BALOZI WA BRAZIL AINGILIA KATI SAKATA LA WAPIGA MAKACHU FORODHANI

  Рет қаралды 6,999

SN TV Online

SN TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 19
@salmaabdu5011
@salmaabdu5011 4 күн бұрын
Asante sana muheshimiwa balozi kwani si utamaduni wetu wazanzibar
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 2 күн бұрын
hii dunia inamambo ya ajabu sana, jambo jepesi selikani inajifanya kuchukua hatua haraka na kutaka kutuinyesha kuwa wao niwatu wa maadili na kulinda tamaduni za Africa lakini mbona leo nchi inamashiga kibao na wapo hawachukuliwi hatua kali nadio jambo baya zaidi?? viongozi wa nchi mnayo majibu mengi sana cku ya mbele za Mungu😢😢
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Күн бұрын
Acha mihemko usiongee pumba ww sio mzanzibar na hujui maadili ya Zanzibar ndio maana unaongea utumbo
@SuolFat
@SuolFat 3 күн бұрын
Hawa wazungu ni Wanafiki hongera sana kiongozi mzalendo kwa kuliona hilo
@ZahorSalum-h9q
@ZahorSalum-h9q 3 күн бұрын
Ikiwezekana pafungiwe maisha maana ss wazanzibar .haupendi kbs .ujinga ktk maadili yetu .na ndo ukaona ht wakristo wanajistiri Zanzibar .
@binbuhakhamis4336
@binbuhakhamis4336 3 күн бұрын
Asante fanyeni maamuzi ya vitendo
@NassoroHaji-i8k
@NassoroHaji-i8k Күн бұрын
Kule Pemba hakuna watembea uchi kama Unguja maana sa ivi imevamiwa kila kona ya unguja
@JumaSalumMohammed
@JumaSalumMohammed 2 күн бұрын
Hao wapiga makachu ukiwaangalia wana.. element za kishamba, niushamba tu
@NassoroHaji-i8k
@NassoroHaji-i8k Күн бұрын
Na sio foro tu pia kule nungwi beach pia wapo watembea uchi na hili nalo wafaatilie pia
@IssaMohammed-w4d
@IssaMohammed-w4d 3 күн бұрын
Wafungwe maisha
@amerwelder7786
@amerwelder7786 3 күн бұрын
Kuhusu kuruka uchi ilo ni tatizo lakn kuruka maji madogo ni moja ya fani urukaji
@alimipango1959
@alimipango1959 3 күн бұрын
maji madogo ukiruka vibaya ama kifo au kupooza maisha.
@ISSAJR-f5
@ISSAJR-f5 2 күн бұрын
Ushamba tu na kutaka sifa tu kwa wale vijana...
@AbdallahAlly-f3b
@AbdallahAlly-f3b 2 күн бұрын
Naona pafungwe tu kabisa
@mbaroukkhalfani9244
@mbaroukkhalfani9244 2 күн бұрын
Hao watalii wameshazea kwenda uchi hasa hapo foro na wala hawajakemewa ndio maana wanajiamini kufanya watakavo na kutokana na hali hiyo kujitokeza kwa hao wapiga malachi na mtalii imekuwa kero sasa na serikali ndio imeona ila wekitemnea uchi mitaani na maeneo mbalmbali hapa znz haikemew8😢😢😢😢
@MishaHass
@MishaHass 2 күн бұрын
Yaan wanaongea upuuz jaman mm nashangaa Sana hilo. Kwsbb kosa ni la wageni co la Vijana hapa. Hilo jambo nikuambiwa wageni wavae ustaarabu tuu
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 3 күн бұрын
alafu mtiuu anaruka sarakasi karibu na msingi hana kinha yoyote akiteleza sianapasuka kichwaa
@ismailmakame3972
@ismailmakame3972 2 күн бұрын
Mwazo muliwapongeza hao na mukampekeka hadi Rais wa zanzibar akawape sapta Sasa mnajitoa.
@kassimomar7589
@kassimomar7589 3 күн бұрын
Sijawah kuwaelewa wale walevi pale
Массированный удар РФ по Украине в Рождество
1:06
Euronews по-русски
Рет қаралды 152 М.
HABARI NZITO LEO 23/12/2024
27:15
Habari Post
Рет қаралды 1,2 М.
MWANAMKE ALIYERUKA MAKACHU UCHI AIBUA OFISI YA MUFTI MKUU ZANZIBAR
7:10
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 18 М.
Habari za Citizen Nipashe ~ December 26, 2024
29:10
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 4,3 М.
MKUU WA JESHI LA POLIS ZANZIBAR AIBUKIA FORODHANI
5:18
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 5 М.