Mh Badoo snaaa kwa yangaaa hiiiii atajaribi lakinii ataweza
@AgenesMugema2 ай бұрын
Mpira hauna historia Nina Imani Yanga itapata Ushindi nyumbani na Ugenini.
@bahatimtuluma37982 ай бұрын
Huna akili😂
@Smartboy-wt1es2 ай бұрын
Mpaka hapo tayri washaapigwa hawa
@raybirry38162 ай бұрын
Waliipamba Mamelodi sundowns weeeee! mwisho wa siku mavi matupu.
@saidingumbo-is2oe2 ай бұрын
Tunawatowa safari hii hawakamati muziki wa Yanga
@ArnoldKusalula2 ай бұрын
Maneno mangi huna habari
@theresiaLutufyo2 ай бұрын
Sio kweli kwamba YA haijawahi ifunga timu ya Ethiopia. Miaka ya ,70's yanga iliitoa St Georges ya Ethiopian kwa zaidi ya goli 5.Wachezaji wakiwemo Awadh Gessan, Abeid, Hassan Gobbos, Gilbert Mahinya, Kitwana Popat (Manana).,Elias Michael. Maulid Dilunga. Abdarhman Juma. Boi Wickens.,Leonard Chitete. Athman Chilambo. Sanga.
@macknonkibona24012 ай бұрын
msamehe mana ndo wachambuzi wetu hawana tafiti za kutosha anaenda kurusha kipindi hewani
@Erastokamaji2 ай бұрын
Unyama
@AllyAmanzi-y8i2 ай бұрын
MFUMO Unamtaka Asubir show Uko Uko Kwao
@IddiHassan-mr3sb2 ай бұрын
Kwani kama hamna story maneno mengi ya nini?
@simonndunguru16292 ай бұрын
Mnaisifu CBE ni Timu ngumu ikifungwa mtasema kibonde. YANGA ikifunga Timu yoyote iwe ya ndani au ya inje ni kibonde. AZAM BAND FC Simba nk walifungwa ni Vibonde?
@ErickPetro-e4k2 ай бұрын
Oya una matatizo Gani wewe mbona maneno mengiiii???alafu Huwa unaelezea inje na kichwa Cha habari yako