Shukran kwa Gumzo la maana sana. Roho zetu zimekua hazina thamani ktk nchi yetu Znz. Ila hatutowasamehe wauwaji. Duniani na akhera.
@mwajumaanthony5470Ай бұрын
Poleni sana wenzetu wa Zanzibar Kwa msiba Mwenyezi Mungu awape nguvu pia Awape nuru marehemu wetu awa samehe makosa yao Amiin
@sheikhasalim1190Ай бұрын
innalillahi wainna ilayhi rajiun. hasbunaAllah wanimal wakil. hizi dhulma tumezichoka, mzee wa miaka 70 anadhulumiwa hivi.
@StickerDoctor-m6fАй бұрын
Kila mzanzibar yeyote anaejiita ccm kw kuipenda au kuchangia ccm katika dhulma yeyote sio mwenzetu ni mwanaharam mtu ambae haumii ndug yake anapopata shida ni mwanaharam ipo siku yatawageukia hay ni swala la mda tu🤲🤲
@AaAa-vm8bbАй бұрын
Na wao iko siku wataondoka kila mmoja na siku yake na hukmu italipwa. INNA LILLAH WA INNA ILAIHI RAAJIUUN, MWENYEZI MUNGU HAGHAFILIKI NA KITU Laanatu llah kwakila adui wetu.
@salyali7807Ай бұрын
Nd. Mohammed jazakallah khayran kutuletea habari kwa haraka .. mambo kama haya yapigiwe kelele kila mahali
@YusufuMagembeАй бұрын
Allah atalipa muda si mrefu naomba tufunge siku 3 huku tukimlilia Allah majibu yatapatikana
@oscarezekiel1826Ай бұрын
Mwenyez-mungu awape nuru katika makaburi yao,na awaadhibu adhabu yao waliodhulumu uhai wao. Kwahakika serikali zinazokaa madarakani kwa kumwaga damu za watu humaliza kwa kunywa damu za watu lkn haki ya mnyonge haipotei bali inawezakuchelewa tu.
@salyali7807Ай бұрын
Inna lillah wainna ilayhi raajiuun ... May Allah awaghufirie awape kauli thaabit wapokee vitabu vyao kwa mkono wa kulia ... 😢😢😢
@PrincessMaryam-c1rАй бұрын
Ammina ya rabball Allahuma amin kwa sote
@saidaomar6084Ай бұрын
Allahumma ammin
@UlfaRashidАй бұрын
Wamewaua hao hapa duniani ila wanewatengenezea maisha mazr akher kuzulumu watawalipa hao mbele ya Allah
@RenaldaZeramulaАй бұрын
Nao wauwawe ili wakauafaidi hayo maisha mazuri ya ahera
@imusalis5092Ай бұрын
inna lilahi waina ilaihi rajiun Allah awalaze mahali pema peponi dunia mapito kila mmoja ataondoka kwa muda wake na namna Allah alivompangia
@NassorOmarDadiАй бұрын
Mwinyi unabeba dhamana hizi na Mungu atakulipa kwa hili na mengine na hatukusamehe hata uombe radhi vipi maana unayajua yanayofanyika na unasubiri baada ya urais wakati leo unaweza kuzuia. Mungu atakulipa
@batrumbeziks5946Ай бұрын
Hussein Mwinyi. Mkewe ni Janet. Shemeji ni John. Mkwewe ni Joram. Huo uislamu uko wapi?
@jumahamadomar9124Ай бұрын
Huseini mwinyi yuko kimya na wala hutomsikiapo kuongea kitu chochote kwa sababu ni miongoni mwa sera za ccm hapa zanzibar
@MishaHassАй бұрын
@@batrumbeziks5946Umeongea neno kdg🎉
@hajihassan543329 күн бұрын
@@batrumbeziks5946 Hebu tuache mihemko ya kisiasa na kugusa maisha binafsi. Kwenye Serikali kila mmoja ana dhamana kwa ngazi yake.
@AndulHida-hs5pyАй бұрын
Inna Lilah wainnailay rajiun, Allah mma ajrunii fee musibati waalifliikhair Khair Minha. Poleni sana wafiwa na wananchi wa kiongoni Vitendo hivi havikubaliki hata mara moja Yarabbi tunusuru na majanga haya inshaallah.
@AhmedAbdallah-y6qАй бұрын
Alhamdulillah ALLAH Ndo Hakim wa HAKII atalip t
@abdallahdullah8642Ай бұрын
Allah haghafiliki wala hasahau ni hakim muadilifu mwenye nguvu na ndie mkuu kuliko wakuu Inshaallah Mwenyezi Mungu anatosha kuwa shahidi na hakimu.
@MishaHassАй бұрын
Washatia huzuni kwny familia na umackini huu mjane huyo atashuulikiwa na nan japo MUNGU yupo😢jaman Serekali yetu tupendenii😢
@ahmadjuma6083Ай бұрын
Ya allah tuondosheee huuu udhalimu uliopo Zanzibar asahiv raiya wanaishi kwa hofu kutokana na dhulma iliyop
@HassanSalmin-f5h21 күн бұрын
Siraiatunabaziyaaskari
@Mushkey-r8xАй бұрын
Mm siku zote hushangaa nikimuon MPEMBA anaiunga mkono CCM, huku povu likimtoka kuitetea kwa nguvu zt ,na kukosa kujitambua wana hadhi gani ktk serikali ya Ccm Pemba ndiyo kafara cku zt kuuwawa.....na kipindi cha vikosi kujifundishia kuuwa kinakuja, sasa kazi kwenu
@hajihassan543329 күн бұрын
Hivi zile nchi walizogawana nchi zao mfano Sudan, Ethiopia nk zilifikia hatua gani mpaka kufikia uamuzi ule.
@BonnyMwajombe18 күн бұрын
Acheni chuki😊
@RahmaIddi-s2sАй бұрын
Subhana Allah 😭 lnna lillah wainna illaihi rajiun 🤲 Yaa Allah awape Kauli thabbit.. wenye kudhulumiwa nafsi zao ...na hawa wanao fanya haya matukio ya mauwaji .Mungu atawahukum fii duniya wal -akhera
@AbdulhalimMohammed-f8o25 күн бұрын
Kaka mungu akulinde ww nimkweli katika serekali hiii
@AminaUkhtyАй бұрын
Mungu awape pepo
@rizikimohamed2449Ай бұрын
Jamaniiiiiiiii 😢😢 haki Iko wapi
@mussasaidhamad1891Ай бұрын
tatizo baraz la wakilishi mkipitisha sheria mnadhani kuwa nyinyi mtakuwa wawakilishi daima na maisha yenu woote hamjui kama kuna siku mtakuwa raia
@WahidaAlharthiАй бұрын
SUBHANALLAH HASBIYA LLAHU WA NEEMA LWAKIL INNA LILAHI WA INNA ILAYHI RAJIUUN
@iddiyrashid1682Ай бұрын
Allah atawalipia sote tutakwenda hukumuwa viongozi waserikali kaeni mukilijua hili
@mpwani3523Ай бұрын
Subhallah watu masikini km hivyo na juu yake unawapa huzuni
@HamisMghuna-fj3vzАй бұрын
Wasojulikana ndoo wanajua hata Farao Firaun ilikua hivhiv ubabe akaangamia chezea Allah 😊
@songombingo108Ай бұрын
Hata kama ana madawa ya kulevya hakuna uhalali wa kuondoa uhai wa mtu.
@salyali7807Ай бұрын
Yajayo yanafurahisha.... laanatullah
@Oman12Phone-f5i28 күн бұрын
Mama etu mama samia Angalia hili mama kabla hujatoka ktkuongozi mwako mama ujiepushe na mas ulia mbele ya Allah mama ni machungu makubwa sana mama kwa familia jitahidi mama waislamu walofungwa kwa ajili ya dini ya Allah uwatoe mama tuko chini ya miguu yako mama
@hadijahamza-l9zАй бұрын
dah mzee wa miaka 75 unampiga mpaka anakata roho.dah hii nchi.imekuwa ya hovyo.sana
@rayaalhabsi1725Ай бұрын
HASBUNA ALLAH WANI'MAL WAKIIL KWA KILA DHALIM MPAKA SIKU YA QIYAMA
@RamadhaniKitala-gx6wcАй бұрын
Innalillah wainan lillah rajoun 😭💔😭 ila hii Tanzania imeharibika ccm na police ccm wamepata viapo kwa kuuwa watu kutekwa kwa watu na dhuruma n. k hata kama kweli walikutwa na bangi hukumu yao ni kuuwa kweli subhunnah allah
@sheikhasalim1190Ай бұрын
@@RamadhaniKitala-gx6wc tena basi kuuwawa kwa kipigo. mzee wa miaka 70 anasingiziwa tu
@BakariHassan-b1kАй бұрын
mungu hakimu wa mahakimu hato waacha salama kwa yoyote yule alie husika ama kupanga mipango juya mauwaji haya yarabi fanji uwezo wako uwape kile kinacho stahiki hawa mbwa walio wauwa Wana damu wako Yani hii nchi ina viongozi kweli Yani Wana juwa haya wanayo yafanja wata ulizwa kesho na mungu emwenjezi mungu mmiliki wa kila kitu wewe nde mwenji kujuwa haki
@masoudalriyamy629829 күн бұрын
Ina lilah waina ilahi rajiuni hao wamesha safishiwa njia ipo mahakama ya mungu haina rushwa tuombe mwisho mwema
@Latifaally390Latifa28 күн бұрын
Subhanallah inalilahi waina ilayhi rajiun
@omanoman2044Ай бұрын
Wallah dunia imekwisha iman ya din imekwisha kabsa
@BonnyMwajombe18 күн бұрын
Inauma sana
@RashidShedaffa-v9xАй бұрын
Mhe. Rais Mwinyi ,tunaomba hao wauwaji wa serikali yako waliowakamata na kuwahoji hao ndg zetu 2 na kukabidhi maiti badala ya watu hai ndani ya saa 24 tu "uwashughulikie" na tushuhudie umewashughulikia kweli sio siasa!!. Na hiyo sheria inayowapa mamlaka ya wao kugeka mahakimu ifutwe...Viongozi wetu muogopeni Allah swt ,iko siku tutaulizwa!!!!!
@zanlec735724 күн бұрын
It's so sad 😭 I don't know when it's gonna be stopped (pouring the blood in the Island) Maybe we don't know the badness of pouring Muslim's blood it's a very big sin. Those who have been blessed to get higher positions to lead people must be careful because there is another life after this and we should be paid for what we have done in this world if good or bad, small or big. The leaders of village, street, district, region and country mustn't abuse their positions they must be good examples for us. 🤲🤲🤲🤲🤲🤲 May Allah bless and pay bereaved aaamin🤲 losing the one you love is not simple thing it pains, hurts, it's big test a huge sorrow. May Allah give better than they've lost aamin🤲 Oh Allah guide our leaders and give them Honey hearts aaamin
@seifmasoud306125 күн бұрын
Si kweli km wana bangi wala hawahusiki na madawa ya kavya ila tayari wauwaji kashaanza mchaguzi tayari ni songizio tu..hatuamini uongo wao.ni jificho madawa ya kulevya ni unafiki tu wa kitendo hicho.
@mgagagigi801614 күн бұрын
Al Qisasil Haq!. Kuna Ubaya gani kusoma Al Badir.Laanatullah kwa Kila Aliehusika Kudhulumu Nafsi.
@ShafiiKauli-xk2hyАй бұрын
Innalilah wainnailahi rajiun fitna ni mbaya kuliko kuua Zanzibar wanafitiniana wao wenyewe allah awarehem awasamehe madhambi yao
@salyali7807Ай бұрын
Professor umetowa maneno kutoka mdomoni kwangu ... huwezi kupredict maisha zanzibar
@mohamedmwatuwano552625 күн бұрын
Yote yasemwe, madawa ya kulevya yadhuru maisha ya vijana wengi.
@shamzone388Ай бұрын
Ina lilah waina ilah rajiun Poleni sana wafiwa ni msiba mkubwa sana Rais mwinyi twakuomba ulitupie macho jambo hili
@ngoziyАй бұрын
Inna lillah waina ilayh rajiuna
@justicebridgeАй бұрын
Nchi haina wapelelezi wenye weledi wa kisayansi wao kipigo ndo investigation,
@aliabdallahali6995Ай бұрын
Mtihani
@HajiYussuf-bv5ebАй бұрын
Ccm Jueni kuwa mutarudi kwa Mungu nyinyi ueni tu
@AllyHamranАй бұрын
Mtihani sanna hii nchi imepatilizwa ama sijui ina laana gani?
@NassorOmarDadiАй бұрын
Mwaka huu iwavo ba iwe hatukubali mtatyua wote ila uchaguzi na kura haiibiwi na OMO mtamtangaza mtake msitake au nchi haitakalika tunawajua mnamoishi tutalipiza
Sas itakuwa mfosi mtu uwo niuwonevyu kabisa ila mungu ndie hakimu
@salyali7807Ай бұрын
Ikisha wanakwenda Pemba kuomba kura ... wahame na majumba Yao wanayoyajenga
@ZuhuraMakame-f9eАй бұрын
Maneno hayo usiseme, huna aibu na nyinyi mtaondoka Unguja? Kwenu kunakushindeni kukaa mmejaa kila pahala
@salyali7807Ай бұрын
@ZuhuraMakame-f9e to be exact nimekusudia wahame zanzibar (Unguja na Pemba)
@youdyaАй бұрын
😂😂😂😂@@ZuhuraMakame-f9e
@kinkybanjukome217Ай бұрын
Mwinyi umeingia kwenye madaraka kwa kuuwa watu na unaendelea kuuwa watu m.mungu akulipe mambo haya kabla hujafunga jicho na laana ikushukie
@2002-h6cАй бұрын
Kwani hawa wanaomlaani au kumlaumu Rais Mwinyi huyo Mwinyi anahusikaje na kuuliwa kwa hao watu. Huo ni ujinga tu Mungu ni wa wote , akiwemo Mwinyi , chuki zenu ni za bure, na mtakufa nyie Mwinyi mtamuacha😅😅
@wadhhasuleiman2621Ай бұрын
@@2002-h6c mama ako na Baba ako wapo hai hujui dhamana ya Rais
@2002-h6cАй бұрын
@wadhhasuleiman2621 Hao watu ni suspect wa madawa ya kulevya, wamekufa mikononi mwa makamisha wa tume ya kupambana na madawa ya kulevya, hatujui what happened that led to their deaths, tusubiri taarifa ya uchunguzi, sasa kuanza kumlaumu Rais Mwinyi kunahusiana vipi ? yeye angefanyaje ? hata kama mnachukiq , hiyo sasa too much !
@salyali7807Ай бұрын
@@2002-h6c mpambeni Mwinyi mutakavo lakini mikono yake imejaa damu na nyie majuha munaomkingia basi muna share yenu ya kuua roho za watu ... laanatullah
@MaryamIssa-y7vАй бұрын
Kwaiyo mwinyi ndie aliyetowa kibali Cha kuuwa au alimtia kitanzi shingoni au mtoto wako akiiba mtaani unaenda ww mzazi ama.
@HassanSalmin-f5h21 күн бұрын
Hapana ufatiliaji
@ashaomari7465Ай бұрын
Innalillah wainna illah rajiun
@Khatib-xp6fpАй бұрын
Zanzibar bila kubdilik uongoz ni yale yale tu
@MishaHassАй бұрын
😢yaan mtu anakufa kwa kipgoo heeeeeeeee 😨😢 JAMAN ukatili km majeshi wa Israel kwa wa Palestina🙌🥺
Huyo mzee aliekufa jinalake nani kuna baazi yawazee wachache hapa duniani nihatali ktk jamii
@gaboonkaАй бұрын
Innallillahi waina ilaihi
@kassim126222 күн бұрын
Musheerekee barabara namasoko co mulalamike nchi inamaendeleo hii 😂😂😂😂
@salyali7807Ай бұрын
😭😭😭😭😭
@radaonlinetv1922Ай бұрын
Jamani kueni na Subra hakuna haja kumtukana Kiongozi wa Nchi Kuna mambo yanatokea hata huyo Mwinyi hajui.. Kimsingi vuteni Subra vyombo vya Sharia vifanye kazi yake
@salyali7807Ай бұрын
@@radaonlinetv1922 tusijidanganye Mwinyi anajua kila linalotokea na atajibu mbele yasiku
@aliseif2691Ай бұрын
Waaleykum Salaam.
@SbOm-b7kАй бұрын
Innalilahi wainnailayhi rajun 😢😢, Allah anajua kilakitu, poleni Sana Allah awape subra nyoote, lkn Amani ipowapi? Binaadamu tujifunze kujali uhai wa wengine
@maulidmohammed6783Ай бұрын
Innalillahi wainna ilayhim rajjhuun
@mussasaidhamad1891Ай бұрын
kwa hili Mamkamo wa kwanza maana kitengo cha madawa ya kulevya kipo chini ya Ofisi yake
@KuruthumBilaliАй бұрын
Innalillah wainna ilàih rajiuna
@SAMA-jw4frАй бұрын
Inna lilahi wainnaa ilayhi Rajiuun
@alisalum5845Ай бұрын
Hasbiyyallahu Waneemal Wakeel
@labunaabouna6122Ай бұрын
Innalilla wainna ilaih mupole ila Hebu ninyi Wa Tz uweni wao pia hao police na vikundi uweni wataacha ueni wao pia please
@mussasaidhamad1891Ай бұрын
basi kuna maana gani ya kuwa na baraza la wakilishi tena mnaliita baraza tukufu
Tumche allah iko siku tutasima mishwa mbele ya haki tuacheni dhulma
@drjumaomar7966Ай бұрын
Mm ni mkaazi wa pembeni, ila shughuli zangu muda mwingi nipo kiungoni. Ila kuhusu hilo la uuzaji wa bangi ni kweli. Sitetei mauaji hata kidogo.
@amesaleh6824Ай бұрын
Kuna sheria ya kumuua mtu kisa umemkamata na nadawa ya kulevya?
@drjumaomar7966Ай бұрын
Uuaji haukubaliki ilitakiwa wahukumiwe baada ya uchunguzi kutokana na makosa yao watakayokutwa nayo, ila kuna baadhi ya vitu kwenye hii taarifa vyengine sio kweli.
@hajijabir8677Ай бұрын
ww unaujuwa ukweli kwaiyo
@mohamedatismailАй бұрын
Kumbukeni kwamba hii ni serikali ya umoja wa kitaifa. ACT nao wamo katika hili.
@totobest6913Ай бұрын
Ha
@StickerDoctor-m6fАй бұрын
Ccm ni mbwa
@bobbsalumnyalu1114Ай бұрын
Dokta mwinyi wewe ni muungwana sana hilo kundi litakuharibia na litakuingiza katika siasa mbaya bado tunakupenda na tunakata uendeelee kutuongoza mpaka uchaguzi ujao fanya jambo litakaloleta maslahi ya raia usikae kimya tunakuomba mh raisi wewe ni mtu mwema sana
@SuadAlbarwaniАй бұрын
Ina Lilahi wa Ina I layhi Rajioun kafa Shahidi kafa shingo upande maskini
Kwani ss wapemba tumewakisa nn ccm haswaa.maendeleo wameshasema hk hawaleti. sasa tunapambana wenyewe. . Lkn hatuna amanii .
@gowekogoweko5803Ай бұрын
MZEEE 😢😢😢😢ŔIP
@zenjibar64Ай бұрын
Waliodhulumu viumbe hawa hawataona mazuri ktk maisha yao na. Vizazi. Vyao. Amin
@bobbsalumnyalu1114Ай бұрын
Dokta mwinyi fanya jambo hapo ili kujiepusha na dhulma hii
@AslihanKhamisАй бұрын
Afanye jambo gani kwani ni la kwanza
@chandeyusufu9570Ай бұрын
Shekhar anausiku
@godogodogodo-b4d28 күн бұрын
Nambaya zaid haoaskar wa smz wengi wanatoka unguja nauko hawana ndugu ndio mana wana wapiga wapemba
@aliyissa9857Ай бұрын
Poleni sana
@iddyahmad-v6wАй бұрын
Tunakuomba ndugu, tuekee na lile tukio la watu waliopigwa risasi kidoti unguja.
@am2323tzeАй бұрын
Kwani bangi ni madawa ya kulevya. Amma hawa washakuwa wa Israel na Ghazzah. Yaani wa Pemba wanauliwa tuseme walikuwa kweli wanayo bangi na sio cocaine basi wanauliwa. Wamekosa kazi ya kufanya
@MfiriNasawe16 күн бұрын
Hata magaid wakikamatwa hawauliwi ispokua ni maamuzi ya mahakama kwakutumia sheria,iweje umuue wa dawa za kulevya?nadhani hata hizo bangi wamewawekea wao
@drjumaomar7966Ай бұрын
Lakini pia waliopeleka taarifa sio watu wa kikosi ni watu wa polisi jamii ambayo watu wa kiungoni wenyewe wameiunda baada ya kuona kadhia ya uuzaji na utumiaji wa madawa ya kulevya imekua kubwa ktk vijiji vya pembeni na kiungoni
@JabirJabir-r5gАй бұрын
Jee Sheria inasema wauliwe?
@JumaJuma-i2gАй бұрын
Yaani hao jamaa wanapiga vibaya sana weweeeee aaaaaaa kaa mbali na hao jamaa niwabaya sana
@rashidomar2771Ай бұрын
Ilivyokua waliouliwa ni wapemba ,si dhani kama serikali hii utamsikia mtu yoyote akizungumza wala kuchukuliwa hatua yoyote,,