PART 1: PROF ASSAD AONGEA KWA UCHUNGU, WANAGOMBEA NA HAWAJUI CHAKUFANYA, SALIM KIKEKE KWA MAKINI

  Рет қаралды 135,462

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

PART 1: PROF ASSAD AONGEA KWA UCHUNGU, WANAGOMBEA NA HAWAJUI CHAKUFANYA, SALIM KIKEKE KWA MAKINI
Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Пікірлер: 339
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 5 ай бұрын
The kind of interview I can spend my time to watch without any regrets,well done brother kikeke and live long Mr Asad👏👏👏
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb 4 ай бұрын
Point of correct! Professor Musa Asad💪
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 4 ай бұрын
Professor indeed thanks😊​@@Mimi-wf7mb
@riyadhamasha2404
@riyadhamasha2404 5 ай бұрын
Interview bora sana kuwahi kuiangalia,pongezi nyingi kwako Salim na Crown media kwa ujumla,Professor Musa Assad Allah akujaalie kila lenye kheri nawe.
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 5 ай бұрын
Huyu Mzee kwanza kabisa ni mchamungu ,halafu ana elimu ya kutosha na nimtu mwadilifu sana watu kama hawa ni wachache ktk NCHI zetu za AFRIKA mungu ampe umri mrefu
@fahdihasnuu9034
@fahdihasnuu9034 5 ай бұрын
Sio tu Africa, wachamungu ni wachache sana duniani
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 5 ай бұрын
Amin rabi amin
@maxwellvangulinja
@maxwellvangulinja 4 ай бұрын
Amin
@anethmugisha9238
@anethmugisha9238 Ай бұрын
Hongera kubwa kwa Crown Media! Mmeonyesha kuwa vyombo vya habari vinaweza kuwa chachu ya mabadiliko chanya kwa taifa letu. Weledi wenu, uzalendo wenu, na juhudi za kuhakikisha jamii inapata habari za kweli na zisizoegemea upande wowote ni hatua kubwa katika kujenga demokrasia imara. Salim Kikeki, mfano wa kuigwa, ni kioo cha maadili bora ya uandishi wa habari - akitufikishia ujumbe wa umuhimu kwa taifa letu kwa usawa na uadilifu. Hii ni kazi ya kujivunia na tunatoa shukrani kwa Crown Media Digital, TV, na timu nzima ya Crown kwa jitihada zenu za kujenga jamii yenye ufahamu na umoja. Endeleeni kuwa sauti ya haki na daraja la mawasiliano bora kwa kila Mtanzania. Asanteni kwa kuonyesha kuwa demokrasia ya kweli huanza na habari za kweli! Well done, Crown Media.
@wendykomba2118
@wendykomba2118 5 ай бұрын
Mtu wa DINI sana PROF ASSAD!!!❤❤❤❤❤❤❤
@kennedythomas7282
@kennedythomas7282 5 ай бұрын
Profesa,maisha ya watanzania wengi waliishi na wanaendelea kuishi kwa mtindo wa njia za mkato,ujanja ujanja mwingi.Hawapendi kazi,dili dili. Mtu anataka aishi kama vile yeye ni wa juu sana wakati kazi zake ni za kawaida tu. Jamani tuheshimu kazi na tena. Ukiwa ni mtumishi tumika kweli kweli,ukiwa na kazi yako binafsi,jisimamie kweli kweli.
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 4 ай бұрын
Ndomana tunapata matapeli viwanja mtaani kazikweli
@فريدالوائلي
@فريدالوائلي 4 ай бұрын
Hatupend sie maendeleoooooo tukae nguma niwatu wakutawaliwa tuuuu miaka yote nenda rud
@فريدالوائلي
@فريدالوائلي 4 ай бұрын
Kisha rohoo mbaya sana Tanzania unachangia umasiki WA mawndeleo
@johnfrance9717
@johnfrance9717 4 ай бұрын
Iyo sio sababu msikilize vzr Prof.
@mustafapandu5189
@mustafapandu5189 4 ай бұрын
Huyu jamaa kwanini msimuandalie kipindi maalum kila wiki atoe mafunzo kwa taifa japo mara moja kwa wiki. Hajawahi kutuangusha kwenye lectures na life lessons. He is the real and best professor in our country tena anazikuna akili za watu wote wa dini zote na itikadi zote kila anapoongea watu wote hutulia wakasahau tofauti zao na kuchota maarifa.
@Truenegro-q7r
@Truenegro-q7r 5 ай бұрын
Kikeke una weledi sana unampa nafasi mtu ajieleze. Safi sana kaka
@abbashussein-hz4dr
@abbashussein-hz4dr 4 ай бұрын
Huyu mzee mungu amempa hekima kubwa sana ktk vitu vya kuomba kwa mwenyezi mungu ni kumuomba atupe hekima busara ili tuwe na ushaur mzuri ktk maisha yetu na jamii nzima ukimsikiza huyu mzee unapata hamu ya kumwambia mzee nishaur kadhaa wa kadhaa unapata hamu ya kushauriwa nae mola mtunze mzee wetu muhifadhi na kila shari na balaa ampe afya na siha njema na ampe taufiq na wepes anayo pitia Ammyn🤲🤲
@fadhilidanieli1478
@fadhilidanieli1478 5 ай бұрын
Huyu ndiye CAG wangu bora kuwahi kutokea nchi hiii...
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 4 ай бұрын
Crown media to the world,good interview
@rosengiloi9381
@rosengiloi9381 5 ай бұрын
Nikimsikiliza Prof Asad nafarijika sana ,ana hofu ya Mungu ,.mkweli upeo mkubwa.
@hakimundabila7940
@hakimundabila7940 5 ай бұрын
Ndio maana ni professor
@stephensangu4197
@stephensangu4197 5 ай бұрын
Ni kweli kabisa.
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 5 ай бұрын
AKILI KUBWA SANA HII...HUJAWAHI KUJIANGUSHA MZEE WANGU..PROFESSOR MUSSA ASSAD.
@nassorshaaban7295
@nassorshaaban7295 5 ай бұрын
Masha'Allah Kwa nini Allah hatupatii watu km Professor Assad ili wawe Viongozi wetu.!!?
@KidongoiBuko
@KidongoiBuko 5 ай бұрын
Thnxs Mr asada GOD bless u🙏
@EmmanuelEnock-d6g
@EmmanuelEnock-d6g 5 ай бұрын
Kikeke the standard you set is so high 🙌
@robychuma6662
@robychuma6662 5 ай бұрын
Level ya juu kabisa ya akili na hekima kwa tanzania,vichwa kama hivi africa huwezi vikuta kwenye level za urais africa sababu vinapigwa sana vita,long live PROF,SALUTE KWA CROWN FM.
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 5 ай бұрын
M.mungu atakufanyia wepesi mzee wangu ishaallah
@barnabasmalima4823
@barnabasmalima4823 5 ай бұрын
hawa ndo wetu wenye kulitakia taifa manufaa lakini hawapo kwenye system ASSAD kwangu ni mmoja wa watu makini sana mungu akupe maisha marefu
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 5 ай бұрын
Huyu magu alimuondoa ktk nafasi ya CAG baada ya kufichua madufu ya Trilion 1.5
@Marjeby
@Marjeby 5 ай бұрын
Prof Asad wewe ni kati ta watu ambao nimekuwa nikitamani kuishi maisha kama wewe napenda karibu kila kitu kutoka kwako wallah wewe ni nuru kwenye taifa hili unalevel za uraisi kabisa mungu akuweke kwa ajili yetu
@carolakinasha2106
@carolakinasha2106 5 ай бұрын
Amina. Hawa wa aina hii wamekuwa adimu sana siku hizi
@FoudLysu
@FoudLysu 5 ай бұрын
Ameen kama mimi, namuomba allah anifanye kama professor ASSAD
@ChoroTesla
@ChoroTesla 5 ай бұрын
Ukiwa msema hovyo ndo unapendwa sana na watu wankukubali ila ukiwa critical thinking watu hawakutaki
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 4 ай бұрын
Anza kuishi unaweza... Usiishie kutamani... Mambo yatakayokusaidia kuishi na kuwa mtu Bora.. 1. Soma katiba yako 2.Soma vitabu vya dini 3.Jiepushe na kuwa mwanasiasa wa upande furani lkn shughutika na harakati za siasa huru.. 4.zijue haki za binadamu/ Muhimu binadamu wore ni sawa... Haki za kila mwanadamu.. Uhuru na mipaka ya kujieleza.. Kumbuka kusoma sheria kidogo hata kwa level ndogo... Unaweza kuwa zaidi ya Asad Cha msingi hakikisha unajua asili ya ujasiri wako... Uwe shujaa na mtetezi wa haki bila kufanya fujo...
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f 5 ай бұрын
Mzee anae zeheka na hekima nyingi sanaa na akili nyingi sanaa ambazo zingetusaidia sanaaaa majitu yanaarbu ela sanaaa
@kamuchidyblez2136
@kamuchidyblez2136 5 ай бұрын
Hongeraa sana kikee napiaa hongera sana prof asad Allah akujalie maisha marefu
@raphaelyustas1002
@raphaelyustas1002 5 ай бұрын
The only real CAG
@Sakinaamani-o1t
@Sakinaamani-o1t 5 ай бұрын
Mmmm mambo mazuri kabisa yani tumechelewa kikeke tuokoe
@maundumwingizi8027
@maundumwingizi8027 5 ай бұрын
Assad kwa Kiswahili ni Simba. Huyu mzee ni Simba kwa kauli na matendo. Natamani kizazi cha Tanzania kipite kwenye njia hii.
@shabanmgatta8625
@shabanmgatta8625 4 ай бұрын
Prof mwenyezi mungu akupe afya njema na uhai mrefu amiin
@MZEEWA255
@MZEEWA255 5 ай бұрын
Kikeke unafanya kazi nzuri sana
@carolakinasha2106
@carolakinasha2106 5 ай бұрын
Prof Assad one of the best brains in our beloved country. Mungu aendelee kukuweka
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 5 ай бұрын
Independent Journalists daima hufanya kazi nzuri. Tatizo la journalists wengi uchawa na kujipendekeza wapate teuzi za vyeo vya kisiasa. Hawaridhiki na kuwa huria ktk taaluma yao. Hongera bwana Kikeke.
@muzzoonlinetv7446
@muzzoonlinetv7446 5 ай бұрын
Mungu katupa neema ..huyu mzee tumeshindwa kumtumia 😢
@athumanfuko199
@athumanfuko199 5 ай бұрын
wasomi wenye uwezo mkubwa hawahitajiki kwenye siasa ya bongo
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 5 ай бұрын
Mungu katupa laana, sio neema! Kuwa na mtu kama Prof. Asad na kutomtumia ni laana, ni laana . Tumelaaniwa ndio maana tumepata Raisi anayepost alipika tembele, raisi kilaza!!
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 5 ай бұрын
mie had naona aibu jamani
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 5 ай бұрын
​@@DiwaniMwafongohahahahaa.... anaonja mwenyewe hajaweka ndimu..mxiew
@ahz6907
@ahz6907 5 ай бұрын
Wenye nchi hawataki wasema kweli.😂
@AyoubIsmail-c6z
@AyoubIsmail-c6z 5 ай бұрын
Mzee wa maana sana
@AyzalRicco-mi6iu
@AyzalRicco-mi6iu 5 ай бұрын
The Wise Man very intelligent May Allah grant you.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 5 ай бұрын
Prof Assad alimfundisha CAG wa sasa Charles Kicheche - yaani ni mwalimu wake
@PhilkevinFelix
@PhilkevinFelix 5 ай бұрын
Huyu bwana tulianza pamoja digrii ya kwanza. Ilikuwa tarehe 23 Juni mwaka 1985 na ilipotimia wiki tatu yaani kwenye tarehe 14 mwezi Julai 1985 maprofesa wakamuomba huyu bwana aanze kufikiria kuwa mhadhiri hapo chuo kikuu cha Dar es Salaam (Mlimani). Tukamaliza wote na kupata digrii tarehe 26 Agosti 1988.
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 5 ай бұрын
Kama ndivyo nadhani alikuwa mtu smart sana viva kwake🎉
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 5 ай бұрын
Halafu wanatokea watu hawajasoma mm huwa siwaelewi hawa 😅😅😅😅
@mustafapandu5189
@mustafapandu5189 4 ай бұрын
Duh huyu jamaa yuko vizuri since history tena kwenye nyanja zote mpaka kwenye family, vyuoni , misikitini na maofisini. Mungu ampe kheri zote za dunia na akhera. Best professor of my selection
@joshuamolleli3471
@joshuamolleli3471 5 ай бұрын
Crown hapa ni nyumbani
@nuhunjawike4808
@nuhunjawike4808 5 ай бұрын
Very professional Salim
@VictorFungo-b6n
@VictorFungo-b6n 5 ай бұрын
Wasafi media kazi yao kupokonya waandishi crown media big ups
@maki5449
@maki5449 4 ай бұрын
I wish we can have this Prof in a higher position like Pres.... Angelipeleka taifa letu mahali. Wenye E mbili wamenipata.
@AwadhiKanyawana-ve2cp
@AwadhiKanyawana-ve2cp 5 ай бұрын
My role model is speaking
@hawampate5029
@hawampate5029 4 ай бұрын
Such a brilliant person God bless u
@abdulrahmanally1412
@abdulrahmanally1412 5 ай бұрын
ALLAH AKULINDE PROFESSOR MENYE KALIBA YA KIPEKEE
@AhmedyKaku
@AhmedyKaku 4 ай бұрын
Kikeke na Profesa wote ni watu muhimu sana katika nchi hii.
@evalinelaitayo8684
@evalinelaitayo8684 4 ай бұрын
Prof anamadini kwelikweli Salim you're doing good work, keep going.
@eliusandrew3762
@eliusandrew3762 5 ай бұрын
Maybe umri but, I think he can be a good president
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 5 ай бұрын
Hivi urais mnauona kwenye maongezi!! Anaeza ongea point za maana hapo lakini ngoja akalie kiti!!! Utadhani sie aliekua anaongea point za maana...uongozi ni karama Mungu alizoweka kwa mtu na si wote wanazo...
@kwisa4899
@kwisa4899 5 ай бұрын
Nchi inaongozwa na mifumo ambayo watu walio mzunguka rais ni failure
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 5 ай бұрын
@@kwisa4899 Ndo maana nasema awe na karama za uongozi kutoka kwa Mungu ili pamoja na kisomo chake na uelewa wake aweze kutumia hizo karama za Mungu kuwaondoa haraka failure wasimuharibie kazi...uongozi ni karama kama walizokua nazo manabii...uongozi si kila mtu anaweza kuongoza kwa kusikia tu maneno mazuri kutoka kinywani mwake!!
@stevenmwanjala883
@stevenmwanjala883 5 ай бұрын
​@@mamboshepea8888sasa mtu anapimwa kwa maongezi yake na matendo au?
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 5 ай бұрын
The kind of interview I can spend my time to watch without any regrets👏👏
@kingungemaster4811
@kingungemaster4811 2 ай бұрын
Kwangu hii huenda ni interview Bora zaid kwa Salim kikeke kufanya since Crown kuanzishwa hii ni Kali sana Hizi ndio mana machawa Huwa hawaskiz alafu wanakuja kutupgia kelele
@japhetkasungula8209
@japhetkasungula8209 5 ай бұрын
The best CAG ever...huyu mzee walimfanyia figisu na kumuondoa kinguvu/kimabavu ili kulinda maslahi yao
@rashidibrahim4278
@rashidibrahim4278 4 ай бұрын
May allah bless you & give you long life
@sonnyr1899
@sonnyr1899 5 ай бұрын
Alie gundua Kikeke anafanana na Profesor aseme
@yakubsaid22
@yakubsaid22 5 ай бұрын
Hahaa umenifurahisha sana Moe mpka nimesema Hawa ndugu.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 5 ай бұрын
Tabia hii ililetwa na siasa za ujamaa. Watu wote ni sawa. Watanzania tumekuwa wavivu sana na hatuna nidhamu ya kazi
@UrassaPaschal
@UrassaPaschal 5 ай бұрын
Russia na china ni wajamaa mfano china tumepishana miaka miwili kwenye kupata uhuru wao wamewezaje???
@officialjeazy1458
@officialjeazy1458 5 ай бұрын
Wew unaujua ujamaa au unausikia? Kwann marekani waliupiga marufuku? Angalia china,urusi na korea kaskazini wanakoishi ujamaa wanavyoongoza kwa nidhamu ya kazi. Acha kuropoka kama hujui .
@officialjeazy1458
@officialjeazy1458 5 ай бұрын
​@@UrassaPaschaltanzania ilikosewa mwaka 1992 kwenye utungaj wa sheria ya vyama vingi ni pale walipoweka ngao nyingi kuilinda CCM pale ndo tatizo lilianza ililazimika CCM kuipa nguvu hili kuilinda ivyo viongoz wa CCM wako protected hata kwenye kukosea ndyo maana tunaitaj kiongoz mbabe na sio mwanasiasa hili kunyoosha palipo kosewa ndyo maana magufuli alionekana mbabe kwasababu aliwagusa waliolewa na chama kuliko nchi.
@VeronicaMramba-fz8ni
@VeronicaMramba-fz8ni 5 ай бұрын
We huo ubepari wa kufanya walionacho ni bora ndio unafaa?
@ChoroTesla
@ChoroTesla 5 ай бұрын
​@@officialjeazy1458 Una matatizo china na ujamaaa walishatoka huko ujamaa china au russia umebaki kwenye maneno tu. Mmarekani akiamua apige ban bussiness na uchinani uone dunia itakavyoshake.
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 5 ай бұрын
Kikeke we kweli muandishi waviwango hawa wazee sku zote walikuaepo ila hakuna chombo chochote kilikua kinawafata kuwahoji mpaka hizi media zikawa zakuhoji watu wapuuzi tu na kiki, endelea mzee atleast bado kunaimani yakuskia watu wenye akili zao
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 5 ай бұрын
Waandishi Wetu wote Wao ni mpira tu.mambo yanayotuhusu Wao UCHAWA tu siyo.mambo ya jmii
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 5 ай бұрын
@@hafidhnzota2142 kusifia Sifia ili Kupewa vihela aache kumhoji hersi ili akitoka studio ampe hela aende kumhoji mtu makini kitaifa flani cha watu wapuuzi sana
@nilanmira1078
@nilanmira1078 5 ай бұрын
Fact
@abdulramadhan981
@abdulramadhan981 5 ай бұрын
CAG aliye aliyesimama imara ni huyu prof Asad
@festusabramary-bz4ef
@festusabramary-bz4ef 5 ай бұрын
uyo mwenyewe mwiz
@jamshedaltiwani6481
@jamshedaltiwani6481 5 ай бұрын
Thank God ,I didn't waste my time for watching this brilliant interview
@seifhafidhsuleiman3643
@seifhafidhsuleiman3643 5 ай бұрын
Masha Allah Allah ampe kheri huyu jamaa
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 2 ай бұрын
Accountancy rock . Be blessed
@fadhiliitambu6210
@fadhiliitambu6210 5 ай бұрын
Huyu Mzee nchi imeshindwa kumtumia sababu viongozi hawajanyooka kufanya kazi na mtu alienyooka inahitaj uzalendo sana
@ChoroTesla
@ChoroTesla 5 ай бұрын
Afu kuna mtu anajitapa mie mzalendo tywe wazalendo ripoti moja tu spika anahaha kumuondoa CAG km mmenyooka pokeeni ripoti ifanyieni kazi mmrnyooka afu pesa zinapotea Ripoti ikieleza ukweli hamtaki
@emmanuelstephens1891
@emmanuelstephens1891 5 ай бұрын
Viongozi wetu makalio sana!!
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb 4 ай бұрын
Nchi haijashindwa kumtumia bali inaogopa kumtumia m aana madudu ya viongozi yatawekwa hadharani
@FARAJAAFYUSISYE-sk2wb
@FARAJAAFYUSISYE-sk2wb 4 ай бұрын
Ndio maana wamemstafisha kabla ya muda wake
@tpk5080
@tpk5080 5 ай бұрын
Naiangalia hii interview for a 3rd time.....Salim u will bring impact ktk tasnia hii hapa nchini
@musason1680
@musason1680 4 ай бұрын
Me siku Mzee akiandika kitabu nitakua wa kwanza kukinunua
@AlbertMakamba
@AlbertMakamba 4 ай бұрын
Hawa ndio watu wanaofaa kuhojiwa na tunajifunza vitu muhimu big up kikeke
@alluabdallah6893
@alluabdallah6893 5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 Mupewe waua yenuu hapo mjengoni
@HansChuma
@HansChuma 3 ай бұрын
Media namba moja kwa sasa ni Crown sio hawa wengine clousefm wasafi fm na media zingine wapo busy na umbea wa hawa mashoga hakuna kinachosemewa katika nchi uchawa tuu kudadeki zao yan ujinga ujinga mtupu sijawai kuona clouse au wasafi kufanya vipindi kama hv toka dunia ianze kazi Ushenz tuu
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 5 ай бұрын
Allah akuhifadh proff
@siddyoneonlinesi5433
@siddyoneonlinesi5433 5 ай бұрын
Mzee anafaa kuwa Raisi wetu
@OmaryRamadhani-g4i
@OmaryRamadhani-g4i 4 ай бұрын
Prof Asad hili na darasa zuri sana hauchok kusikiliza hongeren sana
@GRATIONVITALIS
@GRATIONVITALIS 5 ай бұрын
Azina kubwa sana hii cjui hawaoni hili
@carolakinasha2106
@carolakinasha2106 5 ай бұрын
Hawataki hazina. Wanataka machawa tu
@AbdulSuleiman-u5u
@AbdulSuleiman-u5u 5 ай бұрын
Wallah huyu mzee mashallah wala hana njaa tabia zake alingana na Othman massoud
@GAGUTYJR
@GAGUTYJR 5 ай бұрын
huyu mzee ni kichwa sana
@منهج_الرسل
@منهج_الرسل 5 ай бұрын
Maswali ya akili sana na yamejibiwa wazi kabisa kwa hekima na maslahi ya nchi, hakika hii nchi tuna viongozi wezi sana kazi yao n kuteka watu na kuwauwa.
@polycarpmashikao6079
@polycarpmashikao6079 4 ай бұрын
Watu km Prof Asad hawawezi kufanya kazi na Tz, hatuko tayari kuwa na mtu straight namna hii. Ni sawa na kuendeshea Train ya kisasa kwenye reli ya zamani (mfumo usiosadifu ukweli, rafiki wa kukumbatia ubinafsi na unyonyaji) we need great changes!
@chidampiri1012
@chidampiri1012 5 ай бұрын
Kikeke you were deserved to work in UK(BBC)
@benedictjeta835
@benedictjeta835 5 ай бұрын
Bora crown mnatupa madini media zingine ni ngono na kamari
@jojogeorge7712
@jojogeorge7712 4 ай бұрын
Mungu akupe umri mrefu na zenye baraka sana..
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 5 ай бұрын
Safi sana Crown tunapata Madini sana katika ubora
@RichardAluphonce
@RichardAluphonce 2 ай бұрын
CPA (.T) Huyo
@jamal5922x
@jamal5922x 5 ай бұрын
اللهم صلي على سيدنا محمد Allahumma salli alaa sayyidina Muhammad
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 4 ай бұрын
Maa Shaa Allah Akhiy
@jamal5922x
@jamal5922x 4 ай бұрын
​@@muddymuzungu4357Jazakallahu Khairan
@frontdee1
@frontdee1 5 ай бұрын
Hii crown fm ndio redio mkombozi
@KhalifaHassani
@KhalifaHassani 5 ай бұрын
Huyu mzee ni neema iliyoachwa kwasababu ya hasadi na waliomuhusudu leo wapo wapi? Kweli hasadi ni mbaya.
@EmmanuelSimion-d3e
@EmmanuelSimion-d3e 5 ай бұрын
Wengine chali na waliopo watafuta tu!!
@bir4450
@bir4450 5 ай бұрын
it's very kutisha sana. circle yote ile haipo dunian leo.
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 5 ай бұрын
​@@bir4450waliokula njama ya kumuondoa pale wapate kuliibia taifa huku wakijiita wazalendo leo wote wako chini ya ardhi mwe yeenzimungu anatisha..😅😅😅
@JavanamicrofinanceMuleba
@JavanamicrofinanceMuleba 4 ай бұрын
Nimevutiwa sana na nimejifunza sasa
@PhantomGhost-mt7pe
@PhantomGhost-mt7pe 4 ай бұрын
Mashaallah
@h77-f8m
@h77-f8m 5 ай бұрын
Wakenya wanaheshimu kazi sana (work ethics)
@mohamedthabit21
@mohamedthabit21 5 ай бұрын
Anko Niko proud na ww
@raymondmunis3553
@raymondmunis3553 5 ай бұрын
Hii sasa ndio radio inahoji watu haswa sio kule kwengine muda wote kelele tu kusifiana maisha.
@shahamzanda1937
@shahamzanda1937 Ай бұрын
TANZANIA MPAKA TUACHE WIZI KAKA KIKEKE. Hatuna uzalendo kabisa, mipango mingi sana lakini hakuna lolote. wasio na akili wanasauti kwenye mambo ya msingi na wana utetezi kutoka kwa wwasomi(interest oriented) yaani hata huwezi kuelewa kabisa. hii nchi mpaka lini itaeleweka, vijana wavivu wanapenda kuishi maisha yasiyo yao kabisa. Hii mifumo ya private sectors iko humu humu Tanzania na almost wamiliki wa hizo private sectors ni watanzania wenzetu walioona mauza mauza kwenye public sectors na wanafanya vizuri na you can't imagine hata viongzoi na badhi ya wafanyakazi wa public sectors hawataki kabisa kupata huduma kwenye private sectors. they aint see no quality. definitely
@boaziamos1224
@boaziamos1224 29 күн бұрын
kweli kama media zetu zingekua hvi zote, tungekua tunazungumza mambo ya muhimu tuu kikeke yupo vzr sanaa.. acha hizi media zingine watangazaji sjui wanaongea mambo gan
@fatmaally7252
@fatmaally7252 5 ай бұрын
Unakitu ambacho binaadam wachache sana wanacho mashaallah
@gaitanokamage7366
@gaitanokamage7366 5 ай бұрын
Akigombea hata mgombea binafsi mimi ni watu almost 10 tunMuelewa
@LucyMambally
@LucyMambally 5 ай бұрын
Hivi sisi Watanzania nani katuloga???? Watu wenye madini makubwa ya akili kiadi hiki ni WA kuwaacha kweli? Ee Mungu tuhurimie. Hongera sana Mtumishi wa Mungu Prof. Asadi. Mungu azidi kukulinda na kukubariki Prof.. Haki huinua Taifa bali dhambi ni aib ya watu wowote'. Mungu anawaona naye atawalipa sawa sawa na matendo yao.
@hefsibahunkie7376
@hefsibahunkie7376 4 ай бұрын
Mtu wa Maana sana huyu mzee,,Basi tu
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb 5 ай бұрын
Ina maana Samia hamjui huyu gem? Kweli nazidi kuamini serikali ya ccm haitaki kabisa watu waadilifu. God bless you shemeji yangu. Sorry for the loss of your humble wife Beverly. She was such a great person
@milkamanyanda7509
@milkamanyanda7509 3 ай бұрын
Gombea urahisi mzee
@HamimMbango
@HamimMbango 2 ай бұрын
Uyo Mzee aweza kuwa wazir mkuu au rais wa Tz
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 5 ай бұрын
daah mpaka natamani angegombea hata uraisi asee
@AminiMsellem-gk3yy
@AminiMsellem-gk3yy 4 ай бұрын
Jamani mwacheni mzee amalize uzee wake vizuri kwenye urais kule hakufai ukiingia ukinyooka unapotezwa sasa bora apo apo alipofikia panatosha
@alhajiakida9703
@alhajiakida9703 5 ай бұрын
Hakika Pro. Mwenyezi Mungu kamjalia elimu yenye manufaa kwetu ila hatukuweza kutambua hilo. Ni nadra kumpata mtu wa aina hii ambaye anatumia elimu zote mbili [ duniyaah na akhera ] ipasavyo.
@fahamutv8024
@fahamutv8024 Ай бұрын
Utamuajili vip mtu registry ana professional apo mlikosea
@amryhamis6032
@amryhamis6032 2 ай бұрын
Eemungu nibariki hekima ya mzee hassad
@IshakaIssa-h4w
@IshakaIssa-h4w 4 ай бұрын
Good
@valentineevarist
@valentineevarist 5 ай бұрын
huyu alikuwa the best CAG nchini hapa tanzania shida wanapenda zaidi mtu alie chawa na sio anae tumia elimu yake
@AbdelKassim-k8j
@AbdelKassim-k8j 5 ай бұрын
🤝
@manethmwiyanja2452
@manethmwiyanja2452 4 ай бұрын
we mzee unaakili sana unanifurahisha hasa mkweli, huna uoga, huna unafiki kabisa hata namna unavyongea sura macho unaonyesha wewe ni kweli professor.
@OtienoKawage
@OtienoKawage 16 күн бұрын
Hii Nchi kumbe nimebaini kuwa Viongozi ndio chanzo cha matatizo nimesikiliza vizuri uamuzi wa Prof Mussa Asad kuondolewa kwenye kazi yake ya CAG
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 4 ай бұрын
Mkweli sana sana mzee
@shijahlaurent3100
@shijahlaurent3100 5 ай бұрын
Mzee wangu Assad mimi nakupenda nakupenda sana kwasababu ya ukweli, kwani hayo maneno ya kingeleza unayoongea ukichanganya na kiswahili hayana kiswahili chake au wewe ni mzungu.kama kuna mtu anayetakiwa kuwa kiongozi mkubwa wa hii inchi ni wewe..
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 5 ай бұрын
Hongera profesa Asad kweli wengi wanautaka urahisi huku hawauwezi anayeuweza ni Raisi Samia peke yake wengine wasubiri kwanza Samia hoyeeeeeeeeeeeere CCM hoyeeeeeeeeee
Prof. Assad: Unanunua ndege ya nini kama hairuki?
11:25
SK Media Online TV
Рет қаралды 25 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Kisa Kizito cha Mzee aliyemnyooshea Bakora Mwalimu Nyerere
17:48
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН