nimefuatilia barabara za dar es salaam sio mbaya jiji linapendeza kwa barabara nzuri hongereni tanzroad ila ongezeni ubunifu wa mabango ya kuelekeza njia angalie kwa wenzenu barabara zinawekwa maelekezo ukipita huku unaenda sehemu fulalni naona hapo panamiss
@altentic86169 күн бұрын
Mifereji ya maji haya hufanya jiji kuwa mbaya na hatari kwa watoto na wazee na inaweza kusababisha ajali mbaya. Unahitaji kubadilisha mifereji hii na mabomba yaliyofungwa kama katika miji yote iliyostaarabu duniani
@kilimanjarotv25517 күн бұрын
dar es salam engezeni ubunifu barabara nyingine chimbeni chini gari zipite chini alafu barabara kuu ipite juu hamuigi hata TRC yapi markez daraja zao dar itapendeza sio lazima uweke barabara ya juu flyover mbona sehemu nyingi dar zakufanya hivyo TANROAD mnafeli wapi dar ndio jicho la tanzania ongezeni ubunifu