah atakuadhibu mjinga mkubwa wew na utafedheheka tu siku moja jione unachekesha kuna siku utalia.
@editz5430
@editz5430 Жыл бұрын
Katombwe uko kuma la mamako kwan huon n jamii inaelmishwa we msenge nini
@MelindaLucas-h7d
@MelindaLucas-h7d Жыл бұрын
Nyieeeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 akhi vtu vyote hvy
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Жыл бұрын
Never disappoint Jotiiii 😎
@albinusnyaiyo2614
@albinusnyaiyo2614 Жыл бұрын
Vjna wa hvyo ko anatongoza hyu Bibi 😀😀
@humphreyvidonyi253
@humphreyvidonyi253 Жыл бұрын
Jamaa ingie trending ingawaje huo ndo uhalisia
@julietbekah479
@julietbekah479 Жыл бұрын
Mmeraukaa jamani 😂😂😂😂
@ngosha4207
@ngosha4207 Жыл бұрын
Wa kwanza kama kawaida yangu
@halemamoon1782
@halemamoon1782 Жыл бұрын
Santa b kauye....ety askar jeshi...weweeeee
@ANITHAJOHN-z9q
@ANITHAJOHN-z9q Жыл бұрын
Nimeipenda❤
@dianerditto
@dianerditto Жыл бұрын
😀🤣🤣🤣🤣🤣hahaaa jot mshenzi jamn
@japhetlust5050
@japhetlust5050 Жыл бұрын
Leo nimewai 😆
MAHARAGE YA MBEYA
9:01
Joti TV
Рет қаралды 627 М.
MWIZI SUPERMARKET
9:22
Joti TV
Рет қаралды 889 М.
Players vs Pitch 🤯
00:26
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 135 МЛН
1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9 🙈⚽️
00:46
Celine Dept
Рет қаралды 113 МЛН
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 58 МЛН
Real Man relocate to Remote Controlled Car 👨🏻➡️🚙🕹️ #builderc
00:24
MIMBA SIYO YANGU
8:15
GOOD ONE TV
Рет қаралды 2,7 М.
MGANGA MMBEA
9:33
Joti TV
Рет қаралды 596 М.
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1
35:15
YahStoneTown
Рет қаралды 475 М.
HELA YANGU YA MCHEZO
9:23
Joti TV
Рет қаралды 503 М.
BASTOLA YA BABA
8:28
Joti TV
Рет қаралды 452 М.
NAJIBRAND
9:04
Joti TV
Рет қаралды 470 М.
Players vs Pitch 🤯
00:26
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 135 МЛН