Balaa la MAKONDA Arusha, Maelfu ya Wananchi wafurika kupata matibabu Bure

  Рет қаралды 422

Gilly Bonny Tv

Gilly Bonny Tv

Ай бұрын

Balaa la MAKONDA Arusha, Maelfu ya Wananchi wafurika kupata matibabu Bure
WAZEE, WAJAWAZITO NA WATOTO KUPEWA KIPAUMBELE KAMBI YA MADAKTARI BINGWA ARUSHA - RC MAKONDA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda , ameweka wazi kuwa kulingana na hali za wazee, wajawazito na watoto hivyo kuanzia siku ya ijumaa tarehe 28 Juni, 2024 kupitia kambi ya madaktari bingwa na wabobezi wataanza kupewa kipaumbele zaidi kwa kuwekewa utaratibu wao kuweza kuwarahishia katika kupata huduma hizo za matibabu.
Akizungumza na maelfu ya wananchi waliojitokeza kwa wingi katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid , RC Makonda amesema lengo la Kambi hiyo ni kuendelea kuwafuta machozi wanandchi wanyonge waliokuwa wakipambania afya zao.

Пікірлер: 2
@severianchebile8688
@severianchebile8688 Ай бұрын
Uko juu sana unamkakati mzuri kwa wana Arusha, Mungu alibariki na kukulinda
@songeza
@songeza Ай бұрын
Wewe ndiye ila mkumbuke sana Magufuli aliyekuona na kufanyakazi na Samia, Samia aliuona utendaji wako ndio maana akakuteua. Endelea RC
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 23 МЛН
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 32 МЛН
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 8 МЛН
USHUHUDA WA MAMA ALIYESOMA UZEENI  (HESABU NI KAMA KIFO HUWEZI KUEPUKANA NAYO)
16:15
ISRAEL VS HAMAS, KINYAGO KINACHOMTISHA MCHONGAJI
16:55
Daily News Digital
Рет қаралды 12 М.
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 23 МЛН